Тёмный

🔴 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 50 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 233   
@globaltv_online
@globaltv_online 3 месяца назад
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 3 месяца назад
Msikilizeni Mzee Magoma nyie walamihogo. Mzee ana points
@revocatuspaulo6716
@revocatuspaulo6716 3 месяца назад
Mpe mama akoo
@salimmohamed3394
@salimmohamed3394 3 месяца назад
Mzee anadharauliwa likini ukimsikiliza sana anakitu
@luqmanomary3558
@luqmanomary3558 3 месяца назад
Hakika mwana tatz wengi wapo kumtusi na sio kuelewa nin hoja zake ,hili ni jamb la kukaa pande mbili na kudil nalo kwa pand zot mbili
@jamesbakera2135
@jamesbakera2135 3 месяца назад
Fact
@mckobatz5861
@mckobatz5861 3 месяца назад
Mzee magoma amegusa maslahi ya akina Ali kamwe ndio maana wamekuwa wakali 😂😂😂
@hassanjalikazi6754
@hassanjalikazi6754 3 месяца назад
Mzee uko sawa kabisa
@jacksonmsendo3478
@jacksonmsendo3478 3 месяца назад
Mzee kichwa sana
@JosefuSwai
@JosefuSwai 3 месяца назад
Mwandishi uko vizuri
@jimmymhina1264
@jimmymhina1264 3 месяца назад
Huyu Mzee uzee dawa very intelegency anakili msi mdharau km mnavyo mdharau.
@abubakarali6363
@abubakarali6363 3 месяца назад
@@jimmymhina1264 kwa maslahi y a timu na Hali ya kuitembeza bakuli tuliyopitia hakutakiwa kuleta chokochoko hizo
@revocatuspaulo6716
@revocatuspaulo6716 3 месяца назад
Huo ukuma kampe fala nyie
@agustinoshechambo8122
@agustinoshechambo8122 3 месяца назад
Huyu mzee Juma Magoma ana akili nyingi sana.
@kimalinganomhelela8377
@kimalinganomhelela8377 3 месяца назад
Mzee Magoma yuko juu sana.Changamoto ya kukosa eneo la kutosha kwa ajili ya mkutano amejibu kuwa zoom inaweza kutumika. HONGERA YAKE!!!!
@krispinkisanga3261
@krispinkisanga3261 3 месяца назад
Ukiweka ushabiki pembeni ukilichukua hili kwa kina huyu mzee ana hoja ya msingi sana
@mskJr1993.
@mskJr1993. 3 месяца назад
Ndio maana ameshinda kesi
@clementkonda139
@clementkonda139 3 месяца назад
Safi Santa malipo hapahapa Duniani🎉🎉💥💪💯
@yusufhussein5654
@yusufhussein5654 3 месяца назад
MZEE MAGOMA YUKO SAHIHI ANADAI HAKI YAKE HII CLUB AMETOKANAYO MBALI SANA MPENI CLUB YAKE KAMA MNAONA HAYOKO SAWA NA NYINYI NENDENI MAHAKAMANI MKAKANUSHE HICHO ANACHO KIDAI SIO KULALAMIKA KWENYE MITANDAO MNAFIKIRI KWENYE MITANDAO NDIO KUNATOA HAKI
@PachangaPachanga-tv9hn
@PachangaPachanga-tv9hn 3 месяца назад
nakukubali sana mze wangu endelea kuwanyoosha mpaka waseme
@nicodemuswidambe5132
@nicodemuswidambe5132 3 месяца назад
Utanyooshwa na huyo babako kenge wewe.
