Тёмный

DOTTO MAGARI AMVUA NGUO MWIJAKU HAKUWAPATANISHA DIAMOND NA HARMONIZE/ SIRI MPYA ZA BABA LEVO ...... 

BinaTv
Подписаться 111 тыс.
Просмотров 39 тыс.
50% 1

Ahsante kwa kuwa mwana familia,(BINA Tv) kwa habari murua utazipata hapa, Ungana nasi kwa kila update zitakazo jitokeza.. Subscribe Channel yetu ya BINA TV ili usipitwe na habari zetu.
#alikiba, #ayotv, #block 89, #bongo #chapchap, #bunge, #bungeni, #burnaboy, #ccm, #chadema, #davido, #diamondplatnumz, #diamondplatnumz, #good #morning, #habarizaleo, #habarizamillard #ayo, #harmonize, #lavalava, #lavidavi, #live, #magufuli #makonda, #mbosso, #mgahawa, #millard, #millardayo, #millardayo, #millardayotv, #rayvanny, #refresh, #serikali, #sportsarena, #sportscourt, #spots, #sundayworship, #tanzanianews, #thestorybook, #theswitch, #tiwasavage, #trending, #uchaguzi, #wasafi, #wasafifm, #wasafimedia, #wasafi tv, #wizkid, #yope, #yope #remix, #zuchu
#BinaTv #WasafiTv #ManaraTv

Опубликовано:

 

15 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 28   
@salimidrisa4880
@salimidrisa4880 7 месяцев назад
Big up .Mama anatupenda mitano tena
@BennyCrisanto-lv6hn
@BennyCrisanto-lv6hn 7 месяцев назад
Nimependa sana dotto ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@jeilanikhamisi
@jeilanikhamisi 7 месяцев назад
😂😂😂😂😂 hakika huyu jamaa amenifurahisha sana
@mialanomanqobo6639
@mialanomanqobo6639 7 месяцев назад
Kweli Dotto, pale mbele ya raïs hakuna bifu
@ngasikajoel9576
@ngasikajoel9576 7 месяцев назад
Sasa hivi mjini hapa ukiwa na mdomo wa kuzungumza ni kivutio tosha kwa wanasiasa na watu wa vijiwe
@saidissa4741
@saidissa4741 7 месяцев назад
Yaaaaani
@EzekiaLuvanda
@EzekiaLuvanda 7 месяцев назад
Mdomo saiv ni ofisi
@aliroro9344
@aliroro9344 7 месяцев назад
😂😂😂Ndoto mungu Akueke Mkubwa wangu, Maneno yko yana hekma una majigambo Uko vzuri Kaka 🇰🇪
@bukaone7507
@bukaone7507 7 месяцев назад
Mwijaku aja wapatanisha watu, na pia Mondi aja jipendekeza, pale ni sehemu ya amani.
@kijukuuonline4794
@kijukuuonline4794 7 месяцев назад
"Tuanze siyo"......Jitahidini kuedit kazi zenu
@GetfordMasehe-w3f
@GetfordMasehe-w3f 7 месяцев назад
Doto nakukubali Kaka 10:44 10:48 10:51
@FulolensikauzeniSimfukww
@FulolensikauzeniSimfukww 7 месяцев назад
DoTo❤❤❤❤❤
@andrewmalamsha3042
@andrewmalamsha3042 7 месяцев назад
Mitano tena nataman mama anipe kazi mim hata ukuu wa wilaya tu nimpigie Kaz afrahi
@john_1trader
@john_1trader 7 месяцев назад
Machawa mmeumia saana
@FulolensikauzeniSimfukww
@FulolensikauzeniSimfukww 7 месяцев назад
Dooto nikisikasautiya konajisikia vizur
@jacquelinelekule426
@jacquelinelekule426 7 месяцев назад
Kweli kabisa doto mwijaku bonge la mshamba tuu
@remigiusandrew3497
@remigiusandrew3497 7 месяцев назад
Hutu Jamaa Akihito ipo. Yupo focused
@BennyCrisanto-lv6hn
@BennyCrisanto-lv6hn 7 месяцев назад
Apo sawa doto 😄😄😄😄
@jeedymasoud4269
@jeedymasoud4269 7 месяцев назад
Una akili sana, unajua ni wakati gani wa kuongea nn na sehem gani uongee
@HusseinNillan
@HusseinNillan 7 месяцев назад
Doto Kidani cha msalaba na mapete hayo vuwa huu mwezi wa toba haifai kuvaa
@neemakalugila7674
@neemakalugila7674 7 месяцев назад
Dotoooo 😅, kweli huyo mshamba masifa tu eti kawainganisha
@SafariMsafi-um1pz
@SafariMsafi-um1pz 7 месяцев назад
Kasamsung kamkopo nakasikia kanaita kapokeeni basi
@zenahbayeh7371
@zenahbayeh7371 7 месяцев назад
😅😅😅😅😅
@LOLISO_MP
@LOLISO_MP 7 месяцев назад
😅
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 7 месяцев назад
Huyu siyo mgonjwa wa akili?
@fredrickchiamba3993
@fredrickchiamba3993 7 месяцев назад
We mwenyewe mgonjwa wa akili
Далее
다리찢기 고인물⁉️😱 Leg Splits Challenge
00:37