Тёмный

🔴LIVE: THRDC WAJIVIKA MABOMU watuma ujumbe kwa RAIS SAKATA LA NGORONGORO NA MASAI ' HATUTAKUBALI..." 

MwanaHALISI TV
Подписаться 321 тыс.
Просмотров 19 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 91   
@sebuyoyabiteyubwoba
@sebuyoyabiteyubwoba 2 месяца назад
Waarabu waondolewe ngorongoro warudi kwak, waliwatesa babu zetu lakini watawala hawaoni, wanaendelea kuwakjmbatia. Kweli fedha ni mwsnaharamu.
@mimiraia2531
@mimiraia2531 2 месяца назад
“NIMEJITOLEA KUFA KWA AJILI YA WATANZANIA MASIKINI” alisema MZALENDO MAGUFULI. “IKULU SIYO PANGO LA WALANGUZI” alisema MZALENDO NYERERE
@HuperTanzaniaLtd
@HuperTanzaniaLtd 2 месяца назад
Huu ndio ukweli mchungu
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 2 месяца назад
Siyo pesa bali damu Ni nzito Bali damu Ni nzito kuliko maji: pia Ujue mjomba Ni mama
@ElizaMolle
@ElizaMolle 2 месяца назад
kiongozi umenifurahisha mungu akupe maisha marefu
@SaidAmourAdeyoum
@SaidAmourAdeyoum 2 месяца назад
Hapa si suala la waarabu ni lakwetu hawakuja na mabomu wameitwa ndio wakaja na wamelipa mapesa mengi tu si la kwao
@sebuyoyabiteyubwoba
@sebuyoyabiteyubwoba 2 месяца назад
THRDC tumeni tarifa hiyo katika balozi zote duniani ili dunia ujue unyanyasaji wa viongozi wetu. Pengine mataifa yanaweza kutoa matamko.
@mimiraia2531
@mimiraia2531 2 месяца назад
HII NDIYO TAFSIRI YA ILE KAULI…NCHI IMEFUNGULIWA MIPAKA….Magufuli Mungu akupumzishe mahali pema
@anosiata8242
@anosiata8242 2 месяца назад
Mimi kwa maoni yangu watanzania nawashauli anzeni kupinga kampeni kwa watanzania hakuna kumupingia kula samia. Chagueni chama kingine..
@efraimjohn4956
@efraimjohn4956 2 месяца назад
iko wapi serikali sikivu? Yuko wapi kiongozi msikivu?
@mimiraia2531
@mimiraia2531 2 месяца назад
Wako wapi CHAWA
@mimiraia2531
@mimiraia2531 2 месяца назад
“NIMEJITOLEA KUFA KWA AJILI YA WATANZANIA MASIKINI” alisema MZALENDO MAGUFULI. “IKULU SIYO PANGO LA WALANGUZI” alisema MZALENDO NYERERE
@allyshaban406
@allyshaban406 2 месяца назад
Msimtenganishe Rais, na tatizo la Ngorongoro, yeye ni muhusika namba moja
@bonifacerobert2960
@bonifacerobert2960 2 месяца назад
Hilo neno "mheshimiwa" halimstahili tena Samia.
@ElizaMolle
@ElizaMolle 2 месяца назад
Mungu mbariki uyu kiongozi wako anaye teteya wanainchi ya ngorongoro
@JoelRichard-hj3bi
@JoelRichard-hj3bi 2 месяца назад
TANZANIA HATUNA RAIS,ILA TUNA KIMVURI CHA RAIS HUU NDIO UKWELI MTUPU.
@mimiraia2531
@mimiraia2531 2 месяца назад
“NIMEJITOLEA KUFA KWA AJILI YA WATANZANIA MASIKINI” alisema MZALENDO MAGUFULI. “IKULU SIYO PANGO LA WALANGUZI” alisema MZALENDO NYERERE
@mwambaimara1950
@mwambaimara1950 2 месяца назад
Waarabu ni wakatili sana na wanadharau sana waafrika warudi kwao...
