Тёмный

🔴LIVE:HAYA NDIO MAMBO TUSIYOYAJUA KUHUSU ZANZIBAR 

RVS Online Tv
Подписаться 57 тыс.
Просмотров 70 тыс.
50% 1

Join this channel to get access to perks:
/ @rvsonlinetv
JOIN TO OUR WHATSAP GROUP AS MEMBER OF RVS:
Follow this link to join my WhatsApp group: chat.whatsapp....
#HABARI #UPDTAEHABARI #RVSONLINETV @RVS
Kwa Habari Moto Moto na zenye uhakika wa kina Si kwengine ni #RVS #ONLINE #TV, Fahari ya WaTanzania wote
Ili Kuwa wa kwanza Kupata Taarifa Zetu basi unge bofya Neno Lilo Andikwa #SUBSCRIBE pamoja na alama ya #KENGELE ili upate habari Zenye Uhakika
RVS SQUAD YETU
WAANDISHI NA WANA HABARI :
1. SALMA MASHAKA MAYUNGA
2.YUSRA SAID SHAABAN
3. ABOU BAKAR ( BABROMA )
4. JOYCE VICENT
5.CHRISTOPHER MARTIN
CAMERA MAN :
1.SEIF PUCHE
2.HAFIDH KHAMIS ( FII )
3.UST KHATIB SALUM
4. HARITH
5. YASSIN ALLY
EDITOR :
1. SAID KOMBO ALI
2.SEIF PUCHE
3.ABDALLAH ( MATEGE )
4.MOHAMMED KHALID
5.YASSIN ALLY
HAO NDO WANAOTMBULIKANA N RVS ONLINE TV
== JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NASI RVS ONLINE TV ( +255 772 666778), ( +255 719 700015)
⚫️ Email: rvsteam2020@gmail.com OR rvsteamhabari2020@gmail.com
TEMBELEA WEBSITE YETU YA RVS ONLINE TV👇👇👇👇
👉👉👉👉: www.rvsonlinetv.com
FACEBOOK: / rvsteamhb
INSTAGRAM : / rvstv2020
TWITTER : / online_rvs

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 104   
@stanslausbernard5950
@stanslausbernard5950 Год назад
ACT wazalendo mmekwisha. Kama chama Cha upinzani kimefikia hstua ya kusifia uongozi wa chama tawala, basi ujue hakuna upinzani Tena. ACT Ni CCM B
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 2 месяца назад
Umasikini huu si wa Mungu ni wa makodi na masharia. Vijana msikae nyuma.
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 2 месяца назад
Tushirikiane tuendeshe nchi yetu sote. Sio lazima wengine wauawe ili wengine watawale. Busara kubwa sana.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Год назад
Hamna kitu act wazalendo Rais Hussein Mwinyi anachapa kazi vizuri zanzibar inapendeza sana
@othmarluwawilo8308
@othmarluwawilo8308 Год назад
This should be a great lesson to Tanzania mainland
@w4058
@w4058 Год назад
Absolutely true Maalim
@w4058
@w4058 Год назад
Naam kweli kabisa mikodi ya kujaza mitumbo yao tuu
@zahiribrahim8319
@zahiribrahim8319 Год назад
Alhamdulillah Inshallah salama 🎉❤❤
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 2 месяца назад
Kama mnanguvu ya kuchukua kwa nini mtuue? Busara kubwa sana.
@ibrahimconte601
@ibrahimconte601 4 месяца назад
Ugeukuma manjano
@ramadhanmussa673
@ramadhanmussa673 Год назад
Kazi mmeifanya
@abdullahjuma3926
@abdullahjuma3926 2 года назад
Mmmh hongera au hongereni. Zanzibar oyeee
@benedictmrisho1800
@benedictmrisho1800 2 месяца назад
Uwezo wa kuchukue serikali mnao kwa nini mtuue? Tumechoka kufa msituue.
