Watu kama ding'alo ni watu wa kuishi nao kwa akili Sana watu wenye mentality ya negativity Kila siku ofkoz are not friends to keep ukiwa na akili ndogo kama wao watakufanya usiione hata thamani ya watu waliokufanya uwe hivyo ulivyo leo haijalishi. Harmonize ishi na ding'alo kwa akili Sana mchukulie kama mwanamke asiyeweza kujisimamia bila ya kuwa na mwanaume kwanza ogopa Sana marafiki kama hao wanao kuja kwako ukiwa tayari na status yako ambayo tayari ushatengenezewa na watu wengine alafu wao wanaanza kuwaponda watu walokusaidia kwamba Si chochote, very stupid.