@mahengedaktari-ek8go
@mahengedaktari-ek8go 2 месяца назад
Asante pameanza kukucha sasa
@salama1113
@salama1113 Месяц назад
Hapo kwenye nyombo vya habari umeongea jambo lamsingi ila mungu anawaona na kuna shekhe mmoja nayy sasahivi apitwinajambo kilajambo analifanya analijuwa
@LaizarKilaye
@LaizarKilaye 2 месяца назад
Mm sijawayi kuona raisi kama uyu dhaaa ula ningemkuta namtongoxaaa tuuu no way😊
@KingiSindima
@KingiSindima 2 месяца назад
Hongera sana mh hakika machozi yananitoka moyoni
@LusajoKabuka
@LusajoKabuka 2 месяца назад
Ametingwa na tamasha nyumbani akimaliza ataenda ndio bwana
@MAKOSEMBETAKIRURUSHI
@MAKOSEMBETAKIRURUSHI 2 месяца назад
God bless you ❤
@DeusMbalamwezi
@DeusMbalamwezi 2 месяца назад
❤🎉
@ShukuTete-wb1fp
@ShukuTete-wb1fp 2 месяца назад
Rijitu hata kula zake halizijui litakuweje nahuluma kwa wanaichi?
@sambulugu9988
@sambulugu9988 2 месяца назад
Olengurumwa ulikuwa unampinga sana Magufuli huku ukitumia na Mabeberu na kumuonesha hakuaa na maana sasa pambana na Wanasai wenzako! Kujitambua ni muhimu sana! Akitokea mzalendo mnakuwa na maneno mengi mara anateka watu na blahblah kibao!
@mimiraia2531
@mimiraia2531 2 месяца назад
“NIMEJITOLEA KUFA KWA AJILI YA WATANZANIA MASIKINI” alisema MZALENDO MAGUFULI. “IKULU SIYO PANGO LA WALANGUZI” alisema MZALENDO NYERERE
@SarahSwale
@SarahSwale 2 месяца назад
Hawa ndio pumbafu kabisa . Hawana jema. Kila linalofanyika kwao baya. Kila utawala mbaya, Kikwete mbaya, magufuli mbabe, Samia waarabu ! Mnataka nini nyie punda? Kila kitu haki za Binadamu , nyie vibaraka wa Mabeberu tuu hamna jipya.
@nabimanyafesto5014
@nabimanyafesto5014 2 месяца назад
Inawezekana alimpinga, lakini unaweza kuonesha ni jinsi gani alimpinga? Na kwann alimpinga?
@stevesungura6789
@stevesungura6789 2 месяца назад
Hata Magufuli alikuwa na makosa yake, hayakuwa haya lakini nayo yalikuwa ni makosa.
@LosekuSindiyo
@LosekuSindiyo 2 месяца назад
Congratulations 👏👏
@mimiraia2531
@mimiraia2531 2 месяца назад
“NIMEJITOLEA KUFA KWA AJILI YA WATANZANIA MASIKINI” alisema MZALENDO MAGUFULI. “IKULU SIYO PANGO LA WALANGUZI” alisema MZALENDO NYERERE
@mahengedaktari-ek8go
@mahengedaktari-ek8go 2 месяца назад
Makonda kajitenga kabisa nahili
@nabimanyafesto5014
@nabimanyafesto5014 2 месяца назад
Watu shida hamfatilii na hamtunzi kumbukumbu. Sasa makonda mukimuona mnamuita mtuwa Aina gani?
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 2 месяца назад
SaidAlly wewe ni mzanzbari huna haki umasai.nenda kwenu kapumzike.
@mwakilulelefrancis280
@mwakilulelefrancis280 2 месяца назад
Waarabu wanakujua kutuletea fedhea😭😭
@bigdad1816
@bigdad1816 2 месяца назад
Mimi na swali Kwa Raisi na na serkali yake ya wahuni kwanini maraisi waliotangulia kwanini hawakutolewa na maraisi waliotangulia? This show Samia your have a bad intension to Tanganyikan Where is Ghadafi,where is Sadam, where is Mobutu,where is Omari Bongo Tenda Haki .
