Тёмный

GB 64 APAGAWA NA USHINDI WA YANGA vs VITAL OLEO (6-0 ) / CHAMA AMEZALIWA UPYA 

SANGA TV
Подписаться 131 тыс.
Просмотров 30 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 56   
@RajabuHasan-w8w
@RajabuHasan-w8w 22 дня назад
Nakukubali xna gb lakn mwanao mzur
@IssaShaban-y7h
@IssaShaban-y7h 22 дня назад
Huyu jamaa Kawa mpole baada ya kusema wachezaji wa Yanga wanatumia madawa Baada ya kuambiwa alete ushahidi akababaika
@joachimisack5834
@joachimisack5834 21 день назад
Nyoka wa kijani hawang'ati
@allysaidlyambange4500
@allysaidlyambange4500 21 день назад
USISEME WE UOGOPI BWANAAAA,SEMA UBAYA.....
@hassanimeja4344
@hassanimeja4344 22 дня назад
Kama Kawa kaka tunakukubali
@mmewaswida
@mmewaswida 22 дня назад
Simba ni waongo sana. Wasichosema ni kwamba wamebadilishana na US Algier Fred na Ateba. Hakuna cha kufanya kuvunja mkataba.
@Fadhilitolinga
@Fadhilitolinga 22 дня назад
Kaka gb64 nakukubalee haxa chasambi mbona achezeshwiii
@joachimisack5834
@joachimisack5834 21 день назад
Hiyo chezi yako kola imetanuka ndio maana na na maneno yako yanatanuka hovyo hovyo
@hekimaoscar6527
@hekimaoscar6527 21 день назад
Mbona hauja vaa sanda mzee
@mmewaswida
@mmewaswida 22 дня назад
Kwani mchezaji hawezi kupata game exposure akiwa Tanzania?
@AshaShariff-lr6ry
@AshaShariff-lr6ry 22 дня назад
Nawashangaa hao wanaosifia sana wanatofauti gani hao vital,O na asas na zalan mpk yule miraji kuongea sana hizo timu zote ni madaraja ya kina pamba natimu nyingine za ligue ya nbc zinazochukua nafasi ya11 mpk. 16 la ajabu lipi ht singida ipo bora klk zote
@mmewaswida
@mmewaswida 22 дня назад
Hamjui kusajili ndio sababu Manadanganya. Hamjui mchezaji mzuri na kocha mzuri. Mnaacha wachezaji wazuri mnadhani wataachwa?
@hekimaoscar6527
@hekimaoscar6527 21 день назад
Tunza kauli ya kuwapiga makonzi
@rachelsamwel5359
@rachelsamwel5359 22 дня назад
Yaani simba wana mashabiki wa hivyo hili nalo kupiga kelele tu hana point yoyote
@user-zj8ks2or2p
@user-zj8ks2or2p 22 дня назад
Nyoo leo umeongea kwa adabu kwakuwa upo na mwanao
@NassoroSipemba
@NassoroSipemba 22 дня назад
Wewe baba Aisha wacha maneno mengi tulia dawa iwaingie.
@user-nv9to8cq6d
@user-nv9to8cq6d 22 дня назад
Haka kasichana ni BOMBA Mashllahu
@user-ln9tk3qr2r
@user-ln9tk3qr2r 21 день назад
Pnomolo Mu O O
@DanielBaraka-j9p
@DanielBaraka-j9p 22 дня назад
Asee kumbe una katoto kazuri hivyo, barikiwa saana
@SonyDavid-do6pg
@SonyDavid-do6pg 22 дня назад
Mbona hamkufunga yanga kama mnavitoto
@AshaNchira
@AshaNchira 23 дня назад
Ndy maana nakukubari gb 64
@gervas58
@gervas58 22 дня назад
Nani anamuona Dada anamwangalia Gb64 akabwabwaja kama kituko..gonga like
@josephlorri431
@josephlorri431 22 дня назад
Binti yake huyo..amemleta kwenye mitandao... mwenye kisu kikali ajitokeze..mafisi wanamsubiria chuo..
@salimmalaka256
@salimmalaka256 22 дня назад
VITAL,O BURUNDI NJAA NA UTOPOLO MATAPELI MECHI IMEPANGWA WAMTAPELI MAMA SAMIA PESA.
