Тёмный

🔴LIVE: A-Z MAZITO YAFICHUKA BODI YA SUKARI "WAO WENYEWE WALIKATAA" nchi ilikuwa haina sukari.. 

MwanaHALISI TV
Подписаться 320 тыс.
Просмотров 3,3 тыс.
50% 1

A-Z MAZITO YAFICHUKA BODI YA SUKARI "WAO WENYEWE WALIKATAA" nchi ilikuwa haina sukari..
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 767 400402)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

Опубликовано:

 

3 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 18   
@xaixaiobrigado4846
@xaixaiobrigado4846 3 месяца назад
Hizi ni facts za kisiasa. Fact za fact hujazisema!
@xaixaiobrigado4846
@xaixaiobrigado4846 3 месяца назад
Hatuhitaji,wala sio kazi ya wananchi kuiamini sirikali, maana kama siku zote tuliiamini,mbona ni mambo ya funika kombe tu,mara Ooo wafanyabiashara wameficha. >>gap sugar ikokotolewe, waruhusiwe waagiza viakula walete bila kuaji kama wauza vocha-kwanza mwenye hoja hajasema kuhysu wauza vocha,bali slisema wsuza vifaa via simu!!
@xaixaiobrigado4846
@xaixaiobrigado4846 3 месяца назад
NFRA ikiwa muagizaji wa sukari,tutegemee kupigwa vibaya kwa kuambiwa kuwa sukari iliyeyuka ,ndiyo masna haipo maghalani!!!😢
@xaixaiobrigado4846
@xaixaiobrigado4846 3 месяца назад
Upanuzi bila kutaja data,hilo ,ni pambio!Eti upanuzi mkubwa>>?
@xaixaiobrigado4846
@xaixaiobrigado4846 3 месяца назад
Je,na hao wazalishaji huwa wanapewa exemption? Mliwauliza wazalishaji,kwa nini hawakuingiza?
@xaixaiobrigado4846
@xaixaiobrigado4846 3 месяца назад
Hiyo kampuni ya simu,imewahi kuagiza chakula gani mbali na hiyo sukari? Kea ujumla kukosa sukari kwa muda muafaka(usituambie mambo ya mfungo)ni UZEMBE!
@fredysiwale5413
@fredysiwale5413 3 месяца назад
Bei ya sukari ilikua kubwa ingawa walisamehewa kodi na vati
@MiriamAziz-z5t
@MiriamAziz-z5t 3 месяца назад
HUYO MKURUGENZI WA BODI YA SUKARI 'ANATUMIKA' NA AMEKUBALI 'KUTUMIKA'....WATANZANIA SIO WAJINGA.
@xaixaiobrigado4846
@xaixaiobrigado4846 3 месяца назад
Basi ruhusuni sukari iingizwe kwa ushindani,ili bei ishuke!
@xaixaiobrigado4846
@xaixaiobrigado4846 3 месяца назад
Huyu anajuja kutetea uozo
@MiriamAziz-z5t
@MiriamAziz-z5t 3 месяца назад
HUYU MKURUGENZI...JE NI PROFESA KWELI? MBONA ANAZUNGUMZA 'KICHAWA'!
@SelemanMhana-ol7tk
@SelemanMhana-ol7tk 3 месяца назад
Mpina ndo anayejua yote huyu mzee ana maelezo ka Bashe
@adamsfamilymediagroup
@adamsfamilymediagroup 3 месяца назад
Huyu mbabaishaji tu anapoteza muda
@AndrewShiratu
@AndrewShiratu 3 месяца назад
Najiuliza kama Sheria inaelekeza wenye viwanda ndo waagizaji wakuu.na hawakuagiza au hawakuchukuwa kibari na muda huo Kuna shida ya sukari kama bodi ya sukari wariwachukuria hatua Gani za kisheria maana walivunja Sheria ya sukari.tunaomba majibu na sio kupamba.
@kalingamazda
@kalingamazda 3 месяца назад
Bado hajasema kwanini alipewa mr airtel tani 30.000 na wengine kupewa chini ya tani 10.000 Hapa bado anakwepa ukweli
@xaixaiobrigado4846
@xaixaiobrigado4846 3 месяца назад
Hizo kampuni za vocha hazikutakiwa kuoewa vibali kwa sheria:sio kwamba maadam ana leseni ya kuagiza vuakula badi aagize sukari kwa vile ni chakula!. Kwanza tuambie vibali vilikuwa ni vya tani ngapi @ksmpuni zakishi-hizo uluzosema hazikuagizwa!
@fredysiwale5413
@fredysiwale5413 3 месяца назад
Je! Utamfanya nini mh bashe aliye sema atabadilisha mashamba ya miwa kua ya mpunga
Далее
I Built a SECRET Lamborghini Dealership!
33:02
Просмотров 9 млн
iPhone 16 & beats 📦
00:30
Просмотров 157 тыс.
Diamond na mastaa wengine wamlilia Dida Shaibu
8:58
Просмотров 1,9 тыс.
Noam Chomsky - Why Does the U.S. Support Israel?
7:41
How the Most Elite Spy Agency Operates
22:42
Просмотров 1,6 млн