Тёмный

THE CLASSIC SAIGON: MIAKA 32 YA NDANI YA GAME/MIAKA YA GIZA YA RAP KABLA YA BONGOFLEVA/KUZALIWA DPT 

KuviFacts
Подписаться 11 тыс.
Просмотров 21 тыс.
50% 1

Saigon ni mwamba kabisa wa Hiphop Tanzania amekua kwenye game kwa miaka 32 sasa na amefanya mengi kukuza Hiphop Tanzania ikwemo kufanya kazi kwenye vyombo vya habari na kusaidia ukuaji wa wasanii wengi sana,amefika kupiga nasi stories muhimu za maisha yake

Опубликовано:

 

31 май 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 105   
@abdulengadumwala8025
@abdulengadumwala8025 Месяц назад
Saigon is the Fckn Genius ,jinsi anasikiza kwa makini, anaongea kwa tones, kupanda, kushuka,kusisitiza na swaga. The way anaelezea na kufafanua jambo. Mjuzi wa lugha, anatamka maneno kwa usahihi kabisa, kifupi jamaa ni hazina. Big respect to this man ebana Oi!!
@Basagamp4
@Basagamp4 Месяц назад
Aaaaamin
@othumanlorenzo260
@othumanlorenzo260 Месяц назад
namsikiliza na kumuangalia hapa
@joshuamuro9494
@joshuamuro9494 Месяц назад
Jamaa anajua sana nilitamani Majizo amvute Efm
@hassanhassan1019
@hassanhassan1019 Месяц назад
Anajua sana
@abdulrajabu8252
@abdulrajabu8252 Месяц назад
Ooooi saigon badest bigtime
@verbalverbal2019
@verbalverbal2019 Месяц назад
Eee bwana Jabir hao wamba walikuwa wanafanyiwa video na ITV, nyimbo zote :- Tururuke Kwa Furaha, Word is Bond, Are You Down... Na rap za Era yao yote zilikuwa na video za ITV, mi sina connections ila wewe unaweza ukampata mtu kama Nicko Track asaidie kujua kama bado zipo pale ITV... Kuna historia kubwa sana itapotea (kama haijapotea tayari)... Kama zipo zitunzwe properly
@zuberyaunda5263
@zuberyaunda5263 23 дня назад
Exactly umeongea fact
@jameskinuthiamunene6356
@jameskinuthiamunene6356 Месяц назад
Nlimjua kwa show yake ya hip hop kali EATV...legend...salute toka Kenya
@officialmrdeo8116
@officialmrdeo8116 Месяц назад
Kuvi Misuti Please Please Tuletee na Jose Mtambo asee
@fongaamike2768
@fongaamike2768 Месяц назад
nilisha mwambia. Ila ana sema jamaa ni ngumu kumpata yani ataki kufanya interview. msanik wangu bora kabisa
@khalifasaid1131
@khalifasaid1131 Месяц назад
Mzee wa kigambonino msanii wangu wa miaka yote
@FranklinMtei
@FranklinMtei Месяц назад
Kwa kweli, amlete muasisi wa commercial rap
@yudaogonyi2383
@yudaogonyi2383 Месяц назад
OYAAAAA . Baada ua interview na j moe nilitaka kukuandikia kuwa nataman umuite SAIGON … eee bana ulkua unaish akilin mwangu. Umetisha sana broo
@user-zy2vg6kl1s
@user-zy2vg6kl1s Месяц назад
Daaah huyu ni Shekh wangu,pia nakubali anachokifanya kabla sijamjua kama ni Sheikh,but ALL IN ALL ALLAH ATUPE MWISHO MWEMA.NAMPENDA KWA AJILI YA ALLAH
@Basagamp4
@Basagamp4 Месяц назад
Aaaaamin
@lucianoluciano6795
@lucianoluciano6795 Месяц назад
...kwa sisi tunao watch youtube tusikilizishe hizo nyimbo hata kwa 10sec
@bernardmunuo2137
@bernardmunuo2137 Месяц назад
Moja ya mc wakali na nimoja ya best tv presenter during my childhood
@kherisalum6304
@kherisalum6304 Месяц назад
Hip Hop Base enzi hizo inaruka channel 5 Aisee 🫡🫡🫡🫡shout out to the legendary Saigon
@mohammedabdallah9692
@mohammedabdallah9692 17 дней назад
No comments with this dude....!!!! Saigon Kalinye ''oy'' Monster. Aajeeb saNA...!!
