Тёмный

ONA ANAPOISHI BLACK PASS 'KIZIWI' - "NIKIMFUMANIA MPENZI WANGU SIACHANI NAYE"...| MPAKA HOME 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 151 тыс.
50% 1

ONA ANAPOISHI BLACK PASS 'KIZIWI' - ''NIKIMFUMANIA MPENZI WANGU SIACHANI NAYE''... | MPAKA HOME
KWENYE MPAKA HOME ya Globa TV tumetia timu nyumbani anapoishi staa wa comedy Bongo Black Pass ama Kiziwi ambaye amefunguka mengi...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 739 750 910)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Опубликовано:

 

10 янв 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 262   
@globaltv_online
@globaltv_online Год назад
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
@ibrahimkibira9943
@ibrahimkibira9943 Год назад
Black pass she's my old friend 🥰 honestly hapo sio kwake ni kwao kwa mzee silanda . black pass amelelewa na baba ake mzee silanda mama ake alifarik akiwa mdogo she's very really and beautiful 😍
@theopistachialo6750
@theopistachialo6750 Год назад
Kumbe anamaisha poa tu
@celinemwabalasse1556
@celinemwabalasse1556 Год назад
Aaah
@celinemwabalasse1556
@celinemwabalasse1556 Год назад
Ivi nikiziwi kweli??
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
@@celinemwabalasse1556 hpn
@elizaddy5806
@elizaddy5806 Год назад
Niunganishe naye bana
@rizoibrahimovich605
@rizoibrahimovich605 Год назад
Tunaopenda kurudia interview hii tujuane
@vincentauxerbius7554
@vincentauxerbius7554 Год назад
Duuh sister nimekupenda bure una maisha ya kawaida sana😄😄😄😄😅😅😅we ni star mkweli na hauna majingambooo
@munirasaga6494
@munirasaga6494 Год назад
Mashallah... Kitambo sana😍😍 Mama Tea jaman.... Pass mwongo 😂😂lkn vizur sio kila mtu ajue ukweli wako... Kinondon Moscow... Miss u guys jaman... Mm nilivyo ona hiyo nyumba Nika kumbuka home... Ila umeweza my... Vizur sana 👋👋
@faidhacute
@faidhacute 8 месяцев назад
Elewa neno USIPENDE KUMUONESHA KILA MTU MAISHA YAKO chukua hyo,😂😂😂 ila pass et anajitia hajui bei ya baga 😂😂 nimeipenda hyooo
@yadarchcutee950
@yadarchcutee950 Год назад
Etti mchezo Kila siku mia tatu Kwa week buku jero na tupo watu mia Tano na saba😂😂 Ila uyu dada Nyie kwahyo kitongoji kizima wanacheza mchezo au mia Tano anaiona hamsini😂😂😂 she's just doing comedy on interview 😂😂😂🙌
@eileenkihula3754
@eileenkihula3754 Год назад
DADA MZURI HUYU,MREMBO NATURAL
@aishaaliy8519
@aishaaliy8519 Год назад
Hapendi sifa mashallah habibti ❤
@josephheroberthrand6965
@josephheroberthrand6965 Год назад
Nimempenda bule mtoto mzuli harafu hana malingo, naitaji siku nikiowa nioe mwamke wa hivi 🥰😘🙏
@SafiyaJ-yw2vt
@SafiyaJ-yw2vt Год назад
Anasema kweli kabisa BLACK PASS big up
@barakakusa7606
@barakakusa7606 Год назад
Ukweli haish hapo ila nimependa vile hajapenda kuonyesha maisha yake.
