Тёмный

🔴 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 29 тыс.
50% 1

🔴#Live: RAIS SAMIA - ''KARIAKOO KUNA SIASA - NILITUMA TIMU KISIRI - HAWAJUI WANAGOMEA NINI''...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 80   
@globaltv_online
@globaltv_online 3 месяца назад
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 3 месяца назад
Mama kama Mama❤❤❤ Sasa kazi imeanza Kivumbiii .kuna fimbo naiona inaanza kuwanyemelea walipa kodi wadogo wadogo kwa Kuvuli cha MAAGIZO ya Mama... wasimamizi msimpake Mama wa watu matope.
@browskymuba6923
@browskymuba6923 3 месяца назад
Mamangu mungu akulinde japokuwa watanzania hawana shukrani na mungu atakulipa kwa yote wanaosema bindamu ni mtihani sana
@hassan-sarumbo
@hassan-sarumbo 3 месяца назад
kwendraaaaa uko i hate all
@DaudElias-w7v
@DaudElias-w7v 3 месяца назад
Mungu akulinde akuepushe namabaya wewendo mama tunakutegemea🎉🎉🎉
@umranim5854
@umranim5854 3 месяца назад
Mungu akujalie kila la kheri akuepushe na Shari zao mahasidi na roho zao mbaya wasio jua au kukumbuka fadhila
@AbdulMwengwa
@AbdulMwengwa 3 месяца назад
Mama nimekuelewa Sana katika maagizo yako kwa yusufu
@OnesyMbembe-e3v
@OnesyMbembe-e3v 3 месяца назад
Safi kabisa mheshimiwa Rais ujumbe wako wa leo umeonyesha namna ulivyo mzalendo wa kweli good job
@RamadhaniYahya-ls8li
@RamadhaniYahya-ls8li 3 месяца назад
Mama tunakupenda sana kwa kazi unayotufanyia watanzania
@AnoliasiKope
@AnoliasiKope 3 месяца назад
saix umenoga raisi wetu
@meryshekoloa961
@meryshekoloa961 3 месяца назад
Mungu akupe ujasiri unawaagiza wakifika huku wachumia tumbo
@aminaomary5567
@aminaomary5567 3 месяца назад
Yaan MAMA nimekupenda sana kumchagua Jembe Jafo kuwa waziri viwanda❤❤❤🎉🎉
@FabianMlanda
@FabianMlanda 3 месяца назад
Leo Mama umeongea safi sana mama Samia
@shebatimathayo8471
@shebatimathayo8471 3 месяца назад
Raisi hongera hapo nimekuelewa swala la kariakoo mama.
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 3 месяца назад
Nikweli mama hongera sanaa👍👍👍👍👍
@beinafuu6219
@beinafuu6219 3 месяца назад
Jaman kweli
@RajabuMkonje
@RajabuMkonje 3 месяца назад
Mama waambie TRA wawaelimishe wafanyabiashara na sio kuwawekea makufuli mlangoni wengi wao hawaijui maswala ya biashara tena ikibidi mama chukua makufuli yote ya TRA kayafungie stoo ikulu nakerwa xn na MAKUFULI wanakua wababe sana, komesha ubabe TRA, 2024 mwisho wa ubabe TRA. watoe elimu
@Felix72282
@Felix72282 3 месяца назад
Hapo sawa
@shekhaahmed3961
@shekhaahmed3961 3 месяца назад
Mwenyezi Mungu akulinde n akubariki na sisi Mwenyezi mungu ajaalie tuwe Raia wema kwako.
@kichenjekichenje2072
@kichenjekichenje2072 3 месяца назад
Ushuziii
@miriamumasswwmassawe9165
@miriamumasswwmassawe9165 3 месяца назад
Mama mimi nakukubali sana
@EvanceMputa
@EvanceMputa 3 месяца назад
Hongera mama kwa kutuletea sulemami jafo good
@damianikimario5695
@damianikimario5695 3 месяца назад
Kodi mama sawa pamoja na mazuri mengi tupuguziee Kodi kidogo tu. tuchape kazi kodi bado ni tatizo mama bithaa nyingi zipo juu sana
@tztanzania2262
@tztanzania2262 3 месяца назад
Jafo kapewa kazi ngumu!tumuombee tu aweze
@jamesalbert7435
@jamesalbert7435 3 месяца назад
.maneno mazuri sana. Viongozi mlioteuliwa mama mmemwelewa vizuri?
