Тёмный

🔴LIVE:RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA ELIBARIKI SEHEMU YA 5 - JULY 05 

EFM TANZANIA
Подписаться 128 тыс.
Просмотров 8 тыс.
50% 1

🔴LIVE:RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA ELIBARIKI SEHEMU YA 5 - JULY 05
-
Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9
Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
-
Follow Us On:
INSTAGRAM:
Efmtanzania:
TWITTER:
Efmtanzania
FACEBOOK:
Efmtanzania:

Опубликовано:

 

3 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 42   
@Loyce-Samwel-ko6ze
@Loyce-Samwel-ko6ze 3 месяца назад
Aisee DA VERO leo umesimulia vizuri sana🥳😘 Yan ukipunguza hayo matangazo uchwala simulizi inanoga hatari👏
@SashaIbrahim-s4v
@SashaIbrahim-s4v 3 месяца назад
Kabisa Matangazo yanakera
@gladyrobbin
@gladyrobbin 2 месяца назад
😂 uchwala
@Loyce-Samwel-ko6ze
@Loyce-Samwel-ko6ze 2 месяца назад
😂😂 sana tuu​@@gladyrobbin
@eneafrancis9166
@eneafrancis9166 3 месяца назад
Atamkumbuka mshikaji siku zote za maisha yake
@nusrashaban6946
@nusrashaban6946 3 месяца назад
Atamjumbuka sana bro alikuwa anamwambia uzur yeye akaona bro anafata maisha yake ndo hayo sasa yanamkuta atakomaa ataliaa😢😢
@gladyrobbin
@gladyrobbin 2 месяца назад
Yani kama yamemkuta ya kumkuta atakuwa anamkumbuka. Maana Elibariki alikua na mtu wakumshauri ila alimpuuza. Sema haya maisha ni ya kuomba Mungu akusaidie kuvuka hivi vikwazo
@gladyrobbin
@gladyrobbin 2 месяца назад
​@@nusrashaban6946yes. Ni kuwa na Mungu kwenye maisha ya kila siku hivi vikwazo hakika utavishinda
@siyangasamson7963
@siyangasamson7963 3 месяца назад
Story sehemu ya 5 lakini ni kama bado tuko sehemu ya kwanza, punguza mbwembwe wewe dada na kurudia maneno
@andrewseleli2331
@andrewseleli2331 3 месяца назад
Marafiki waovu waogope sanaa lazima wakuteke tu .!!
@RehemaBulaya
@RehemaBulaya 3 месяца назад
Duuuh ndio anaharibikiwa hivi jmaniii.. hdi roho inaniuma 😢
@Zuhuranadadoita
@Zuhuranadadoita 3 месяца назад
Leo umesimulia vizuri saaana Asante elibariki kusher story ya maisha yako na sisi
@SALMAS-s3d
@SALMAS-s3d 3 месяца назад
SAYUNI MWAVIKA nakuona uzuri kabisa nikiwa Oman muscat ❤da vero
@abisaimuhanji3687
@abisaimuhanji3687 Месяц назад
Yaani Elibariki Kazingua sana.
@NickolathaRwelamila
@NickolathaRwelamila 3 месяца назад
Duuuu madawa Mungu wangu kwenda kusoma😢
@sarasaraz-vn1vl
@sarasaraz-vn1vl 3 месяца назад
😢 daaah kashapewa madawa huyu
@claramboya2018
@claramboya2018 3 месяца назад
Asiye sikia la mkuu huvunjia guuu
@gladyrobbin
@gladyrobbin 2 месяца назад
Bora angekuwa Hana mtu wa kumshauri ... Kabisa
@tilifozakikoti5046
@tilifozakikoti5046 3 месяца назад
Kazi yako njema sana dada vero ila punguza matangazo
