Тёмный

MANGUNGU: "WANATOA TAARIFA ZA KAGOMA HATUZIJUI/SIMBA HATUNA HOFU/MSIMU WETU HUU". 

Mpenja TV
Подписаться 539 тыс.
Просмотров 30 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 77   
@shaabanramadhan
@shaabanramadhan 9 дней назад
Hongera mangungu imetoa somo tosha kwa hao magongo wazi
@user-zs3wr4bc3t
@user-zs3wr4bc3t 9 дней назад
Afadhari❤❤❤ simba nguvu moja
@janethjustin2041
@janethjustin2041 9 дней назад
Waooo Mangungu umejibu vema kumbe hata wewe umewajuaeee! Sisi ni simba nguvu moja❤❤❤❤
@sultanielhaddady2161
@sultanielhaddady2161 9 дней назад
Nachoka mimi 😂😂😂😂 mangungu majibu yake.. Ubaya Ubwela
@LetasKomba-br1xh
@LetasKomba-br1xh 9 дней назад
Hapo mangungu umejibu vyema kabisa hakuna shabiki wa Simba ambae Hana Imani na Timu yake good
@JILBERTDaniford
@JILBERTDaniford 9 дней назад
Excellent
@EMMANUELYSTANLEY
@EMMANUELYSTANLEY 9 дней назад
Hiki ki jamaa kimangungu kijeuli😂😂😂😂
@roberttagaya9098
@roberttagaya9098 9 дней назад
Hiki kizee sio jeuri bali kinajiamini sana.
@HusnatShabani
@HusnatShabani 9 дней назад
Nguvu Moja💪🔥🔥♥️♥️♥️
@shaabanramadhan
@shaabanramadhan 9 дней назад
Wewe si muelewa,hao wachezaji ulowataja wote walishahama Yanga.Mangungu anamaanisha Simba haijanunua mchezaji kutoka Yanga kwa mauziano.kua muelewa bro acha umbumbumbu
@charlesSomeke
@charlesSomeke 9 дней назад
Morison alihama
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d 7 дней назад
Ndo shida ya GSM kuzamini timu nyingi lameki wametia mkono awesu wametia mkono hao hao nyuma mwiko kijili mashaka nyuma mwiko akili zao zipo nyuma kwao ndo maana manara alisema wenye akili ni wawili
@MkudeSimba-y8c
@MkudeSimba-y8c 8 дней назад
Yanga ni timu ya ujanja ujana sana lkn kagoma Bado mali ya mnyama😂😂🎉🎉
@EmanuelChilumba
@EmanuelChilumba 3 дня назад
Kama hujachambua vitabu shulen huwezi kuelewa viongozi wa na sema nn
@danielkajiru6017
@danielkajiru6017 9 дней назад
Lkn kama Magoma alikuwa na mkataba na Singida hata Yanga piah walifanya makosa kuzungumza na mchezaji bila kuwasiliana na singida na kama walikuwa na mazungumzo na singida bhasi Singida ndio wamewaingiza simba kwenye matatizo kwahiyo sioni kama kunakosa la mojakwamoja kwa simba
@Mkubwa_jr
@Mkubwa_jr 9 дней назад
Magoma yupi unaemzungumzia yule mwenye pengo au😅😅😅
@baruanibakari7410
@baruanibakari7410 8 дней назад
Abdul elewa alichokiongea mangungu anaongelea mwaka huu bro
@DeogratiusMponda
@DeogratiusMponda 9 дней назад
Mchezaji huru na kusajiliwa tofauti na kununuliwa kutoka timu anayochezea fala
@wimranpatrick
@wimranpatrick 9 дней назад
Kagima wa mangungu
@Mo_kiddMsangi
@Mo_kiddMsangi 9 дней назад
Msimu huu elewa somo
@GOLDIANEDRICK-sm6xk
@GOLDIANEDRICK-sm6xk 9 дней назад
Unajitafunatafuna mangungu hapo mtajibu aisee
@MariaMnthax
@MariaMnthax 9 дней назад
Kagoma alisema mwenywe kwamba alisaini yanga badae akasaini simba hapa mangungu anakata sasa mkweli niyupi hapo
@VictorMgodomi-xj1ey
@VictorMgodomi-xj1ey 9 дней назад
Mbona kagoma alisema vizuri tu yanga alisaini mkataba wa awali
@MariaMnthax
@MariaMnthax 8 дней назад
@@VictorMgodomi-xj1ey ndoomanaake sasa mangungu anakata kvp
@Kabeya410
@Kabeya410 7 дней назад
😅MANGUNGU KENGE KAMA KENGE WENGINE MWENYEKITI WA KUFUNGUA NA KUFUNGA VIKAO MPAKA JANUARY UTAANZA ULE ULE WIMBO WA HATUMTAKI MANGUNGU NA TRY AGAIN 😅😅MASIKINI KOLOKWINYO FC
@petro8010
@petro8010 9 дней назад
Hakuna hata comment moja.... acha mimi walau nitoe support Kwa hilo
@noorbazaar9063
@noorbazaar9063 9 дней назад
PIA, KUNA TIMU ZINASUBIRIA WASTAAFU WENU KWA AJILI YA WAO KUWASAJILI.