@marthaswai1185
@marthaswai1185 3 месяца назад
Hongera Mheshimiwa Rais.
@KarumeKindamba-lk1px
@KarumeKindamba-lk1px 3 месяца назад
Nyuma ya wachina wapo baadhi ya wafanyabiashara wa kitanzania ni kesi inayofanana kwa wafanyabiashara wakitanzania wanauza kupitiawamachinga nawanapodaiwa kodi wanadai hawauzi.Wamachinga ndio wauzaji na wanunuzi wakubwa wa bidhaa za wafanyabiashara wa tanzania.Kwahiyo kilio cha baadhi ya wafanyabiashara nikutokananawao kutofaidika kutoka kwa wachina na wamachinga
@martinkisha6307
@martinkisha6307 3 месяца назад
Maneno mazuri viongozi wakuu lakini usimamizi wa watu wa chini ndiyo shida sana
@sadikielnyari1310
@sadikielnyari1310 3 месяца назад
Angalizo.,, isikute hao uliowatuma kwa siri ndiyo wanakudanganya maana kila mtu anajua tatizo ni wingi wa Tozo.
@karimmunis8302
@karimmunis8302 3 месяца назад
Anadai eti wafanyabiashara hawataki kulipa kodi .ukilipa kodi kama inavyotakiwa nchi utafilisikia kesho kutwa
@francismomo7067
@francismomo7067 3 месяца назад
Ety hawajui wamegoma Kwa sabab gan...daaaah hi nch Ina sarakasi nyingi sna
@NasraMakanwa
@NasraMakanwa 3 месяца назад
Samia
@drallan6879
@drallan6879 3 месяца назад
mama vipi time huru ya uchaguzi?
@abdulmagido5444
@abdulmagido5444 3 месяца назад
Mama haya ndio mambo tuna yataka tunaomba na swala la elimu pia ulifanyie mikakati pia Watanzania wengi hawajui haki zao na majukumu yao ili ni tatizo pia
@michaelmabula7444
@michaelmabula7444 3 месяца назад
Rais Achana kabisa na wote waliofukuzwa na JPM kv January, Nape,nk Tengeneza team mpya kabisa Na uwe na maamuzi chanya
@pirminmatumizi5464
@pirminmatumizi5464 3 месяца назад
Hana ubavu huo.
@maharagendondo
@maharagendondo 3 месяца назад
MAMA,HAPO HONGERA HAO WAKAZIE HIVYOHIVYO KUHUSU KODI HASA HAO TRA
@akwilaisseri5312
@akwilaisseri5312 3 месяца назад
Katika mawaziri ambao sijawahi kuelewa wanachofanyaga kwy baraza la mawaziri Jafo ni no 1
@salimhemed2823
@salimhemed2823 3 месяца назад
wewe mpendekeze Mzee wako basi akaongoze maana una chuki binafsi maana hata ndege watakuzomea jafo ni mchapakazi lkn wewe unaroho yakwanini kuwa mzalendo
@ZainabItenya
@ZainabItenya 3 месяца назад
Hakuna mlipa Kodi anaweza Sema hajui alichofungia Duka,waliojibu hivyo Itakua Ni machinga
@karimmunis8302
@karimmunis8302 3 месяца назад
Kama hujabadilisha sheria za kodi itakuwa ni sufuri kodi sio rafiki kila siku tuna hangaikka na matatizo badala ya chanzo cha matatizo
@faustinebahenobi3412
@faustinebahenobi3412 3 месяца назад
Nawashangaa wanao msifu
@ahmedissa7882
@ahmedissa7882 3 месяца назад
Mama kasirika leo
@abubakarimussa9131
@abubakarimussa9131 3 месяца назад
Raisi wangu tafuta watu wapya vijana hao wakongwe wanakua ngusha
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 3 месяца назад
Job Descripution mama anatowa hapo hapo ni vizuri msubiri ya ofisi.mtaandaliwa.