@AlhajiJumanne-g5e
@AlhajiJumanne-g5e 3 месяца назад
​@@nicodemuswidambe5132wewe umenyooshwa mara ngapi
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 3 месяца назад
Mzee yupo vizuri mnoo, hakurupuki kujibu hoja. Hakika ana kitu asikilizwe.✌️
@R10_Rajab
@R10_Rajab 3 месяца назад
Mchawi tu huyo hana lolote
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 3 месяца назад
Huyu mzee anajua yanga nje Ndani siyo hoyahoya
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 2 месяца назад
"Yes right " (that's right)😂😂
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 3 месяца назад
Huyu mzee anajua anachokipambania na hatanyamaza.. Kwenye swala la haki kwa unachokiamini huwezi kuogopa hata ukisimama peke yako.. Yanga msikilizeni huyu mzee ili roho yake ipoe.. Mnavyombeza nakumtukana mnachokoza moto zaidi.. Huyu mzee Ana point
@Nyegereboy-b5y
@Nyegereboy-b5y 3 месяца назад
Pointigan wakat hanakadi
@murshidodhiambo891
@murshidodhiambo891 3 месяца назад
Sikiliza vzr kadi zilivyo tolewa kiholela inawezekana hata wew uliyo nayo si ya kwel ni haramu hawa wazee wanaifaham timu kuliko mashabik ​@@Nyegereboy-b5y
@josephmpunta2662
@josephmpunta2662 3 месяца назад
Mzee ana d3
@JohnKeya-b8d
@JohnKeya-b8d 3 месяца назад
Jambo hili liishe kwa amani ili timu yetu iendelee kufanya vizuri kwenye mashindano yaliyo mbele yetu, MUNGU atusaidie
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 3 месяца назад
Lazima apozwe huyu mzee ndio mambo yataisha laa sivyo hali ni ngumu
@salehhemed9388
@salehhemed9388 3 месяца назад
Kawashika pabaya
@salumjuma3152
@salumjuma3152 3 месяца назад
Apewe rushwa au Au apewe club Kama umarufu kashapata atuache tupumue pumbavu kabisa
@EDDYVINS-u6c
@EDDYVINS-u6c 3 месяца назад
Mzee Yuko sahihi Sana uwezi Kula pekee yako Hao ndio wenye timu Yao Umekuja ila timu umewakuta Wenyewe wenyewe ndio hao usiwaache Engenia Akirudi akae nae Mzee vizuli
@beinafuu6219
@beinafuu6219 3 месяца назад
Ofis hipi kwa kipato kipi.mjinga sana.kesi ndo.inaongoza nchi au pesa.kwanza hupo na elim.gan?
@SaidaShaban-wy8ub
@SaidaShaban-wy8ub 3 месяца назад
Fact huyu mzeee anakitu wallah 😂 sema sisi wabishi tunaonekanaga hatuna points😅😅
@MAMBIJUNIOR-qy2xz
@MAMBIJUNIOR-qy2xz 3 месяца назад
mzee magoma atengenezewe sanamu pale jangwani
@Lundege_Hips
@Lundege_Hips 3 месяца назад
Ukiwa mtu wa kukurupuka huyu mzee hutamuelewa ila ukimsikiliza kwa makini mzee yupo sahihi
@husseinchalamila2624
@husseinchalamila2624 3 месяца назад
Mzee tulia muda ushaenda sana acha watu wafanye kazi muda wa majungu ulishapitaga
@MashakaAthumaniAthumanimashaka
@MashakaAthumaniAthumanimashaka 3 месяца назад
Namuunga mkono huyo mzee hawawazee.wasomi naumry wake niwachache sana fact zake zimenyooka sana mzee anapambana vijana oyaoyaha wawajui wao ninani kapambana mpaka nakikwete kwemikutanoo nyinyi nani 1)nimemwelewa anarudi kwenye mfumo.ili atakae kuja kuongoza anyooke. (2)Anataka kusijikutokea tena migogoro. (3)Anakaki nanimwachama alie jitoa mhanga (4)huyu sichawa kesi kapambana nayomuda mref huyu niyanga dam (5)mzee nyooshamfomo atakae kushukuru akushuku asietaka naasitake mwenye fikra atajua
@AllysalumunjoweNjowe-rh7zw
@AllysalumunjoweNjowe-rh7zw 3 месяца назад
Nikweli
@CosmassEmmanuel
@CosmassEmmanuel 3 месяца назад
Mzee Magoma usiogope vitisho,hayo yote nikukulegeza wewe,be strong.
@mutakagoza4759
@mutakagoza4759 3 месяца назад
Kolo unatseka ukiwa wp
@vincentmbaga7668
@vincentmbaga7668 3 месяца назад
Katufunwe uko kolo we
@jamesbakera2135
@jamesbakera2135 3 месяца назад
Kama wanaendelea na matusi waondoe mzee watoto hawana adabu awa
@majebelemathis9991
@majebelemathis9991 3 месяца назад
Njaaa ni shida sana
@AndersonAdam-l5u
@AndersonAdam-l5u 3 месяца назад
Jaman huyu mzee atali sana tumien hakili mashabiki wa yanga
@saidbhanji4234
@saidbhanji4234 3 месяца назад
Alaaa kumbe ni mambo ya katiba ndio maudhui yenyewe.
