Тёмный

HATARI: MPINA AJITOA MUHANGA AFICHUA MAMBO YAKUTISHA USIKU HUU/ NIPO TAYARI KWA LOLOTE HATA MKINI... 

Tiki Tv
Подписаться 399 тыс.
Просмотров 14 тыс.
50% 1

HATARI: MPINA AJITOA MUHANGA AFICHUA MAMBO YAKUTISHA USIKU HUU/ NIPO TAYARI KWA LOLOTE HATA MKINI...
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#hatari #mpinaajitoamuhanga #afichuamamboyakutisha #usikuhuu
#mpina #bashe #mpinavsbashe #luhagampina #husseinbashe
#mwigulu #atajasababuyakutumbuliwa #uwaziri #magufuli #mwiguluvsmagufuli #bungelabajeti
#kinachoendeleasimba #bilioni20 #pesazipowapi
#halimamdee #mwigulu #halimavsmwigulu #wabunge #simbasc #yangasc #simbaleo #yangaleo
#rcmakondaarumeru
#ARUSHAYASIMAMA #MKASAWAKUSIKITISHA #RCMAKONDA #rcmakondamonduli #rcmakondamonduli #MAKONDALIVE #makonda #makondaleo #makondakaratu #karatu

Развлечения

Опубликовано:

 

