Тёмный

HUYU NI MHE JOHN POMBE MAGUFULI 14 Nov 2013 

Ikulu Tanzania
Подписаться 291 тыс.
Просмотров 291 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 223   
@leonnyntandu7318
@leonnyntandu7318 3 года назад
Ambao leo tumekutana leo kufuatilia speech za jemedari wetu aliyetumwa na MUNGU kwaajili yetu tuseme Asante Mungu wewe ni mkuu sana Asante kwa zawadi. Amen
@donaldmhulula6888
@donaldmhulula6888 3 года назад
tupo kamanda
@esterkiyabo1329
@esterkiyabo1329 3 года назад
Lala salama shujaa wetu
@thomasmagoti9040
@thomasmagoti9040 2 года назад
Asante mwenyezi mungu
@richardnganya2311
@richardnganya2311 2 года назад
Mungu alimtuma.... na amemwondoa ! Mungu anatupenda.
@renatusmatungwa2508
@renatusmatungwa2508 Год назад
Dah
@ponsianamataka4607
@ponsianamataka4607 3 года назад
Pumziko la milele umpe Ee Bwana, na mwanga wa milele umuangazie. Apumzike kwa amani Amina. Nahisi ulijitoa sadaka kubwa hadi ukasahau moyo wako na ukauchosha kweli kweli. Mungu Baba msamehe dhambi zote na umpokee mbinguni.
@albertkondela976
@albertkondela976 3 года назад
🙏
@ramamohamed8392
@ramamohamed8392 Год назад
Hii imenigusa sana!😭😭😭
@zarunaamwanajimba1950
@zarunaamwanajimba1950 3 года назад
Daaa!! Mzalendo kutoka zamani, mchapakazi haswaa jamaniiii Pumzika Baba tutakukumbuka milele!
@modestwenceslaus9
@modestwenceslaus9 Год назад
Asante Sana kwa kuweka kumbukumbu sawa kumbe katika utawala Jakaya Kikwete aliweza kujenga mtandao wa Barabara wenye jumla ya KM 11100,bado hujaongerea umeme wa REA chini ya Prof Sospiter Mhongo nk.
@zakiamsafiri123zakiamsafir7
@zakiamsafiri123zakiamsafir7 3 года назад
Ulianza kitambo kuijomboa Tanzania yetu ya sasa😭😭😭tungekuwa na uwezo tungekubakiza miaka 10000
@kamaukamau6233
@kamaukamau6233 3 года назад
Hon.JPM was a man from the beginning displaying boldness from the start..may his soul RIP
@florakweyunga4490
@florakweyunga4490 3 года назад
Jamani,Jamani.Mtumbua Majipuuu,........Mungu akupumzishe kwa Amani.
@simonmayunga6252
@simonmayunga6252 3 года назад
This is unanswered cry, magufuli ww ndiyo baba wa taifa wa pili
@lucymangwela5275
@lucymangwela5275 3 года назад
Nilitamani sana uwe Rais miaka 50 lakini haukuwa mpango wa Mungu,umetuacha katika wakati mgumu sana,Taifa lilikuwa bado linakuhitaji Baba,inaniuma sana
@Nabiilkhamis
@Nabiilkhamis 8 месяцев назад
Bc alikuwe awe mfalme
@Ramadhanimsingwa
@Ramadhanimsingwa 3 года назад
Shujaa Wa Tanzania hotuba zinatufariji Mungu akupe pepo na mapumziko mema tutakukumbuka daima
@micamathew2595
@micamathew2595 3 года назад
Huyu mtu alikuwa halali! Hajui cha usingizi. Acha tu, pumzika baba. Sitakusahau hata kwa sekunde mmoja. Acha tu nimwage machozi yangu.
