Ni vyema viongozi wetu wenye dhamana ya kusajili wakatambua ile methali isemayo pema usikiapo pema si pema tena. Watambue yaliyotukuta kwa Okra. Tutumie vizuri rasilimali kidogo tulizonazo kusajili kishure na si kuonyeshana umwamba
Kama hamna habari za uhakika kwanini mseme yametimia?! Wanayanga acheni kufuatilia hivi vijitv! Mkitaka habari za Yanga jiungeni na App na au notifications za Yanga! Sio wababaishaji!