Тёмный
No video :(

Ngoma ya Roho - Part 1 (Bongo Movie) 

Swahiliwood
Подписаться 516 тыс.
Просмотров 551 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 418   
@jacklinemkomole3231
@jacklinemkomole3231 5 лет назад
Najua huna mama mwingne wa kumwambia Zaid yangu### respect to all mama 💪💪💪💪💪
@nellystarmagoho9697
@nellystarmagoho9697 4 года назад
Kama nawew umemuona yule demu wa ngosha akiw kilinikii mda wote yuko bizee kuangalia wale watoto wanao cheza pale pembeni gonga like hapa👇👇👇
@babuumussa5093
@babuumussa5093 3 года назад
Kweliiiiiiiiiiiiii
@tabiaabdalah7660
@tabiaabdalah7660 6 лет назад
Tangu naanza tizama bongo move hakika hii ni namba moja kwa mtazamo wangu tu
@gloryjimson8353
@gloryjimson8353 6 лет назад
nakupenda Diana Kimaro Dah Mungu akusaidie Sana na akulinde Daima akupe wepes katika maisha yako kipenzi miaka buku uishi kipenzi. 💖💖💖💖💖 Thea mama uko vizuri Sana mom angu ila men mie sitaki hata kuwaskia bora ntafute pesa tu looooh wakuchezee mwisho wa siku wakukane looooh nikifkiria mapenzi Nawachukia Sana boys yn.
@amanimanase5794
@amanimanase5794 3 года назад
Acha chuki zisizo na maana ww kama haukupendwa na uyo mmoja si wote ok
@Cambarada
@Cambarada 2 года назад
unamchukia had baba yako. au yeye sio men
@everlynmanigamaniga818
@everlynmanigamaniga818 6 лет назад
napenda uigizagi Wa kijiji sana una mafunzo nzurii zaidi, hongera sana waigizaji
@jedidahquidic1933
@jedidahquidic1933 6 лет назад
Nice movie nampenda sana huyu kimaro ye ndiye kanifanya nitazame hii movie...big up guys
@hellenmahenzo9525
@hellenmahenzo9525 5 лет назад
Hicho kicheko Cha Dada mdogo 😍
@phinnanyoni5532
@phinnanyoni5532 5 лет назад
Nikiona kazi zako naenjoy sana good kimaro. Dada mkuu kilimani 20006
@gracemsanjila327
@gracemsanjila327 6 лет назад
Movie nzuri sana ina maadili ya Tanzania hongereni sana
@faridaalbellah6921
@faridaalbellah6921 6 лет назад
Movie nzuri sanaa tena sanaa inasisimua I love you Dayana& Thea actually otee mlocheza humu mkovizuri
@Maymuna-wc8lz
@Maymuna-wc8lz 11 дней назад
Ila Thea Anajuwa Jamn Apewe Makopa❤❤ Mimi ndiye Kanivutia
@rosemaryrwabibi5908
@rosemaryrwabibi5908 Год назад
Hii movie niliangalia 2017 ila ad Leo 2023 nipp nayooo
@reecemwongeli2698
@reecemwongeli2698 4 года назад
Hii movie singeangalia lakini hizo comments zimefanya niangalie , wakusoma comments ndio waangalie nipeeni likes
@sophiamwita434
@sophiamwita434 4 года назад
Napitia kwanza comments
@belitadaudi9687
@belitadaudi9687 5 лет назад
Aliyechukua hii basikeri hajui kama Mimi ni ngosha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wasukuma tuko wapi jamani I miss home
@chimamymohamed2830
@chimamymohamed2830 5 лет назад
Napendaga kuanza kusoma coment kwanzaa jamani iko gd
@swahiliwood
@swahiliwood 5 лет назад
Kwa filamu mpya, endelea kubofya kwenye channel yetu
@shukurucharone4136