@aminakawawa5800
@aminakawawa5800 Год назад
Sio kwake msiri sana nimempenda sana 👌❤
@safiyatheonlything7848
@safiyatheonlything7848 Год назад
🤣🤣sema anavyo ongea nachekaga sema huyu dd mzuri mashallha black beauty arafu hapo siyo kkwake kunaweza kukawa kwa wazazi wake au huyo mama jirani yake hapo kwaiyo akaona aje afanye hapo maojiano
@lillianwanjiku7944
@lillianwanjiku7944 Год назад
Mimi ni mkenya na nawatch hii video kipindi hichi,,,haya maneno anayo Sema huyu binti ya kua na mahusiano mengi ni kweli kabisa,,watu wasione sifa kutembea na watu wengi,yani both sides wakaona ni sifa,tunajitafutia laana na nuksi tujiheshimuni na kuyashika maandiko both ya biblia na quruani kutengemea mtu ni wandini gani
@ahmadzubeir3363
@ahmadzubeir3363 Год назад
Huyu mdada ni mzuri ajabu jamani yaani nimempenda sana sanaaa
@hyasintapeter204
@hyasintapeter204 Год назад
Nyie nampenda huyu dadaa adi raha ety usikombeee maharagee hahahaha nampenda sanaaaa
@bujepatv7154
@bujepatv7154 Год назад
Waandishi wana mbinu ety bakuli lako unalo lipenda ni lipi wakati Dada kasema hataki kujulikana maisha yake😂😂😂
@salamanauthar5261
@salamanauthar5261 Год назад
Sio kwake hapo' Ila nampendaga sana huyu dada wallahi
@sautiisiyosema
@sautiisiyosema Год назад
Mungu skubaliki dadangu du! Yaani sikufikiri kama kwa zama hizi kuna msanii wa kujiachia ki hivi. Najua unadanganya ila saluti kwako
@user-ij2po2jw2f
@user-ij2po2jw2f Месяц назад
Nimekupenda sana dada yangu mwana simba mwenzangu
@elizabethmukeba2528
@elizabethmukeba2528 Год назад
Black pasc wewe ni mrembo sana tena nakupenda sana wewe ni wa tofauti sana
@loulumony8519
@loulumony8519 Год назад
Namupendag uyu dada gis anaongeag😂😂😂😂💪🇴🇲🇧🇮💖
@SafiyaJ-yw2vt
@SafiyaJ-yw2vt Год назад
Nampenda Black pass 😘😘😘😘
@jumapiliissa4835
@jumapiliissa4835 Год назад
Nimeipenda sana iyo kaficha uhalisia wake yukovizuli sana
@fordraymondjohnson2380
@fordraymondjohnson2380 Год назад
Yaani nimemwelewa huyu black pass sana, maana wengi wambeya wanapenda sana kujua maisha ya watu bila msaada. Huyu hawezi kuishi hapa, bali ni kwamba kaficha hali yake. Lakin pia kafanya hiv kutengeneza pesa kwa watu.
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 Год назад
Kabisaa nashangaa wanavyomsema kwenye comment
@mercymariki2148
@mercymariki2148 Год назад
Haki we dada ni mwanamke wa nguvu sanaaa....nimekupenda bureeeee. Huna muda wa kupretend life
@rajabumuya7113
@rajabumuya7113 Год назад
Anamakuu kaonesha maisha yauwalisia
@ashafujo3506
@ashafujo3506 Год назад
Mashaallah black pass
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 Год назад
Dada muongo huyu hakai hapo,namjua huyu ana maisha poa sana
@salimabakari8617
@salimabakari8617 Год назад
Kweli aishi hapo alikuwa anakaa Moscow lkn co nyumba hii yenyewe ni mzuri,Ila ss iviI cjui kaamia wapi.
@ashuraiddy1145
@ashuraiddy1145 Год назад
Anamaisha mazuri namjua pia
@waziriwahekima6824
@waziriwahekima6824 Год назад
Nampenda Sana uyu Dada naweza kumuoa kabisa
@SafiyaJ-yw2vt
@SafiyaJ-yw2vt Год назад
Kwani ajabu nini akiisha hapo haya ni maisha tu
@reenyaysher7639
@reenyaysher7639 Год назад
Uyo ni mama yake wanafanana sana, hapo ni nyumbani kwao sio kwake ila kwa wazazi wake
@aishamussa9586
@aishamussa9586 Год назад
❤️
@jamlaashiri372
@jamlaashiri372 Год назад
Nakupenda ulivyo kazi yako nzuri
@LusiaSanga
@LusiaSanga 3 дня назад
Nimempenda bureeee!!