@DenisMusa-g5z
@DenisMusa-g5z 9 дней назад
Utopolo ni madanga tu watuachie simba ya ubaya ubwela hatuna dogo
@babaabuu
@babaabuu 8 дней назад
Mnaambiwa uongozi makini lakini matatuzo hayaishi!! Ishu ya kibu d, ishu ya lameck lawi, ishu ya awesu awesu na Sasa ni kagoma lakini Bado mnaaminishwa uongizi makini na mnapiga makofi!! Ebu tumieni akili wana lunyasi
@LauMagwaja
@LauMagwaja 8 дней назад
Kagoma Mali ya simba nguvu moja 💪 utopolo wanapenda ujanja ujanja tu
@marcobulili4341
@marcobulili4341 9 дней назад
We hujui maswala ya usajiri kabisa, Kalia kiting cha kolo tu!
@georgesteven5185
@georgesteven5185 9 дней назад
Yaan. Mtu mzima unaandika ujinga ambao hata wajukuu wako wakiona lazima wacheke
@EdwardMlowe-e8i
@EdwardMlowe-e8i 9 дней назад
Wachezaji uliowataja walishamaliza mikataba yao kwa maana walikuwa huru
@iddiramadhan
@iddiramadhan 9 дней назад
This is 🦁💪
@ThedyDarema
@ThedyDarema 9 дней назад
Utopolo wanatamaa kama madanga
@YusufuMwamlengaMwamlenga
@YusufuMwamlengaMwamlenga 9 дней назад
Yaani utopolo ni waongo sana,wanapenda sana propaganda za kijingakijinga
@godfreysimoni4270
@godfreysimoni4270 9 дней назад
Kama waongo mbona kesi ipo kwenye kamati mwaka huu mmetatimba makolo
@bbanyikwa
@bbanyikwa 7 дней назад
Makolo mna makasiriko ya nini subirini kamati ifanye maamuzi😂😂😂
@YusufuMwamlengaMwamlenga
@YusufuMwamlengaMwamlenga 6 дней назад
Kamati ipi?,ya harusi,mmekwama waking nyie
@YusufuMwamlengaMwamlenga
@YusufuMwamlengaMwamlenga 6 дней назад
@@bbanyikwa kamati ipi?,ya harusi?,mmekwama wajinga nyie
@user-ec3iz6pg2i
@user-ec3iz6pg2i 8 дней назад
Kuwa na akili wewe
@abdulhamidnjovu6031
@abdulhamidnjovu6031 9 дней назад
Mangungu anadai kuwa Simba haijawahi kumsajili mchezaji akitokea Yanga... Morrison, Kakolanya, Niyonzima, na Saidoo kwa mfano, waliwatoa timu gani?
@MgazaMhina
@MgazaMhina 9 дней назад
Alikuwa mchezaji huru ni kama chama alivyoenda Yanga.
@pascofp145
@pascofp145 9 дней назад
Wote walikuwa wachezaji huru kasoro saidooo alitokea geita kaka Wala hakuna mchezaji wa yanga
@ibrahimally8073
@ibrahimally8073 9 дней назад
kama hujui Bora uliza na sio kulaumu..
@SenoNorbertKiemena
@SenoNorbertKiemena 9 дней назад
Kuwa na akili ww chura saido ilisajiliwa na Simba kotoka geita gold na sio nyuma mwiko... Zuzu ww
@user-co1hx4wh3r
@user-co1hx4wh3r 9 дней назад
Wote walikuwa huru na saidoo kasajiliwa kutoka geita au huju
@GodfreyJames-zt6ig
@GodfreyJames-zt6ig 9 дней назад
Awana mpya kwisha abali yao ni ubaya ubwela
@vincentakulumuka4961
@vincentakulumuka4961 8 дней назад
The most boring interview ever! Ujinga tu..
@ThedyDarema
@ThedyDarema 9 дней назад
Utopolo wanatamaa kama madanga
Далее