@mimiraia2531
@mimiraia2531 2 месяца назад
“NIMEJITOLEA KUFA KWA AJILI YA WATANZANIA MASIKINI” alisema MZALENDO MAGUFULI. “IKULU SIYO PANGO LA WALANGUZI” alisema MZALENDO NYERERE
@CharlesMulaki-j8h
@CharlesMulaki-j8h 2 месяца назад
Said Ally wewe ni Mwarabu huna haki Tanzania kaa kimya
@NdoipoMollel
@NdoipoMollel 2 месяца назад
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@florencejohn6427
@florencejohn6427 2 месяца назад
Mkuu wa mkoa yuko wapi atetee na hili. Au alijua hili ndio maana kakimbia?
@ChristerKoku
@ChristerKoku 2 месяца назад
Said Ally sio lazima ku comment,iwe wameonewa au ni wakadi ili tuwe na amani masikilizano ni muhimu sana.msipende kutukana tukana tunahitaji kuelimishana.mnatia hasira mnaotoa kauli za kibahuzi,pengine rais anajpanga jambo hili liwe sawa.
@mimiraia2531
@mimiraia2531 2 месяца назад
“NIMEJITOLEA KUFA KWA AJILI YA WATANZANIA MASIKINI” alisema MZALENDO MAGUFULI. “IKULU SIYO PANGO LA WALANGUZI” alisema MZALENDO NYERERE
@leonardramiye8207
@leonardramiye8207 2 месяца назад
Yaani warabu ni bora kuliko wataznia masai😭😭
@ShukuTete-wb1fp
@ShukuTete-wb1fp 2 месяца назад
Aeende aonee kama hatapigwa vichomi mwili muzima
@jacksonmwakasege6210
@jacksonmwakasege6210 2 месяца назад
TBC toeni tamko/maelezo kuhusu suala la Ngorongoro,ninyi ndio chombo chetu.
@nasramusaro
@nasramusaro 2 месяца назад
Kuhusu rais ni mtihani kwa kweli
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 2 месяца назад
Bado watanzania wenye huruma wapo nyinyi ndiyo mungetutawala wengine wapo siyo nafasi zao .
@healingsschool4630
@healingsschool4630 2 месяца назад
Genesis 28
@Jihelyakwilasa
@Jihelyakwilasa 2 месяца назад
Nikweli kabisa huyu rais anawahuni Samia jitoe sadaka Kama magufuli acha kujiona iposiku utakufa unaabiwa vibaya na sivizuli
@mimiraia2531
@mimiraia2531 2 месяца назад
Ana wahuni? Si awafukuze?
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 2 месяца назад
Kama mwenye mamlaka ya kikatiba kufuatilia vilio na mateso haya kwa raia wake ni Rais wa nchi lakini kaamua hataki kusikia na amekaa kimya, tunaamini Mungu aliyempa nafasi hiyo ili alinde watu wake hatakaa kimya muda wote
@mimiraia2531
@mimiraia2531 2 месяца назад
“NIMEJITOLEA KUFA KWA AJILI YA WATANZANIA MASIKINI” alisema MZALENDO MAGUFULI. “IKULU SIYO PANGO LA WALANGUZI” alisema MZALENDO NYERERE
@RichardMadebe-f1m
@RichardMadebe-f1m 2 месяца назад
Yes pameanza kuchangamka watanzania amkeni watumishi wastaafu wazee wa kikokotoo tusifanye makosa 2025
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 2 месяца назад
Hawa WaMasai ni wafugaji na ndio maisha yao. Wanakuwa na mifugo mingi sana. Je wanapodai wamehamisha kadhaa! Je mifugo yao imeham8shiwa walikoenda? Kinyume cha hapa waliohama ni wasio wafugaji na aidha ni wahamiaji wa kipindi fulani aidha kikazi. Ukweli usemwe!!
