Тёмный

KAMANDA MULIRO - ''SATIVA ALISEMA AMETEKWA na WASHIKAJI - AKAJA KUBADILISHA - SISI TULIMUOKOA''... 

Global TV  Online
Подписаться 5 млн
Просмотров 3,9 тыс.
50% 1

KAMANDA MULIRO - ''SATIVA ALISEMA AMETEKWA na WASHIKAJI - AKAJA KUBADILISHA - SISI TULIMUOKOA''...
💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV🔥🔥 chat.whatsapp....
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 33   
@zxcvbnmmkh
@zxcvbnmmkh 4 часа назад
Tulianza kama mzaha hadi tumefikia kubaya, mapendekezo ya Tume ya haki jinai yakizingatiwa tutapunguza mengi sana. Tujikite kusimamia sheria kama zinavyoelekeza kuliko kutumia nguvu kufuata maelekezo ya viongozi. Natamani siku moja muwagomee kutekeleza matakwa yao muwaambie sheria hairuhusu kufanya unachonielekeza itakua safi sana.
@Oboss_billharvester
@Oboss_billharvester 5 часов назад
Sheria zipo we kibaka muliro!!? Hamuwalindi wananchi na Mali zao mnalinda maslahi ya chama cha mapinduzi, shame on you muliro na jeshi lako
@MickyMgeri
@MickyMgeri 6 часов назад
Kweli maisha yanatesa watu jamani,hivi huyu kamanda pote hapo anatetea kibarua?,hadi aibu 🫣🫣
@leokamil6284
@leokamil6284 4 часа назад
Inasikitisha na kuhuzunisha
@tanzaniatouristsattraction1622
@tanzaniatouristsattraction1622 4 часа назад
Kamanda mzima hovyoo
@daudimwangoye2105
@daudimwangoye2105 4 часа назад
Watanzania tuna hasira sana miyo yoni ipo siku endeleeni kutuona mafala
@legalmastergoldencoin3733
@legalmastergoldencoin3733 3 часа назад
shame on you Police...Shame on you leaders. You will all go down
@abdulrazack9577
@abdulrazack9577 4 часа назад
Washikaji mmeewakamata maana mshajua waliomkamata
@magrethmathayo2800
@magrethmathayo2800 2 часа назад
Tz hatuna polis mlimuokoa wapi bana mtu alitupwa barabarani akaokolewa na watu jalfu mnasema polosi mlimuokoa hamna hata aibu mungu anawaona
@daudimwangoye2105
@daudimwangoye2105 4 часа назад
Sisi sio wajinga ipo siku haya mnayo ya panda mtayavuna ipo siku
@jamaldaud-e4d
@jamaldaud-e4d 3 часа назад
Odemba siku zote nasama ni kiboko ya wababaishaji huyu mliro hafai kabisa hata kidogo yupo hapo kutetea ugali tu
@saidiathuman-og6bc
@saidiathuman-og6bc 5 часов назад
Polisi kama sio nyio nyinyi bas kumawatu wanavaa izo sale zenu na kulichafua mojakwa moja😢😢😢
@MsafirGervas
@MsafirGervas 3 часа назад
Sisi ndo tulimukoa 😢😢😢
@Nestoemanuel
@Nestoemanuel 3 часа назад
Acha usenge ww mzee
@clemencelisonga8261
@clemencelisonga8261 4 часа назад
Simchunguze la Tundu lisu hakuna polisi hapa
@justardzelphine6526
@justardzelphine6526 5 часов назад
Damu za watu
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 6 часов назад
Mnyika jamani bado ANATUBU au😢😢😢😢😢😢
@suleimansamweli7316
@suleimansamweli7316 5 часов назад
Anakura Bata za mbingu
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 5 часов назад
@@suleimansamweli7316 🤩🤩🤩🤩
@KassimKassim-h1n
@KassimKassim-h1n 4 часа назад
Huyo kamanda anazikwepa point mama mae shenzi huyo kama katekwa na washkaji kafikaje kituo cha police na pingu mikononi wauwaji wakubwa ni hawa hawa police
@RamadhaniKitala-gx6wc
@RamadhaniKitala-gx6wc 4 часа назад
Japo uongo haunuki ila kamanda uongo wako unanuka kabisa anaterea uhalifu adharani kweli kwa masilahi yako binafsi daah mpk nimeumia sana😢
@blues4life633
@blues4life633 2 минуты назад
HUyo Kamanda mwenyewe ni kama anahofu na usalama wake vile!😂
@fastonsambo-du4rd
@fastonsambo-du4rd 3 часа назад
Mi naona kinachosumbua ni mifumo ya utawala na siasa za tz na si polisi Wala vyombo vingine vya ulinzi na usalama
@ElizabethWamcha
@ElizabethWamcha 6 часов назад
Imbombo ingafuu😢
@leokamil6284
@leokamil6284 4 часа назад
Kamanda unatetea ugali usijipake ubaya kwa kumkingia mwengine. Please kuwa mkweli
@leokamil6284
@leokamil6284 4 часа назад
Afande tafadhali usitufanye manyani acha kutetea tumbo kupita kiasi unaudhi sana. Yaani unadanganya watu na kujifanya mkali 🚮
@hiphop4life182
@hiphop4life182 4 часа назад
Uyo polisi yuko kisiasa
@clemencelisonga8261
@clemencelisonga8261 4 часа назад
Hapa hatuna polisi ila ni wahuni fulani
@halimamasai2234
@halimamasai2234 4 часа назад
Kamanda upo vizuri sana ila mafala fulani ndo hawataki kuamini lakini ushidi ndo utawaumbua hao wanao tupia lawama polisi kila siku Hongera sana kamanda 💪💪💪
@ShedrackKisumbe
@ShedrackKisumbe 4 часа назад
Ngoja na ww wakubebe na mm nitamsifia kamanda
@halimamasai2234
@halimamasai2234 4 часа назад
@@ShedrackKisumbe kwani wewe wamkubeba si unashadadia tu maneno ya watu
Далее