@user-rq3ke5ni6z
@user-rq3ke5ni6z 6 месяцев назад
Sana upo good
@waheedaw1953
@waheedaw1953 Год назад
UNA FURAHISHA BARRAZA MASHAALLAH ALLAH ATAKUPA MAISHA MAZURI
@ashminaabdulla8946
@ashminaabdulla8946 Год назад
Ameen
@johnmayagila5665
@johnmayagila5665 Год назад
Nimekupenda bure Black Pass!
@nailaty
@nailaty Год назад
Sio kwake
@stinaismail846
@stinaismail846 Год назад
Nimekukubali sana ♥️♥️
@fathimamct232
@fathimamct232 Год назад
Ila kama kweli sio kwake basi anajuwa kia Akti hataki majigambo
@rosemilingi7860
@rosemilingi7860 Год назад
Kweli kbs
@scollamwanisisi2739
@scollamwanisisi2739 Год назад
Yaani uyu kama gigy tuu jamn wanafanana tabia sana
@faidhacute
@faidhacute 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@williamernest8712
@williamernest8712 Год назад
Namkubal kindakindaki uyu dada ❤
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Год назад
Pazuri sana kwake
@ashuraiddy1145
@ashuraiddy1145 Год назад
Sio kwake pale ni kwao yeye amepanga kwake ila ni maeneo hayo
@fahadfahmy
@fahadfahmy Год назад
mimi kwamtazamo wangu nahisi kama anatuektia tu
@mustorytellermullah2737
@mustorytellermullah2737 Год назад
Asee dada nime kuelewa uko vizur Sana
@rubenkategere3348
@rubenkategere3348 Год назад
Yaani huyu Dada nimempenda bure jamanii amenifurahisha sanaaaaa hii interview ni matata noumaaaaa 😁😂😁😁😁😁😁😂😁 Big up sanaaaaa a black pass ila SEMA tu nakushauri uamie yanga 😁😁😂😂😂😂😂💚💚💚💛💛💛💛💛💛
@ashuraiddy1145
@ashuraiddy1145 Год назад
Sio kwake hapo
@estherkimario7940
@estherkimario7940 Год назад
Mmmh muongo hivi kwel kwake hapo au anatuenjoy
@sharifabahar9905
@sharifabahar9905 Год назад
Nampenda sana huyu dada ilihapa sijui kama hapa kwake mbona mtoto wake anasoma shule nzuri
@teedullah5708
@teedullah5708 Год назад
Nikama amewaficha kwake c hapa
@ashuraiddy1145
@ashuraiddy1145 Год назад
Sio kwake amedanganya
@Cambarada
@Cambarada Год назад
Ni kwake hapo
@user-ey5mv1yz3s
@user-ey5mv1yz3s 6 месяцев назад
Sidhani kama ni kweli huyu hapo sio kwake yaani hataki kuwaonyesha waandishi kwake, huyo bibi hapo kamlipa ili aekt kama kwake bhana
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
Wambea mmekomeshwa 🤣🤣🤣🤣
@adelinaomani9012
@adelinaomani9012 Год назад
Hapo nipahuyo bibi sema anaishinae vizuri alivo onakuna mahijiano kampanga bibi
@jaymwinyi6957
@jaymwinyi6957 Год назад
Kabsaaa
@bernaberna4159
@bernaberna4159 Год назад
Kabisa Yan Sema huyu mcheshi sana
@farhatomar78