@akidahamad142
@akidahamad142 2 года назад
Mm nopo dar muda mrefu lakn mungu amewapa watu wenye akili sana lakn wabongo wengi wanazingua siyasa c ugonvi sasa mtu kama lisu amepgwa risasi na nani kama c makufuli lisu sasa alkua mbaya kazi yake amejitolea kwa ajili ya watanzani mtu kama lisu unampgaje risasa amekosea nini wabongo badlikeni na siasa c vita mara kwa mara rais akizingua anapaswa kusemwa ok duni uko sawa kabsa
@ibrahimgwasma1223
@ibrahimgwasma1223 Год назад
Ninyi mkiingia Maisha yatakuwa marahisi?
@w4058
@w4058 Год назад
Hiyo mizimwi wa CCM inanuka damu hawaoni taabu kuuwa miuwaji mikubwa loooo
@mohammednassor3081
@mohammednassor3081 Год назад
Waambie baba
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 года назад
Mwinyi hana makosa yoyote huyu mtoto acheni lawama kila siku zanzibar kila Rais aingiae zanzibar mbaya yupi mzuri
@DaudiJuma-oo7kx
@DaudiJuma-oo7kx Год назад
Wewe mjinga mazuri gani mwinyi na wenziwe waliyoyaleta tena usituchanganye
@abdulmasuod2318
@abdulmasuod2318 2 года назад
Naona some people wanasema kuwa wazanzibar wanataka nn haswa ati wanajifanya na mbono munang'ang'ania muungano leave Zanzibar alone plz
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Год назад
Watu wenyewe huna kelele tu za mitandaoni
@w4058
@w4058 Год назад
Hiyo sensa hao hawashindwi kuwapa hata birth certificate za ZANZIBAR sijui mnalifuatilia vipi CCM hawaaminiki
@rosemayunga4021
@rosemayunga4021 Год назад
Wee mzehe achana na Mambo ya Tanzania bandari fafanua BOT ndiyo ujuwe muungano ndio munaua
@AaAa-vm8bb
@AaAa-vm8bb Год назад
wanakudanganyeni hao hawamuogopi Allah hao wataua nawatafanya yale yale kwa vile hawayajui au hawayaoni mateso ya akhera wanajifanya majabar majuto huko watayaona.
@shehekhamis2906
@shehekhamis2906 2 года назад
Nyie wanyamwezi hamujui xiaxa hemu nyamazeni
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Год назад
Mungu kahukumu kweli, atujalie mwisho mwema tuliohai. Magufuli, Seif na wengine twende wameshatangulia.
@SamsungGalaxy-rq2lg
@SamsungGalaxy-rq2lg 2 года назад
SIYASA HATUTAKI TUNATAKA KAZITUU
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 Год назад
Samdung,siasa ni moja ya njia za kupanga mipango ya maedeleo,ni hayo ni sehemu ya hiyo KAZI
@alijuju8697
@alijuju8697 11 месяцев назад
Niwambie kitu nyie wapinzani hamna viongozi wa.upinzani Kama huyo babu Duni babu jusa babu bimani eti hswajui hata huko ilimwenguni hali si nzuri. Lakini babu Duni anafanya ucomedy wake.
@zariadunia6328
@zariadunia6328 2 года назад
Hivi hawa wazanzibar tunawataka wa nini kila siku kulalamika kuhusu bara hivi hawa wana nini hasa
@aqmmsm55
@aqmmsm55 2 года назад
wana nchi yao lakini bara wanaimeza
@aqmmsm55
@aqmmsm55 2 года назад
hebu waachieni nchi yao waendeshe wenyewe mutawasikia kila siku wakitaja bara???
@khamisjuma3841
@khamisjuma3841 2 года назад
Zaria bado ni mtoto mdogo hujui kwanini unasema hayo. Ila kasome Tena kisha ingia ndani ili ujue ya ndani ndio utaelewa, usichukie kitu au mtu bila kujua ukweli wa ndani.