@edwinmeenda9171
@edwinmeenda9171 3 месяца назад
Mzee yupo makini
@kassidpandu866
@kassidpandu866 3 месяца назад
Mzee kumbe wewe ndio Mwenye yanga yako wanakuonea bure
@R10_Rajab
@R10_Rajab 3 месяца назад
Haya mwenye Yanga akipewa sasa hivi ataifanyia nini? Huyu mzee ni mchawi tu
@SamwelLaizer-o3x
@SamwelLaizer-o3x 3 месяца назад
Njaa tu hapa.. Hkuna lingne zaidi
@JosefuSwai
@JosefuSwai 3 месяца назад
Njaa labda wewe
@HalediMndewa-i4n
@HalediMndewa-i4n 3 месяца назад
Raise hers huyu asikilizwe jaman
@badmanno.1650
@badmanno.1650 3 месяца назад
Mtangazaji wacha kujifanya unajua history, nyamaza tumskilize mhojiwa, munaboa watangazaji wa kizazi kipya.
@partisonshipella7312
@partisonshipella7312 3 месяца назад
Huyu mzee asipuuzwe kila kitu. Lakini nahisi anatumika
@kassimkalole8834
@kassimkalole8834 3 месяца назад
Ila mzee mpilii kwa kweli alikotokea sijuiii
@bjshio3249
@bjshio3249 3 месяца назад
Huyu Mzee ni hazina ya Yanga. Mtunzeni.
@sadockjoseph4555
@sadockjoseph4555 3 месяца назад
Shida anaweza kuiendesha iyo ofisi akiachiwa hata miez 3? Au kutaka kuiharibu tim tu
@BoazIkupilika
@BoazIkupilika 3 месяца назад
Muulizeni Ahmed Abeid lini alikuwa mdhamini?
@abdallavictory6723
@abdallavictory6723 3 месяца назад
Mzee Hasidi sana, kizazi hiki wamebaki wachache sana lakini ni hatari.
@JosefuSwai
@JosefuSwai 3 месяца назад
Kwa lipi wewe bwege
@nivogee9830
@nivogee9830 3 месяца назад
Mzee aliposikia swala la jera ad kipara kikaanza kuwasha 😂😂😂
@saulyboy3334
@saulyboy3334 3 месяца назад
Mmm jamani huyu mzee nikichwa kinamadini mengi sana aise tukiweka ushabiki pembeni wakuu
@kundaelikilewo7176
@kundaelikilewo7176 3 месяца назад
Mzee magoma tunakulinda akugusi Mtu ,ole wqke huyo manara akuguse tutamwonyesha kazi,sema vyote mzeee usiogope tupo nawe
@sidekp
@sidekp 3 месяца назад
Wakupe ofc mzee
@piuskusenge-jf2ob
@piuskusenge-jf2ob 3 месяца назад
Mbona anazungumza kama wa za Ndaaaaaaani
@WadhifHajji
@WadhifHajji 3 месяца назад
Apelekwe akalebure anafoji Saini Yamaha wataifalawazanzibari
@afropatriot7769
@afropatriot7769 3 месяца назад
Ila hawa wazee 🤣🤣🤣 nmecheka sana aisee mpira wetu Mungu atusaidie Tanzania
@abdallavictory6723
@abdallavictory6723 3 месяца назад
Huyo Mzee apimwe Akili! Akikutwa Mzima wanayanga wamchangie pesa atakuwa anasumbuliwa na Njaa,
@delphinemboya
@delphinemboya 3 месяца назад
Mzee uko sahihi kabisa hapo watu wanaokubeza ni kwajili ya matumbo yao😮
@nathanpangjanda2734
@nathanpangjanda2734 3 месяца назад
Huyu mzee kwa hali hiyo haliyokuwa nayo noma njaa tu
@eclaskilawa8972
@eclaskilawa8972 3 месяца назад
Mzee anahekima sana huyu
@mack_vita_onyango8409
@mack_vita_onyango8409 3 месяца назад
Mzee ana mjengo bwana
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 3 месяца назад
Ila mzee kaenda mjini shikamoo mzee magoma? Lkn umetumwa na Mangungu na Try again full stop ✋️
@mohamedkashindi7689
@mohamedkashindi7689 3 месяца назад
Hivi kweli kama kuwa nakadi ndiyo kuwa mwanachama mzuri au mwema kumbe wakina nape sio wana ccm kwakuwa hawanakadi nyingi za ccm huyo mzee katumwa na upande wapili ili kujaribu kuivuruga yanga jamani kwanini huyo mzee anataka kuiaribu yanga jamani?