@khamislisso9137
@khamislisso9137 3 года назад
Magufuri siamin Kama umetuacha Baba 😭😭😭
@amenyemwansile631
@amenyemwansile631 3 года назад
Eeh mungu mpe pumziko la amani mja wako katika ufalme wako milele Amina
@AMBROSIJOSEPH-qc7xo
@AMBROSIJOSEPH-qc7xo 7 месяцев назад
Mungu akulaze mahali pema peponi amefanya kazi kwa haki bila kutaka ambacho sio chake mungu akubariki sanaaaa
@agripinaaudax168
@agripinaaudax168 3 года назад
Dah Mungu anamakusudi yake nimeamini hii Leo vyenye Simuoni tena raisi wetu
@Ronald-gh6jl
@Ronald-gh6jl 3 года назад
Kiongozi supavu,, mungu aiweke roho yake marehemu jpm mahali pema peponi
@allynazareth9684
@allynazareth9684 3 года назад
Huyu jamaa alikuwa ana conference nzuri sana haijapata kutokea hapa anaongea kama yeye ndo alikuwa rais ila mawaziri wa sasa wakiwa mbele ya rais wanaongea kwa hofu na kujipendekeza ila huyu mwamba alikuwa wa tofauti sana mungu amsamehe makosa yake amlaze pema
@dicksonmatulile1523
@dicksonmatulile1523 3 года назад
Tutakumisi sana baba yetu
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 3 года назад
Rest In peace Rais John Pombe Magufuli, Allah akupumzishe kwa Amani Rais wetu 🙏
@asueddy1465
@asueddy1465 5 лет назад
This Man is very humble and hard working....God bless you JPM
@godlizenmolla2192
@godlizenmolla2192 3 года назад
Appreciated, one year ago. 🙏🙏
@romanamassawe814
@romanamassawe814 Год назад
According to your statement to say this one was humble, I think the meaning of the word humble has changed, you surprised me by called an assassinator Humber instead of dictator
@thegreatsource2953
@thegreatsource2953 Год назад
@@romanamassawe814 Mapumbu yako wewe😡
@mlalikwabiswalo7804
@mlalikwabiswalo7804 3 года назад
Kumbe tangu zamani alikua haandiki speech anatoa kichwani tu ni hatari sana
@onesmoelias2285
@onesmoelias2285 2 года назад
Jembeeeeeeeeee likikuwa
@hopehealthcs3294
@hopehealthcs3294 7 месяцев назад
Kbs
@aizackkajika5086
@aizackkajika5086 3 года назад
Nani yuko hapa baada ya kamanda kuzikwa chato
@danielupendo6748
@danielupendo6748 3 года назад
Baba etu atutakusaau kamwe😭😭😭😭😭kwa upendo wako kwetu,ulitupa upendo wa kweli ,pumzika kipenzi Cha TANZANIA kea amani,amina
@imanijohn6069
@imanijohn6069 3 года назад
Dah, alikuwa anajiamini sana aisee, ameenda kuwa kiongozi wa malaika
@gooddeeds162
@gooddeeds162 6 лет назад
Honest and straightforward man since day one , 🙌 Mr President. ProudlyTanzanian
@vailetikulanga5393
@vailetikulanga5393 3 года назад
Dah hapa alikua wazir😭😭
@yusuphissa9613
@yusuphissa9613 3 года назад
Ulitakiwa uwe Rais wetu kuanzia 2012
@sospetershijah5619
@sospetershijah5619 3 года назад
Alikuw mkweli Sana. Rest in peace my president
@LinusLadislaus
@LinusLadislaus 8 месяцев назад
Iv,watu,kama,hawa, tayari watatokea,tena,inch,yetu,ijengwe,upya,kweli, kamanda huyu,badotunamlilia,sana,tena,sana, Mungu,akupuzishe, huko,ulil❤
@jameskagulu4228
@jameskagulu4228 Год назад
Mzee documentary sana hadi raha kumsikiliza
@amigodossantos4129
@amigodossantos4129 Год назад
Jamani, amesema Watanzania wanapenda kushurukuru watu waliyekufa :)) dahh ni ukweli sasa umeondoka ndiyo wote wanaupenda
@mwamengele
@mwamengele 3 года назад
RIP JPM tutakukumbuka daima
@peterludaila8499
@peterludaila8499 3 года назад
Kumbe alikuwa hivi hivi toka mwanzo mungu mpe pumziko la milele
@liberatusnsekela3997
@liberatusnsekela3997 3 года назад
Hongera sana mtumishi was Mungu.
@herrygaudence904
@herrygaudence904 3 года назад
Daaaah kweli wanashukuru mtu ukishaenda
@eliamwankenja7087
@eliamwankenja7087 4 месяца назад
Nakukumbaka sana najakaya rasii mpendwa
@JacksonJoseph-h9r
@JacksonJoseph-h9r 2 месяца назад
Mwenyezi Mungu amlaze malipema peponi ,😭
@jumanassoro1552
@jumanassoro1552 2 года назад
Mungu akulaze mahala pema peponi
@coolruler6820
@coolruler6820 3 года назад
Daah,,,Hapa kazi tuu kweli" 2013 iyo Ila hotuba ya Mwamba kama ya jana vle,,,aliziishi kauli zake, iyo kichwa kumbukizi kama kompyuta vle,,mmoja wa Raisi aliyefanikiwa kunishawishi kupiga kura yapata miaka 25 tangu nitimize umri wa kupiga kura sikuwahi kupata wa kunishawishi kumpa kura ila Mwamba alifanikiwa kunishawishi...Rest in Power JPM
@bonneanneebizimana2788
@bonneanneebizimana2788 Год назад
Hatutakupata tena mungu akulaze mahari pema peponi
@ombeninnko9332
@ombeninnko9332 3 года назад
Alichelewa sana kuwa rais. ..rest in peace
@Julius_Lugwisher
@Julius_Lugwisher 2 года назад
Dah😭😭 our magufuli, anaongea kwa hisia kweli lkn Mungu ampumzishe kwa amani dah,
@sameermilo4907
@sameermilo4907 3 года назад
Pumzika kwa Amani Kamanda JPM 🇹🇿
@brother_majesty
@brother_majesty 7 месяцев назад
Alikuwa ana upako wa kisiasa..tena akijua anaelekea urais 2015
@jumamazengo9604
@jumamazengo9604 2 года назад
Hon. Joseph P. Magufuli a later president of Republic Tanzania your image will exist anymore in our country. R.I.P Dad.