@user-ch2it3qt5z
@user-ch2it3qt5z 22 дня назад
Punguza wivu unaiona YaNGa ipo vzr unakalia wivu tu ata kwa macho uone kwl YaNGa ipo Vzr japo unajitoa akili tu,et Yanga wazee je kapombe kumb kijana eeh
@salimmalaka256
@salimmalaka256 22 дня назад
@@user-ch2it3qt5z WOTE VIBOVU SIMBA BABA LENU
@user-kk5hq4sk5d
@user-kk5hq4sk5d 22 дня назад
😂😂😂 utakuwa kanda bongo man ww
@salimmalaka256
@salimmalaka256 22 дня назад
HAO WARUNDI HAWANA TOFAUTI NA SALATAN YA SUDANI KUSINI UTUMBO MTUPU.
@jimmyhabarugira4232
@jimmyhabarugira4232 22 дня назад
Simba alikula 5, Azam 4 wote hao ni wabovu?? Tafuta sababu zingine
@salimmalaka256
@salimmalaka256 22 дня назад
@@jimmyhabarugira4232 SIMBA 10 BORA YA CAF WAPO YA 7 HAYA NYIE VIBOVU MPO WA NGAPI???
@salimmalaka256
@salimmalaka256 21 день назад
@@jimmyhabarugira4232 TANO WAKATI WA MADUKA YENU YAPO KWA SASA HIVI UTAUFYATA TU MACHOGOOOOOOOOO
@salmamakweta1198
@salmamakweta1198 22 дня назад
GB 64 KAPATA KIBOKO YAKE
@OmaryAthumani-db3vp
@OmaryAthumani-db3vp 22 дня назад
Wewe GB huyo mwanao unawatangazia waandish wa habari ili wamtongoze kiufup umemuweka sokon Sasa subir uone
@salimmalaka256
@salimmalaka256 22 дня назад
AKILI ZAKO ZIPO KWENYE ZINAA TU
@KasparyKaspary-z9f
@KasparyKaspary-z9f 22 дня назад
Mbona jezi moja kilasiku iyoiyo japo kiki kilasiku
@omarymwenebatu
@omarymwenebatu 22 дня назад
Tumachezi ulizonazo tuzione wewe ambae unazo nyingi na mbona nawewe ahujabadilisha kichwachako kilasiku unaonekana na kichwahichohicho kilasiku?
@NickJuma-x4d
@NickJuma-x4d 22 дня назад
Huna lolote! ni kwamba unajua Mzize ni tishio kwa Makolo hivyo unasisitiza aondoke ili upate nafuu!! Shame on you!!
@IbrahimMmanda
@IbrahimMmanda 23 дня назад
Gb 64 nakukubali kwa kuongea vizur bg up
@WakiliHaule
@WakiliHaule 22 дня назад
Mamae leo kakaa na mtoto wake kisu aongei utumbo shuaini wewe
@paulotemba8881
@paulotemba8881 22 дня назад
GB 64 ni mnafki tuu hana lolote
@josephmathayo5139
@josephmathayo5139 22 дня назад
GB 64 Taarifa zako kuhusu uwanja si za kweli Uwanja wa Mkapa upon ktk matengenenezo makubwa hasa eneo la Kuchezea Katibu Mkuu Wizara ya Michezo amethibitisha hilo Jana.
@AshaNchira
@AshaNchira 23 дня назад
Wamewaonea vitalo
@kunsule9261
@kunsule9261 22 дня назад
Ni kweli usemavyo. Kwanz Walianza kuwaonea simba hlf Waliwaonea azam kisha vital'o.
@jumannemsengi2195
@jumannemsengi2195 22 дня назад
Hujasema utasema tu!! Wenzio wameaga 😂😂
@jumannemsengi2195
@jumannemsengi2195 22 дня назад
Mwanaio anapokuwa karibu unanyoosha maneno c ulisema wanatumia dawa
@salimmalaka256
@salimmalaka256 22 дня назад
​@@kunsule9261HAMPO KATIKA TOP 10 YA RATIBA YA CAF VIBOVU MMEKUTANA WALE NI KAMA SALATAN YA SUDAN TU.
@salimmalaka256
@salimmalaka256 22 дня назад
​@@jumannemsengi2195WALE WENZENU NYIE HAMPO TOP 10 YA CAF
@Fadhilitolinga
@Fadhilitolinga 22 дня назад
Kaka gb64 nakukubalee haxa chasambi mbona achezeshwiii
Далее
Merab vs Sean underway!! 🚨 #ufc306
00:23
Просмотров 943 тыс.