Huyu BACHU hana elimu alienda kwenye niqash kule kenya akasema hadith غريب maana yake ni hadith ngeni sanah 😂😂😂 Afu ni sheikh ni huyo wa KISARAFI AKAULIZWA TOA AYO MANENO UMEYATOA WAPI? Alikaa kimya mkiwa mnataka majadiliano muwe mnasoma na vitabu NA MNAELEWA MNAVYOVISOMA kwa maana sahihi sio potofu ndo mana MASALAFI JADIDA WANAWAITA NYIE MAHIZBY إنا للّة وإنا إلية راجعون
ALAFU UMEJUAJE KAMA HUU NI MSIKITI WA FITNA? AMA TAYARI UMESHAANZA KUPOKEA WAHAI ? MTUME ALIAMBIWA NA JIBRIL KUA ULE NI MSIKITI WA FITNA AKA AMRISHA UCHOMWE, JE WEWE NANI KAKWAMBIA KUA MSIKITI ULE UTALETA FITNA? HAMUONI MAKANISA YAKIJENGWA KARIBU NA MISIKITI? KUNA MTU ALI INUA MDOMO WAKE KUZUNGUMZIA ILO, AMUONI WAISLAMU WAKIRTADISHWA SABABU YA MARADHI NJAA NA UMASKINI, MBONA HAMZUNGUMZII HILO,? BALI NYINYI KWA NYINYI MWALUMBANA KWASABABU YA KUJENGA MISIKITI MULISOMAWAPI ELMU HIZO, BAS MUOGOPENI MWENYEZMUNGU KUTOKANA NA DHANA MBAYA,
Kamakweli unayogasema yanaunganisha umma, nikwanini walikataa bachu asifanye daawa kwenye msikiti wenu jibu swali, sio muislam? Naje analingania ukafiri? Alirtadi? Na Kama sivyo basi kwanini mulikataa bachu kutoa daawa kwenye msikiti wenu? Kama mulikataa bachu asifanye daawa kwenye msikiti wenu akijengewa wake kunamakosa ? Kama hamtaki msikiti wasunna hujengwe hapo hamunge mkatalibbachu kutoa mawaidha kwenyemsikitiwenu, maadam mulikataa, nikuonyesha wazi kua nyinyi ndio mlio sababisha kuwe na msikiti wa Sunna hapo, Kama mungalimruhusu angetoa mawaidha Kisha akaondoka ye nimpita njia tu, Sasa Hilo mumelitaka wenyewe Sasa tulieni wajenge msikiti wao na madrasa hapo
jazaalaallahu khayra sheikh asante sana hasa kwa huo ubeti wa mwisho ulivyoifafanua hiyo mufradul alam. Allah akulipe na sisi hatuna waalimu wa nahwi kimsingi nataabika sana. taratibu sheikh wangu Allah atufungue
Assalamu alaykum warahmatullahi wabarakaatu Sheikh naomba unipe link au uniandikie swali na jibu yote kwa ukamilifu alioulizwa Sheikh Ibn Uthaymeen na alivojibu yeye Sheikh Ibn Uthaymeen kwa ukamilifu Shukran
salam alayka, sheikh mm nipo dar es salaam; Tanzania. Naifuatilia darsa ya tafsiri ya burdatul madih, asante sana kwa darsa ila kwa hisani yako tafadhali naomba wanao post hii darsa kwenye mtandao naomba waweke mtiririko wa darsa kuanzia mwanzo ili sisi ambao tumeikuta kati tuweze kuipata toka mwanzo. Binafsi mm darsa nimeanzia kati kwa mfano nimepata darsa kuanzia mlango wa kwanza baadhi ya beti zake hazipo kwenye channel na hata mlango wa 4 na 5 haipo kwenye channel. naomba msaada wako sheikh wangu kwa sababu hizi darsa ndio zinatuokoa. afwan minka