Тёмный

🔴  

MAHUBIRI TV
Подписаться 216 тыс.
Просмотров 15 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

13 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 33   
@drfrankmgwabati7781
@drfrankmgwabati7781 Год назад
Mungu akubariki sana mtumishi,.Kuna siku nilipitia mafundisho yako juu ya kuomba jambo Kwa kumshukuru, aisee kweli Mungu kanipa hitaji langu, Mungu akubariki sana mtumishi
@carolinemwugusi8945
@carolinemwugusi8945 Год назад
Amen powerful teachings barikiwa pastor
@catherinekihengu2420
@catherinekihengu2420 Год назад
Amina pastor ubarikiwe kwa ujumbe mzuri ulisababisha mpaka nikabatizwa kwenye mahubiri ya ushindi hatimae pastor Mungu akupe maisha marefu Amen🙏
@DavidJoseph-pw9yz
@DavidJoseph-pw9yz Год назад
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu, hakika mimi toka niamini katika imani hii ya waadventista wasabato, mahubiri yako ya menifanya kuipenda kazi ya uchungaji, Hadi Leo hii napenda ningeanza kusoma masomo ya uchungaji lakini kipato duni, pastor Mungu azid kukubariki sana katika maisha yako na uzidi kutulisha neno lake, na roho zipate kuongolewa kila iitwapo leo
@hbdina
@hbdina Год назад
🇹🇿🇹🇿🇹🇿Ndio Mchungaji tutunze mbegu zetu za asili kwa jina la Yesu Kristu Amen
@DavidMwaniki-s4s
@DavidMwaniki-s4s Год назад
Pastor mbanga , nashukuru kwa mafundisho Yako , Mimi ni daudi kutoka busia Kenya na ningependa kushea na wewe ushuhuda ambayo mungu alinitendea nilipotumia kanuni ya ujasiri
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Год назад
Mungu akubariki Daudi! Unaweza kunitumia kwa WhatsApp
@margaretwanjiru9096
@margaretwanjiru9096 Год назад
Kila siku namjua Mungu zaidi na zaidi kupitia mafundisho yako Pastor....Barikiwa sana
@rahabumorro4148
@rahabumorro4148 Год назад
Asante sana nimebarikiwa mno Mungu atukuzwe sana
@esthersimuli9952
@esthersimuli9952 7 месяцев назад
Amen
@jailomhengilolo2898
@jailomhengilolo2898 Год назад
Barikiwa kwa neno hili la matumaini, Bwana azidi kukutumia ahsante.
@farajasteven9856
@farajasteven9856 Год назад
Pastor naomba nikupe ushuhuda Kupitia fundisho la nguvu ya ufalme uliopo ndan yetu ,nilikuwa naelezea mahal tukiwa na rafiki yangu ,kumbe alikuwa anapitia changamoto kubwa sana mda mrefu,nilieleza kipande ulichomshudia kijana mmoja ambae alikuwa mraibu wa jambo flan,akasema Yesu Leo twende wote ,na akapona tokea hapo ,bas huyu rafiki yangu akayachukuwa Yale maneno akayafanyia kazi,,maana alikuwa anakabwa na kinyongwa Kila akienda kulala hivyo siku hiyo na yeye akasema Yesu uko ndan yangu,bas Leo naomba tukabwe wote anasema Ile amelala vikaanza kidogo mwisho vikapotea ,ameniambia juz kuwa ana wiki sasa analala kama mtoto,,Jina Bwana litukuzwe sana
@SaitotiHinyura
@SaitotiHinyura Год назад
Amina
@allround8056
@allround8056 Год назад
Amen! This is the classic example of "they defeated him by the blood of the lamb and by word of their testimony!" Hallelujah!
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga Год назад
Ameeeeeen
@josianeniyonkuru5796
@josianeniyonkuru5796 Год назад
Mungu asifiwe sana nimebarikiwa
@NesthaSimeoni
@NesthaSimeoni Год назад
Ubarikiwe pastor
@MahubiriTv2
@MahubiriTv2 Год назад
Mungu awabariki
@GiftSimbeye-e2f
@GiftSimbeye-e2f Год назад
Kila nilijarbu kupig a hatua najikuta narudi nyuma doesn't matter kwenye maisha ya kiroho pia hata kwenye fiscal yaani kiuchumi, nimejaribu Zaid ya mara tatu Nahitaji macho ya kiroho please pray for me spirit and spiritual.
@geraldmwangira.4978
@geraldmwangira.4978 Год назад
Amen ubarikiwe Pastor kwa somo zuri.
@jaredmayaka2993
@jaredmayaka2993 Год назад
My sister hope you're doing well
@jaredmayaka2993
@jaredmayaka2993 Год назад
My sister hope you're doing well
@geraldmwangira.4978
@geraldmwangira.4978 Год назад
@@jaredmayaka2993 yh am fine my bro, how about you?
@nancyabura7316
@nancyabura7316 Год назад
Tunaokolewa kwa neema
@BarnabasJonas-nv4ig
@BarnabasJonas-nv4ig Год назад
AMINA
@farajasteven9856
@farajasteven9856 Год назад
Namuona Jemima hapo barikiwen
@upendoramadhan9222
@upendoramadhan9222 Год назад
Amen nimejifunza
@angelnziajose7655
@angelnziajose7655 Год назад
Hivi ni mimi simu yangu au Kama Kuna sehemu inaruka ulianza nibadili Jina mara imeruka sehemu nyingine au ni simu yangu?
@saulidongo1865
@saulidongo1865 Год назад
Ni kweli inarka nadhan ni tatzo la kiufundi
@jolemerci2155
@jolemerci2155 Год назад
Wa imbaji kavaa vema sana hawa wanao vaa miwani njo katu changanya ila kwa mavazi ni asili Mia % 100
@waltergekone3879
@waltergekone3879 Год назад
Week mbili tumekumiss sana
@priscaayo3878
@priscaayo3878 Год назад
Mmeondokamo?!
@BhokeRita
@BhokeRita Год назад
Amen
Далее
Day 2 | IEM Rio 2024 | Playoffs | КРNВОЙ ЭФИР
6:11:51
Will A Basketball Boat Hold My Weight?
00:30
Просмотров 29 млн
HATMA YA DUNIA NA  MANABII WA UONGO Na  Pr  David Mmbaga
55:34
TOFAUTI BAINA YA SHARIA NA TABIA
51:27
Просмотров 1 тыс.
KANUNI SAHIHI ZA MAOMBI(principles of prayers)
49:29
Просмотров 87 тыс.