@NotiAbdullah-d1f
@NotiAbdullah-d1f 12 дней назад
Much love my brother saigoni sale Allah akuweke unajuwa
@Chemba67
@Chemba67 Месяц назад
Legendary......wapewe maua yao ...hawa ndio waliochora ramani........♨♨
@maxmiletz4563
@maxmiletz4563 Месяц назад
Mwamba alikujaga secondary mbez makonde kipind nipo kidato cha 1 akaturecod kipind Fran cha kuchagua nyimbo east Africa redio kwa mara Ya kwanza niliuza sura Kweny luninga😅❤
@westcijosh
@westcijosh Месяц назад
Saigon ana jua kuelezea stori sana alafu ndani yake anafurahisha pia😂😂
@prophdj
@prophdj Месяц назад
Saigon the legend,kwangu Mimi humuona kama our African DMX kutoka na Ile style yake ya rap
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 Месяц назад
Oi ..Oi ..Oi.. SAIGON longtime sana Mnyamwezi sana
@kingkizeve1973
@kingkizeve1973 Месяц назад
Is Among the people who have made a Mark in Hip Hop Ooi ooi
@boitumeloboitumelo8038
@boitumeloboitumelo8038 Месяц назад
Big up kaka mkubwa leo na msikiliza saigoni ebwana oiii ebwana mzukaaaaa maua ya pokeka kaka hip hop bila madawa ✊🏿✌🏿👊🏿💪🏿
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 Месяц назад
Rolling back those years... a lot of mixed emotions! Ila maisha yale ilikua ni ya furaha sana...
@khalidgugu4964
@khalidgugu4964 Месяц назад
R.I.P mwalimu Lukinga
@johnrichard5482
@johnrichard5482 Месяц назад
Eeeeebana Daaaah Oi Oi Oiiii.. SAIGON..🔥🔥🔥 SALUTE TO Former MC's #Saigon_Diplomats 🙌🙌🙌🙌
@vincentmaholo9179
@vincentmaholo9179 Месяц назад
Bonge la show, bonge la mcee ever! Naomba kupata hiyo album
@maprojectalltrends1296
@maprojectalltrends1296 Месяц назад
Bro tunaomba The Classic kwenye TV....
@mohamedhamisi9766
@mohamedhamisi9766 Месяц назад
Huyu mwamba mwanaharakati sana wa hip hop
@kaundasutikaunda7769
@kaundasutikaunda7769 Месяц назад
NAMKUBALI SANA KAKA SAIGON
@ericdeogratius970
@ericdeogratius970 Месяц назад
Mchizi mtoto wa mjini sanaa ana madini kinoma
@Jabali_Media
@Jabali_Media Месяц назад
Saigon ana Ngoma yake moja inaitwa POVERTY hatari sana 🔥
@erastotweve2586
@erastotweve2586 Месяц назад
Nakukubali Saigon! Hop uturekodie ngoma mpya!
@ksonrap
@ksonrap Месяц назад
Oiiiioii Kali Ni Kali Fikra Pana Namsayin'... It's Saigon Youh!!!✍️🫡🫡
@allysudi4429
@allysudi4429 Месяц назад
Happy sozi again yan tena...ooohhhiii ooohiiii mzukaa# saigon💥💥
@DaudiSaid-bj7dh
@DaudiSaid-bj7dh Месяц назад
Hawa ndo waasisi wa hip hop Og must respected. Namkubali sana brother wangu sijui Yuko wapi siku hizi
@christopherjames3684
@christopherjames3684 Месяц назад
Saigon noumer sana legacy ya hip hop east Africa
@mellahcoffee
@mellahcoffee Месяц назад
Kipindi namfatilia sana Saigon nkawanajiita na jina lake kama nickname kakaang akasema usije ukawa kama yeye. Lakini baadae Saigon akaancha mziki akawa mtu wasala sana😂
@user-pp7ug2bc1y
@user-pp7ug2bc1y Месяц назад
Nakumbuka sana, Forodhani the thing mlikua manzingatia maswali ya Lukinga? Alinisaidia sana Physics na Chemistry
@kennethbenjamin275
@kennethbenjamin275 Месяц назад
Paul beda alisoma agakhan nakumbuka
@stevechampion6559
@stevechampion6559 Месяц назад
LThe Living Legend SAIGON
@karibuautotanzania3979
@karibuautotanzania3979 Месяц назад
Saigon wa Mandela Court alikua hatari sana.nakumbuka enzi zetu za uk wazee
@DaudiSaid-bj7dh
@DaudiSaid-bj7dh Месяц назад
Saigon uwezo wake katika hip hop Bado hakuna wakumlinganisha naye ila kwa wanaowajua.