@angellomarcel5677
@angellomarcel5677 3 месяца назад
😅😅
@raphaelkessy7360
@raphaelkessy7360 3 месяца назад
KARIAKOO Ina hitaji MWANGA wakutosha wa UHAKIKA tu BIASHARA ITAFANYIKA saa 24 JIJI WEKENI SOLAR PANELS watu hawata lala
@PhilipoMwita-wc1ku
@PhilipoMwita-wc1ku 3 месяца назад
Mama mama mama Kila mtu mama utafikiri wote nyie hamna mama zenu
@SanziNzige
@SanziNzige 3 месяца назад
Mama mbona sehemu nyeti kama hio kariakoo usiende mwenyewe kusikiliza?.na wachina m ona mmewa jazasa a tz?.mpaka vijijini wamejaa hawa wachina jamani nani kawapa nchi yetu.mbona kwa magufuli wachina hawakuwa wengi hivi.jamani hatuelewi.
@williumteete2626
@williumteete2626 3 месяца назад
Kwani siasa ni Nini?
@richardtom38
@richardtom38 3 месяца назад
Hio tume imekudanganya mama kariakoo watu wana akili na ndo maana wapo pale na wanatunza pesa
@UCHAMBUZIWASHERIAMBALIMB-ue1lv
@UCHAMBUZIWASHERIAMBALIMB-ue1lv 3 месяца назад
SAMIA HAELEWI MAANA YA SIASA. SIASA HAIKO KARIAKOO TU IKO KILA MAHALI. HATA NYUMBANI KWAKE KUNA SIASA. HATA KIJIJINI KWAO KUNA SIASA. SIASA NI MAISHA YA KILA SIKU
@ElishamaMulokozi-pi8nm
@ElishamaMulokozi-pi8nm 3 месяца назад
Habari njema.waliofukuzwa kama vilevile chochote Global TV anayetoa kila mtu swala la kariakoo mama
@StewatMjuba
@StewatMjuba 3 месяца назад
Tumekuelewa mama shida katiba yetu imepitwa na wakati
@suleimanbalemba3348
@suleimanbalemba3348 2 месяца назад
Mama wakusanye ila wasiibe
@ShesheJahsh
@ShesheJahsh 3 месяца назад
Kweli kariakoo Kuna siasa kamata kamata ya risit ni Kwa sababu 99-5% hawaandiki risiti bei Sawa mteja anatoa mil 5 risit inaandikwa 1-5 Hilo Kila mtu wa kariakoo ni analijua.
@zephaniachibaya2894
@zephaniachibaya2894 3 месяца назад
Nakwakweli
@jennikasitom3202
@jennikasitom3202 3 месяца назад
mama wewe hauna shida shida hao unaofanyanao kazi
@faustinebahenobi3412
@faustinebahenobi3412 3 месяца назад
Siasa bhana serikali mnatengeneza matatzo wananchi wanapo piga kelele ndo mnajifanya kuyatatua hata mfanyeje katiba mpya aikwepeki
@isackmudo7760
@isackmudo7760 3 месяца назад
Hakika Kwa hotuba hii, Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan kweli ni Mzalendo kamili wa Tanzania. Ni jukumu letu Sasa watanzania anaotuongoza kumsaidia Kwa dhati ya moyo wetu kutimiza ndoto zake za kuipaisha Nchi kiuchumi na kiundugu Kwa manufaa yetu Wenyewe.