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 года назад
Wamejaa ujinga hao Achana nao, siku zote watu ambao wamezungukwa na maji na akili zao zimezungukwa hivyohivyo, hivyo hawaishi kulalamika
@rugendorunene545
@rugendorunene545 2 года назад
ila mimi naomba amani na utendaji bora... sisi wote wa Zanzibari na Watanganyika kwa ujumla!
@danstanmushobozi4352
@danstanmushobozi4352 2 года назад
Haka kazee hakataki muungano kabisa kwa maelezo yake.vunjeni kama waona mwatunufaisha bara.
@aishaaisharagp9381
@aishaaisharagp9381 Год назад
Cio yy Tu site wazanzibari tuliowengi hatuutaki muungano
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 Год назад
Dantan,kwani huyo Babu Duni kasema hataki muungano?Mamlaka kamili haiimanishi kuvunjika Muungano,ni kuwapa fursa sawa sawa katika pande zote za muungano.Huu ni muungano wa nchi mbili huru.
@ramadhanmgaya1775
@ramadhanmgaya1775 2 года назад
Wakati wa hapa kazi tu maisha yalikua nafuu kidogo, Sasa maisha magumu Sana. Wizi ,ufisadi vimetamalaki
@salimukimwaga
@salimukimwaga Год назад
Nchi ni bahari hivi mnachongangania muungano wa lawama kiasi hiki kwa manufaa gani hasa hakuna cha shirika duniani hata na mwanao mkiingia shirika mtagombana tu elimu hiyo haipo chuo kikuu chochote ila kua uyaone mtanikumbuka
@zainabumohamed8541
@zainabumohamed8541 Год назад
Hivi uoni dhambi kulisema hili eti mungu akahukumu? Ni sawa lkn ujue mungu bado Yuko na anaweza kuhukumu hata kwako pia muda huuhuu Ile ni safari ya Kila kiumbe ila utangulizi tu maana naona unajitoa ufahamu mtuzima ovyo
@karimkassam571
@karimkassam571 Год назад
Kahukumu kwa maovu
@w4058
@w4058 2 года назад
Unajidanganya wewe kapilima mnafiki mkubwa looo
@twahirmohd1058
@twahirmohd1058 Год назад
Free nation Zanzibar ✌️
@mwambamkombozi4672
@mwambamkombozi4672 2 года назад
Kwanini sisi watanganyika hatujui kuandika comment za kiusomi tunaandika comments za kienyeji plus kichuki chuki. Tunanishindwa na wakenya ukiangalia comments zao basi tuko mbali kuwakaribia. Dah
@gloriachristian1470
@gloriachristian1470 Год назад
Watanganyika na wakenya ndo nn vile?
@alliyrubea5731
@alliyrubea5731 Год назад
Nadhani uelewa wako ni mdogo sana!(IQ)na inaonesga hata hapo Kenya hujafika wacha huko ulikosema kwa watu wastaarabu wa demokrasia sio domokrasia kama hivyo unavyobwatuka kwa ukereketwa uliojivisha na usio na tija kwako na Watanzania kwa jumla na kujawa na usingizi mnono na kukoroma kororooooo! Amka babaaa!
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 Год назад
MWISHO CHUMBE VIZIWI WANAFIKI MOTO UNAWASUBIRI MWENYEZI MUNGU HAKUGHAFILIKA NA VIONGOZI WAOVU WEZI WANAFIKI.
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 2 года назад
Duni, Zito wamelamba asali ndio maana sifa nyingi mbona mikutano ya kisiasa hairuhusiwi?