@ambertektv8568
@ambertektv8568 3 года назад
Daaahh mheshimiwa Rais mama SAMIA TUNAKUOMBA FATA NYAO ZA MAGUFULI KUTUONGOZA
@thomasmagoti9040
@thomasmagoti9040 2 года назад
Mh
@jacksonhonorat3078
@jacksonhonorat3078 3 года назад
RIP mzee wangu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@Renardnho-gd8ib
@Renardnho-gd8ib Год назад
Aaaaaa😢 mwamba tutakukumbuka sana😢😢😢😢😮
@mduduonline8116
@mduduonline8116 3 года назад
RIP BABA MAGUFULI
@elkpddos1781
@elkpddos1781 4 года назад
Proud of him,that is my presedent magufuli no doubt he is the man salute you my lovely presedent
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 3 года назад
Kikwete ametukanwa Sana kumbe barabara kaanza kujenga yeye
@msetikebwasi1469
@msetikebwasi1469 3 года назад
Sema alikoswa hela kwa kushindwa kukusanya kodi.
@stevinmwanzaa1785
@stevinmwanzaa1785 4 месяца назад
Hapa ni waziri bado na kujiamini kweli mungu anamakusudi yake
@johngachugu305
@johngachugu305 2 года назад
Na imekuja mpaka hapa Uyovu, Uyovu, Uyovu kutoka Dar-es-Salaam, urekosha sana hadi nimecheka kweli WaTanzania mulijaliwa na kiongozi kama Magufuli
@brother_majesty
@brother_majesty 7 месяцев назад
Maono alikuwa nayo kitambo.....ana beji ya africa
@maribaisack8389
@maribaisack8389 3 года назад
Pumzika kwa Amani mzee
@kudraahmad5670
@kudraahmad5670 3 года назад
Shujaaa muongoza njia
@sniper93999
@sniper93999 3 года назад
DAIMA utakubukwa milele JPM ww kwel ni shujaaa ulianza kupigania maendeleo zamani sana 😭😭we still tunakukumbuka hata na kizazi kijacho REST IN PEACE JPM
@Epicmarkmedia
@Epicmarkmedia 4 года назад
MY PRESIDENT
@evansmunga6662
@evansmunga6662 2 года назад
A great man he was. I Miss him
@bahatimirambo6358
@bahatimirambo6358 2 года назад
Pumzika kwa amani baba uliyoyatenda Tanzania ni makubwa Sana
@miketimejah4280
@miketimejah4280 2 года назад
2022.. we still remember you Baba...
@AliHussein-lk2gw
@AliHussein-lk2gw 3 года назад
Daa inauma kweli
@AbdulrahmanMurshid
@AbdulrahmanMurshid Год назад
Apumzike kwa aman jemedal wetu na watu wahivi niwachache dunian wenye mapenz kwa wananchi wanyonge ambao wakotayal kujitoa kwa nia ya dhat kutka moyon ili kuwatetea
@YosiaYohana
@YosiaYohana 5 месяцев назад
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭acheni kunikumbusha majonzi cjui yataisha lin mpak ntakapo kufa
@mwaitwalilechannel2024
@mwaitwalilechannel2024 3 года назад
RIP my president
@athumansuphian5891
@athumansuphian5891 2 года назад
Huyu jamaa alikua jiniasi kwakweli haandiki hutuba anatoa kwenye computer kichwani R.I.P MAGUFULI
@saumuhassan6365
@saumuhassan6365 3 года назад
Pumzika kwa Aman Shujaa wetu wa Africa 😭😭😭🙏
@psitanzania9146
@psitanzania9146 3 года назад
R.I.P kamanda
@eliayeremialeli1806
@eliayeremialeli1806 2 года назад
Asante umetufungua macho
@stephanomsuya9414
@stephanomsuya9414 2 года назад
Super JPM, pumzika mzee wetu
@moshimgaza5642
@moshimgaza5642 3 года назад
Hapa alikua waziri wa ujenzi
@emmanuelbenson6330
@emmanuelbenson6330 4 года назад
Nashangaa kuona dislike hapa, kweli haters hawakosi
@RD-ml7pi
@RD-ml7pi 3 года назад
Wengine awaelewag maana yake
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 3 года назад
Emmanuel; hao sio HATERS hao ni WENDAWAZIMU
@lichilasalumu7983
@lichilasalumu7983 3 года назад
Nimemuona majaliwa Apo.
