Тёмный
No video :(

🔴 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 28 тыс.
50% 1

🔴#Live: RAIS SAMIA AONGELEA MKOPO wa KOREA ULIOZUA GUMZO MITANDAONI - ''KWA MIAKA 40''...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 120   
@globaltv_online
@globaltv_online 2 месяца назад
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@martinkisha6307
@martinkisha6307 2 месяца назад
JPM aliwafungua sana watanzania ndiyo maana wanahoji kila kitu Rais aliye pita hakukodisha bandari wala loliondo na maeneoengine anayosema Lisu sasa hivi mkopo mnakopa na bandari mmewekeza na ushuru kwa wananchi ni mwingi mno na hakuna kipya mambo ni yaleyale hii mikopo inaenda wapi?
@LeodegardRutakyamirwa-hg9hu
@LeodegardRutakyamirwa-hg9hu 2 месяца назад
ACHA KUIONGOPEA WATU BORA MAMA ANASEMA KUHUSU HUYO MAGU RELI ALIKOPA AKASEMA PESA ZA NDANI JE PESA ZA MAKINIKIA ZIKO WAPI ULIPATA HATA HIYO NOAH
@kazenielimsemo3104
@kazenielimsemo3104 2 месяца назад
​@@LeodegardRutakyamirwa-hg9hul
@kazenielimsemo3104
@kazenielimsemo3104 2 месяца назад
​@@LeodegardRutakyamirwa-hg9hul
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 2 месяца назад
Mungu ampumzishe Kwa Amani Magu msimseme Kwa ubaya naye mazuri yalikuwepo pia
@Masengo-su3mf
@Masengo-su3mf 11 дней назад
Mungu atu kuzwe kumpa eshima awa ukombozi
@AbdilahiMriri
@AbdilahiMriri 2 месяца назад
Hongera sana Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Daktari Rais Samia Suluhu Hasani mke wangu jamani mpenzi wangu jamani na Mimi nna nyongeza hapo bila umuhimu kwamba iwe pia ni siku ya watu binafsi kujitokeza kujitangaza hadharani kwamba mm labda nikipewa shirika fulani naweza nikadabo gawio hilo la kiasi fulani.
@hassanmeidimimollel1874
@hassanmeidimimollel1874 2 месяца назад
Hongera sana mh rais wetu
@Kabwela776
@Kabwela776 2 месяца назад
Safi sana Rais Samia endelea kukopa wewe ni muwazi mwenzako aliwaku muongo alikuwa anakopa kama kawaida
@aminielyusufu4351
@aminielyusufu4351 2 месяца назад
Mungu akulinde Mhe. Rais wetu. Nakuamini sana kwa nia njema uliyonayo. Nakupenda bure mama yetu
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 2 месяца назад
We una faida nae sisi tunaona kuendelea kuuzwa mali zetuu atufaidiki chochote bodaboda kazii ngumu balabala mwendo kasii aziii ishii Kila sem Wana Jenga 2 bila mipango foleni Kila Kona kisa mwendo Kasi wanajenga bila viwango alafu WA kina chalamila wame nyamaza 2
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 2 месяца назад
Kwalipi
@sizorstartv6168
@sizorstartv6168 2 месяца назад
mfano je
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 2 месяца назад
Uko vizuri sana Ràis wetu
@simonmaziku4235
@simonmaziku4235 2 месяца назад
Sema ukweli 😢😢😢
@hafidhhemed1514
@hafidhhemed1514 2 месяца назад
Mama unamuhitaji Prof Asad, aliekua SAG wakat wa Magufuli akafukuzwa
@matthewmichaelsylvester5612
@matthewmichaelsylvester5612 2 месяца назад
hongera mama safari salama tuvushe nchi ya ahadi
@Masengo-su3mf
@Masengo-su3mf 11 дней назад
B elena jonsone liberia ila mama uyu wawili2 yanga bingwa daima mbele nyuma mafanikiyo
@fatmamansour2764
@fatmamansour2764 2 месяца назад
Nakupenda sana mama Allah akulinde na kila shari za majini na wanaadam
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 2 месяца назад
Shida ya huyu mama anaona watanzania hawana akili watu wataka matokeo na sio nonses
@HeboniBabu
@HeboniBabu 2 месяца назад
Una miyaka mingapi wewe kumbuka uliko toka watu tulikuwa tunavaa midabwada watu walikua wanakula unga wa falasi TV anayo nyereretu
@angelsgabriely3575
@angelsgabriely3575 2 месяца назад