@ricchjamez
@ricchjamez Месяц назад
Mmmhh is the classic way up 🙌
@VisenthYohana
@VisenthYohana Месяц назад
King crazy gk hapo ndo aliye baki CEO wa east coast team
@shenamtukufu1224
@shenamtukufu1224 Месяц назад
Kalinye
@jeverinopembe7945
@jeverinopembe7945 Месяц назад
Namuomba Joze Mtambo Mwana Kigambonino
@emmanuelbarnabas2577
@emmanuelbarnabas2577 Месяц назад
Makelele atusikii interview ,,sijui efm imekuaje,,tangu hii kitambo mipya,imekuwa NI shida,na pia mpaka TV,sauti zimekuwa azitoki sweet
@DaudiSaid-bj7dh
@DaudiSaid-bj7dh Месяц назад
Kaka bongo palikuwa sio mahali pako kabisa. Level zako nyingine kabisa. Ila watz hawawezi kuelewa maana wakata viuno wameteka akili zao.
@afreecastzaxie
@afreecastzaxie Месяц назад
OOOIII OIII Saigon... ebwana daah
@SipeKato
@SipeKato Месяц назад
Haa Saigon Karne Karne ww kaka wapi ulipoterea hata mm nilikuwa nakufatilia kipindi hichoo
@rajabulyanga8438
@rajabulyanga8438 Месяц назад
MY Role model ✌✌✌
@cholobrighter104
@cholobrighter104 Месяц назад
Safi sana ✌️
@jacksonmsendo3478
@jacksonmsendo3478 Месяц назад
Saigon marapa wa mwanzo kabisa miaka ile
@Blacksamitz
@Blacksamitz Месяц назад
Oioioio ebwana daah 💯
@YusufuAbas
@YusufuAbas Месяц назад
Anaumwa saigon huo uso vipi?
@braggadachu1723
@braggadachu1723 Месяц назад
Kwo kuvichaka na suti😂
@salumuathuman5286
@salumuathuman5286 Месяц назад
wa kigambonino ahusike kwenye pindi
@KalamuYaGalana
@KalamuYaGalana Месяц назад
Saigon Aminia.... Malindi Kenya
@dullahsimbaulanga6472
@dullahsimbaulanga6472 Месяц назад
>>>Eenh bhaana Daah
@AgustinoAlexander
@AgustinoAlexander Месяц назад
Ni uyu mimi
@DaudiSaid-bj7dh
@DaudiSaid-bj7dh Месяц назад
Mzee wa oiii oii dadadaaaa
@andrewmmbaga1665
@andrewmmbaga1665 Месяц назад
🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🐐
@aboubakarmahmoudmashaka696
@aboubakarmahmoudmashaka696 Месяц назад
Imekuaje
@udizungwahimalaya5213
@udizungwahimalaya5213 Месяц назад
Oiiiiiii ebwana oiiiiiiiii saigon
@omarmkumba3547
@omarmkumba3547 Месяц назад
Saigon
@muddylikwena128
@muddylikwena128 Месяц назад
Tuletee dark master mzee
@iamzillahx6901
@iamzillahx6901 Месяц назад
Alishapitaga kwenye kipindi
@ubuntubantu2404
@ubuntubantu2404 Месяц назад
Hichi sio kipindi ni makumbusho ya sanaa ya tanzania
@KuviFacts
@KuviFacts Месяц назад
🙏🏾
@kalutaabedi2742
@kalutaabedi2742 Месяц назад
Mama Rudia ana watoto wawili,wa kwanza anaitwa Tena wapili anaitwa nani???ah ah😅
@atenionesmo_A10
@atenionesmo_A10 Месяц назад
aah ahh rudia😅😅
@REVOLUTIONARYLYRICS
@REVOLUTIONARYLYRICS Месяц назад
Oi🇰🇪
@famakasari
@famakasari 29 дней назад
Nipo nairobi wanakataa kua Jamaa NI mbongo😂😂😂😂😂 anavyo freestyle kimarecani
@RaiderTube
