Тёмный
No video :(

SIKIA..!! Vituko vya Makongoro Nyerere mbele ya RAIS SAMIA | "Nivue barakoa..?" 

Mwananchi Digital
Подписаться 999 тыс.
Просмотров 555 тыс.
50% 1

#MwlNyerere #Miaka100yaNyerere #RaisSamia #MakongoroNyerere
Mkuu wa mkoa wa Manyara Makongoro Nyerere aitoa salamu za familia wakati wa Mdahalo wa Kitaifa wa kuadhimisha miaka 100 ya kuzaliwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere leo tarehe 09 Aprili, 2022 Shule ya Uongozi Kibaha, Pwani.

Опубликовано:

 

27 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 229   
@alfinmbilinyi5985
@alfinmbilinyi5985 Год назад
Mwl.Nyerere amerudi mpaka raha .Ana upendo sana makongoro na watu na Tanzania pia .hongera mtoto wa mzee wetu wa taifa.
@auntdorah9141
@auntdorah9141 2 года назад
Mwalimu Nyerere ni mwalimu pia kwa wazazi wengi, tujifunze kuishi maisha ambayo watoto wetu hawatatuonea aibu bali watajivunia kuitwa watoto wetu..Mungu azidi kukutunza mhshmw.
@shedrackytwinsy2206
@shedrackytwinsy2206 2 года назад
M
@BernardUrassa
@BernardUrassa 5 месяцев назад
You deserve high position for sure,you remind us our beloved Father of our Nation Julius Nyerere,Thank you Sir.God bless you
@fatmaaliomar9733
@fatmaaliomar9733 5 месяцев назад
Ahsante Muheshimiwa Makongoro kwa hotuba nzuri za kumkumbuka Mwalimu Julius Nyerere kwa bidii zake za kazi na mengineyo aloyafanya ya maendeleo.ya nchi yetu Tanzania.
@samuelnyariki7275
@samuelnyariki7275 Год назад
Wonderful, legacy's records are in the register of our creator. In the fullness of time he reveals how his servants worked when they were on earth. Even Nyerere's grand children will bear testimony at 200 years of his remembrance. Great men's works live on for many seasons.
@user-sv2cc4xn1m
@user-sv2cc4xn1m 7 месяцев назад
Hongera sana Mzee Makongoro Mungu akujalie Maisha mema na hekima zaidi.
@mikekamili6686
@mikekamili6686 5 месяцев назад
Huyu mwana wa Marehemu Julius Nyerere, Makongoro Nyerere nimcheshi kweli 😂. Ana hekima na talanta ya kuwa msanii. Usemi wake hapa umenifurahisha sana. Mwenyezi Mungu ayiweke roho ya marehemu Mwalimu Nyerere pahali pema peponi 🙏.
@mackiemguhi692
@mackiemguhi692 2 года назад
Nimependa hotuba yake. Ubinadamu kwanza. Mbwembwe zimenogesha lkn alichokuwa anaongea anakifahamu." Barakoa hoyeee!
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 2 года назад
Wenye akili wanamuelewa alichokuwa anamaanisha.Alikuwa anafikisha ujumbe.
@lucasharison2441
@lucasharison2441 2 года назад
Makongoro Ana jipya kichwani akuna kitu baba yake alikuwa na uwezo mkubwa sana
@kanyamagaraabdallah8300
@kanyamagaraabdallah8300 2 года назад
oui je attends bien , et je dit que , dieu benisse Rais nyerere du TZ , ameeni
@prosperkullaya6721
@prosperkullaya6721 2 года назад
Very nice speech excellent 100 mcheshi sana una roho nyeupe sana Kama baba yako
@peterboniface2975
@peterboniface2975 2 года назад
U
@calvinkambanga8312
@calvinkambanga8312 Год назад
Namkubali sana majaliwa na mama samia wanafanya kazi
@RevCharlesJPeter
@RevCharlesJPeter 9 месяцев назад
Siku moja mtoto mmoja wapo wa Mwl. Nyerere akiwa Rais itakuwa raha sana. Tutakuwa tunaita Rais Nyerere
@marthamungure1777
@marthamungure1777 6 месяцев назад
Rosemary asingefariki angepanda sana.
