Klabu ya Simba SC kupitia kwa mashabiki wake Leo Julai 13,2024 wamefungua Tawi la Timu hiyo lililopewa jina la Pira Sunami maeneo ya Mbagala Mzinga,hafla hiyo iliyohudhuriwa na Msemaji wa Simba SC Ahmedy ally ambae ndio alikuwa mgeni Rasmi
5 сен 2024