@kenslogistics4377
@kenslogistics4377 3 года назад
Mheshimiwa raisi........x 1000000000
@emmanuelgwaay4773
@emmanuelgwaay4773 4 года назад
Hajawahi kupindisha ukweli tokea day one
@gracecharles4114
@gracecharles4114 2 года назад
Yani ulikua kiongozi kweli kweli pumzika Kwa Amani Mzee wetu
@saidalsalmi9313
@saidalsalmi9313 3 года назад
Hii ndio ilikua safari ya kwenda Ikulu
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 Год назад
Eeh,, Mungu wng Endelea kumpumzisha kwa amani JPM
@tugesyegemwakatumbula9857
@tugesyegemwakatumbula9857 4 года назад
Mzee wa kutunza kumbukumbu
@sulaimanomary6533
@sulaimanomary6533 4 года назад
😆😆😆😆😅 kwa kumbukumbu tu duh
@erickphilipo4163
@erickphilipo4163 4 года назад
Kazi ya samaki hiyo
@paulsingano674
@paulsingano674 4 года назад
Mchapa kazi toka zamani
@ALFREDJohn-z8p
@ALFREDJohn-z8p 8 месяцев назад
Nimekumbushia 2024
@MwazoaMwazoa
@MwazoaMwazoa 7 месяцев назад
Marais wetu hakika wanaishi kishkaji nakuvumiliana sana
@mosenetor7882
@mosenetor7882 Год назад
Nakukumbuka BABA Yale uliyokuwa unayatetea hayapo tena
@saimonpeter3788
@saimonpeter3788 3 года назад
😭😭😭😭 tutakukumbuk Bab
@charleselijah-vq3hq
@charleselijah-vq3hq Год назад
Ukweli Mweheshimiwa Dr.John John Joseph Pombe Magufuli Hayati ulikuwa Mzalendo wa pumzika kwa amani. Kizuri hakidumu ila thamani yako liko pale pale.utakumbwa siku zote.
@ezekielkazingo6055
@ezekielkazingo6055 4 года назад
Waziri adi rais wapekee
@joharibatenga9686
@joharibatenga9686 Год назад
R.I.P our lovely presidaa
@mrinjamwanga1423
@mrinjamwanga1423 3 года назад
Kwli baba sio wote watakushukur ,,hata wewe hawajakushukuru ,nashangaa kuona mataifa mengine yakikulilia na kutamani ungekua wakwao,hapo ndo utagundua kibaya ni saile unacho
@stephanojmafumbira5369
@stephanojmafumbira5369 3 года назад
Kama upo duniani vile
@mandileykiritokangai3042
@mandileykiritokangai3042 Год назад
Ohhhhh God bless you
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 Год назад
MAKUFULI TUTKUKUMBUKA UMETUACHIA MAJANGA MAKUBWA
@yusuphissa9613
@yusuphissa9613 3 года назад
Nashindwa hata niseme nini
@ibrahimjobu9141
@ibrahimjobu9141 4 года назад
Ahahahahahahahahahahahah saizi Baba ndio umeshika rungu sio kwa kutunyoosha huko na uzidi kutunyoosha mbaka tukubali wenyewe
@jijab4442
@jijab4442 3 года назад
HE WAS A REAL LEGEND
@mongogwelaanthony6867
@mongogwelaanthony6867 Месяц назад
Ripp magufuli
@ivankivinge2987
@ivankivinge2987 3 года назад
Rest in peace baba 🙏🙏🙏
@eenpaard3915
@eenpaard3915 3 года назад
Chuma chetu
@djaahdjaah3658
@djaahdjaah3658 2 года назад
Aiseeee🙌🙌🙌🙌🙌🙌💔💔💔
@alfredyfredrick8955
@alfredyfredrick8955 3 года назад
Daaah Chuma R.I.P
@mcutanorsonvanwillson2991
@mcutanorsonvanwillson2991 3 года назад
Rest in peace magu
Далее
RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA NJIANI KUELEKEA JIJINI DODOMA
32:41
НИКИТА ПОДСТАВИЛ ДЖОНИ 😡
01:00
Просмотров 164 тыс.