@pascarmwatosya5855
@pascarmwatosya5855 7 месяцев назад
Daaa point sana sana
@HashimYahya-ic2wn
@HashimYahya-ic2wn 4 месяца назад
Mungu ibariki Tanzania mungu ibariki afrika
@ignatiusm.ndwiga7438
@ignatiusm.ndwiga7438 Год назад
A good speaker. God bless him.❤
@SmonTangas
@SmonTangas 10 месяцев назад
Sawa ccm oyeee
@SmonTangas
@SmonTangas 10 месяцев назад
Hapo sawa
@SmonTangas
@SmonTangas 10 месяцев назад
Kaka umetisha sana ooyee
@SmonTangas
@SmonTangas 10 месяцев назад
Sawakaka nakuheshim sana unajuaa
@SmonTangas
@SmonTangas 10 месяцев назад
Sawaaa
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 2 года назад
Makongoro anapenda kufarahi na watu TENA ni mtoto wa mjini sana nasikia lugha zake
@sakayonsakihunga3496
@sakayonsakihunga3496 2 года назад
Kweli lazima kuena comedy kidogo
@GeoffreyMaweu
@GeoffreyMaweu 5 месяцев назад
Kiswahili chatuzidi sisi wakenya lakini hongera makongoro
@elikundangoye7633
@elikundangoye7633 23 дня назад
Vizuri sana mzee makongoro
@profbznesyohana6989
@profbznesyohana6989 2 года назад
Makongoro ni kichwa sana japo wengi hawamuelewi, amewaponda sana tena kwa kutumia tafisida kali
@BrendaKimario-ys7lk
@BrendaKimario-ys7lk Год назад
Nampenda Makongoro...sichoki kumsikilizaga,!.. Makongoro Mungu azidi kukuinua😅
@amosshidai8378
@amosshidai8378 6 месяцев назад
A good teacher
@meshackchavo4928
@meshackchavo4928 2 года назад
Nakukubali sana makongoro
@beckasalum2620
@beckasalum2620 2 года назад
Ongera makongoro, mungu mpunguzie azabuza kabur mwalim nyelele
@deuskalinga2449
@deuskalinga2449 10 месяцев назад
Good speaker hono. Makongoro
@user-yd9up9zg4t
@user-yd9up9zg4t 6 месяцев назад
Mungu ibariki Tanzaniaaa
@user-eq2nq6os7v
@user-eq2nq6os7v 11 месяцев назад
Congratulations ❤❤❤
@muhwezitimothy1316
@muhwezitimothy1316 Год назад
Asante sana
@lovenessaron2669
@lovenessaron2669 Год назад
😍🥰♥️🔥🔥🔥 Makongoro oyeee
@TALLUBOY
@TALLUBOY 2 года назад
Safi
@selemanimadeha4658
@selemanimadeha4658 2 года назад
Speach za makongoro zinahitaji akili kubwa Sana kuzielewa
@salehalisalum5466
@salehalisalum5466 Год назад
Namuelewa saana
@FelisianLiheta-nf2nr
@FelisianLiheta-nf2nr Год назад
Safi sana
@nickdhaemperor-ox7sz
@nickdhaemperor-ox7sz Год назад
Natamani sana niingie Tanzania
@magrethtitus
@magrethtitus Год назад
Karibu
@hamadsheni8997
@hamadsheni8997 Год назад
Uje kufanyaje kaa hukohuko
@josephkithama9739
@josephkithama9739 Год назад
Wakati tukisoma Tabora,alikuwa anapiga bendi ya Tabora Boys alikuwa mpigaja mzuri wa bass guitar, watu walikuwa wanachanganyikiwa.mtu wa watu kama baba wa Taifa
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 года назад
Makongoro mmpe uongozi tu kwa vile ni mtoto wa hayati nyerere lakini ni mtu wa comedian sana kwa kuongeza jiji la arusha ni bomu kabisa mlevi sana
@whimsymaverick3057
@whimsymaverick3057 2 года назад
Jiji la Arusha haiko Manyara we MTU. Huijui hata nchi Yako unathubutuje KUCOMMENT?
@laurinfred2931
@laurinfred2931 2 года назад
@@whimsymaverick3057 😅😅 mwambie afatilie hata hutuba za Mwl Nyerere zilikuwa na ucheshi ndani yake
@raphaelmwamakimbula9642
@raphaelmwamakimbula9642 2 года назад
Sawa!