@RaiderTube Месяц назад
Oiii
@aboubakarmahmoudmashaka696
@aboubakarmahmoudmashaka696 Месяц назад
Saigon c alikua ustaaadh huyu
@kakorejrboyz6447
@kakorejrboyz6447 Месяц назад
Ustaadh WA nn
@hundredcopies2719
@hundredcopies2719 Месяц назад
Aliacha mziki akawa sheikh na alikuwa anatangaza Redio na Tv Iman ya Morogoro
@meckpro5574
@meckpro5574 Месяц назад
​@@hundredcopies2719namimi nashangaa kumuona kafanya tena mziki
@hundredcopies2719
@hundredcopies2719 Месяц назад
Dunia inadanganya watu ... Alikuwa anatumiwa sana kwenye midaharo ya dini kwa lugha ya kingereza sababu anaongea kingereza kizuri
@mugadimon3563
@mugadimon3563 Месяц назад
Aliacha muziki akawa ustaadh. Lakini jamaa ni hazina ya mziki wa nchi hii.
@yusufsuwi5350
@yusufsuwi5350 Месяц назад
Ni km cku nne zilizopita nikasema nimsachi huyu mwamba you tube baat namuona hapa daa mnyamwezi sn huyu Namkubali
@JijoAce
@JijoAce Месяц назад
Kipindi kile Dah Saigon what is Born
@AlexMosha-ci5uq
@AlexMosha-ci5uq Месяц назад
Tv Gani 1994 Tanzania 🇹🇿🧠🤔 ilikuwa inaonyesha
@Sean1877
@Sean1877 Месяц назад
CTN
@jacksonmsendo3478
@jacksonmsendo3478 Месяц назад
Uyu jamaa alikuwa mnoma sana slang imetulia ila kama anaumwa saivi alikuwa bonge la handsome
@joshuamuro9494
@joshuamuro9494 Месяц назад
Yah inaonesha hvyo, jamaa na mkubali sana kwa Lugha na Swagaa ni mtu mbad sana
@GeorgeSikazwe-mm7nn
@GeorgeSikazwe-mm7nn Месяц назад
Oiiiii ebhn duh ebhn duh oiiiii..sigoniiii
@user-xm9wr1lk4t
@user-xm9wr1lk4t Месяц назад
Saigon ana ngoma yake moja hivi ambayo I can relate myself with or relate myself with inaitwa 'MSAMAHA' kwenye chorus hapo alifanya majani dah! Anakwambia ndugu jamaa na washkaji washkaji naomba msamaha!! USHETANI ulinipanda kwasababu ya 'POMBE' Bila kuisahau verse yake kali sana kwenye ngoma yake T.I.D inaitwa 'VIWANJANI'
@killindoabile3128
@killindoabile3128 Месяц назад
Ebhna hoi ebhan hoi ebhan oi oi
@RashidMuhunzi-pr5xj
@RashidMuhunzi-pr5xj Месяц назад
Mbona niliskiaga amekufa?
@KuviFacts
@KuviFacts Месяц назад
Ulisikia wapi?
@tasukutechnologies2573
@tasukutechnologies2573 Месяц назад
Nafikiri kwa makini
@aboubakarmahmoudmashaka696
@aboubakarmahmoudmashaka696 Месяц назад
Kwa iyo kaacha usheikh kabisa
@aboubakarmahmoudmashaka696
@aboubakarmahmoudmashaka696 Месяц назад
Kwa iyo kaacha usheikh kabisa??
@mugadimon3563
@mugadimon3563 Месяц назад
​@@aboubakarmahmoudmashaka696Ni sheikh mpaka kesho
Далее
We will see who will do it better 😂
00:14
Просмотров 3,7 млн
Mkasi - SO4E03 with Saigon
28:08
Просмотров 78 тыс.
YOUNG LUNYA NA WAKAZI KIMEUMANA LIVE TIMES FM
28:34
Просмотров 14 тыс.
Kala Pina_ Wazaramo (Official Music video)
3:07
Просмотров 30 тыс.