Тёмный

🔴 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 11 тыс.
50% 1

🔴#Live: TUNDU LISSU - LIPUMBA - MBOWE WATEMA MOTO HALI ya UTEKAJI - MAUAJI - DEMOKRASIA NCHINI....
💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV🔥🔥 chat.whatsapp....
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

18 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 27   
@globaltv_online
@globaltv_online 8 часов назад
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ0bE75nzavlm
@dawsonkaaya4210
@dawsonkaaya4210 8 часов назад
Huu mkutano ungepewa jina la 4R alichokuwa ni maono ya Mh.Rais.niseme tukubaliane na maazimio yake .Watanzania tunusurike na tunacho kuona mbele.Asante kwa walio fuatilia Mkutano huu.❤
@emanuelurio-ok8yl
@emanuelurio-ok8yl 2 часа назад
Nafuatilia sana hayo mazungumzo.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 7 часов назад
Mlidanganywa kabisa kwa sababu mlikuwepo huko nyuma kwake yeye kuanza kusema amewaruhusu amekuwa na kiburi kana kwamba hamkuwepo huko nyuma.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 8 часов назад
Wengine wako nasimu hao wako tu bora liende labda ni CCM. HAWA ONI LO LOTE LA MAANA.
@boneyme9433
@boneyme9433 3 часа назад
Lisu ha jui Tanzania ya UZALENDO
@mtangag774
@mtangag774 8 часов назад
Mkutano mzuri
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 7 часов назад
Kwani hili limama mzanzibari hana uchungu wa watanganyika na wanainchi wake yeye anatamani sana watanganyika waishe kabisa.
@WillisonMkumbo
@WillisonMkumbo 8 часов назад
Mkutano mzr kwa lipi!,mambo ya kihuni hayo,jana rais aliwakumbusha kuwa kumbukeni mlikotoka huko nyuma na sasa hivi mko wapi,mmepewa uhuru mnatukana watu,nyie kawaida yenu ni kunyimwa uhuru,hamna lolote jipya
@Ushauri235
@Ushauri235 8 часов назад
Uhuni umetoka wapi hapo akili yako haichaji
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 8 часов назад
Hata sisi wanainchi tunaitaji KATIBA sasa hivi. Kwa sababu tumeisha kuwa watumwa wa huyu Mzanzibari
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 8 часов назад
Polisi na Samia ni wauwaji wakubwa. Huyu mzanzibari ni muuwaji mkubwa hili limama halijali watanganyika na polisi wote ni wachawa.
@egdldm4981
@egdldm4981 8 часов назад
Tuanze mchakato wa katiba mpya.
@maase2023
@maase2023 3 часа назад
Hawa wapinzani wamshachoka kwa kweli ! Umri umeshawaacha warudi nuumbani watulie maana mpk unaonea huruma dah
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 8 часов назад
Na sasa hivi kweli mmekaa hapo na mko wasomi wazuri kwa nini hamgusi pia muungano ambayo haupo ila ni kiini macho ya Tanganyika inayong'ang'ania muungano kwa unafiki mtupu. Hakuna muungano inakuaje Zanzibar iko na serikali yao na kila kitu? Kwahiyo hakuna muungano ikiwa na maana maraisi wa Inchi nyingine?
@emanuelurio-ok8yl
@emanuelurio-ok8yl 2 часа назад
Swala la divide and rule liko wazi
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn 4 часа назад
Ni uonefu wa upande mmoja
@egdldm4981
@egdldm4981 8 часов назад
Tupate Katiba mpya kwanza ndipo tufanye uchaguzi.
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 7 часов назад
Nyote mliokaa hapo mnajua kabisa rules za fair play. Hata watoto wadogo wanajua huwezi kuwa refa na mchezaji. Watanzania tunawashangaa sana. Wanasiasa nchi hii msipoteze mda wenu buree. Achaneni ni siasa za refa mchezaji.
@boneyme9433
@boneyme9433 3 часа назад
Samahani LISU ana penda kweli nchi yetu bila MATUSI?
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 7 часов назад
Msipoteze muda igeni teams za mpira wa miguu refa hawezi kuwa meneja ya team inayoshondana hapo.kugawana mafungu tu.
@AlouiseNgenDanDumwe
@AlouiseNgenDanDumwe 7 часов назад
Hakuna rais hapo watu wanatekwa anakaa kimya agetekwa mtoto wako au mtoto wasamia ungekaa kimya acheni utoto.
@SadockChessa
@SadockChessa 8 часов назад
Tarehe 23/9/202 maandamano yasifanyike viongozi wakidini na serikari na wanaccm wakae pamoja Rais wetu samia awepo kwakuwa ni amirijeshi vurugu ikiwepo eleweni hakuna adui baba mama watoto tutauuana sisi kwa sisi wanajeshi pamoja jeshi la polisi ni watoto wa vyama vyote vilivyopo Tz kwanini kuuana?
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 7 часов назад
Kwani Katiba inasema nini? Katiba ndiyo inakubali maandamano huru, VYAMA vinaruhusiwa na Katiba kwahiyo yeye Samia ni zaidi ya Katiba? Samia acha kutuchanganya na uhuni huo. Ni wewe na Magufuli mlikubaliana kuchukuwa uhuru wa vyama mpaka mkatupora uhuru wa kongea mpaka mkatupira wanainchi kutoa mawazo. Sasa Samia anjifanya ndiye amewarusu! Nadhani hajitambuhi. Yeye kuwa raisi siyo kuwa atunyime kuwa huru kukutana? Hayo ni maajabu kweli mbona hata chama kimoja tulikuwa tunaongea hata vyama vya wafanyakazi walikuwa na nguvu sana. Magufuli na Samia walikuja kuuwa uhuru vyama vya wafanya kazi. Mlimalizwa.
@novatidamian7236
@novatidamian7236 2 часа назад
Hili jamaa lenye mandevu mchanganyiko linaoga kiasi gani???!!!! Unaogopa maandamano? Ama una ulichopewa ukasemee serikari!!!???
@egdldm4981
@egdldm4981 8 часов назад
Mr Selasini, kwa nini muiombe Serikali wakati sisi ndio tunaoiweka Serikali madarakani?
@loserian-mj1gj
@loserian-mj1gj 7 часов назад
Anaombea maana anajitambua, uko na swali jengine?
Далее
🧙‍♀️☃️💥 #ice #icequeen #winter
00:14
Просмотров 69 тыс.
UN General Assembly meets on Gaza
3:17:21
Просмотров 4,9 тыс.