Тёмный

🔴 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 5 тыс.
50% 1

🔴#Live: KEY MZIWANDA AWALIPUA VIONGOZI SIMBA - ''NIMELIA SANA - USAJILI wa INSTA - WAACHE SIASA''...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

3 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 16   
@globaltv_online
@globaltv_online 4 месяца назад
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@STELLAMARCELY
@STELLAMARCELY 4 месяца назад
KEY pole sana dada....tumeumia wengi.
@ManzabaySalim
@ManzabaySalim 4 месяца назад
Mziwanda nakutoalea viza uje 🇴🇲 oman mm yanga tuishii mwezi mmoja tuu
@AyubuSaid-d5z
@AyubuSaid-d5z 4 месяца назад
Viongoz Mangungu try a genius achani TIMUYETU HAMTUFAI
@silvanuskisinza4303
@silvanuskisinza4303 4 месяца назад
We dada nimekupenda sana kwa sababu umeongea vizuri. Viongozi wa simba hawajawahi kuwa na akili. Huyo mwekezaji ndo wa kwanza kuondoka hafai.
@aminapoyo5160
@aminapoyo5160 4 месяца назад
Hakika Aliemleta Jobe na Babacar Mungu Anawaona na Comm zao na 10% zao
@silvanuskisinza4303
@silvanuskisinza4303 4 месяца назад
Jobless haaaaaahaaaaaa dada umeongea kweli. Viongozi wa simba ni madalali wa viwanja.
@hamisiyoyo5847
@hamisiyoyo5847 4 месяца назад
TAYARI wamesha anza kupuyanga KIBU ni wa m350 😂😂😂haya na hao maduka ya UTWOPWAX MACHA na MANYULWA wanawaongezea mkataba 😂😂😂
@ManzabaySalim
@ManzabaySalim 4 месяца назад
Ha Haa fanyanye kama yanga wanachanga pesa
@PhilkevinFelix
@PhilkevinFelix 4 месяца назад
Maumivu niliyo nayo mimi niliyeanza kushabikia Simba kuanzia mwaka 1968 na kuwa mwanachama kuanzia mwaka 1980 ni magumu, magumu kupitiliza. Yaani watu walioijua Simba mwaka 2000 wanatugeuzia Simba yetu kuwa ushubwada. Jamani tupisheni. Tuachieni klabu yetu.
@georgeernest8620
@georgeernest8620 4 месяца назад
Viongozi wetu wa Simba sports club wote wamejitolea akili zao,maarifa yao na nguvu zao katika kutimiza malengo ya muwekezaji na kusahau malengo ya klabu,wapo kwa ajili ya kuchumia Tumbo.Pili,wanachama wa Simba wanayumbishwa na machawa wa viongozi na muwekezaji.Wachezaji,tusisajili kwa ushabiki wala miemuko.Tuangalie hali halisi ya mchezaji kwa sasa, je anatufaa.Wanachama, wapenzi na mashabiki wa Simba tujitafakali,vijana wengi wamewekwa Simba kulinda maslahi binafsi ya watu,Muda wa kuwaondoa ni sasa.Wanachama Jitokezeni kujiandikisha kuomba mkutano wa dharura na kuwaondoa wote wahusika hata kama ni mwekezaji.Tuanze upya,wanao taka kuwekeza Simba wako wengi,Pili uwekezaji usiwe wa mtu mmoja.Napendekeza uwe wa wawekezaji watatu wenye asili ya Mtanzania halisi,mwa Asia na mzungu.
@gregoryshao1302
@gregoryshao1302 4 месяца назад
Tuchange tu kusajili maana tuna wkt mgumu sana kina jobe na fredy babakar hakuna kitu wako tu wengi kina kagoma mbona
@Veni584
@Veni584 4 месяца назад
Ulitoa ahadi ya kuolewa mkishindwa tekeleza hilo kwanza
@badendavid8456
@badendavid8456 4 месяца назад
Acheni kulaumu ovyo tujipange tu
@nasseralshaibani6995
@nasseralshaibani6995 4 месяца назад
Huyo mziwanda ni chawa tu wa try again na mangungu
@saulikinahi6703
@saulikinahi6703 4 месяца назад
😂😂eti jobless
Далее
Вопрос Ребром - Серго
43:16
Просмотров 1,8 млн
🎙Пою РЕТРО Песни💃
3:05:57
Просмотров 1,3 млн
Вопрос Ребром - Серго
43:16
Просмотров 1,8 млн