Тёмный

🔴 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 78 тыс.
50% 1

🔴#Live​​​​​: SARAH SIMBAULANGA: MWANAMKE ALIYEIBA MAMILIONI BENKI NBC AKANASWA, AANIKA ILIVYOKUWA..
Sarah Simbaulanga ni mwanamke aliyewahi kuwa gumzo ndani na nje ya nchi kutokana na kushiriki kwenye tukio la wizi wa mamilioni ya fedha katika Benki ya NBC jijini Dar es Salaam.
Kupitia Global TV Online mwanamama huyo amefunguka kila kitu kuhusu tukio hilo na maisha yake baaa ya tukio.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

Опубликовано:

 

2 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 117   
@globaltv_online
@globaltv_online Год назад
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@neemagabriel2900
@neemagabriel2900 Год назад
Hivi haiwezekani kuwa na microphone mbili ya mtangazaji na anaejibu maswali
@shodristvtv6121
@shodristvtv6121 Год назад
Inawezekana
@khanifa6453
@khanifa6453 Год назад
Inawezakana,ila Hali ya usalama ndio duni,sababu wanaomfahamu Hyati mwanamziki Papa Wemba alitumia kioazasauti chake kama ilivyo kawaida yake ,kumbe kilikua nahali isiyokua ya kawaida naye aliaga,kupitia kipaza sauti,sasa heri kimoja maana kuepuka shida kama hizo pia
@IANA2030
@IANA2030 Год назад
Wanawake hela 😂😂😂😂😂
@gilbertkalanda9354
@gilbertkalanda9354 Год назад
Hili swali nimejiuliza pia
@princesslimah186
@princesslimah186 Год назад
🤣🤣🤣🤣
@missmannydxb
@missmannydxb Год назад
And the all the time Untisnitch awards goes Sarah 🏆🥇🥳👏🏽👏🏽👏🏽
@margaretlyimo2215
@margaretlyimo2215 Год назад
Story kama hii, Hollywood wanatengeneza movie, naikumbuka ili trend sana, yes true story. Big up sana mama,mama wa shoka ! Penda sana wewe! Cause your already comfessed no problem.and Still looking good! !
@neemakaluwa2146
@neemakaluwa2146 Год назад
Ndo maana Mzee Toroha alitunyanyasa sana kwenye nyumba zake kumbe alikuwa anamagwadu na alopitia!! Allah amsamehe na ampumzishe kwa amani.
@OnlyRuky
@OnlyRuky Год назад
Dada Imelda big up napendaga saana interview zako yr very professional 👏and you like yr job
@tarickmpemba9871
@tarickmpemba9871 Год назад
Nunua maic mbili bhana
@gabrielmoses6860
@gabrielmoses6860 Год назад
Mapenzi yana nguvu sana!!!. Nadhani unanielewa!!!
@evankya1955
@evankya1955 Год назад
Zamaradi au Lynn Ngugi wapate nafasi ya kumhoji
@directorbony185
@directorbony185 Год назад
SAA Askari WA enzi hizo walikuwa mbumbumbu
@naomichristopher3941
@naomichristopher3941 Год назад
Najua kuwa ulishatubu Kwa Bwana , Mungu ni warehema Endelea kumpenda yesu , kwani yeye anakupenda Sana .
@amosmahona433
@amosmahona433 Год назад
HII story walifaa waandishi wa milard ayo wanajua kuhoji vizuri.
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Год назад
Toroha alikuingiza mjini,,,,!!!
@matolasalumu2625
@matolasalumu2625 Год назад
Napenda kumsikia akiojiwa kirasiku uyu Sara liko Bomba irembaya ujana wake sijuwi ilikuwaje ?!
@abdulrahimchotta6061
@abdulrahimchotta6061 Год назад
Mama anacontent nzuri shida anaehoji amechukus content kiudaku zaidi
@AfricaQueen
@AfricaQueen Год назад
Kweli Mamashujaa huyu stori nzuri Fanya Move madam Na uzuri wako bado mzuri Sara🤗❤️
@paulsimba7614
@paulsimba7614 Год назад
Km umesikia vyombo vya habari, redio gonga like😅😅😅
@leaherasto929
@leaherasto929 Год назад
Tamaa mbaya Yan kakamatwa kirahisi,, ila mama nimalkia wanguvu
@brysonkaale3003
@brysonkaale3003 Год назад
Hii story ninalo gazeti la zamani linaitwa "Mfanyakazi,Ni story iliyotrend mbaya ,mwaka 1987.
