Тёмный

FEI TOTO HAWEZI KWENDA SIMBA| TAYARI AMESHAVUTA BONASI YA MILIONI 90 KWA KUTIMIZA MAGOLI 10 AZAM FC 

Wasafi Media
Подписаться 4,6 млн
Просмотров 49 тыс.
50% 1

𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Развлечения

Опубликовано:

 

27 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 23   
@rufadiladebela7089
@rufadiladebela7089 9 дней назад
Kila siku simba mala simba anawazee Leo tena simba anasajili vijana hawana discipline namashindano munaubongo gani nyinyi wambwaa ee
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 Месяц назад
Hakuna cha mkataba wa bn moja kwa usajili wa Feisal. Mkataba kama huo hauwezi kuwa valid kwasababu unavunja haki za binadamu. Hakuna kitu kama hicho Fifa. There is no easy noney like that. Ndiyo maana hata Ibwe alisema yanga hawalambi hata mia kuuzwa kwa Feisal. Lakini hata hiyo ingekuwepo mnamwona MO hana hela hiyo? Huyu mzee wa zandaaan anajitekenya na kucheka mwenyewe. Ameshikilia bango kila siku kuhusu 1bn utadhani yeye ndiye kamzaa Feisal. Hakuna jambo isilowezekana chini ya jua ili mradi pande hizo mbili zikubaliane. Ninyi kaeni na chuki zenu zitawaumiza wenyewe.
@SamiraseifAlfan-ph4ke
@SamiraseifAlfan-ph4ke Месяц назад
Mzee wa kaliua nimechekaa sana et kubuu kubaa😂😂😂
@saidseleman2973
@saidseleman2973 Месяц назад
Usjili bado msimalize maneno mtaona aibu acheni uyanga kwenye kazi
@VictorMaoni
@VictorMaoni Месяц назад
Iv jmn hivi mnalipwa nn na hao maana Kila kukicha ni kuichafua Simba
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 Месяц назад
Huyo ni yanga HAKUNA MKATABA HUO FIFA
@user-rf9vn7lz1n
@user-rf9vn7lz1n Месяц назад
Mim sipend kuwasikiliz maan wanapend kuipond simb sin
@user-mw2jx9ou6r
@user-mw2jx9ou6r 11 дней назад
Wewe ni mwongo sana
@user-co1bk7wo7t
@user-co1bk7wo7t Месяц назад
Eeh momo kumbe nisimba
@AMOSMAPESA
@AMOSMAPESA Месяц назад
Duhhhh
@user-mw2jx9ou6r
@user-mw2jx9ou6r 11 дней назад
Mkumbushe Kwa maswali
@user-nq4md3sj6d
@user-nq4md3sj6d Месяц назад
FEI ndio footballer wa TZ aliejitambua mana angekuwa kule alipotoka asingepata hio hela
@hassanchiwambo687
@hassanchiwambo687 Месяц назад
Alijitambua wapi alihalibu pale bila mama samia kumuombea alikuwa pabaya sana.
@YOSHUAMWAMPETA
@YOSHUAMWAMPETA Месяц назад
INAMAANA CHAMA HAWEZI KUIMIA
@hijmalfatal1084
@hijmalfatal1084 14 дней назад
😂😂😂😂😂😂 momo tumemzoeya kwel
@shaviercharvinho18
@shaviercharvinho18 Месяц назад
Ety Shekhe momo
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 Месяц назад
Akikubaliana na timu akavunja mkataba si anaenda kiwepesi
@hafidhnzota2142
@hafidhnzota2142 Месяц назад
Feisal Baki Azam MAISHA baba
@wistonramadhan4803
@wistonramadhan4803 Месяц назад
Mzee wa kaliua kauliza swali la msingi kapewa jibu la kipuuzi
@MussaSaimon-ye1rv
@MussaSaimon-ye1rv Месяц назад
Acheni ushamba uwongo
@saidseleman2973
@saidseleman2973 Месяц назад
Feisal auzwi anavunja mkataba mmelala nyie
@isacksamuel5503
@isacksamuel5503 Месяц назад
tutakukumbusha
@emmanuellupiga
@emmanuellupiga Месяц назад
Bora hata baba lev umewakumbusha tulipata goli ref akatataa kikos kipana wewe
Далее
One moment can change your life ✨🔄
00:32
Просмотров 17 млн
КАК ДУМАЕТЕ КТО ВЫЙГРАЕТ😂
00:29
Девочку преследует бандит😳
1:00
Поймал редкий кадр🤨
0:22
Просмотров 6 млн