@abisaimuhanji3687
@abisaimuhanji3687 Месяц назад
Hapo kwenye ku_enjoy sasa🎉🎉🎉
@AlyeBaraka
@AlyeBaraka 3 месяца назад
Yaan da vero matangazo tyu kusmulia story iwe ndefu aaaaaah 😢😂
@neemammbaga227
@neemammbaga227 3 месяца назад
@@AlyeBaraka 😂😂matangazo ndo yanawezesha kipindi
@rosemofuga8101
@rosemofuga8101 3 месяца назад
Pumbavu kweli kweli huyo naye hakutakiwa kula wala kunywa kitu chochote kile kwenye hiyo nyumba, kwasababu dalili zote aliziona lakini kwasababu, alijifanya mjuaji na asiyesikia yote aliyomwambia mwenzake
@Lim-v9w
@Lim-v9w 3 месяца назад
Huyu Eli ni K kichizi yani!!😡
@gladyrobbin
@gladyrobbin 2 месяца назад
Yani huyu kaka kila dalili anaona ila sasa kwa nn apuuze
@RayRay-dr6rf
@RayRay-dr6rf 3 месяца назад
Dah yaan 😅 huyu kaka ashapotea maskin
@naomicharles5444
@naomicharles5444 3 месяца назад
😂😂😂mpka na mm nimecheka😅😅😅😅sijui na mm ni mraibu
@PendoMacha-ib6oc
@PendoMacha-ib6oc 3 месяца назад
😂
@ZainbAbubakary
@ZainbAbubakary 3 месяца назад
Yaani nilikua sitaki kukoment lakini Alibariki kanifanya nikoment kwa ujinga wake aloufanya yaani umuome mtu anakulazimisha kula madawa ya kulevywa hutaki halafu unaomba juis ulitegemea nini
@gladyrobbin
@gladyrobbin 2 месяца назад
Ndio inasikitisha
@gladyrobbin
@gladyrobbin 2 месяца назад
Haya mambo hayafai ujue 😭😭anaenda kuaribikiwa .si bora angempa maji anywe kuliko hayo madude 😢
@Teresiamwagange
@Teresiamwagange 2 месяца назад
Yn hyo kak atakoma bdo anauliza ni dawa gan nawez tumia anaakir kwl hyu mh cjapt kuon mtu chiz kma hyu aiseee
@ashurarajabu1826
@ashurarajabu1826 2 месяца назад
aisee nihatar
@SleepyGiraffes-hc7mv
@SleepyGiraffes-hc7mv 3 месяца назад
Mambo ni mazito 😅😅
@hadija_makange
@hadija_makange 2 месяца назад
Daah ila cc wanawake ni zaidi ya nyoka
@rosemofuga8101
@rosemofuga8101 3 месяца назад
Yaani ananikela huyu mkaka mpaka basi anaendekeza mapenzi hadi anakela, anamwamwini huyo mwanamke, wakati mwenzake anamlisha madawa ya kulevya ,kwa kufata hatua kwa hatua
@SashaIbrahim-s4v
@SashaIbrahim-s4v 3 месяца назад
@@rosemofuga8101 Daaa hivi Efm Kwenye Redio inapatikana Channel Gan
@gladyrobbin
@gladyrobbin 2 месяца назад
Yani Mimi Sina hamu naye. Ila huwez jua kapitishwa huku Ili kusud aje kuelimisha watu kupitia mapito yake.
@rosemofuga8101
@rosemofuga8101 2 месяца назад
@@gladyrobbin ni kweli kabisa nakubaliana nawewe
@PendoMacha-ib6oc
@PendoMacha-ib6oc 3 месяца назад
😂😂🤣🤣🤣
@SleepyGiraffes-hc7mv
@SleepyGiraffes-hc7mv 3 месяца назад
Pendo kama pendo😂😂😂
@dayana5513story
@dayana5513story 2 месяца назад
Yashanikuta tumia tufuraie maisha 😅
Далее
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
NDOA YA RINGO NI VITUKO, UTACHEKA UFE
21:49
Просмотров 48 тыс.