@totooz5853
@totooz5853 Год назад
Duh...likua cjazaliwa
@frankedward8947
@frankedward8947 Год назад
Baba mwenye huruma ni Mungu peke yake. Sifa ya Baba mwenye huruma ni sifa ya Mungu pekee. Huyu anayejiita nabii mkuu, aache kumchezea Mungu.
@josephndaki8003
@josephndaki8003 Год назад
Wizi ni wizi tu tena mali ya umma hakuna ushujaa hapo, ni uthubutu au upigaji kama ulivyo upigaji mwingine
@softena1002
@softena1002 Год назад
Ushujaa siyo kuiba bali kutumikia kifungo na kutoka😃
@humphreywilyme9440
@humphreywilyme9440 Год назад
my mother house currently,, all the way from kawe.. sikuwah kudhan nmepanga kwa mtu mzito hvi
@gracemalatwe6064
@gracemalatwe6064 Год назад
Hii story ilivuma kwenye magazeti
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Год назад
Mwamba huyu hapa
@inongee1141
@inongee1141 Год назад
Vya wizi siku zote uwa havidumu lazima .vipotee tu
@emanuelkidali9733
@emanuelkidali9733 Год назад
Mbona ckuelewi mama unavoropoka Ivo umeokoka au unatafuta kiki?
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 Год назад
Kweli kbs mwaya
@salomewandya7257
@salomewandya7257 Год назад
Dah kumbe alishikwa kwa ajili ya watoto
@sarahstephano6266
@sarahstephano6266 Год назад
Wajina umetisha
@franklihwa6331
@franklihwa6331 Год назад
Great story, poor probing skills from the journalist
@daudkhatib4678
@daudkhatib4678 Год назад
Daahhh. Huyuu. Dada. Sara. Martin. Simba. Ulanga. Ni. Mjanja. Kweli
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Год назад
Ujanja gani angalia mwisho wake anavyo teseka kauwa wazazi wake kwa presha 🤣🤣🏃🏃
@misanjolivigha2396
@misanjolivigha2396 Год назад
Hili sakata wakati linatokea nilikuwa Form two Lindi sekonari.Nchi hii ukiiba fedha nyingi huwezi kufungwa miaka mingi,watakutoa mapema ili kama kuna mihela uliificha wanataka ukaitumie ili kuwe na mzunguko wa pesa kitaa kabla hazijabadilishwa.Sasa wewe mjingamjinga kaibe KUKU UONE utakavyofungwa miaka mingi.....SHUBHAMITI.
@almasially6509
@almasially6509 Год назад
enzi zake anaonyesha alikuwa pisi sana.😫🥰
@aishamtwana1323
@aishamtwana1323 Год назад
Hilo ni fundisho linaweza kutokea tena
@mamachris6811
@mamachris6811 Год назад
Chenji zilibaki,anaendelea kuishi maisha mazuri
@bakari-si1pw
@bakari-si1pw Год назад
Kabisa mama
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Год назад
Mtihani ila pole mama mwenyezi mungu anampenda mtu mwenye kutambia kosa lake akajirekebisha
@abdulrahmanmohammed4449
@abdulrahmanmohammed4449 Год назад
Huyu mama alikua na mahusiano na toroa kitambo
@shinipapaya846
@shinipapaya846 Год назад
Mwisho wa raha ni karaha wahenga kwa kweli walinena akili za kuambiwa changanya na zako 🤣🤣🏃🏃
@angelavayinga914
@angelavayinga914 Год назад
Alijua tu kuwa katoroka na wezi wenzie hahahaaaaaa
@alexanderkapinga700
@alexanderkapinga700 Год назад
Sasa story kama hizi ni za nini sasa yaani tunajifunza kuiba ama?
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 Год назад
Sign out
@lilyrose7983
@lilyrose7983 4 месяца назад
Niache 😂😂😂
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk Год назад
Dadangu duu hii ishu kitambo mpaka leo naitwa bibi
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 Год назад
Makampuni makubwa ya ulaya yakimtengenezea move kwa ukumbusho
@shakilsillah7497
@shakilsillah7497 Год назад
Please try to beautify your channel by giving beautiful naive lady to host your shows.