@salomemongi1246
@salomemongi1246 3 месяца назад
Alikuwa wapi cku zote?
@iam_sami
@iam_sami 3 месяца назад
Mzee anakunya htr😂
@kibundapesamadimba6352
@kibundapesamadimba6352 3 месяца назад
hamna kitu hapa
@driss4957
@driss4957 3 месяца назад
MLEVI HUYO,AKILEWA ANAANGUSHA GARI.. SIO MZEE HUYO, POMBE ZA KIENYEJI RU..
@jumaahmada3815
@jumaahmada3815 3 месяца назад
MZEE. HII. YANGA. NI. WATU. WENGI. TIZAMA. MAFANIKIO. YALIYYO. PATIKANA. KWENYE. UONGOZI. HUU.
@kimalinganomhelela8377
@kimalinganomhelela8377 3 месяца назад
Nawasihi akina Manara na Ally Kamwe wamuache huyu mzee.Kwani kwa propaganda ni hatari.Kile kikao cha YANGA kufafanua juu ya hiyo kesi kimewageuka.Wao wamejiharibia zaidi.
@abdallahally842
@abdallahally842 3 месяца назад
Mzee magoma alitakiwa kua mwanasheria anakili sana anaongea point anajua kupigania hoja
@IbrahimNgolo-cp5mi
@IbrahimNgolo-cp5mi 3 месяца назад
Mzee yuko sahihi
@MajaniShakumazulu
@MajaniShakumazulu 3 месяца назад
Komaa mzee ilitukutombe vzr
@Barick2
@Barick2 3 месяца назад
Huyo mzee naye anataka kuleta matatizo,,aachane na Yanga
@AbdallahMohamedndaro
@AbdallahMohamedndaro 3 месяца назад
Ww unaweza kuongoza ongera Mzee uko sawa ila jismini kwanza ukiturudisha kwenye bakuli tunakuchapa
@jekoniarubeni4609
@jekoniarubeni4609 3 месяца назад
Aliakuwa mwanachama mwaka 1983, yanga imeanzishwa miaka ya nyuma hata kuzaliw bado na wenye yanga wako wapi leo unasimama wew kam vile ndio ulianzisha timu duuh tamaa mbaya sana sna...mzee anaona kama anakufa maskini afu club amekua ndani ya club sio ameikuza club
@mfamaumnyonge7500
@mfamaumnyonge7500 3 месяца назад
KUMBE MANARA AKILEWA ANADONDOKA DONDOKA ANAJIBINUA KAMA TIPER😅😅😅 MWAMBIENI ANITAFUTE NITAMTIBU PEKE YANGU ASIJIBUNUE TENA❤❤❤
@iam_sami
@iam_sami 3 месяца назад
Mzee anapointi zake na facts magomaaaaaaa pga babaaaa😂😂😂
@jseventz
@jseventz 3 месяца назад
mzee yupo sahihi angekuwa na team ungekuta tunachukua hadi kimataifa
@shabanimbega40
@shabanimbega40 3 месяца назад
Kama ana mapenzi na Yanga oneni anavyotoa siri za ndani. Huyu simba
@philemornmutta1597
@philemornmutta1597 3 месяца назад
Kama ni Simba hizo Siri kazitoa wapi
@festokitule9727
@festokitule9727 3 месяца назад
Huyu mzee ukimsikiliza kwa umakini ana kitu ila ni cha mda mrefu kama kiporo kimevunda
@AllyMaya-yj3xd
@AllyMaya-yj3xd 3 месяца назад
Yah yaan 😂😂😂 ukimfuatilia huyu mzee ana mambo yamenyooka mengine hawa kina heris hawayajui
@AbuuAnuwar-ip7dr
@AbuuAnuwar-ip7dr 3 месяца назад
Ubaya ubwela
@John-sz9je
@John-sz9je 3 месяца назад
Mzee hajielewi huyuuu
@filbertnyoni2352
@filbertnyoni2352 3 месяца назад
Huyu fala sana anataka timu iendeshwe kizamani,yani usajili wachezaji wa kawaida ili upate faida,alianza vizuri lakini huku anaharibu
@sidekp
@sidekp 3 месяца назад
Alafu tunaomba mzee ajibiwe kwa hoja
@LutenganoCharles-d7t
@LutenganoCharles-d7t 3 месяца назад
56_83 alikua na 27 Age
@R10_Rajab
@R10_Rajab 3 месяца назад
HUYU MZEE UKIMUANGALIA KAMA ANA UWANGA NA UCHAWI FLANI HIVI MAANA HAUWEZI KUONA SEHEMU IPO SALAMA WEWE UKAIBUKA TU KUSIKOJULIKANA UKAANZISHA ZENGWE
@elvisimillanzi7291
@elvisimillanzi7291 3 месяца назад
Kama ameshinda kesi aende klabuni
@UmayyaNkya-ze3ri
@UmayyaNkya-ze3ri 3 месяца назад
Mzee mtu wa maana sana ww 😂😂😂🐸🐸🐸🐸🤣🤣Maaajiraniiiiiii
@SamsonAntony-e3w
@SamsonAntony-e3w 3 месяца назад
😢uyo mzee choko2
@MarckyCholla
@MarckyCholla 3 месяца назад
Huyu mzee katokea wapi mbona anahojiwa vichochoroni
@AllyFwiku
@AllyFwiku 3 месяца назад
Huyu Mzee muongo sana. Mengi anayosema ni ya uongo kabisa.