@fauziakimath7446
@fauziakimath7446 Год назад
Ubarikiwe.sanaaaaaa
@eugenenkandu1287
@eugenenkandu1287 Год назад
Like father Like son
@samuelkamau3418
@samuelkamau3418 2 года назад
Why no one will mention how he is a spitting resemblance of Mwalimu Julius Nyerere
@keffaonchiri7813
@keffaonchiri7813 5 месяцев назад
Mako anaongea kAma babake the late J.Nyerere.......Sauti ni Ya J.Nyerere
@kazitembo4928
@kazitembo4928 4 месяца назад
Makongoro oyeeeh,, lakini mzee wasila akawepo yupo
@LerwenceokuloMolle
@LerwenceokuloMolle 6 месяцев назад
Makongoro my friend ulisaliwa kweli
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd Год назад
Mimi ni mmoja wa wale waliokuwa na wasi wasi kuwa baada ya Mwal. kung'atuka nchi hii itakuwaje? Juu ya umoja wetu, uwadilifu wa viongozi na mengine mengi. Namshukuru Sana Mungu wasi wasi wangu ulikuwa sahihi kabisa tangu Mwal. ang'atuke TUNASHUHUDIA UFISADI MTUPU awamu kwa awamu!!! Na sasa umoja wetu u mashakani, sote TUNASHUHUDIA MKATABA WA DP WORLD ULIVYO uibua UDINI NA UMETUGAWA AAJABU!!! WATU wameacha kujibu HOJA WANACHOMEKEA UDINI!!! Kama hawajui madhara MAKUBWA yanayosababishwa na UDINI. WAISLAMU NA WAKRISTO TUMEISHI KAMA NDUGU MIAKA YOTE YA MWAL. UFISADI HAUKUSHUHUDIWA, KAMA NIMESAHAU NIKUMBUSHE!!! UFISADI BAADA YA MWAL. NITAKUKUMBUSHA KWA UFUPI: LOLIONDO, UFISADI HUU ULIONDOKA NA UHAI WA MWANDISHI WA HABARI NDG YETU KATABARO, EPA, ITPL, MEREMETA NA RICHIMOND N.K. MWALIMU ALIWAHI KUSEMA KUWA : SIKUWA NAAPA KWA KUTANIA MUNGU SI MTAANI WANGU, HUYO NDIYE MWALIMU J. K. NYERERE. NANI KAMA NYERERE MIONGONI MWAO?
@user-cw2hf5zp6u
@user-cw2hf5zp6u 3 месяца назад
Daah namkubali
@TECHTZTV
@TECHTZTV 2 года назад
Yani katika wanasiasa sichoki kuwasikiliza ni huyu ,lisu,msigwa,mbowe,na lema
@haroldtarimo3115
@haroldtarimo3115 2 года назад
uko sahihi Makobgoro huchoki kumsikiliza
@magrethmeela154
@magrethmeela154 2 года назад
Mmmh huyu simuelewaginhuyu jamaa.
@michaelkaswahili9593
@michaelkaswahili9593 Год назад
Ok
@yusrakahera7589
@yusrakahera7589 Месяц назад
Oyoooo kererereeerr
@user-kw8pe9pk4l
@user-kw8pe9pk4l Месяц назад
Makongoro.mtani wangu upo vizuri kwa utani mi muhaya
@NchagwaNyamhanga-gx1fs
@NchagwaNyamhanga-gx1fs Месяц назад
❤❤❤
@mussamisinzo4934
@mussamisinzo4934 Год назад
Ok mh makongoro mungu akubariki sana!
@peterkesimba9619
@peterkesimba9619 2 года назад
Very wise
@ramaaman9173
@ramaaman9173 2 года назад
Vizurisana inaletaupendo kwa wazalendo wa Tanzania tumkumbuke mwalimu
@stanslausbernard5950
@stanslausbernard5950 2 года назад
As philosopher as the father
@vincentmhoro1952
@vincentmhoro1952 4 месяца назад
Kuna vitu vitatu tu ambavyo mtu huna uwezo au uhuru ea kuchagua. Vitu hivyo ni:- 1. Mungu wako 2. Mzazi wako na 3. Jirani yako. TAFAKARI
@salummwanga8181
@salummwanga8181 2 года назад
Sionagi umuhim wa vituko kwake, labda umsifie kuwa anachapa kaz, vituko na vichekesho vinasaidia nn ktk jamii za sasa?
@user-ct3um3fr6j
@user-ct3um3fr6j 6 месяцев назад
Aijirudii bwana enzi mungu amlazemahali pema
@drkalokola5861
@drkalokola5861 5 месяцев назад
Kumbe kwenye Chawa umo.