​@@HeboniBabuacha mawazo mgando wewe,..tcnolojia hukua na kuongezeka dunian kote kila cku kunaibuka ujuz mpya na kizaz chenye akili tofaut,..hvyo kale ni kale na sasa ni sasa ujuz huongezeka kila kukcha na cyo huyo mama kaleta huo ujuz,..aache kukopa kopa kila kona ya dunia,huku wanachi wadogo kod kila kukicha hxo hela wanapeleka wap,..km wanakopa kwann wanaendelea kuumiza wananchi!?...hapana waache siasa kwan wa tz wasasa siyo wa zaman
@gilbertkessy7388
@gilbertkessy7388 2 месяца назад
Dawa yenu Ni katiba mpya
@daudimchileg307
@daudimchileg307 2 месяца назад
Weee Mama apana hata makonda amekushinda kutekeleza utendaji wa kaz kwa wananchi,ndoto za makonda zinaenda sawa
@Masengo-su3mf
@Masengo-su3mf 11 дней назад
Msamahaa kwetu nilazima ila inategeme yana namakosa
@Nedjadist
@Nedjadist 2 месяца назад
Pengine nimechelewa: mageuzi gani anayoyazungumzia?
@Masengo-su3mf
@Masengo-su3mf 11 дней назад
Chini ya maguli wanawake tunaweza kaz iyo
@tidomilinga3750
@tidomilinga3750 2 месяца назад
Nmb hiyo ni hatari mno kwa sasa ndio benk inayoongoza kuuza nyumba za watu huku mtaani kwetu
@Masengo-su3mf
@Masengo-su3mf 11 дней назад
Namuhona mabeyo gm q
@andreauisso3225
@andreauisso3225 2 месяца назад
Kama nimesikia vizuri mauzo ya bandari yameanza kuonekana, kasema Mama msikilize vizuri amesibitisha kuwa ameuza bandari na matunda ya mauzo ya bandari yameanza kuonekana
@angelsgabriely3575
@angelsgabriely3575 2 месяца назад
Kwan ataacha kusema hayajaonekana!..hata km ingekuwa ni wewe raisi lazma ungesema hameonekana hata km hayajaonekana kwan rais akisema wengi husklza na kuamini lkn hamna kitu hizi ni siasa tupu chumia tumbo
@LeonardKajiba
@LeonardKajiba 2 месяца назад
Kama mashirika yetu yanaweza tuyawezeshe ili tusikope sana .Tukumbuke msemo usemao kukopa harusi kulipa matanga
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 2 месяца назад
People are just cheering but you know you are hurting us Tanzanians
@mosesnyelo1380
@mosesnyelo1380 2 месяца назад
Amekuumiza na nin
@madreks253
@madreks253 2 месяца назад
Uongo na mafisadi! Viongozi wa Tanzania ni wezi na wanaendesha serikali ya wizi....amkeni wa Tanzania!
@angelsgabriely3575
@angelsgabriely3575 2 месяца назад
Ni tuamke tena haraka,..kwan kidogo nasi tutauzwa,..hapana hii imezd,..kila kona kukopa huk wananchi wakichunwa kwa kodi na tozo za ajab,..cjui wanapeleka wap hiz hela hawana huruma kabsa na wananchi wa chin
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 2 месяца назад
Shida yako mama nikubembelza too much w ruhwa na ubadhirfu mwingi Hakuna hatua nonses
@saidbakar-qo6ri
@saidbakar-qo6ri 2 месяца назад
Taasisi zinatakiwa kuwa huru kwenye utekelezaji sio kuwapa watu hofu kama magufuli mama ameziachia taasisi zifanye kazi yake ipasavyo kwa kujiamini sasa magufuli alitaka kila kitu afanye mwenyewe kitu ambacho hakiwezekani ndio maana nchi walimwachia peke yake polisi wewe hakim wewe waziri wewe mkuu wa mkoa wewe kila kitu yeye tu,kwa mama hilo halipo taasisi zikiwa imara hata rais akiwa mlevi nchi itaenda vizuri kwa sababu ya nguvu za taasisi si unaona rais wa marekani hana kazi ya kufanya zaidi kufikiria kuipiga iran au urusi hana kazi nyingine kwa sababu taasisi zinamsaidia majukumu kiasi kwamba hata rais akifa mambo hayaendi kombo ni bora kuzitegemea taasisi kuliko kumtegemea mtu mmoja akifa tunalia si unaona magufuli alipokufa tulilia sana kumbe hatukujua kuwa nchi ni taasisi na sio rais pekee kwa sababu rais anaweza
@HeboniBabu
@HeboniBabu 2 месяца назад
Ata America lushwaipo
@tidomilinga3750
@tidomilinga3750 2 месяца назад
Sio mungine ajiajili mwingine aajiliwe sio kweli maisha mazur kuajiliwa na sio jijiajili
@matthewmichaelsylvester5612
@matthewmichaelsylvester5612 2 месяца назад
tunakuelewa mama sana.....!!!