@ChristmasMaheri
@ChristmasMaheri 2 месяца назад
Nchi hii bila kushughulika na muundo wa muungano na kukabidhi Tanganyika mamlaka yake ya uhalisia,kila Rais wa muungano kutoka Zanzibar anakuwa na mambo ya utata katika watu wa Tanganyika.Zanzibar walipindua Waarabu na wakajiunga na ujamaa wa Tanganyika.Sasa kuna kila dalili za viongozi Zanzibar kuachana na muungano na kufuata ubepari wa aina ya ki-arabu au kueneza utaratibu huu kwa eneo la Tanganyika.Zanzibar ndiyo sababu ya kuondoa Azimio la Arusha la 1967,kuleta utawala wa UAE katika vitalu vya uwindaji vya Loliondo na sasa hatimaye matokeo haya ya ubaguzi wa wamaasai na maumivu mengine mengi.Tujisahihishe haraka kuepusha matatizo ya sasa na mengine yajayo.
@ErizicDaud
@ErizicDaud 2 месяца назад
Mimi najiuliza Sana mwarabu alitesa kweli wazee wetu mbn kizazi hiki kina mwabudu sana huyo mwarabu jmn 😢😢😢
@CharlesMulaki-j8h
@CharlesMulaki-j8h 2 месяца назад
Sambulungu wewe ni adui wa haki tangu utawala wa mwenda zake mshauli Mama usimpotoshe kwani kuacha kazi zake kwa siku moja kuwaona wamasai ni kazi ngumu na wewe Mama samia jishushe waone hawa watu wako tengeneza histolia kama manabii mtume Mohamed na Yesu christo wakifa Mama damu yao hiko rohoni mwako na rahana zote nijuu yako na watoto wako
@monicamwita7865
@monicamwita7865 2 месяца назад
Chawa kama chawà
@Jihelyakwilasa
@Jihelyakwilasa 2 месяца назад
Ukinipa Mimi urais nitaandika histolia ya kuwaajibikia watanzania na kuwaiba wewe Samia unawaiba na unawachonganisha watanzania
@rithaurassa
@rithaurassa 2 месяца назад
Wacha matisho wewe ndie utawatia aibu wamasai ngorongor ni yenu.
@mahengedaktari-ek8go
@mahengedaktari-ek8go 2 месяца назад
Wahuni wamechukuwa pesa kwamwarabu
@OmmyJames-xn7ji
@OmmyJames-xn7ji 2 месяца назад
Lip reading 😢
@IsaiahOloitai
@IsaiahOloitai 2 месяца назад
😭🇹🇿👍✌️
@FurahaNelson-z6c
@FurahaNelson-z6c 2 месяца назад
Ana onakama keleleza zandege
@FadhiliMwaitete-ls2li
@FadhiliMwaitete-ls2li 2 месяца назад
Mama ameamuwa na spika wake wote ni wanawake hawana huruma na wanawake wenzio mungu anawaona malipo yapo hapa hapa je mwendazake yupo wapi kwa Sasa ccm ni wahuni hawa warabu ninani kwetu mama Samia hawa warabu kawape huko Zanzibar huyu mama ni katili sana na anatuuza sisi nchini kwetu kweli huyu raisi atukutaki kwa staili hii apana
@mimiraia2531
@mimiraia2531 2 месяца назад
“NIMEJITOLEA KUFA KWA AJILI YA WATANZANIA MASIKINI” alisema MZALENDO MAGUFULI. “IKULU SIYO PANGO LA WALANGUZI” alisema MZALENDO NYERERE
@nasramusaro
@nasramusaro 2 месяца назад
Kiukweli hawa ndio watetezi tulikuwa tunawasubiri waungane na chadema kutetea wanyonge
@emanuelsinyinza
@emanuelsinyinza 2 месяца назад
Vyombo vya habari mumepewa nini ndiyo maana mungu anawalaani na mtakufa kwa larana musiwe wadanganyifu .naomba wenye watanzania acheni kusoma magazeti na tv wajinga wanao tupotosha hawataki kutangaza ukweli tv magazeti .semeni ukweli munalipotosha taifa hamfai. Hata kuitwa wandishi wahabari.
