Sasa ningependa Mwakinyo katika hilipigano ikiwa litakua basi asilichukulie kiasira wala kutaka kuonesha uma kua nivp apana acheze Game kama niyakirafiki tu na aipelekeshe hadi round ya tano ama yasita asiwe anangangania kumpiga
Ache kiki huyo mruguru mzik umemshinda atafuta njia ya kutokeya msenge acheze boso oya mwakinyo popote ulipo achana na hawa wasenge wasikupe panic songs mbele achana na mnyamwez mzik umeshamshinda hizo raz za diamond
Promoter msangi ameshatangaza TBC kua haifiki mwezi wa saba zinapigwa na ametangaza dau kubwa sana.Harmo haruki lazima asaini mpunga huo maisha yaendelee.watasema sn lkn kiki mjini itaambatana nampunga mrefu.Wafanyabiashara wawili wakikutana inaongelewa pesa tu.kupigwa au kupiga sio maneno ya kiume.Issue ni umepigwa au kupiga kwa sababu gani.