@ChristineElias-bn4dw
@ChristineElias-bn4dw 3 месяца назад
Haya bhana lkn kuwa makin mama
@KarumeKindamba-lk1px
@KarumeKindamba-lk1px 3 месяца назад
Wamachinga wanachohitaji ni maduka ya jumla ya kila bidhaa wanazouza kwasababu hawanamitaji ya kununua bidhaa kwa wingi.Kwahiyo kufunga kwa barabara pasipo maduka ya jumla hapatakuwa na suluu la wamachinga.Wamachinga wanaweza kuondoka kariakoo kama walivyo fanya posta iwapo watapata maduka ya jumla.Mwisho wamachinga wataweza kuchangia mapato ya serikali iwapo watapangwa vizuri
@beinafuu6219
@beinafuu6219 3 месяца назад
Duh
@estakapufi7582
@estakapufi7582 3 месяца назад
Yani mama apa nimekuelewa sana ulivyosema kila baada ya myezi 3 upewe ripoti safi sana 👏👏👏wacha kazi iendelee mama.
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 3 месяца назад
😅codination meting ni muhimu kwa mawaziri kama anavyo sema mama ni muhimu kwa mawaziri.
@husseinkarim7663
@husseinkarim7663 3 месяца назад
Mbunge anafanya nini? Tatizo mbunge hajui kazi yake, lazima ajue kinachoendelea jimboni kwake.
@salumnassornassor9733
@salumnassornassor9733 3 месяца назад
Unajua kuwa ktk serekali kuna wezi kwann huwafungi au wauliwe ujinga mtupu mavi nyie ccm
@josephlorri431
@josephlorri431 3 месяца назад
'Hilo nalo kalitazame..' hapana hapana... tupate Rais anayetoa maamuzi
@ChancellorFelix-vm5yp
@ChancellorFelix-vm5yp 3 месяца назад
Hotuba za Samia ziko vzur lakn kwenye utekelezaj ndio tatzo
@faustinebahenobi3412
@faustinebahenobi3412 3 месяца назад
Ulitegemea ziwe mbaya ndo siasa iyo
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 месяца назад
Mnamsikia mama yenu anasema ati mliambiwa kufunga maduka na wanasiasa? Kumbe mlikuwa mbajifanya siyo mlikuwa mmeumia na tozo. Kwani wakubwa wenu wa wafabiashara ni wanasiasa? Imekula kwenu mtatuumiza hata sisi wateja wenu sisi tutawakimbia kama mnafanya siasa fanyeni hizo siasa.
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 месяца назад
Kwahiyo tozo ziendelee tu kuwaumiza wanainchi wanyonge. Watu wanalalamikia matozo wewe unasema ati watu wanasema kuwa waliambiwa na watu kufunga maduka tu hawajui wanagoma kwa nini hao waliokuletea ripoyi ni wachawa wako tu.
@RajabuMkonje
@RajabuMkonje 3 месяца назад
KIDATA kdg adate mama kamuwahi😂😂😂
@vom84
@vom84 3 месяца назад
Mm S wwe yup kwetu
@ezekielmatondane714
@ezekielmatondane714 3 месяца назад
Badala uende ww unaagiza tu hapa hatuna rahis tuna musemaji wa selekali
@zefamange7281
@zefamange7281 3 месяца назад
Mama unawaza siasa tuu?
@tobiaspaul9203
@tobiaspaul9203 3 месяца назад
Kwa kauli hii wafanya biashara imekula kwetu
@karimmunis8302
@karimmunis8302 3 месяца назад
Ndo ujue sasa tuna rais wa ajabu .watu wanalalamikia sheria za kodi za kikoloni yeye anasema watu hawapendi kulipa kodi
@mwanahamisially7385
@mwanahamisially7385 3 месяца назад
Wanawalimbikiza madeni yazamani yasio kawaida wazee wanakufa tusaidie wamefilisiwe
@oswaldsambaya4422
@oswaldsambaya4422 3 месяца назад
Wamachinga watengewe maeneo yao kila mkoa ili wasiingiliane na wafanyabiashara wenye maduka na wafanyabiashara wa sokoni
Далее
TRENDNI BOMBASI💣🔥 LADA
00:28
Просмотров 854 тыс.