Тёмный

“Sikuhizi Kusifu Kumekuwa Kwingi” Mzee Warioba Afunguka Kuhusu Suala la Utawala Bora Nchini 

The Chanzo
Подписаться 80 тыс.
Просмотров 4,5 тыс.
50% 1

Warioba ameyasema haya wakati akitoa mada wakati wa Kongamano la hali ya demokrasia nchini lililoandaliwa na Kituo cha Demokrasia (TCD) katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Опубликовано:

 

19 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 12   
@shakaurembo477
@shakaurembo477 14 часов назад
Safi mzee maono yako bado yanaitajika sana kwenye taifa letu wewe ni mmoja kati ya wazee wa taifa wachache walio bakia 🎉
@bilalihaidary3650
@bilalihaidary3650 13 часов назад
Uyu mzee akili nyingi sanaaa
@microssadamu7556
@microssadamu7556 10 часов назад
Baba wa siasa aliyebaki ni waryoba tu
@Nobm-nj3yt
@Nobm-nj3yt 9 часов назад
Kwani nini mnakata sauti sibora msirushee hiii ndoo self censorship
@SalumKatawa
@SalumKatawa 9 часов назад
Hongera baba
@allymansur8155
@allymansur8155 10 часов назад
Wataka usifiwe wewe kwa lipi ulilofanya, wakati wako umepita nenda kapumzike Baba
@leonardsasita4634
@leonardsasita4634 10 часов назад
Pumbavu zako Kabisa, unajua kazi alizofanya Mzee warioba nchi hii au unaropoka tu ujinga ujinga
@begukulemosobe9685
@begukulemosobe9685 7 часов назад
@@leonardsasita4634vijana wa Leo hawajielewi
@CharlesMgimba-tv4nf
@CharlesMgimba-tv4nf 6 часов назад
Inaonekana wewe akili zako zinashidaa. Au ndio umekufa umeoza na chama chako. Ndio maana akili yako imekuwa addicted kwayo ya chama chako. Mzee huyu ni tunu ya taifa. Amefanya makubwa Sana. Mungu azidi kumuweka hai na nguvu ili aendelee kutupa hekima zake. Nyie watoto wan 90 hamjui lolote. Ni mkumboo tuuu, mkizeee uzee wenu utakuwa wa hovyo sanaaaaaaa
@ChristopherChandrusMarwa
@ChristopherChandrusMarwa 4 часа назад
Bogus.
Далее
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Просмотров 24 млн
HUYU NI MHE JOHN POMBE MAGUFULI 14 Nov 2013
13:38
Просмотров 287 тыс.