@farhatomar78 Год назад
Kwel
@ashurahaji4794
@ashurahaji4794 Год назад
Ameuza
@saudahassan6667
@saudahassan6667 Год назад
Mmmh sio kwake kwa uyo bibi naona
@NADUAonlineTV
@NADUAonlineTV Год назад
Km umetulia ukisikiliza utasikia usipende kumuonesha maisha yako watu
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 Год назад
Ni kweli kasema zaid ya mara Moja it's mean hapo so kwake
@fatemajohn3195
@fatemajohn3195 Год назад
Nakupenda sana dada yangu kwa kazi yako zuri sana
@sofiyabakari9730
@sofiyabakari9730 Год назад
Ila ni pachafu kwa kweli haijalishi ni kwenu kwako bas safisha kod 30 c bora ukapange chanika nyumba nzur
@nahiriali1405
@nahiriali1405 Год назад
Hahaha 😂 ila ukejua kuicheza hii movie 🎥
@adammjomba5814
@adammjomba5814 Год назад
Black pass kiziwi hapo siokwake amewatia changa la macho mashabiki zake ni msiri sana ni mwanamke mzuri kutoka vijijini wanaogopa sana kurogwa hawezi onesha anpoishi .Nimempenda bure. Big up black pass
@teedullah5708
@teedullah5708 Год назад
Hapo ni kwa huyu bbu na bbi
@yasminoluoch169
@yasminoluoch169 Год назад
Hapo ni kwao
@faidhacute
@faidhacute 8 месяцев назад
​@@yasminoluoch169Kwa wazazi walomlea ila hakai hapo
@neemakweka
@neemakweka Год назад
Hahahaha Yaan hayo majibu unaondokaa kama una hasira
@mauaahmadi8389
@mauaahmadi8389 Год назад
Kweli maisha magumu kwenye igizaji
@user-lg9sx7fk1b
@user-lg9sx7fk1b Год назад
Nakuoenda sana back pass hupendi kujionyesha
@tamamoman9454
@tamamoman9454 Год назад
Sio kwake hapo😆😆
@fabianpaul3250
@fabianpaul3250 Год назад
Hapa tumepigwa mtu ana kaa mazingira hayo na kucha za namna hivyo 😂😂😂😂
@user-dq9bx1qf9e
@user-dq9bx1qf9e Год назад
Aki sio kwake
@joycemuhoja4729
@joycemuhoja4729 2 месяца назад
Yeye kasema ni kwake wengine wanakataa basi watuonyeshe kwake
@richardkigeso
@richardkigeso Год назад
Saf sana
@erickwilbard257
@erickwilbard257 Год назад
Hapa sio kwake ameamua afanye maigizo
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 Год назад
Mmmh dd wajua kuficha🤣🤣🤣
@ummySheikh72
@ummySheikh72 Год назад
Sio kwake kabisaaa
@patrickpazza4764
@patrickpazza4764 Год назад
Hivi n kweli hapa n kwake!? Jmn huko dar kumbe hata huku kwetu tuna mijengo mikali
@mwitaagness455
@mwitaagness455 Год назад
Kwahiyo dar kote ni maghorofa nimecheka, mpendwa dar kuna mpk nyumba za udongo na majan
@ramadhantahila9131
@ramadhantahila9131 Год назад
kwa maelezo yko tu pass nimeelewa kwamba hupendi ujulikanike vipi unaish.