@matukutajuma156
@matukutajuma156 2 месяца назад
MAMA MIKOPO SIO DILI! KOMAA NA MADINI GAS UTALII
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 2 месяца назад
Hatukutaki kabisa tokea alipokufa mpenndwa wetu magu we ndio umeamua kuiuza tanganyika yetu
@angelsgabriely3575
@angelsgabriely3575 2 месяца назад
Kwel,..hatutak,..ameshndwa nchi,..kaz ni kukopa kila kona ya dunia huk wananchi wa chin wakixhunwa kod na tozo za ajab kila cku bila huruma,..yeye anawalinda vgogo na wakuu watu wa chin hana habar nao
@dorahy1579
@dorahy1579 2 месяца назад
Unakopa sana, hali wizi unapamba moto. Wastage wako hawalipei retirement rights zso. Upo kweli wewe Kama rais?
@tidomilinga3750
@tidomilinga3750 2 месяца назад
Wazo langu Umri wa kustafu upunguzwe miaka mitano aajiliwe mwingine kila MTU apate hii nchi ya sisi wote sabu Hamna ajira miaka mitano awekwe mwingine
@piusmusigula3512
@piusmusigula3512 2 месяца назад
Jamani naomba kueleweshwa. Awamu ya 5 tuliambiwa tumeingia uchumi wa kati. Sasa huu uchumi wa kati wa sasa hivi ni upi?
@Carolina-sm5zt
@Carolina-sm5zt 2 месяца назад
Tulishuka baada ya Magufuri kufariki naona sasa tumepanda tena
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 2 месяца назад
Jamani mnyonge mnyonheni ila haki yake mpeni. Huvi ni kweli mnaosema hakuna kinachofanyika nchini mnaanisha
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 2 месяца назад
Hakuna ndio tuambie kama unajua kinachofanyika. Kila mtanzania mwenye luku ya umeme analipa kodi ya jengo hata kama hamiriki ambao ni wizi, tozo, kodi mikopo huu mwaka wa nne. Tuambie kilichofanyika!
@zobakazizi7637
@zobakazizi7637 2 месяца назад
Barabara ya tungi inajengwa lini?