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 Год назад
R Mwinyi hafai
@Jal210
@Jal210 6 месяцев назад
Hufai wewe
@zariadunia6328
@zariadunia6328 2 года назад
Kwa hiyo mnataka nini na huyo samia wenu mchukueni
@aishaaisharagp9381
@aishaaisharagp9381 Год назад
Bakini nae kama pato mpate
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 года назад
Nyie kila Rais mbaya mzuri nani mtamtukana sanaaaa hayati magufuli lakini nchi ameitengeneza vizuri sana nyie mnataka kutawaliwa na waarabu tu kwa ajili ya uvivu wenu
@salimukimwaga
@salimukimwaga Год назад
Wala watanganyika hawana haja na mwungano hamna shukurani kila nchi ingebaki na chake cha huku kisiende huku na huku kisiende huku tuungane chama na jeshi tu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Год назад
@@salimukimwaga salma hata chama na jeshi pia mngekuwa na chenu na nyie mkae kwenu hatuwataki kanzzanzibar kenyewe kadogo mnategemea bara kila mtu akae kwao na majumba mliyojenga huku yauzeni mrudi kwenu au nendeni dubai mkakae oman ndiko kwa warabu wenzenu kwetu bara tujitanue hatuwataki kabisa na mipaka tufunge
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 Год назад
@@salimukimwaga salimu usiangaike hatuwataki kabisa mama anaiuza tanganyika mbona hakuhusisha bandari ya zanzibar jamani hatuwataki kabisa kila mtu akae kwao wafukuzeni wa bara warudi kwao nasi tuwafukuze nyie mchezo utakuwa umekwisha hatutaki bara yetu iuzwe nyie wachache sana kama mmejenga huku wauzieni wa bara na wabara kama wamejenga huko wauzieni wa huko nendeni zenu hatuwataki kabisa mnauza tanganyika yetu bandari
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 года назад
Anawadanganya sana wenzie huyu,,,,huku yeye analipwa mpunga wa kutosha kabisa na serikali!!
@rashidissa5887
@rashidissa5887 2 года назад
Huyu ni mwenyekiti wa chama chetu. Tuna wajibika kumhifadhi kwa hali zote. Wacha ujinga
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 года назад
@@rashidissa5887 wewe utakuwa ni miongoni mwa wale wajinga wanaodanganywa!!
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 2 года назад
Juma,anadanganya nini hapo? Kuhusu mauwaji na uporaji ni KWELI.K uhusu mipaka ni KWELI.Kuhusu ukandamizaji wa kibiashara ni kweli.Kuhusu fedha zilizokuwepo EAC na baadae kuchukuliwa na Tanganyika ni KWELI. Ukweli ni huo na kama uwongo basi wahusika wakanushe
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 2 года назад
Babu Duni unasema maisha Magumu ni kwa sababu ya utawala. Unasahau kua mawaziri wawili na makamo wa kwanza pia anatoka ACT Wazalendo
@sharifjuma1220
@sharifjuma1220 2 года назад
Kwa mujibu wa katiba anaeshinda Uchaguzi ndie sera na ilani ya chama chao kinafatwa. Upinzani wanatumikia ilani ya ccm. Unaweza kuhoji kazi au wizara walizopewa kusimamia ilani ya ccm kama wameharibu au wamefuruga. Comments zako za kijinga subiri Kisonge.
@mangofish9079
@mangofish9079 2 года назад
Wee unafirwa sasa kwani anaendesha serikali ni nani mbona mambo mengine mtu akisema hebu fikiria kwanza vyenginevyo unakua kichekesho
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 2 года назад
Halafu anawadanganya wenzie huku yeye analipwa mpunga wa kutosha kabisa na serikali,,,,,mwache awadanganye maana wajinga ndio waliowao!!