@judexbarungi
@judexbarungi 3 месяца назад
Tuambie wewe ukweli wako
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 3 месяца назад
Kaanzishe timu yako na mkeo 😊
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 3 месяца назад
Nuksi kweli mzeee mingine mishavu kama linapuliza moto
@hamisally9255
@hamisally9255 3 месяца назад
Fatuma karume Yuko juu Sheria
@hasanisalimu5321
@hasanisalimu5321 3 месяца назад
Wewe njaa itakuwa sura mbaya
@maryamrubeyah6502
@maryamrubeyah6502 3 месяца назад
Ila kipindi icho ww syo mzee bwana magoma
@msabahaissa6201
@msabahaissa6201 3 месяца назад
Haliwezi kuisha Eng.atupishe madarakani, kauli ya mahakama iheshimiwe kanisa
@SinganoRichard
@SinganoRichard 3 месяца назад
Ili ukae ww
@SinganoRichard
@SinganoRichard 3 месяца назад
Komaeni nasimba yenu haya ya yanga hayakuhusu
@simonnjovu586
@simonnjovu586 3 месяца назад
Kauli ya mahakama alikabidhiwa nani? Mahakama nayo ni kituko.
@ShanguuuJuma
@ShanguuuJuma 3 месяца назад
Kwani huyo Mzee siapewe hiy yanga kama anavotaka tuone
@kenedytheonest2798
@kenedytheonest2798 3 месяца назад
Huyu mzee yupo sahihi wanamdharau ni wale ambao hata kadi hawana mnataka Gsm akiondoka turudi kwenye bakuri
@EsterClement-f1c
@EsterClement-f1c 3 месяца назад
Yaan linadanganya duh
@LeonardSanga-zn5pn
@LeonardSanga-zn5pn 3 месяца назад
Mzee ana hoja asipiuzwee
@dietrichoswald34
@dietrichoswald34 3 месяца назад
Umekwenda kumhoji bila kujiandaa na maswali mahususi yatakayojibu sintofahamu iliyopo. Unamhoji kama m mbeya na sio mwandishi. Hovyo !
@wbmclassic1651
@wbmclassic1651 3 месяца назад
Kabisa.anadandia tu kila kona hajui hata cha kuuliza
@abubakarali6363
@abubakarali6363 3 месяца назад
Mipengo kama mwanamke aliekeketwa
@chusseboywcb2808
@chusseboywcb2808 3 месяца назад
Huna fact Bali huna heshima
@davidshabani7305
@davidshabani7305 3 месяца назад
Mwandishi nifunze kuhoji
@bigawamartin4782
@bigawamartin4782 3 месяца назад
Mzee ni tapeli kiufupi ni mtoto wa mjini,nyumba yake ni 300m duuu
@simonnjovu586
@simonnjovu586 3 месяца назад
Kwa hiyo na yeye ni batili basi maana ana kadi zingine za katiba ambayo siyo ya 1968. Mbona wakati huo alikaa kimya? Mhuni huyu na ni wakala.
@ManzabaySalim
@ManzabaySalim 3 месяца назад
Mpumbafu sana huyu kenge unataka yanga woombe kama zamani shoga wewe
@tabithalimo2399
@tabithalimo2399 3 месяца назад
Mzee wa ulongonii
Далее
Ilkinchi hotin oberasanmi deb o’ylabman🥹😄
00:26
Гаджет из даркнета 📦
00:45
Просмотров 140 тыс.
На самом деле, все не просто 😂
00:45
NGAI AGUTIGWO MWENA WA RIGATHI GACHAGUA 😳😳
33:16