13 июн 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 57   
@FrankoLugendo
@FrankoLugendo Месяц назад
Kanda ya ziwa Kuna watu wazalemdo sana my brother God bless you ♥️♥️
@user-jy4pm3hh9s
@user-jy4pm3hh9s Месяц назад
Mpina always is My best friend❤❤
@WinfridaCreitus-bf3zn
@WinfridaCreitus-bf3zn Месяц назад
Yes, Mpina you are the hero, tunataka tuone action maana spika nikama alikua anakupiaa mkwara kumlinda, lkni kwa facts hizi hachomoki hapa. Ni Mpigaji tu huyo jamaa.
@JosephKilawe
@JosephKilawe Месяц назад
Safi sana tunaitaji watu kama nyie msiokuwa na mzaa na mtu
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Месяц назад
Tukijenga taifa la watu wengi wenye kujiamini ,kukosoa ,kujenga hoja na wabunifu taifa letu litakuwa madhubuti kwa kuwa hata tukipata viongozi dhaifu na wenye uwezo mdogo kiutendaji kutokana na ukosoaji atakaa sawa na nchi itanyooka.safi sana mpina.
@user-df6dt8hu4z
@user-df6dt8hu4z Месяц назад
Duniani kuna watu mmojawapo ni Mpina!
@elibarikiMremi
@elibarikiMremi Месяц назад
Mpina! Mungu Akulinde, na Akupe Kibali zaidi.
@emanuelamosi9008
@emanuelamosi9008 Месяц назад
Msukuma mmoja noma sana
@CafeJohn-jz8ri
@CafeJohn-jz8ri Месяц назад
Mpina mwenyezi mungu akurindi akutunze maana siku zote msema kweli ni mpenzi wa mungu
@WazaeliStefano
@WazaeliStefano Месяц назад
Ccm mnaijadili chadema jee hililinawapendezaa mungu wangu
@TitoRufizi-xb2ub
@TitoRufizi-xb2ub Месяц назад
Tatizo viongozi wanaosema kweli na wazalendo hawatakiwi,wapigaji ndo wanalindwa hatari sana
@MariaCassian-e2i
@MariaCassian-e2i 21 день назад
Mungu akulinde Kaka msema ukweli ni mpenzi wa Mungu
@emmanuelmayunga1518
@emmanuelmayunga1518 Месяц назад
Du mpina wew ni hazina kwenye nchi hii
@user-vy5kn6nz4l
@user-vy5kn6nz4l 22 дня назад
Huuuuuuwiiiiii twafaaaa,Mpina mzalendo wa kweli.Spika jitafakari.Wasukuma hoooòyeee
@eliaskitundu7377
@eliaskitundu7377 Месяц назад
Mpina ww ni jembe kaa vizuri na bajeti ya mwigulu
@user-lx7ez3rq4c
@user-lx7ez3rq4c Месяц назад
Namuona Magufuli akiishi bado
@YohanaAthanas-fk5fk
@YohanaAthanas-fk5fk 27 дней назад
Ni kweli sisi mbona chato tuliendelea kutumia sukari ya Kagera sugar
@NdekejaKamuli-sh5pe
@NdekejaKamuli-sh5pe Месяц назад
Duuuh mpka dak hii Mpina ni mshindi lkn vile viongozi kubebana Bashe atabebwa tu
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri Месяц назад
Ndugu Mpina,unatusaidia ambao hatupo Bungeni na ndani ya serkali kuona utendaji wa viongozi wetu ulio na upungufu mkubwa.Kuna haja ya kumsaidia kiongozi huyu.
@mashakankagi2851
@mashakankagi2851 Месяц назад
Rais Samia chukua hatua kwa hawa mawazili.kama ulivyochukua kwa RC wa simiyu alipomwingilia kinyume na maumbile kama alivyoelekeza mungu tuingiliane mwanafunzi wa chuo mwanza
@BennyKazinza
@BennyKazinza Месяц назад
Safi sana
@POWERMANGWANA
@POWERMANGWANA Месяц назад
Hi mh. Rais, huyo waziri annsubiri nn kuachia hicho kiti???!
@imanuelmalya1511
@imanuelmalya1511 Месяц назад
Tumsikie Bashe naye anasemaje
@RamaKimbeu-tw4po
@RamaKimbeu-tw4po Месяц назад
SWALI LANGU VIBALI VYA KUAGIZA SUKARI WALIVYOPEWA WENYE VIWANDA VYA SUKARI WALIAGIZA?NAKUAMUA HAWAKUAGIZA WW ULITEGEMEA NN KWA WATANZANIA
@NdekejaKamuli-sh5pe
@NdekejaKamuli-sh5pe Месяц назад
Ok baada ya kupewa vibali wenye viwanda kuingiza na hata kama haeakuingiza je yeye waziri mwenye dhamana alifanya nn? Je wew unahisi nani analipenda taifa kati ya Bashe na Mpina?
@RamaKimbeu-tw4po
@RamaKimbeu-tw4po Месяц назад
Mpina tunamjua aliwahi kua waziri baadae ikawa NN HAWEZI kulipenda taifa YY anajipenda mwenyewe
@lucasshirima2880
@lucasshirima2880 Месяц назад
Sukari haijawahi kumuacha mtu salama...kwa mnakumbuka linakuja kufanana na ile ya Iddy Simba
@marandoruzali1946
