Тёмный

🅻🅸🆅🅴 : JAJI WARIOBA ANAZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI 

JAMBO TV
Подписаться 934 тыс.
Просмотров 15 тыс.
50% 1

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►RU-vid: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Опубликовано:

 

3 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 9   
@BernardBahatiMallya
@BernardBahatiMallya 6 часов назад
Asante. Mzee Wario a kwa kuelezea sifa za uchaguzi na Jada hili la UHURU na haki. Nami NIKUJLISHE kuhusu mmitego ya kisheria ANZIA uchukiaji FOMU na UREJESHWAJI. Je muda uliopangwa hautoshi yaani muuda wa siku saba. Tujadili.
@chegebukoli1914
@chegebukoli1914 4 часа назад
Sawa mzee wangu
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 4 часа назад
Nakuunga mkono ndugu Warioba 100%. Uchaguzi umejaa rushwa na hakuna haki. Maraisi wote wamekuwa wabinafsi. Wao, watoto wao, Wayne na wake zao, wahujumu wenzao na wawekezaji uchwara ambao maraisi , ndugu zao na marafiki zao ndio wanufaika wakuu. Wahujumu wakuu wa mali za umma ndio wao.
@RichardbituroMakole
@RichardbituroMakole 7 часов назад
Huyu tusipomsikia 😢😢
@salimukimwaga-fu8cc
@salimukimwaga-fu8cc 5 часов назад
Uchaguzi sawa lakini la ajabu serekali kuwasahau wazee waliohangaika kuutafuta uhuru wanchi hii hata kupewa matibabu tu Cha ajabu serekali imetenga billion 32 kujengamakumbusho ya viongozi waliokufa Dodoma Hawa wazee walio hai Hawana utaratibu mzuri wa matibabu
@suremabusi4469
@suremabusi4469 3 часа назад
Mzee ubarikiwe Kwa maneno unayoyatamka. Siamijni kuyasikia. Ni hadimu na adhimu. Ni wosia, ila uishi usife. Wewe ni Tata wa taifa letu. Tukusikie tuishi tupone. Hongera Kwa uzee unaotukuka. Tumsikilize Kwa minajjri yakujifunza na kuelewa na kutekeleza.
@mathiasmuhochi435
@mathiasmuhochi435 6 часов назад
Mawaidha ya wazee ni dawa..... asante Mzee Warioba
@HamzaHeri
@HamzaHeri 31 минуту назад
SASA MZEE WARIOBA SASA HAUTAKI SEREKALI ISIMAMIE UCHAGUZI AO UNATAKA TUITE HIYO TAASISI YA WINGEREZA IJE ITUSIMAMIE UCHAGUZI KAMA VILE MBOWE ANATWAMBIA TUITE SHIRIKA LA WINGEREZA LIJE KUTUFANYIA UPELELEZI
@alphoncehanura3255
@alphoncehanura3255 3 часа назад
Root cause ya haya yote ( with due respect) ni nyie wazee wetu kurhusu nchi iingie vyama vingi kwa kutumia katiba ya chama kimoja...
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 4 часа назад
Serikali ya Samia haina nia nzuri kwa Taifa hili. Yeye anachojali ni yeye na ccm kuendelea kushika madaraka. Kasema chama chake kwanza kasa hai yeye ni Raisi wa watanzania. Watanganyika hawamwamini Samia kabisa. Hataki haki, hatalı katiba mpya, kishasnza kusambaza vitenge na pikipiki sente şura yake naye ni mgombea. Haki iko wapi. Hizo zawadi za bure za nini, kazi toa wapi na kwa nini usimshuku anatoa wakati wa uchaguzi. Mwendeshaji mkwe wake, Abduli anahonga nchi nzima. She is disqualified already. Kuingiza uswahili wa pwani serikalini usikubalike. Samia hastahili kupigiwa kura yoyote Tanganyika na hastahili kuwa mgombea wa kiti cha uraisi Tanganyika. Aitwe mama yao au sivyo, hana sifa ya kuwaongiza watanganyika tena. Hakubaliki na mate do yake ya uonevu, kapoteza sifa zote.
Далее
НЕ БУДИТЕ КОТЯТ#cat
00:21
Просмотров 600 тыс.