@shukurucharone4136 5 лет назад
Love you so much
@felicianboss6953
@felicianboss6953 Год назад
Tunaoirudia 2023 tujuane °💃
@kyandodeborah7713
@kyandodeborah7713 5 лет назад
love so much ww Mama una huruma mungu a while abariki wakina Mama wote
@felistermmary6314
@felistermmary6314 5 лет назад
nimeipenda movi sana jamani,, THEA nakupendaga hadi naumwa Mama MUNGU akuweke miaka mingi
@hatamimnimempendabulejaman1596
Unishindi mim ferista wajina wa best yangu yani tangu Mgeni mgeni anaanza kuigiza tulimpenda hata marehem mama mkubwa alikuwa anasemaga huyu dada nampenda Thea nikawa na mwambia hata mim. Kwanza rangi yake nzur kama ya Mona mwanzo nilikuwa kipindi simjuwi nilikuwa nampendaga Mona akajaga tea nikawa nampenda naye hadi sauti yake anavyoongea yani anajuwa hekti na bila kumsahau Maya naye noma alivumaga gafla tu Kwa Jinsi anavyojuwa hekti
@hatamimnimempendabulejaman1596
Haha huwo usemi wa hadi naumwa tunaipendaga unachejeshaga
@hatamimnimempendabulejaman1596
Thea hadi mumewe yule msanii mzuri. Nina best yangu yani kama mapacha jinsi anavyofanana na Thea nikamwambia ungekuwa unaigiza wangejuwa ndugu yake ni kama mtoto wa ant yangu anavyofanana na monalisa yani dunian wawili wawili yule anayefanana na Thea nilivyomwambiaga wanafanana akasema hata Kuna kaka alimwambiaga uyo kaka ni msanii pia alitakaga amchukuwevampeleke kwenye Sanaa yani watu wanafanana ni wengi Kuna rafiki yangu mwingine yeye anafanana na koleta anasema kweli hata wengi wanamwambia hivyo
@scholaj4894
@scholaj4894 5 лет назад
Pole
@yourjermsoso1295
@yourjermsoso1295 5 лет назад
Thea big up san wamam tujfunze asingekuw km alivyojtahd kuw mam bor pengne angetoa mimb na pngne angekuf asantee San thea
@swahiliwood
@swahiliwood 5 лет назад
Kwa filamu mpya, endelea kubofya kwenye channel yetu
@dashuusaalim8882
@dashuusaalim8882 6 лет назад
nampenda bi tea alaf wote watatu vbongebonge mashallah
@yakubyusuph249
@yakubyusuph249 6 лет назад
mambo ni 🔥🔥 kiukwel mmefanya kazi nzur nimewapenda bure😍😍
@agnessmilanzi7001
@agnessmilanzi7001 5 лет назад
iko vzur
@princessaidal1130
@princessaidal1130 5 лет назад
Nimeipenda bure😍😍
@zuhuramagai7244
@zuhuramagai7244 5 лет назад
mabhuloda tumeyasikia wote
@abdulchikawe5488
@abdulchikawe5488 5 лет назад
Aisee hii movie imenikumbuxh ving sana dah wanaume hawa wallah sio wa kuwaamini kabisa
@nafigasper9958
@nafigasper9958 6 лет назад
Hi tabia yangu ya kusoma comments nkiwa naangalia MV cjui ntaiacha lini..
@gracemsanjila327
@gracemsanjila327 6 лет назад
nafi Gasper hata mimi tupo pamoja
@didadisminder5559
@didadisminder5559 6 лет назад
nafi Gasper hahahahah wew kama mim
@shaninaftary1693
@shaninaftary1693 6 лет назад
nafi Gasper 😂😂😂😂 mbona tupo wengi
@zennahwangare3952
@zennahwangare3952 6 лет назад
nafi Gasper yani ww kma mm😂😂😂😂
@joycekasakisya3453
@joycekasakisya3453 6 лет назад
Tupo wengi tu!