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 2 года назад
@@sharifjuma1220 Kasome nini maana ya power-sharing? Kwenye powersharing hakuna winner and looser. Kuna first winner and second winner. Wote wanaunda serikali. Mbumbumbu ww
@sharifjuma1220
@sharifjuma1220 2 года назад
@@mohamedhaji2200 wewe akili zako zimechanganyika na mavi Achana na wapinzani hata ccm waliochama hicho hicho wanaikosoa Serikali Yao. Comredi kinana wakina Nape wakiwa viongozi wa ccm waliitaka Serikali kuwawajibisha baadhi ya mawaziri. Waliwaita mawaziri mizigo. Juzi tu Kinana vs chairman wa ccm kwenye MKUTANO amesikika akikosowa Serikali kuhusu ununuzi wa korosho tena kwa ukali kabisa. Pumbavu wahedi ccm elimu yake imewadumaza wengi. Chama hata ccm kina haki ya kukosoa na kupinga Serikali. Zombi subiri 2025
@akidahamad142
@akidahamad142 2 года назад
Magu ktk utawala wake tulikua hata elfu kumi kupatkana ni shida tusijifanye tumesahau nyie vp bwana mbona ss tunakua akili hatuna ccm c chama magu alikua muaji na muaji na mwiz bora nani lisu almpga risasi na kuteka watu tu tuache kumsifia bure zanbar kila cku wanaua watu tu
@jumayusuf1694
@jumayusuf1694 Год назад
Vip sasa hivi hio pesa unaipata au? Na wale waliobakwa pemba na kuuliwa miaka ya 90s mpk 2000s alikua Magu au
@geraldlyimo2859
@geraldlyimo2859 2 года назад
Enzi hiizooo maaabaaadilikooooooo
@gloriachristian1470
@gloriachristian1470 Год назад
Eee hyu mzee ndo nn kusema hivo mungu kahukumu??mzee hata wewe mungu anaeza kukuhukumu mwenzio akisifiwa wewe tia maji,,kwanza uzee huo unakuruhusu safari Acha kuongea vibaya,na maalim aliondoka ulimlilia mungu ubakie weye,watu watamlilia mungu na wewe,,
@aishaaisharagp9381
@aishaaisharagp9381 Год назад
Hakunaatakae bakia site tutaenda tukiwemo mm na ww
@ahmadajafari1881
@ahmadajafari1881 Год назад
Ewe babu duni pumzika tu umeshavunda kisiasa jaribu kwenda na wakati umesahau ulipotoa amri.ya kuuliwa mapolisi kile pemba usiwadanganye hao vijana hawajui walipotoka
@Jal210
@Jal210 6 месяцев назад
Hamjitambui ninyi Wazanzibar wapuuzi na wapotoshaji wajinga kabisa
@ibrahimallymohd3645
@ibrahimallymohd3645 2 года назад
Tpewe nini sasa kama itakua tume huru na mahkama huru ni sawa mwenyekiti lakini na mahkama iwe huru tukihoji uchaguzi iwe huru hiyo mahkama mwenyekiti na mahkama mwenyekiti na mahkama huru mwenyekiti
@bekaashbai1781
@bekaashbai1781 2 года назад
Bado mapema ,muda wa kujikosoa bado upo ,na vilevile muda wa kujirekebisha pia upo
@tanzanite9944
@tanzanite9944 2 года назад
Hawa wenyeviti wa namna hii wasiojua dunia inakwenda wapi wataeleweshwaje? Yaani kuna mtu mzima mpaka saa hii hajui ugumu wa maisha ni Dunia nzima na sio nchi moja na wala sio tanzania tuu? Hivi mtu kama huyu anashindwa kuelewa hata nchi zilizoendelea kama Marekani hali ni ngumu tena zaid kuliko hata Africa na watu wamenyamaza kwani wanajua sababu za ugumu wa maisha. Wakati mwingine upinzani sio kusema tuu chochote ni pamoja na kuongea vitu vya kujenga nchi na wananchi na sio kulaumu tuu.
@salminmabrouk5433
@salminmabrouk5433 2 года назад
Mh
@aishaaisharagp9381
@aishaaisharagp9381 Год назад
Cc wazanzibari ciowakuwa maskini Ila huomuungano ndio unaotiutia umasikini huyo babu yupo swbanachokiongea nacc site tunamuunga mkono
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 Год назад
Tanzanite, ugumu wa maisha sio kupanda bei ya bidhaa tu,lakini dhulma za aina mbali mbali pia ni tatizo kubwa kwa WaZanzibari.