@AlphaxardMRusweka-jr1wi
@AlphaxardMRusweka-jr1wi 2 месяца назад
Uoni hata Yesu Kristo,aliwaonya sana waandishi wa habari,kwanza ni Wala rushwa hawa.wanaandika habari zao kwa upendeleo
@estinomkinga1260
@estinomkinga1260 2 месяца назад
Mmbea siku zote anasema ukweli, japokuwa hajatumwa. Jambo la maana ni kuthibitisha.
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 2 месяца назад
Shaidi ali utarudi kwenu zanzibar muda siyo mrefu
@tibbsminja2575
@tibbsminja2575 2 месяца назад
Kimsingi huu uchafuzi wa daftari la wapiga kura wa Ngorongoro Hii tume imeshachakachua hasa na watajiandaa kwa kura feki aidha huko Msomera na hata wqkirejesha Ngorongoro lazima washaiba hizo kura tayari!!
@KaburuKimath-eu5nf
@KaburuKimath-eu5nf 2 месяца назад
Kwani ngorongoro kunanii
@WilliamGideme
@WilliamGideme 2 месяца назад
Hakika kwa hili serialised ya coming ilaaniwe na Mungu mwenyezi awaangamize katika hilarious zao, e Mungu uwape nguvu wawe chanzo cha mabadiliko katika Tanzania.
@stevesungura6789
@stevesungura6789 2 месяца назад
Hii jamii kwa nini tunaitesa hivi, ni watanzania hawa jamani? Walikuwa Serengeti wakahamishiwa Ngorongoro, halafu leo tena wanafukuzwa Ngorongoro na kupelekwa Tanga. Keshokutwa sijui watapelekwa wapi
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 2 месяца назад
Ni Samia ndiye anaye watesa bila haya!!!
@AlanMbilinyi
@AlanMbilinyi 2 месяца назад
WAMASAI NI KIVUTIO KIBWA TANZANIA NA DUNIA NZIMA UNYANYASAJI HUU JAMII HII INAWEZA KUPOTEA.WATALII WANAPENDA SANA KUJA NGORONGORO SABABU KUU NI KUONA UTAMADUNI WAKIMASAI NA WANYAMA.
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw 2 месяца назад
Huyu nae anaongea nini tizama mashavu yake acha upuuzi wao si wanashindana na dora waache wateseke sisi WA Tanzania hatupendi shida hao wamasai sio watanzania
@mahengedaktari-ek8go
@mahengedaktari-ek8go 2 месяца назад
Wewe nimpumbavu tu muondoe watu kisa mwarabu mnafirwa nao nini
@c.l.g.mchurch6426
@c.l.g.mchurch6426 2 месяца назад
Wew ndio mkimbizi rudi kwenu tanganyika yetu tuachie ujinga na ushoga pelaka zanzibar 😢
@SaidAlly-uh4qw
@SaidAlly-uh4qw 2 месяца назад
Wamasai sio watanzania waache waendelee kuwasikiliza chadema mwisho wao kuwatia adabu
@OleSumaay
@OleSumaay 2 месяца назад
Wewe mpumbafu sana unachonganisha serikali na watu wetu
@mimiraia2531
@mimiraia2531 2 месяца назад
Mbwaaaaa
@norahfrank
@norahfrank 2 месяца назад
Pengine wewe hujitambui na hujielewi.rudi darasani
@mwambaimara1950
@mwambaimara1950 2 месяца назад
Jombo hili ni ukatili mkubwa sana kuwatndea watanganyika na ni dhambi kubwa sana mbele za Mungu, RAISI USITUFANYIE HIVYO WATANGANYIKA....MUNGU ANAKUONA.
@jimmyjameschuwa9898
@jimmyjameschuwa9898 2 месяца назад
Acha ujinga na upumbavu
Далее
Family♥️👯‍♀️🔥 How old are you? 🥰
00:20
Random Emoji Beatbox Challenge #beatbox #tiktok
00:47
SHEHE SURE AWASHA MOTO MAANDAMANO YA NGORO NGORO
24:04