@tidomilinga3750
@tidomilinga3750 2 месяца назад
Yani kila nch itudai tu
@japhetkarori5230
@japhetkarori5230 2 месяца назад
Ivi uyu kikongwe anatoa hotuba!!?? ama ndo zile story za bhunuhasi na kusutana
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 2 месяца назад
Tunataka matokea mama hatutaki maneno mengiiiii hali ni mbaya
@tidomilinga3750
@tidomilinga3750 2 месяца назад
Yani mpaka Korea naye atudai
@user-zk9ox3di4b
@user-zk9ox3di4b 2 месяца назад
asante sana Samia kwa kusumbua jamii ya watanganyika na CCM yako nakutuita machura wakupiga kelele ngombe akinywa maji kwamaana iyo basi wewe ndio ngombe anaekunywa maji sisi tuwapenda sana wabunge wetu ila atuipendi CCM yako unatuletea umasikini makubwa sana watanganyika sana sana sisi umetudharau sana ukipigiwa makofi sisi tunauliza utuambie wewe Samia unataka tulie mpaka lini je mnasema maridhiano wakati wakulima Awana lolote la kujivunia unafuraia sisi wamasai na wengine tukilia na umasikini wetu kwanini autujali kabisa wilayani atuhudumiwi ipasavyo kwanini Arusha atuna waziri wala mkuu wa mkoa Wala mkuuwa
@fatmamansour2764
@fatmamansour2764 2 месяца назад
Tunakuombea dua mama ktk haya masiku 10 ya dhulhijja
@tidomilinga3750
@tidomilinga3750 2 месяца назад
Haya madeni haya kwa mini asilipe Huyo wa bandali mkulina aachwe na ile mashine
@blandinamwarabu5025
@blandinamwarabu5025 2 месяца назад
Kazi indelee sio
@tidomilinga3750
@tidomilinga3750 2 месяца назад
Hayo mahela mnafanyia mini mbona hats hamuajili
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 2 месяца назад
mungu akulinde mama uendelee kukopa bila kukopa hatutoboi kwani mpaka ukimaliza mda wako ukiacha deni la trion 600 kuna shida gani utakua umefanya kazi kubwa unaupga mwingi mno
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 2 месяца назад
Nchi inauzwa wewe
@kutailass6671
@kutailass6671 2 месяца назад
😂😂😂😂 wacha nicheke mie
@user-nw1io4cz5u
@user-nw1io4cz5u 2 месяца назад
😮😮😂😂😂
@Masengo-su3mf
@Masengo-su3mf 11 дней назад
Nawasi rudi tena
@minazsaid2470
@minazsaid2470 2 месяца назад
Tanzania hta haijui inataka kuelekea wapi watu wake wamekosa amani na viongozi wao vijana hawana ajira .
@user-vv4wo5fu9t
@user-vv4wo5fu9t 2 месяца назад
Mama mikopo imezidi mnoo unaamanisha nini ktk hii nchi. Alafu huu mkopo unayokopo anufaishi watanzania tunaona wananufaika vigogo wa nchi tuu sio wanaonchi wanyonge kimtazamo wewe mama kaa kando tuu unaipeleka nchi pabaya sababu wewe Rais upo na remote inakuongoza wewe umekaa kama bonye tuuu tuwachie hii ncho yetu...
@angelsgabriely3575
@angelsgabriely3575 2 месяца назад
Kwel kabsa yani upupu mtupu!..kila kona ya dunia ni kukopa huku wananchi wanachunwa kwa tozo na kod kila kona,..hiv wanajitambua kwel?..wanapeleka wap hizo hela au niza matumbo yao na vgogo,..kwan huyu bibi hanaga habar na watu wa chini,..yeye habar zake zpo kwa wakuu na vgogo kuwalinda huk wananchi wa chini waktolewa dam kwa kuchunwa kod,..km wanakopa kila kona kwanini wanaendelea kuchukua kod za wananchi tena wa hal ya chin?..hapa hakuna kitu ye wazr wake wa fedha ni majipu nchi imewashnda
@AMENMUSHI-wt4li
@AMENMUSHI-wt4li 2 месяца назад
Mmm
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn 2 месяца назад
Endelea na kukopa tuendelee tz
@Nedjadist
@Nedjadist 2 месяца назад
Napata taabu kusikiza. Hata lugha ni ya uswahilini!
@user-lx2lo2lp8m
@user-lx2lo2lp8m 2 месяца назад
Mama soma comments za watu,nakuhurumia sana kulinda heshima Yako achana na kugombea uraisi,umeshachoka huna jipya Kwa watanzania nenda kwenu kapumzike!..mmefilisi nchi mnakula nyie tu,mlaaniwe!...
@kutailass6671
@kutailass6671 2 месяца назад
Kwenye familia yako kuna ata moja anaweza kuongoza kwa uadilifu asilimia 100? Acha kutupia watu laana usikute mwenyewe upo laanani hapo ulipo
@angelsgabriely3575
@angelsgabriely3575 2 месяца назад
Kwel kabsa!..hiv wanakopa kila kona ya dunia huku wananchi wa chini wanawachuna kwa tozo na kod za ajab hiv hawa watu wanaonaje wa Tz,..km wanakopa kwanini waendelee bado kuumiza wananchi wa chini kwa kod na tozo za ajab kila kukicha?..hapa kuna kitu hakjakaa sawa lkn nnachofurah wa Tz wa sasa cyo wale wa zaman,..hawadanganyiki na wanajielewa sana ngoja tuendelee kutzama mvua ikinyesha ili tuone panapo vuja!
