Тёмный

🚨Hans Rafael Afunguka Sakata la Kibu Denis Kurejea Tanzania,Nini kimetokea Simba. 

mtanange tv
Подписаться 55 тыс.
Просмотров 31 тыс.
50% 1

#football #ahmedally #alikamwe #simba #yangafc #yangatv #youtube #simbaislive #simbatanzania #yangasc

Опубликовано:

 

7 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 102   
@josephgalandu128
@josephgalandu128 Месяц назад
Simba Yanga wanawatesa kweli,wamekohoa tu mmeongeza pesa kwa Kibu
@damianmcba9525
@damianmcba9525 Месяц назад
MTN 8,,, SIO SUPER 8
@user-mq4yq6rw1w
@user-mq4yq6rw1w Месяц назад
Hajasaini
@BenjaminMetanyau
@BenjaminMetanyau Месяц назад
Hansi Leo katetea upuuzi Leo
@AshaShariff-lr6ry
@AshaShariff-lr6ry Месяц назад
Mbona mnajisemesha sana simba wamewaambia km wanamtaka acheze hivi wewe mwanao atoroke aende kwa bwana uone ni sawa tu
@yokoi3970
@yokoi3970 Месяц назад
Hans ni kma shoga kila siku anazidi kuongea kma dada ake
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 Месяц назад
Hans mnafiki sanas kama alikus anataka kusign Yanga mkataba wake uliisha kwann asinge sign Yanga
@ursulinenyandindi3051
@ursulinenyandindi3051 Месяц назад
Hapa tena wameshasema kachukua na 400 ya simba. Uongo ni mwingi sana kwenye show za sports 😂😂
@YusufAli-jl6ls
@YusufAli-jl6ls Месяц назад
ilikua iwe hivo lakini simba wakakataa aende wakampa pesa alotaka ambayo kibu alidhani akiitisha pesa hio simba watasita ili achomoke
@aisha.abdallah.3979
@aisha.abdallah.3979 Месяц назад
Walimlaghai sana 🙄kwani uongo
@damianmcba9525
@damianmcba9525 Месяц назад
Kiongo tu hicho ki rafael,, kinasoma Habari sehemu nyingine, harafu huku kinajifanya eti vyanzo vyangu, Waongo watupu hao wapo kazini wanasaka tonge
@ekimnkande2873
@ekimnkande2873 Месяц назад
Watu wenginev wanachekesha wamekaa kishabiki kibu kasaini simba halafu jitu linasema kibu anteanaenda yanga haya mchukueni money simba watafanya nini😊
@rashidmohd6260
@rashidmohd6260 Месяц назад
Bahati nzr hata cc washabiki wa cmba ha2na furaha na yy uyo kibua mn cyo kibua kwa ss ni kibua 2 anapelekeshwa na maji
@user-ds3oi3tt8u
@user-ds3oi3tt8u Месяц назад
Hans lengo Lake Aungane na Ali kamwe kuujaza uwanja ule uwanja hauwezi kujaa kaka usitumike
@josephgamba8389
@josephgamba8389 Месяц назад
Simba mlichekelea sana alivyofanya Feisal na leo yamewatokea nyie mnaanza kuhangaika Geoflea ndo ulkuwa Kinara kutetea pambanane na hilo c mlisema hakuwa na furaha?
@JonathanMgaiwa
@JonathanMgaiwa Месяц назад
Huyu kibu amelikoroga, waliomshauri wamempotosha. Na hao yanga kama kweli wanahusika basi ni dhahiri nia yao ni kumharibia tuu
@user-ds3oi3tt8u
@user-ds3oi3tt8u Месяц назад
Sasa kama haukuwepo kwann Unasema Alikua hana furaha choko sana na hawa na ndio wanaziharibu media
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 Месяц назад
Kibu alidanganywa na Aly Kamwe.
@samsonpopat1474
@samsonpopat1474 Месяц назад
Huyu kibu akaye benchi akirudi Simba hafai kwa kile alichokifanya ameidhalilisha simba
@jacobmwalusamba4478
@jacobmwalusamba4478 Месяц назад
Hans bado mtoto kuchambua mpira eti furaha
@lydiathomas2905
@lydiathomas2905 Месяц назад
Waandishi wa bongo acheni kudanganya watu. KIBU kasini Simba ya Yanga anaendaje na mkataba anao na Simba. Au mnataka kumaliza bando za watu😂😂😂
@user-zz4lz3jb9w
@user-zz4lz3jb9w Месяц назад
Kama kibu.hana furaha simba kwann alisaini mkataba mpya juzi tuu huyu kibu chizi sana, alilazimishwaa?
@emmanuelchamba08
@emmanuelchamba08 Месяц назад
Hans acha utoto wewe tunakujua ni utopolo.... Acha kupalilia ujinga
@wadhhasuleiman2621
@wadhhasuleiman2621 Месяц назад
Mnafiq huyu
@damianlyimo1011
@damianlyimo1011 Месяц назад
Hawana Akili Mahakama unaifananisha na bunge?hakuna hakimu wa Darasa la Saba lakini kuna wabunge wa Darasa la nne.
@user-di3ps2kj9c
@user-di3ps2kj9c Месяц назад
Jeff acha kudanganya, kwani kukosa furaha Kuna muda maalum? eti kasaini miezi miwili tu...... Aibu..
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 Месяц назад