@deogratiustimoth4070
@deogratiustimoth4070 2 года назад
Samia ana Nini Sasa mbona ndiyo 0+
@khatibal-zinjibari6956
@khatibal-zinjibari6956 2 года назад
Deogratius Timoth@Mbona Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wanamtaja Nyerere na yuko kaburini?
@victormbinda1018
@victormbinda1018 2 года назад
Mmmmmmmh!!!!
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165 2 года назад
Mimi saa nyingine huwa nashangazwa sana yaani mtu anapiga debe mpaka akichaguliwa hafanyi kazi bali ni kupiga debe yaani kazi ya kupiga debe tu kila siku kuongea kila siku mipango haishi mpaka Mungu atuchukuwe lakini mipango iendelee
@aishaaisharagp9381
@aishaaisharagp9381 Год назад
Waache waongee kilaanaejihisi kuongea anahaki yakikatiba
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 Год назад
@@aishaaisharagp9381 uko sawa
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 года назад
Kwani nyie mna lugha kamili zaidi ya kiswahili mnamchanganyiko wa kila aina ya kabila nyie watumwa tu
@MuhammedAliOmar-c9u
@MuhammedAliOmar-c9u 7 месяцев назад
Watumwa ni .nyinyi mmnaopenda kutumwa tumwa huku .zanzibar tokea enzi hizo watumwa ni watu wa huko bara . Na lazima mje zanzibar kutumwa.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 7 месяцев назад
@@MuhammedAliOmar-c9u pole zanzibar kuna kila sina ya kabila kwa ajili ya waarabu kuwa hukua watumwa tena wewe ni msukuma mwenzangu rudi nyumbani kumenoga
@MuhammedAliOmar-c9u
@MuhammedAliOmar-c9u 7 месяцев назад
@@margarethpolepole7438 mnakimbia kwenu tanganyika ndio maana kuna kila kabila sasa hivi unguja kina watu million 3 na wamasai pia imekuwa ni wazanzibari. Hayo makabila unaosema si wazanzibari ni wavamizi .wazanzibari tunajuana kwa vilemba.
@hamisimuhammad6225
@hamisimuhammad6225 2 года назад
Kudadadeki
@edgarcruzee5223
@edgarcruzee5223 2 года назад
Matora na Bocco waondoke ndio genge la Mgomo na tarifa kwa majirani
@denniskaombwe4239
@denniskaombwe4239 2 года назад
kiukweli Maisha ni Magumu Dunia nzima Sio Tanzania tu. Muungano mbona Upo sawa tu. Nyinyi wanzazibar Mnataka nn kwenye UHU MUUNGANO? Sisi Bara (Tanganyika) tunaongozwa na Mtu (Raisi) kutoka Visiwani (Zanzibar) lakin wala hatujaongelea Muungano tunafwata Katiba. Je nyinyi wazazibar mgeweza kuongozwa na Mtanzania Mwanamke?
@fadhilahaji7929
@fadhilahaji7929 2 года назад
Kama huon analo zungumza BABU DUNI Nilamaana basi ww ndio unanatatizo ya akili nahuju I binaadamu anavyotakiwa kuishi mwanaadam
@husseinmkanga7794
@husseinmkanga7794 2 года назад
Kwahiyo mungu alihukumu ndio maana akamchukua maalim seifu Sharif Hamad pia ? Wacha kufuru duni na wewe utahukumiwa kama kifo ni hukumu.
@ibrahimgwasma1223
@ibrahimgwasma1223 Год назад
Na wew subiri hukumu yako usifikiri hatukuelewi,
Далее
Flipping Robot vs Heavier And Heavier Objects
00:34
Просмотров 34 млн
ОНА БЫЛА ПЕВИЦЕЙ🤪
3:13:12
Просмотров 1,1 млн
HIVI NDIVYO MADAKTARI WALIVYOTUMBULIWA ZANZIBAR
11:57
CHAGOS ISLANDS | Britain’s Strategic Defeat?
13:55
Просмотров 17 тыс.
IJUE SANAA YA NGOMA ZA ASILI KUTOKA PEMBA-PART TWO
6:29