@tidomilinga3750
@tidomilinga3750 2 месяца назад
Jp naye alikua anakopa hivoivo au
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi 2 месяца назад
Mama tuna kupenda ila tunaomba katiba mpya
@denisjoel1592
@denisjoel1592 2 месяца назад
Mama mikopo ya nini jaman maisha magum huku mtaan kwann msikusanye za ndan tunaingia kwenye shida tunaomba uache kukopa tunakupenda lkn mikopo hapana ,na pia katiba mpya tuanahitaj mama
@AllyMaya-yj3xd
@AllyMaya-yj3xd 2 месяца назад
Marekani yenyewe inakopa world bank unashangaa Tanzania kukopa ?
@martinkisha6307
@martinkisha6307 2 месяца назад
Bona hakuna kipya . pia mkopo ni utumwa na aibu kwa rasilimali tulizonazo
@salmanmagwe222
@salmanmagwe222 2 месяца назад
Ndugu yangu wa Tz ni watu wa ajabu mno: Kwanza hawataki kulipa kodi,wakiamini wao hawastahiki. Pili hawataki kukopa nje, Je mtapataje maendeleo kwa njia hii? Tatu hatujui kuchakarika na kuzitumia fursa zilizopo,kuliko wa nchi jirani wanaozunguko kote duniani kutafuta maisha.hata huku kwetu wamejaa kila mahali na hata mashambani na kazi yetu imebakia kulalamika tu.
@NDEWARA
@NDEWARA 2 месяца назад
​@@salmanmagwe222Asante sana kwa kutuambia ukweli mtupu
@lingsonKasomwa-ho1tf
@lingsonKasomwa-ho1tf 2 месяца назад
Chapa kazi mama yetu mpendwa tuko pamoja
@RamadhanSaleh-zz2yb
@RamadhanSaleh-zz2yb 2 месяца назад
Mhe rais mwenyezimungu akuweke tunakuamini
@tidomilinga3750
@tidomilinga3750 2 месяца назад
Sahizi tunatembelea sela gani ile ya viwanda au
@emmanuelmasele9585
@emmanuelmasele9585 2 месяца назад
Eiiii!
@AMENMUSHI-wt4li
@AMENMUSHI-wt4li 2 месяца назад
Mm
@GeofreyMwandanji-ot2lf
@GeofreyMwandanji-ot2lf 2 месяца назад
Ss wahali yachini tuishi kama mbwaaa kumbuka mtakuja kutuomba kula pia tuna wasubili sana😮
@salambafrancis6840
@salambafrancis6840 2 месяца назад
mikopo yako haina matokeo kabisa Mimi niko mtaani huku sioni linaloendelea
@nasaelmanya1850
@nasaelmanya1850 2 месяца назад
Tumbuatumbua la mama Abduli
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn 2 месяца назад
Mmmm masomo ya uchumi ni muhimu wewe unaona ni pesa nyingi hazijafika hata trioni wadaganyeni tu. Deni la nchi mpaka leo Tanzania trion 70 mpaka sasa kila mtz anadaiwa milion moja.
@samvande2002
@samvande2002 2 месяца назад
Hamna kitu
@salumsimai642
@salumsimai642 2 месяца назад
Piga kazi mheshimiwa kazi iendeleeee
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 2 месяца назад
Wache watukane Rais Samia 😂😂😂 wewe Mwanamke wa kiungwana …hao wanokutukana wao wenyewe MATUSI matupo lakini kazi yao kutukana watu hawalali. Lakini Mungu ni mkubwa.
@EsterYohana-ix7ii
@EsterYohana-ix7ii 2 месяца назад
Viongozi wetu matatizo yanchi mnayajua vizuri nani anawazuia kuyatatua hizo ngonjera zinamsaidia nn mwananchi wa kawaida hayo maneno yanabaki kuwalinda wenye suti tu Mungu atajibu
@NdebileMathias
@NdebileMathias 2 месяца назад
Da! Mama hadi ameamua kutuita chura
@salumsimai642
@salumsimai642 2 месяца назад
Wacha ujinga na uchonganishi ww umeitwa chura saaangapi?