@marandoruzali1946 Месяц назад
My member of parliament Mh. Mpina
@TwalibuKimaro-th5mv
@TwalibuKimaro-th5mv Месяц назад
Huyo waziri Hana uchungu na nchi yetu anajijua mwenyewe anachotaka kufanya
@generosennko8343
@generosennko8343 Месяц назад
Wizara ya kilimo inahitahi kiongozi mwenye uzalendo na uchungu wa taifa letu. Ni wizara inayobeba nchi.
@pauloluziga1440
@pauloluziga1440 Месяц назад
Upo sahihi kabisa, tunataka na kwenye mbolea ya ruzuku achunguzwe
@TitoRufizi-xb2ub
@TitoRufizi-xb2ub Месяц назад
Wanapiga kwaulefu wa kamba zao,Tanzania😢
@EdwardMayila
@EdwardMayila Месяц назад
Kila mmoja akifanya majukumu yake na kuacha ubinafsi kama uliosemwa, nchi hakika ingekuwa mbali sana. Kumbe ushahidi ni nafasi nzuri Heko LJMpina
@andersonshimbi1378
@andersonshimbi1378 Месяц назад
Inasikitisha kabisa kwamba Mh. Rais anamuacha Bashe kuendelea kuwa Waziri wa wizara husika. Sielewi kwanini Rais hachukuwi hatua haraka
@SelijusiMalambo-rh6sf
@SelijusiMalambo-rh6sf Месяц назад
Mpina sio mpinzani ndio inavyotakiwa mbunge awe kama mpina
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz Месяц назад
Sawa sawa
@AlbertRemmy
@AlbertRemmy Месяц назад
Haya mambo yanahitaji elimu kama ya mpina. ndio maana wabunge wa darasa la saba huwa siwakubali kabisa.
@TwalibuKimaro-th5mv
@TwalibuKimaro-th5mv Месяц назад
Tungekua na bunge la wabunge sitini TU kama mpina wangetosha na tungefika mbali kuliko kuwa na wapiga Makofi bungeni Kila kitu hata kama ni kibaya Kwa taifa letu
@mwitamhono6499
@mwitamhono6499 Месяц назад
Mpina nmzarendo period,hawa wengine chumia tumbo
@mjemamjema9695
@mjemamjema9695 Месяц назад
LALALA LALALAÀAAAA MPIRA UKO KWENYE GOLI HAPA NI HATARIÌ.
@rehemakayuga7051
@rehemakayuga7051 Месяц назад
Ipo Siku Ukweli Wako Tutaukumbuka
@abdalahgunda1319
@abdalahgunda1319 Месяц назад
Mpina has capacity drilling reality underground but mostly of this call themselves palament member they are bise difend green uniform not difend national problems
@AlmachiusMwita
@AlmachiusMwita Месяц назад
Umejitahidi mpina
@nassibhussein6150
@nassibhussein6150 Месяц назад
Kawazili bashe ni kajizi sana kama ukikasikiliza kanavoongea utafikili ni kakweli kaongo kajizi sana na hapo katalindwa mtaona kama kitaendelea kitu hapo mama hao ndio anawapenda
@andersonshimbi1378
@andersonshimbi1378 Месяц назад
Mpina ni mbunge mkweli na anafanyiwa mizengwe ili kudhoofishwa
@SanziNzige
@SanziNzige Месяц назад
Toa Bashe weka abuduli si ndionavyotaka?. Toa Bashe weka mwigulu Basi.
@NicolasiLuhende
@NicolasiLuhende Месяц назад
Kumbe mamamaaaa
@yunusimchala6569
@yunusimchala6569 Месяц назад
Basheeee
@VenanceMbanga
@VenanceMbanga Месяц назад
Huyu jamaa ni msomali hawezi kuwa mzalendo ccm itatuua tudai Tanganyika yetu wasomali na wazanzibari
@adammjomba5814
@adammjomba5814 Месяц назад
Hayo NI maneno tu hakuna kitu apo bashe piga kazi
@user-vy5kn6nz4l
@user-vy5kn6nz4l 22 дня назад
Inatakiwa ukapimwe akili brooo
@stevenmengo8356
@stevenmengo8356 Месяц назад
Tabaaaaaa
@SanziNzige
@SanziNzige Месяц назад
Mpna komaa nao usiogope hao wapigaji ogopa my gu peke take.
@SanziNzige
@SanziNzige Месяц назад
Shetani alishushwa duniani kufanya Nini? Si sngeshushwa kwa sisiemu tuu? she sense nao jehanam .MAANA sisiemu wote kuacha magufuli na mpina Tuu. Engine wote NI group la shetani.tu msukuma nato mhu
@SanziNzige
@SanziNzige Месяц назад
Hivi wabunge nyie wa sisiemu huwaga mnfikiria Nini mkimuona mpina Ana asesiment hivi maovu ya serikali na mawxiri feki wake?nafikiliaga Nini na makofi yenu TU MAANA hatuonagi HATA mmoja kumuunga mkono LABDA tabasamu kwa mbaali.mlaaniwe nyie
@asingizibwejacobkalokola7351
@asingizibwejacobkalokola7351 Месяц назад
Safi sana
Далее
Как без этого..😂
0:15
Просмотров 3,5 млн