ะขั‘ะผะฝั‹ะน

๐‘ด๐‘ป๐‘ผ ๐‘จ๐‘ณ๐‘ฐ๐‘ฌ๐‘ด๐‘ผ๐‘ณ๐‘ฐ๐’๐‘จ ๐‘บ๐‘พ๐‘จ๐‘ณ๐‘ฐ ๐‘ฐ๐‘ด๐‘จ๐‘จ๐‘ด.๐‘จ๐‘บ๐‘ฏ-๐‘บ๐‘ฏ๐‘จ๐‘ญ๐‘จ๐‘ญ๐‘ฐ"๐‘ฐ____๐’๐‡๐„๐ˆ๐Š๐‡ ๐€๐๐”๐‹ ๐…๐€๐ƒ๐‡๐ˆ๐‹ ๐๐€๐’๐’๐ˆ๐Œ ๐Œ๐€๐…๐”๐“๐€ 

Dawaa tu salafi๐Ÿ’ซ
ะŸะพะดะฟะธัะฐั‚ัŒัั 3,9 ั‚ั‹ั.
ะŸั€ะพัะผะพั‚ั€ะพะฒ 3,5 ั‚ั‹ั.
50% 1

ะžะฟัƒะฑะปะธะบะพะฒะฐะฝะพ:

 

14 ะพะบั‚ 2024

ะŸะพะดะตะปะธั‚ัŒัั:

ะกัั‹ะปะบะฐ:

ะกะบะฐั‡ะฐั‚ัŒ:

ะ“ะพั‚ะพะฒะธะผ ััั‹ะปะบัƒ...

ะ”ะพะฑะฐะฒะธั‚ัŒ ะฒ:

ะœะพะน ะฟะปะตะนะปะธัั‚
ะŸะพัะผะพั‚ั€ะตั‚ัŒ ะฟะพะทะถะต
ะšะพะผะผะตะฝั‚ะฐั€ะธะธ : 23   
@abukassim5645
@abukassim5645 3 ะผะตััั†ะฐ ะฝะฐะทะฐะด
Allah akupe siha na afya sheikh wetuu akufungulie bahari ya elimu upate kuongoza ummah
@HajiDibwa-n2f
@HajiDibwa-n2f 2 ะผะตััั†ะฐ ะฝะฐะทะฐะด
Allah akuhifadhi sheikh Abdul fadhi Qassimu mafuta Qassimu na akupe mwisho mwema inshaallah
@KhadijaAlly-wf6wx
@KhadijaAlly-wf6wx 3 ะผะตััั†ะฐ ะฝะฐะทะฐะด
Subhanaallah Allah akuhifadhi nilikuchukiaga lkn asaiv Nakupenda kwaajili ya Allah
@yaasirjuma3309
@yaasirjuma3309 4 ะผะตััั†ะฐ ะฝะฐะทะฐะด
ALLAH akuhifadhi sheykh wetu Abaal fadhi na akuzidishie Elim na qabuul
@mdakij9303
@mdakij9303 4 ะผะตััั†ะฐ ะฝะฐะทะฐะด
ุญูุธูƒ ุงู„ู„ู‡
@badarbinthabit290
@badarbinthabit290 4 ะผะตััั†ะฐ ะฝะฐะทะฐะด
Allah Akuhifadhi Abu Fadhil
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 4 ะผะตััั†ะฐ ะฝะฐะทะฐะด
Ingekuwa darasa za dr islamu allah amkubali,wanafunzi wake wangejibu nawadhania hivo
@HajiDibwa-n2f
@HajiDibwa-n2f 2 ะผะตััั†ะฐ ะฝะฐะทะฐะด
Ndio nyinyi mnaopenda Shari dr.islam kafata nn hapa allah amuhifadhi sheikh Abdul fadhi Qassimu mafuta Qassimu na amuepushe na Shari za watu wenyew husda
@hafidhwajina6718
@hafidhwajina6718 2 ะผะตััั†ะฐ ะฝะฐะทะฐะด
@@HajiDibwa-n2f duh hautapasuka?
@HajiDibwa-n2f
@HajiDibwa-n2f 2 ะผะตััั†ะฐ ะฝะฐะทะฐะด
@@hafidhwajina6718 mche allah ndg unatakiwa huwe muadilifu unapozungumza mambo
@khamisiiddi2470
@khamisiiddi2470 4 ะผะตััั†ะฐ ะฝะฐะทะฐะด
Tatizo lako hna elimu ya kawaida lakn wajikweza sana kana kwamba hakuna masala yanayokishinda
@abuutamiimattanzaaniy8676
@abuutamiimattanzaaniy8676 4 ะผะตััั†ะฐ ะฝะฐะทะฐะด
Umeongea nini kaka! Chuki zina nafasi gani hapa?
@AbuuBakar1
@AbuuBakar1 4 ะผะตััั†ะฐ ะฝะฐะทะฐะด
Allah akuongoze
@ilyasabdul-malik4571
@ilyasabdul-malik4571 4 ะผะตััั†ะฐ ะฝะฐะทะฐะด
Hujuwi unachokiongea, muogope Allah kaka, na acha chuki na choyo
@abdulabdulathumani5992
@abdulabdulathumani5992 4 ะผะตััั†ะฐ ะฝะฐะทะฐะด
Ukiwa unasema lazima usemwe . โ€‹@@abuutamiimattanzaaniy8676
@khamisiiddi2470
@khamisiiddi2470 4 ะผะตััั†ะฐ ะฝะฐะทะฐะด
Kwaiyo we ndio kama imam shafii sindio
@AbuuBakar1
@AbuuBakar1 4 ะผะตััั†ะฐ ะฝะฐะทะฐะด
Allah akuongoze
@nasilukilawaga2021
@nasilukilawaga2021 4 ะผะตััั†ะฐ ะฝะฐะทะฐะด
Whatever you think
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 4 ะผะตััั†ะฐ ะฝะฐะทะฐะด
Mimi nakuskiizaga na napenda mihadhara yako upo vzr lakini tattizo linalo kumaliza civ zako ni ule ujadida tuu, bhasi ila kiilmu upo vzr xana ukianzaga kutowa red card katika manhajji fulani msim sikilize so mtu wa sunnah hapo ndo nafunga masikio yangu lakini unapo watandika makhurafi masufi huwa nakukubali xana darsa zako shida yako mafuta ujadida tuuh!
@ShakimTyger-vw4ly
@ShakimTyger-vw4ly 4 ะผะตััั†ะฐ ะฝะฐะทะฐะด
Wendo jahidida hjielewi. Utapata wapi Sunnah Kam sio kwamasalafi. W mjinga katika dini
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 4 ะผะตััั†ะฐ ะฝะฐะทะฐะด
@@ShakimTyger-vw4ly ndo man hajji ya ahlsunnah hiyo kutukana huo ndo ujadida mttume akutukana watu katika dahawa yake na maswahaba hawakutukana shekhe salafi wa wapi ww watukana watu hamna hoja mnashika misimamo ya mashekhe zenu mnaile asili ya masufi shekhe kanena madamu kasema shekhe basi wengine hawafai
@AbdulIssa-o7e
@AbdulIssa-o7e 4 ะผะตััั†ะฐ ะฝะฐะทะฐะด
@@ShakimTyger-vw4ly hakuna sunnah ya kutukana watu ww na kuwatowa watu kwenye man hajji huo so mwendo wa saafu swalehe kutukana katika dahawa ndo tunasema huenda mkajuwa au hamjui maana ya ufahamu wa salafi mnadhani chama sijui
@atiqaly6567
@atiqaly6567 3 ะผะตััั†ะฐ ะฝะฐะทะฐะด
@@AbdulIssa-o7endugu yangu Allah akuongoze zaidi, naona njia unaiona taratbu, mtume swallah Allahu alayhi wasallam aliwasema maswahaba zake ambao walienda kinyume na dini sana tu, hata maswahaba pia kma umar radhiya Allahu anhu kuna wengne amewakata vichwa, na usalafi si hvyo unavyodhania ww, nenda markaz uone watu wanavyosomeshwa. Wallahu aalam. Tuna fwata dini kwa quran na sunna kwa ufahamu wa masalaf. Na kma tukikosea tukoradhi kukosolewa na kma mtu akikosea tutamkosoa kwa mujibu wa quran na sunna. Au ulitaka tuache tu watu wafnye watakavyo tuwe kma wakristo na mayahudi.
ะ”ะฐะปะตะต
SatapanP Genuine Miku Hatsune chipichipi๐Ÿผ๐Ÿซถ  #funnyvideo #shorts #memes
00:19
ะŸั€ะพัะผะพั‚ั€ะพะฒ 2,9 ะผะปะฝ
SHK, QASIM MAFUTA ALIVYOPELEKWA JELA NCHINI SAUDIA - INASIKITISHA SANA - MARKAZ OMARI BIN KHATWAB
41:32
ะŸั€ะพัะผะพั‚ั€ะพะฒ 35 ั‚ั‹ั.
MAJIBU YETU KWA TABLIGHI KHATIBU IMRAAN JUU YA SHUBHA YAKE!!
2:32
ะŸั€ะพัะผะพั‚ั€ะพะฒ 622
AMALI BORA MBELE YA ALLAH
6:03
ะŸั€ะพัะผะพั‚ั€ะพะฒ 20
SatapanP Genuine Miku Hatsune chipichipi๐Ÿผ๐Ÿซถ  #funnyvideo #shorts #memes
00:19
ะŸั€ะพัะผะพั‚ั€ะพะฒ 2,9 ะผะปะฝ