@YaziduIddy
@YaziduIddy 2 месяца назад
Kama wew ndo unamtukana basi kweli we ni chura
@salambafrancis6840
@salambafrancis6840 2 месяца назад
Sisi churaaa ila huyu raisi
@neemakerefu4876
@neemakerefu4876 2 месяца назад
Mama yangu Upo vizuri Ila Naomba ufuatilie hizo Hela vizuri ili watanzania wafaidike Pesa nyingi zinaishia matumboni mwa watu .miradi inaenda taratibu pesa zinaenda kwenye mifuko ya watu
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 2 месяца назад
Huwezi kufuatilia kitu kibaya ambacho unashiriki. Ukisema nisiibe nitakuuliza kwanini wewe unaiba? Ukiona kiongozi mkali kwenye ujue yeye sio mwizi. Kwa Tanzania Marais wawili tu walifanya hivyo Nyerere na Magufuri kwa sababu walikuwa sio wezi na ndio maana walikuwa wakali kwenye wizi. Rais Samia mapema tu kwenye kikao cha baraza la mawaziri aliwaambia mawaziri wale kwa urefu wa kamba zao lakini wasivimbirwe. Umesahau? Magufuri hakutaka chawa kwa sababu chawa wake walikuwa kazi zake nzuri tulimpenda kwa hilo.
@user-iz4te4gs5s
@user-iz4te4gs5s 2 месяца назад
Public. Coments
@joscamwoshezi2986
@joscamwoshezi2986 2 месяца назад
Asiye fanya kazi na asile. Hakuna atakayekuwekea pesa mfukoni.
@maryhando227
@maryhando227 2 месяца назад
Achana uwongo, Mungu anakuona, hii dunia tunapita . Hutaishi milele, waaambie watumishi wako, waache kunyanyasa watu wa hali ya chini. Sitaki kusikia sauti.
@user-ql3yr6fi7o
@user-ql3yr6fi7o 2 месяца назад
🧐🧐🧐🧐🧐🧐🧐
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 2 месяца назад
Hata akija Rais mwengine baada ya Rais Samia 😂😂😂😂 ndio LAWAMA itazidi na Rais huyo atakae kuja pia MTAMTUKANA mara 100 zaidi kuliko Rais Samia. Mchezo huo utaendelea …. Au Rais awe Muuwaji hapo ndio MTANYAMAZaaaaaa.
@kutailass6671
@kutailass6671 2 месяца назад
😂😂😂😂😂😂kifo chenyewe hakiogopek siku hiz
@Nedjadist
@Nedjadist 2 месяца назад
Huu pia ulikuwa ubunifu wa JPM. Tangu NYERERE hatukuwa twajua au kusikia GAWIO! Na hata serikali zilikuwa hazijui na mara kadhaa hazijusanyi!
@salambafrancis6840
@salambafrancis6840 2 месяца назад
Umejuaje kama wanakupigia kelele
@user-nw1io4cz5u
@user-nw1io4cz5u 2 месяца назад
😅😅😅
@section8ight174
@section8ight174 2 месяца назад
Sleep inducing speech!!
@yothamgwanika9530
@yothamgwanika9530 2 месяца назад
Mauzo ya bandari zote faida yake ndio hiii, na faida zaidi tutaona mbelee 😂😂😂. Kumbe kwelii zimeuzwaaa. Sasa tusipo ona faida ? . Hasara zikitokea ? Mmmmmh. Am fear
@kutailass6671
@kutailass6671 2 месяца назад
Kinacho takiwa ni kua makini wekez akili yako uwe muelewa vizur anacho manisha
@GeofreyMwandanji-ot2lf
@GeofreyMwandanji-ot2lf 2 месяца назад
Nyelele Alisha sema atakaye wapuza wananchi iposku 😂😂😂😂
@kutailass6671
@kutailass6671 2 месяца назад
Njelele🤔
@fatmamansour2764
@fatmamansour2764 2 месяца назад
Piga kelele kwa mama Samiha oyeeeeeee
@fatmamansour2764
@fatmamansour2764 2 месяца назад
Mama wape misemo yenu ya kiunguja chura chura
Далее
Friends
00:32
Просмотров 177 тыс.
4 al talah
3:52
Просмотров 1,4 тыс.