@mligosandrah7851
@mligosandrah7851 Год назад
Shujaa
@Worldunite
@Worldunite Год назад
Lkn kwa kusema tu ukweli, nimempenda sana huyu mama kwa ujasiri wa kujitokeza kwenye media, ni mama shujaa sana, ana moyo wa kipekee sana
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk Год назад
Dadaimelida hongela kwa habali yakitambo
@aminasaid4174
@aminasaid4174 Год назад
Uwiiii nikitambo hta nilikuwa sijazaliwa 🙆‍♀️
@tabithachamhene7956
@tabithachamhene7956 Год назад
Daaaah
@chomasongidion6047
@chomasongidion6047 Год назад
Mdogo wake Mama masungu marehemu,
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 Год назад
Bonge la story
@softsoftbby8013
@softsoftbby8013 Год назад
Huyu Sarah anaonekana Muongo sana,wewe huwezi kuwa supervisor bank kisha usijuwi idadi ya pesa ulio iba,nasehem nyingine aliosema uongo kuwa hajuwi nyumba zake alizo nunua kama bado zipo
@trophywilson7211
@trophywilson7211 5 месяцев назад
Si alifungwa ,Lazima vingine usivijue
@jokhaali5893
@jokhaali5893 Год назад
Kiboko ya wote
@selinamashoko2490
@selinamashoko2490 Год назад
Haya mama Sarah,umma wa Watanzania umekusikia ila ungekaa na kumheshimu mume wako bwana Simbaulanga,,huo wizi ulioufanya,,ungekuwa wizi mtakatifu...ila siku zote kwa hapa duniani,wanawake ni watu wa kusamehewa. Pia,inaonesha kuwa ulikuwa na mahusiano ya Kimapenzi na huyo Toroha wkt uko kwenye ndoa yako na Simbaulanga na ndiye aliyekurubuni kuiba hizo fedha ambazo kwa sasa hazijakupa umaarufu wa miradi yoyote HAPA Tanzania hadi hivi LEO!!
@lilyrose7983
@lilyrose7983 4 месяца назад
Si wamemfata wenyewe kumuhoji?
@ashooraashoora1180
@ashooraashoora1180 Год назад
Tamaa mbayaaa jaman umewaibia wenzako ww umeambulia fedhaha
@totooz5853
@totooz5853 Год назад
Umeonaeeh 😂😂
@axmedcumar6196
@axmedcumar6196 Год назад
Solution hizo hela alizifanyia kitu chochote cha maana.? Au ameiba tuu mahela kibao kisha kaishia kufungwa miaka kumi for nothing.!?
@neemaloy889
@neemaloy889 Год назад
Hakunaga Cha maana hapo kinachofanyika na Hela za hivyo!!
@nicholasamuyunzu7246
@nicholasamuyunzu7246 Год назад
Jamani sauti inapotea mbona mnazingua, tafuteni microphone nzuri.
@revocatuskashaga9202
@revocatuskashaga9202 Год назад
Mwamba sana huyu mama
@lusajokyando3480
@lusajokyando3480 Год назад
Mwandishi aujatundea haki wasikilizaji wako kunavitu vingi ujamuuliza mama hapo
@ditormario2420
@ditormario2420 Год назад
Kabisa hata namna wizi aliufanyaje? Aliwezaje kutoka na izo pesa siku iyo alifanyaje mazingira yakutoa pesa
@mombasaraha1502
@mombasaraha1502 Год назад
@@ditormario2420 true
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Год назад
WEWE MPUMBAVU SANA UNAJIELEZA UNAFKRI NI VIZURI. ONA SASA ULIDHARIRIKA TUU SASA HV UNGEPATA HATA KIINUA MGONGO. TENA WANGEKUUWA WEWENA WATOTO WAKO
@bernadetakayegele5706
@bernadetakayegele5706 Год назад
Mie nafikiria maisha yanakua na mapito wala hajisifii ila anaelezea maisha yake
@fredykatabei5516
@fredykatabei5516 Год назад
Anitha wew huna akili kabisa yani hujui unacho kiandika mpuuzi wew
@drp5225
@drp5225 Год назад
Anita Anita Anita think twice
@magrethchao1253
@magrethchao1253 Год назад
Wewe pia ungekufa
@nashnene6326
@nashnene6326 Год назад
Ktk interview ya msasa online ndo ameeleza vizuri, hapa mwandishi umechemsha
@aminakimambo7159
@aminakimambo7159 Год назад
Kbsa mpk kamvuruga kasahau blandina alikua na miaka mingap
@hemedmtunguja9788
@hemedmtunguja9788 Год назад
Muandishi bado sana
@poucostantin4403
@poucostantin4403 Год назад
Yaani toroa jaman
@estakitonge1482
@estakitonge1482 Год назад
Dah
@mohamedsalum9465
@mohamedsalum9465 Год назад
huyo dada hajui hata kuhoji
@lugendodaudi5510
@lugendodaudi5510 Год назад
Mtangazji nenda kenya mtafute TOROHA japo ujamuulza maswali magumu
@zakiamseka9698
@zakiamseka9698 Год назад
Nasikia alishafariki
@sarahstephano6266
@sarahstephano6266 Год назад
Wajina umetisha
@sarafinamsigwa1585
@sarafinamsigwa1585 Год назад
🤣🤣😂😂😂😂😍😍🤣🤣😂😂
@saebajoma8419
@saebajoma8419 Год назад
Daah
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Год назад
WEWE C SHUJAA ILA MPUMBAVU SANA.
