Тёмный

🔴REC : Agano Jipya ndio Msingi Kwetu // Padri Titus Amigu 

Tumaini_Tv
Подписаться 31 тыс.
Просмотров 2,8 тыс.
50% 1

| Picha hizi zinatengenezwa na TUMAINI MEDIA. Matumizi yoyote ya picha hizi ni marufuku bila idhini kutoka TUMAINI MEDIA
Hakimiliki © Tumaini Television - Haki zote zimehifadhiwa.Tafadhali Endelea Ku- Subscribe akaunti hii na bonyeza alama ya Kengele ili kupata taarifa zetu kwa wakati sahihi.

Опубликовано:

 

10 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 13   
@frimatuslupimo2031
@frimatuslupimo2031 7 месяцев назад
Asante Pd Amigu kwa mafundisho mazuri
@lucasmadaha8759
@lucasmadaha8759 7 месяцев назад
Mungu akubariki Fr Amigu... Utambulike kama Mwalimu wa Kanisa
@EdwiniBiatus-bj2go
@EdwiniBiatus-bj2go Год назад
Mungu akubaliki sana fr Titus .umebaki ww baada ya fr.mhagama mungu kumchukua
@restitutanjau2585
@restitutanjau2585 Год назад
Asante Baba kwa Mafumdisho
@bonifacemumba3750
@bonifacemumba3750 11 месяцев назад
Asante Baba Amigu!
@ordasstephanoords9882
@ordasstephanoords9882 11 месяцев назад
Kiristo hongera kwa mafundisho
@margaretkahurananga8544
@margaretkahurananga8544 Год назад
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya maisha yako Baba Titus Amigu
@claudtossy8678
@claudtossy8678 Год назад
Nafurahi sana kusikia maneno kama hayo
@ordasstephanoords9882
@ordasstephanoords9882 11 месяцев назад
Wakiristo tunapigana vita wenyewe siyo na mafundisho kuhakikisha tufike mbinguni
@EdwiniBiatus-bj2go
@EdwiniBiatus-bj2go Год назад
Lakini kwa bahati mbaya sana huyu father wakalismatiki wengi hawampendi.ILA sijasema wote
@proisolution7166
@proisolution7166 9 месяцев назад
TyK hawampendi kwasababu wamekalili ,ukweli ni huo imani inababaishwa kwasababu ya kulazimisha mafundisho ya kumfanya Mungu kama mzee hv anayehitaji kukumbushwa na Kanisa linakubali mafundisho hayo.
@GeofreyBMapunda-tq9np
@GeofreyBMapunda-tq9np 7 месяцев назад
@@proisolution7166 ni kweli kabisa Mpendwa
@proisolution7166
@proisolution7166 6 месяцев назад
kifupi mimi kama Mkatoliki,hili suala la michango mpaka inashangaza-ieti nia za misa kama ya msiba 1000/,shukrani 1000 haikubaliwi,sasa kwani mungu alimwambia nani hivyo viwango-(yesu wa maji na roho)
Далее
Вопрос Ребром - Булкин
59:32
Просмотров 786 тыс.
The Most Elite Chefs Ever!
00:35
Просмотров 8 млн
Как вам наши образы?🥰🥰🤍🤍
00:10
UFUGAJI WA KISASA WA SAMAKI KWENYE MABWAWA
9:36
Просмотров 10 тыс.
Hakikisha umepanda miti hii nyumbani kwako
8:04
Просмотров 82 тыс.