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 Год назад
Huyo nibongo muvi anaonyesha uharisia watu watokako
@asdfhdv9230
@asdfhdv9230 4 месяца назад
Si kwake apo ila ndo vizuri binadam sikuiz wana wivu sn afazali waone ivo
@preciouswachack7332
@preciouswachack7332 Год назад
Afu uyu mamake walah
@vitaliskiondo1598
@vitaliskiondo1598 Год назад
Ukiwa mkweli
@ahmadzubeir3363
@ahmadzubeir3363 Год назад
Yaani nimzuriiii
@nanabeautybeautify5837
@nanabeautybeautify5837 Год назад
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
@yuhamrwambo3739
@yuhamrwambo3739 Год назад
Dah Gabi .....nimekumbuka kitaambo enzi zile za mangiri mob
@robsonwisdom1994
@robsonwisdom1994 Год назад
Katuzugaaaa huyuu dada🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Mosses8
@Mosses8 Год назад
siyo kwake
@suluoarjun2767
@suluoarjun2767 Год назад
Naomba namba zake huyo mdad
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 Год назад
Haaaaaaaa umesoma darasa la ngapi ungali umeiva haaaaaaaa
@bikolivenance8407
@bikolivenance8407 Год назад
weka namba yako sasa
@habibaraphael6583
@habibaraphael6583 Год назад
Nimeamin sie kwake
@officialtriplestz
@officialtriplestz Год назад
🥰🥰🥰
@fatmayusufu8573
@fatmayusufu8573 Год назад
Nakataa haya sio maisha yake bhan anatupanga tu huy
@florajohn2167
@florajohn2167 Год назад
Sio kwake buana
@salama1113
@salama1113 Год назад
Kama kweli nimekupenda bure
@joycehosea3947
@joycehosea3947 Год назад
Nakupenda dear❤️ila mbona nawe unapritend maisha kama uhitaji pajulikane kwako usingekubali kuhojiwa au ungeenda ata beach or lounge hapo si kwako 🌝
@jamilajamal1584
@jamilajamal1584 Год назад
Huyu ni muongo amaelezo yake anasema usionyeshe maisha yako watakurudisha nyuma hivyo anaogopa kurogwa jamani .
@mamaikram7573
@mamaikram7573 Год назад
uyu sio kwake muongo
@roqayaro9439
@roqayaro9439 Год назад
HAPO KWA UYO MAMA INAWEZEKANA SO KWAKWE
@itNeza
@itNeza Год назад
Dhuuu, Mbona huyu Dem namkubali ila Anaishi maisha haya 😭😭😭
@bakariomari8758
@bakariomari8758 Год назад
Hapo kwao sio kwake
@swariotibi6134
@swariotibi6134 Год назад
Aki huyu dada napenda san
@faidhasultan6010
@faidhasultan6010 Год назад
Amna cha januar ayo ndo maisha yako😂
@faidhacute
@faidhacute 8 месяцев назад
Hamna hapo sio kwake hakai hapo, huyo no mmama alomlea tu na ndipo alipokulia Kwa hyo Mzee na mmama huyo kajenga na ana nyumba ya kwake nzur sana nahs kafanya hvo kuogpa kulogwa si unajua
@didahsalim6521
@didahsalim6521 Год назад
Huyu mdada ana Akili mpka namuonea Wivu
@nzitogondwe9976
@nzitogondwe9976 Год назад
Uko fanya nipate namba yake
@mariamhamisi7491
@mariamhamisi7491 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣huyu demu freshi sana
@Chinchidy1234
@Chinchidy1234 Год назад
Black pass apo sio kwako ila hii video imenichekesha sana
@muhsinirasuli2473
@muhsinirasuli2473 Год назад
Blak bwana hapo ni kwako kweli mbona pachafu sana kama mganga bwana
@rozina2161
@rozina2161 Год назад
Yuwala mbio mbio hajameza anakata donge lengine🤣🤣🤣🤣
@jaymwinyi6957
@jaymwinyi6957 Год назад
🤣🤣😛😛umeonaaeee
Далее
КОРОЧЕ ГОВОРЯ, ШКОЛА БУДУЩЕГО
10:40
UFUGAJI WA KISASA WA SAMAKI KWENYE MABWAWA
9:36
Просмотров 8 тыс.
Kumbe kiziwi
8:17
Просмотров 2,4 млн
MIMI NI KIPOFU
13:40
Просмотров 175 тыс.
Mpaka Home MAISHA HALISI YA MWIGIZAJI ANKO BENI SELENGO
14:35
КОРОЧЕ ГОВОРЯ, ШКОЛА БУДУЩЕГО
10:40