@filamupictures9349
@filamupictures9349 Год назад
We nawe, alishalipia makosa yake. Yashapita, kilichobaki ni simulizi kupata kujifunza. Hiyo ni historia ya maisha yake, hana historia yako takatifu
@magrethchao1253
@magrethchao1253 Год назад
Ww unaakili?
@EmmyYunus-kl1zn
@EmmyYunus-kl1zn Год назад
Mpumbavu mamaako mbwa wewe
@lilyrose7983
@lilyrose7983 4 месяца назад
Wala sio mpumbavu hakuna mkamilifu chini ya jua
@petermboje5839
@petermboje5839 Год назад
Ulikuwa jasiri mama asante
@Worldunite
@Worldunite Год назад
Hivi ni kwanini yuko huru huyu mama ktk nafsi yake wakati amekiri kabisa kuwa amefanya uhalifu lkn kibaya zaidi aliwaua wazazi wake kwa presha. Na sio wazazi wake tu peke yake bali hata wafanyakazi wenzake pia aliwaharibia maisha yao. Lkn Mungu amsamehe, sie wote ni wakosaji ktk hii dunia kwa namna moja ama ingine
@paschalmilindi275
@paschalmilindi275 Год назад
Lakini ameshatumikia na kumaliza kifungo jela ambayo ndiyo adhabu aliyopewa baada ya kukamatwa
@Worldunite
@Worldunite Год назад
@@paschalmilindi275 lkn kweli aisee, ila daah mtihani
@paschalmilindi275
@paschalmilindi275 Год назад
@@Worldunite sana aisee
@zainab8251
@zainab8251 Год назад
Wewe ulitakaje aishi paka kifo chake katumikia kifungo chake cha haki mtu akikosea unataka umuukumu paka lini uyu binadamu kama wewe na kila mtu kakose hakuna mkamilifu icipoku ni MUNGU tu na anatusamehe tukitubu
@josephndaki8003
@josephndaki8003 Год назад
Hasnain fuatilia vizuri hii story, huyu Mama alikili mahakamani kisutu miaka 28, 1987 kwa kufanya huo wizi bank na si wizi wa mabavu au silaha. Wazazi hajawaua ni lugha tu ya mtoto mpendwa akipata shida ni lazima wazazi waumie ila ukiwa si mpendwa, mkola , kaidi wazazi wataumia kidogo. Sarah anahisi kuwaumiza na ametoka jela KWA msamaha akamkuta mama hai
@sophiajonas2090
@sophiajonas2090 Год назад
Daaaa nilikua nanyonya
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 Год назад
Jimama tamu anae mume nipo Mimi Mzee wa mizigo mikubwa mikubwa
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Год назад
Tafuta hela,,,,Acha kutafuta mteremko!!
@sophiajonas2090
@sophiajonas2090 Год назад
Mhmmmm
@hajiabdalla5772
@hajiabdalla5772 Год назад
@@jumakapilima7295 hana hela mimi nafata matamu Tu
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Год назад
@@hajiabdalla5772 tafuta hela,,,Acha ufala!!
@hemedmtunguja9788
@hemedmtunguja9788 Год назад
Wazee wa ganda la ndizi
Далее
Вопрос Ребром - Серго
43:16
Просмотров 1,4 млн
Pulse Radiology MRI Live Registry Prep - April 3, 2022
3:46:46