@faithdaniel5652
@faithdaniel5652 5 лет назад
Thea unabusara sana mungu akuongeze 👏👏👏
@rukiaally5648
@rukiaally5648 6 лет назад
Ugali jamani nimeumiss hataree😋
@laymapeace4538
@laymapeace4538 5 лет назад
Mr.s asley mwenyewee nakukubali sana hihihii
@fehiciteand8784
@fehiciteand8784 5 лет назад
Mama Ni mama Kira siku jyameni Nayipenda muno❤️👌
@mzizirashid709
@mzizirashid709 5 лет назад
duuh dogo mtoto abembelezeki nae kaamua alie duuh amenikumbusha mbali Sana kama mm vile
@swahiliwood
@swahiliwood 5 лет назад
Kwa filamu mpya, endelea kubofya kwenye channel yetu
@maryactress1
@maryactress1 6 лет назад
So touching,imeniliza Safi sana big boss Jb kazi nzuri sana
@peterleonard5560
@peterleonard5560 3 года назад
Movie nzur nimeipenda wamama ambao wana moyo wa ivyo shida 2pu
@philipomisangu1326
@philipomisangu1326 6 лет назад
Hogereni sana movie nzuri sana nimeipendaw
@mwajumakweli6753
@mwajumakweli6753 6 лет назад
Nice move hivindiovyo inatakiwa sio Munaekti Majumbaa makubwa tu
@Tasha_Pk
@Tasha_Pk 5 лет назад
It is a nice movie walahy...Wamejitahidi!! Nimeifurahia sana, kuanzia content, uhalisia and everything!
@nativeinfotv9620
@nativeinfotv9620 3 года назад
Nes uko vzr.wote wangekuwa hivyo raha sana
@missanet4309
@missanet4309 5 лет назад
nzuri atareeee ngosha kasepa
@sophiamwita434
@sophiamwita434 4 года назад
Hii movie nzur sana wameigza hal halisi
@ummysaid5600
@ummysaid5600 5 лет назад
Daaaa mpaka machozi yamenilenga.... Tulia mwanangu nikawaida mama anapotaka kupata mtoto hua hivi
@elizabethpetro4077
@elizabethpetro4077 5 лет назад
exxxxc
@alexgeorge6744
@alexgeorge6744 5 лет назад
Kama umehikubari moves kama mimi gonga like twend sawa
@tiffahdangote7113
@tiffahdangote7113 5 лет назад
Alex George p
@thechannel1441
@thechannel1441 4 года назад
Gonga like kamanimdau na hii filamu
@neemajotham1711
@neemajotham1711 6 лет назад
safi Sana tea na uyubint more thn god
@jacklwelamila4322
@jacklwelamila4322 6 лет назад
Nishafika nan yuko namim kwenye part one
@ntakirutimanainnocent7041
@ntakirutimanainnocent7041 5 лет назад
Mpo fresh, lakini Madebe ridai anawafunika
@arabianbutter4007
@arabianbutter4007 5 лет назад
Eti changanya mbaliga😂😂😂 movie nzuri bhanaa🙌🏾🙌🏾🙌🏾🇹🇿
@millybakhoya7423
@millybakhoya7423 6 лет назад
Iko juu kaapsaa. Awww kip up guys.kimaro kama tuko wazima I believe nitafanya kazi na ww . aaaaawwww nice one
@janethapolo4302
@janethapolo4302 5 лет назад
diana nakupenda sanaaaaa yaan unajua hii mov nzur mnooooo love
@jodeccipretty3681
@jodeccipretty3681 5 лет назад
uyu ngosha cjui nilimuonaga wap😂😂😂😂😂
@joycekasakisya3453
@joycekasakisya3453 6 лет назад
Jamani Thea nampenda sn!
@mwajabukassim3600
@mwajabukassim3600 4 года назад
Nimeipenda sana isitoshe nampenda sana diana mmetisha sanaa
@fettyasedi8779
@fettyasedi8779 4 года назад
Tangu niangalie bongo movie hii kali
@hongerakkachawasemewwkzbut4996
sureiya musa"hahaha kumbe tuko wengi 😂😂😂😂nautamani hata mie huo ugali kinoma namiaka miwili cjautia machoni
@phinnanyoni5532
@phinnanyoni5532 5 лет назад
Kweli diana ulikua na ndoto za kweli mana unanikumbusha zile fimbo ulizokuwa unachapwa kilimani primary kisa sanaa daa good sana
@husenhalifa829
@husenhalifa829 5 лет назад
Ukovizuri san
@priscamlyuka5531
@priscamlyuka5531 5 лет назад
Hiv huyu si diana kimari?