@drkalokola5861
@drkalokola5861 5 месяцев назад
Baba wa Taifa hakuwa mnyonyaji wala hakuwa fisadi. Mwalimu alikuwa mzalendo. Mwalimu aliwachukia wanyonyaji na hasa wakoloni Mamboleo.
@epimackjohn461
@epimackjohn461 2 месяца назад
Hapa utadhani VITUKO kumbe kwa hapo hapo utakuta hujagundua NONDO za hali ya juu zilizojaa MANTIKI ,baadaye saana ndo utakuja kugundua analenga kitu . Ndivyo alivokuwa babake MWL J.K.NYERERE .
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 Месяц назад
Kweli kabisa wengi hawakumwelea. Wangemuelewa hii tumbua ya sasa ya watoto wa nyoka isingefikiwa. RIP Mwalimu alikuwa kiona mbali. Kawaacha familia yake kama familia ya Mwalimu sio familia ya Rais. Neno kubwa sana. 4R zizingatiwe.
@LaisungwiKuyaa
@LaisungwiKuyaa 15 дней назад
❤❤❤❤❤
@tibonmbingi1082
@tibonmbingi1082 3 месяца назад
Hayo ndo mnayoweza
@allymwazoa2284
@allymwazoa2284 9 месяцев назад
Kama utani vile lkn Msg inafika vizuri kama ilivyokusudiwa
@isaacvtv547
@isaacvtv547 2 года назад
Nampenda Nyerere hajawafanya watoto wake wawe marais wadogo kama Uganda, Burundi mtoto wa rais anapimewa heshima kama vile nae kapigiwa kura. Mwingine ni Magufuli katika shuguli zake watoto wake hawajawahi kuonekana ila nenda pengine du, baba akisafiri basi navitoto vyote
@andrewalbin3847
@andrewalbin3847 4 месяца назад
7:00 vidole oyeeee😂😂😂
@johnmabugalusalulo2066
@johnmabugalusalulo2066 7 месяцев назад
Siasa ni nzuli kwa mwana siasa aliye iva kisiasa,siyo kama wale wanao piga siasa kama wanagombana nawa tu,mala kutukana mala kukejeli mala kupiga siasa za kuzalaulina mala kusimanga viongozi walio tangulia mbele za haki,siasa iliyo nzuli niile yenye usitalabu kama vile makongoro anavo ipiga kama kinanda cha kanisa ni safisana
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 2 года назад
Ccm hamuoni aibu kukusanyana dhambi zimewajaa Kwa kunyanyasa watu na unafiki mwingi? Pindi magufuli yupo hai mlikuwa hamumwambii akikosea alipokufa mnaanza kusema kakosea je yakwenu ambayo mpo sahihi ni yapi? Mungu anawaona Tubuni ,Tunataka katiba mpya,tume huru ya uchaguzi
@charlesngwembele4541
@charlesngwembele4541 2 года назад
Ukiona walikuwa hawamuambii ni kwasababu alikuwa dikteta
@zeralucyntazimila6600
@zeralucyntazimila6600 2 года назад
@@charlesngwembele4541 huo ni unafiki na wala siyo udikiteta ni ujinga kumsema mtu aliyelala
@laurinfred2931
@laurinfred2931 2 года назад
@@zeralucyntazimila6600 fact
@hindisaid2413
@hindisaid2413 2 года назад
Yani hata mbele ya raisi yeye anaendelea na vituko😅
@missangela6720
@missangela6720 2 года назад
Waliomwelewa alichozungumza jmn
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Год назад
Makongoro bana anachekesha sana aisee
@noelmugizi5853
@noelmugizi5853 2 года назад
Anabahatisha
@prosperkullaya6721
@prosperkullaya6721 2 года назад
Namkubali sanaa best yangu apo vipi Sasa lol!
@sundaykomba1327
@sundaykomba1327 2 года назад
Kama siyo mtu smart kumwelewa makongoro itakuwa ngumu sana
@kazembeally1619
@kazembeally1619 2 года назад
Kweli kabisa
@patrickKitambo
@patrickKitambo 2 года назад
Hata baba yake alikua mcheshi sana
@swalehesaad2692
@swalehesaad2692 2 года назад
Nimemuona manara
@yakobomaganga6557
@yakobomaganga6557 2 года назад
Wenye akili nyingi tumekuelewa 🤣😆😆💪💪
@stantonemgao3771
@stantonemgao3771 2 года назад
Lijenje yuko wapi mbona linapotezewa?