@rehemamando5900
@rehemamando5900 4 года назад
Mwanaume km ngoshaa wapi xn. NYC movie I say full mafunzo
@khadijaakram916
@khadijaakram916 6 лет назад
yan unamimba na ngoma unataman kweli ngm y rh
@dashuusaalim8882
@dashuusaalim8882 6 лет назад
wenzng woot wanarng wn mam zaoo mwnznu cn maaammaaaa ntrng na nanii mzk wa ngoxha mtammuu
@abuudaru1401
@abuudaru1401 2 года назад
Move nzur Sana mlio igiza hongeren
@suzantaymer8187
@suzantaymer8187 5 лет назад
Wanawake tuwe makini na wanaume wa kuzaa nao movie nzur
@filvojesttzfilvojesttz8188
@filvojesttzfilvojesttz8188 4 года назад
get up
@ashrafuhassan9933
@ashrafuhassan9933 4 года назад
upuuzi mtupu
@erastoboniphace8356
@erastoboniphace8356 4 года назад
Nimeipenda
@lucynelsonmungure1719
@lucynelsonmungure1719 2 года назад
Na kweli wengi wa mabinti akishasifiwa kuwa ni mzuri tu bhasi anajiachia bila kujua mwanaume
@rosemaryrwabibi5908
@rosemaryrwabibi5908 Год назад
@@lucynelsonmungure1719 mwanamme uwa Kaz yake kutaman
@michaelkisselar5691
@michaelkisselar5691 5 лет назад
bonge la movie
@fortunatemathiasbarabara3686
@fortunatemathiasbarabara3686 6 лет назад
thea na Diana love sana ninyi I like this move
@marklukas7688
@marklukas7688 6 лет назад
MAmbovip
@DeApple05
@DeApple05 5 лет назад
Nice movie thea na diana🔥🔥🔥
@marthalufingo7303
@marthalufingo7303 6 лет назад
Nimeipenda ipo vizuri
@tiffahdangote7113
@tiffahdangote7113 5 лет назад
Daaa mpaka mdogo wako analia mtihani minza
@dashuusaalim8882
@dashuusaalim8882 6 лет назад
jamn mkweche umeuach nje unamnaniii.....ngoxha!!!!
@innocensiaandrewy3154
@innocensiaandrewy3154 6 лет назад
Imenifunza sana movie nzuri
@nativeinfotv9620
@nativeinfotv9620 3 года назад
Ila nyinyi wanaume Mungu anawaona
@nagmynamahin2463
@nagmynamahin2463 6 лет назад
Jamani tea nakupenda
@dashuusaalim8882
@dashuusaalim8882 6 лет назад
serekal ngoxha anazkaguwaa muhun mmoja ww
@florencembithe9890
@florencembithe9890 4 года назад
Yani unaeza sema sio wale mastaa wakuvaa smart 😂😂😂😂😂 confusion Lisa
@jusilinielia1748
@jusilinielia1748 4 года назад
so
@aminakshamoona6900
@aminakshamoona6900 6 лет назад
Movie nzuri mama ni mama
@heriethernest7989
@heriethernest7989 6 лет назад
Nimekumbuk mbl jamani ukiwa leba mzazi wako lazima ashidwe kaa maana umo anajua mungu
@semkudfamily9222
@semkudfamily9222 3 года назад
We ach2 umenkumbush mbal
@mwanatz5980
@mwanatz5980 4 года назад
Nzuri 💪🇹🇿🔥 🔥.
@sullentmimaee8573
@sullentmimaee8573 5 лет назад
Nakupenda sana Diana
@abalmohd7952
@abalmohd7952 5 лет назад
Ee ngondo ee ngodo ee nice perfect
@witinesmathias3804
@witinesmathias3804 5 лет назад
Nzuri saana.Inaelimisha
@priscamlyuka5531
@priscamlyuka5531 5 лет назад
Ngosha anacheza kama baba diamond na dudu la yuyu😀
@samsonjohn8230
@samsonjohn8230 5 лет назад
mm anna
@halimatanzani8587
@halimatanzani8587 5 лет назад
Nzur sana ongerani
@Drtonysheltone
@Drtonysheltone 5 лет назад
hii movie ao watu wanapenda omena sana
@donatharaymond1721
@donatharaymond1721 5 лет назад
Nimeona dagaa kama tano vileeeee, au macho yangu
@kwizeranadia119
@kwizeranadia119 5 лет назад
Hii tabia cjui itaish lin napenda cn kusom comment hahhhhh movie nzr cn Nice
@sshaffabas2993
@sshaffabas2993 6 лет назад
mmejitahid sana
@fisadikiwembe9787
@fisadikiwembe9787 5 лет назад
😁😁sijapenda mlivonawa mikono wakati wa kula😁😁😁😁
@henryrickwhite3741
@henryrickwhite3741 5 лет назад
Hamisa Mobetto:::mmmm
@ruckdodo3621
@ruckdodo3621 5 лет назад
Ndo mila io
@rosemaryrwabibi5908
@rosemaryrwabibi5908 Год назад
Wewe ujui Maisha ya vijijn ata mjin Kuna baazi ya watu bado wanafanya hiv
@lucynelsonmungure1719
@lucynelsonmungure1719 2 года назад
Diana na ndumbangwe mmeigiza vizuri Sana
@kadalanicholaus4548
@kadalanicholaus4548 4 года назад
Nigependa kama kuna nafac nikajiunga na mimi nionyeshe fani yangu
@agnesgodfrey2528
@agnesgodfrey2528 6 лет назад
kweli mnafanana big up
@elizabethshayo1829
@elizabethshayo1829 5 лет назад
Nimekupenda thea
@hansykabisama5183
@hansykabisama5183 3 года назад
Nimemuona mashaka wa kaole enzi hizo maisha
@user-qm2fw8pu4h
@user-qm2fw8pu4h 6 лет назад
Jmn Diana nakupenda mpk bc
@paschalmaneno1052
@paschalmaneno1052 6 лет назад
mlekisoga sana
@belitadaudi9687
@belitadaudi9687 5 лет назад
Eti mnacheza kama muna viuno vya wazee🤣🤣🤣🤣
@khadijaarkam5701
@khadijaarkam5701 6 лет назад
Nzuri sana 👏👏👏
@user-ei8ci7cd9c
@user-ei8ci7cd9c 6 лет назад
Khadija Arkam
@emilianarajab9617
@emilianarajab9617 5 лет назад
Tea na Diana na wakubalixana wapo natural nalangi zao wanajikubali xana xikama waxanii wengne
@agnessmilanzi7001
@agnessmilanzi7001 5 лет назад
RIP mashaka
@kacmmgen998
@kacmmgen998 6 лет назад
nice movie naikubali sana
@lovenesslameck1649
@lovenesslameck1649 6 лет назад
byagosha minza oyoo
@kwizerains8774
@kwizerains8774 6 лет назад
Uyu mama namupenda gisi nasaidia binti yake
@okolewanjalale4621
@okolewanjalale4621 2 года назад
Mdg wak minza ana roh nzur kdg
@queenandchill91
@queenandchill91 4 года назад
Hili li ngosha linaniua na cheko 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@anitasikazwe2252
@anitasikazwe2252 6 лет назад
Maunono tumesikia wote hahahahahah uwii ngosha
@nativeinfotv9620
@nativeinfotv9620 3 года назад
Yani unaacha mtoto unaenda kwenye ngoma.kweli😯😯😯😯😯😯😯
@siaminially6869
@siaminially6869 5 лет назад
nimeipenda sana hii
@peterndundi9069
@peterndundi9069 5 лет назад
Jameni hako Mode kananikosha saaana
@abdulisima5745
@abdulisima5745 5 лет назад
Mvi ninzuri sana
Далее
Ngoma ya Roho - Part 2 (Bongo Movie)
1:16:08
Просмотров 274 тыс.
SECOND WIFE  II HEMEDY CHANDE II M2 II Full Movie
1:21:24
Просмотров 474 тыс.
ДО ВСТРЕЧИ НА РАЗГОНЕ
52:11
Просмотров 427 тыс.
ЭТО мне КУПИЛИ ПОДПИСЧИКИ 📦
22:33
Mdundiko (with English Subtitles)
2:09:46
Просмотров 199 тыс.
FILAMU YA “FAMILY MATTERS”
1:41:38
Просмотров 434 тыс.
MALI ZA MAREHEMU FULL MOVIE/BONGO MOVIE FILM
1:45:12
Просмотров 203 тыс.
Kubwa Kuliko - A Swahili Movie
1:29:05
Просмотров 586 тыс.
BONGO MOVIE 2022: FILAMU KALI YA “KIPOFU”
1:09:03
Просмотров 553 тыс.
Inside Story (Swahili Version)
1:37:42
Просмотров 129 тыс.