@mussamisinzo4934
@mussamisinzo4934 Год назад
Dah huyu jamaa anaongea kama Nyerere!!
@emanuelmuna1242
@emanuelmuna1242 2 года назад
Barakoa hoyeeee😂😂😂
@AlexMgata-m9o
@AlexMgata-m9o 22 дня назад
Bibilia
@user-uy8vp1fr7e
@user-uy8vp1fr7e 5 месяцев назад
Makongoro nyerere ni Mwamba sana
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 5 месяцев назад
Sun of first late julias kambarege first president repablic of tanzanian regional commissioner of ngorongoro but leader stroke comedian following late julias kambarege Nyerere jokes during his life time on his leadership can crush late people get angry at the beginning of meetings but at the end laphing sun also on seem truck creat lmotion of angry at the end laphing sun of late julias kambarege Nyerere makongoro Nyerere short briefing under full gavment official
@mzeesuliman3158
@mzeesuliman3158 2 года назад
Makamu mpya wa Zamani tangu uhuru
@jamesmuringi1791
@jamesmuringi1791 6 месяцев назад
Nawapenda nyie ndugu watanzania. Mola kawapa kisichopatikana duniani.
@josephkithama9739
@josephkithama9739 Год назад
Ulikuwa una mwita Mwalimu au Baba?
@feisalfaraj44
@feisalfaraj44 2 года назад
aslm mumu plz anzishabishara yakwakoo itwe jina hiloo nimekutabiriya jina zuri kabisaa ukishindwa kufanya bisharas ni weww
@drkalokola5861
@drkalokola5861 5 месяцев назад
Aibu.
@michaelkimune7024
@michaelkimune7024 5 месяцев назад
Ndugu zetu mna wengi wa kuwafaa-mpokeeni huyo!
@tibonmbingi1082
@tibonmbingi1082 3 месяца назад
Baki nae tu,huku hatuna kibanda Cha kumuweka
@gabrieltemba6916
@gabrieltemba6916 2 года назад
Makongoro ni comedian sana jmn cheka tu wangemchukua jmn
@briansancedo9336
@briansancedo9336 2 года назад
Mwalimu nyerere ametuachia picha halisi
@uzimaafricanheritagetv8189
@uzimaafricanheritagetv8189 2 месяца назад
L
@lesliesolomon3624
@lesliesolomon3624 9 месяцев назад
R.I.P JKNyerere🙏
@nkwabidonald4277
@nkwabidonald4277 2 года назад
Duh
@dismasmariananga4776
@dismasmariananga4776 26 дней назад
Kwel mwalimu nyerere aliacha watoto matoi kabisa wana wenge wote mpaka yule mkorea
@yustasemayengo3068
@yustasemayengo3068 Год назад
Bwana ni mwema san
@selemankishema5780
@selemankishema5780 2 года назад
Naona hata aibu kuendelea kutizama na kusikiliza
@OswardPaul
@OswardPaul 25 дней назад
Wa wakina 😂mama wamekuelewa
@user-fr6rv2yb4s
@user-fr6rv2yb4s 5 месяцев назад
Jemeni my Kiswahili siyo fasihi. But naskia Makongolo Nyerere akisema "Wanapenda Kiki", Jemeni nini maana ya KIKI? Salam's kutoka Toronto Canada
@mwazaniedward8119
@mwazaniedward8119 Год назад
Sport
@ndikumanaismail5419
@ndikumanaismail5419 9 месяцев назад
Makongoro hoooye
@Leminelimited
@Leminelimited 5 месяцев назад
M23
@noelmugizi5853
@noelmugizi5853 2 года назад
Kawaponda kwenye kustaafu,nadhani wengine awakumhelewa kama wakina Kinana nawengineo mambumbumbu.
@jacquelinesemu1347
@jacquelinesemu1347 2 года назад
Asante thamk you
@feisalfaraj44
@feisalfaraj44 2 года назад
kaka shikamio kiki long distance Orr short kiki
@BernardUrassa
@BernardUrassa 5 месяцев назад
👏🏽👏🏽👏🏽🙏🏾🙏🏾🙏🏾✔️✔️✔️
@keffaonchiri7813
@keffaonchiri7813 5 месяцев назад
Mako hoooye!
Далее
BABA WA TAIFA ALIILILIA TANZANIA KABLA YAKUKATA ROHO.
21:57