HANS RAPHAEL NAKUKUMBUSHA KUWA VYANZO VYAKO HAVINA UHAKIKA ULISEMA KUWA MPANZU KASAJILIWA NA SIMBA YUKO WAPI? SASA HIVYO KUWA MAKINI
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d Месяц назад
Mm naomba viongozi wa Simba wamkomeshe wamuuze halafu wamuambie kwenye mkataba aichezee Tanzania
@nelsoncosmas5639
@nelsoncosmas5639 Месяц назад
Hilo biti toeni makelele
@silvesterrichardhelenya1319
@silvesterrichardhelenya1319 Месяц назад
Aje arudishe pesa yetu halafu aenda Makambi ya wakimbizi
@NzuaMashosho
@NzuaMashosho Месяц назад
Hans Raphael namkubali sana jamaa anajua kuchambua na kufatilia wachezaji
@flova7022
@flova7022 Месяц назад
Yanga plan Yao ni kumfanyya kibu apoteze future...yaaan wanajua hhawawez usajili ..wanataka akirud apigwe benchi..afu Simba akose strength...sasa yangga umekula Kwenu
@salumomar-ph8ht
@salumomar-ph8ht Месяц назад
Leo ww jeflea unajifanja Sheria unazijua lilipo tokea suala la feisali mlichekelea pumbavu zenu njie
@khalidmdotta3843
@khalidmdotta3843 Месяц назад
Viongozi wa yanga wanatuharibia mpira tff ipo kuwa maskini hii ligi itakufa wawo wanawashawishi wachezaji kuwa viburi kwenye virabu vyao
@wadhhasuleiman2621
@wadhhasuleiman2621 Месяц назад
Mara Hiii Simba wanaweka heshima ya mikataba mara Hii Hana pa kutorokea
@yokoi3970
@yokoi3970 Месяц назад
Hans ww ni fala sana ukiwepo wakati kibu ana saini lakini mkataba unajua acha usenge
@mashakamgonza
@mashakamgonza Месяц назад
Uyu kibu kafeli majaribio akuna kuficha ficha
@allychongowe2025
@allychongowe2025 Месяц назад
Wameshindwa kulipa pesa zinazotakiwa acha unafiq
@josephmwise3177
@josephmwise3177 Месяц назад
Ahmed Ally alimchangia Feitoto mbona Kibu hajamchangia?
@MabenaKishapu
@MabenaKishapu Месяц назад
Mbn unaongea kama taila
@user-zz4lz3jb9w
@user-zz4lz3jb9w Месяц назад
Jamani kama.kibu haipendi simba ilikuwaje akasajini juzi tu si angeacha kusaini.akaenda zakee
@user-ds3oi3tt8u
@user-ds3oi3tt8u Месяц назад
Hans ni mnafki tu hana jambo jipya la.kumsikiliza mtu
@josepahatmargwe6504
@josepahatmargwe6504 Месяц назад
Hans ana gene za Uyanga sana
@stanslausmteme8455
@stanslausmteme8455 Месяц назад
Iv kweli Yanga inamuhitaji Kibu kweli? Km kweli Yanga hawana weledi
@abiboseleman1649
@abiboseleman1649 Месяц назад
Alafu kibu alionekana muda hakuna watu😅😅😅msimu mzima goli 1
@daudmpemba5086
@daudmpemba5086 Месяц назад
Ww siulisema kibu anaenda yanga?acha unafiki wako ww wasemee yanga
@seydouside4081
@seydouside4081 Месяц назад
ATAwapangia ..fei.dube.walikuwa hivyo hivyo..ataondoka tu..
@hassanlikwenangu8471
@hassanlikwenangu8471 Месяц назад
Fala sana kibu ashajiumiza
@nicholausmukoji9720
@nicholausmukoji9720 Месяц назад
Kibu kusaini Yanga nawaambia itakua mwaka 2026 baada ya mkataba wake na Simba kuisha na sio leo, na kipindi hicho atakua hana namba tena Simba. Subirini mtaona
@user-zz4lz3jb9w
@user-zz4lz3jb9w Месяц назад
Yanga.washamba
@edsonleonci5113
@edsonleonci5113 Месяц назад
Mimi ni mwananchiiiii ila Kibu alichofanya ni huuni na utapeli mtupu ….. hii tabia ya mchezaji kuibuka na kusema sina furaha ni wizi … alivyokuwa anakula hela ya Simba alikuwa hana furaha ??? 350,000,000 kala bure bila ata kucheza ata mechi ya kirafiki 😢😢😢😢
@salminsomba2491
@salminsomba2491 Месяц назад
Wachambuzi acheni ujinga huo kibu anaelewa mkataba wake je nyinyi wachambuzi mnaujua mkataba WA simba na kibu mpaka mnasema hawezi kugoma
@josephmandala2225
@josephmandala2225 Месяц назад
Et Jeff kuna kipengele akiwa sina furaha naweza kuondoka . Issue ya FEI ilikuwa ni hana furaha ndio ikaja buy out clause , hata Kibu mkataba wake una buy out na sasa hana furaha . Tuliwaaambia mlipokuwa mnamtetea FEI kuwa ni kinyume na mpira , haya sasa teteeeeni na huyu hana furaha .
@damianmcba9525
@damianmcba9525 Месяц назад
Labda kibu nae Wanamlisha Mkate na chumvi au Ugali na picha ya pweza
@Moteswa
@Moteswa Месяц назад
Jeff Lea amesahau alivyokuwa anamtetea Faisal! Leo Kibu akae bench
@salminsomba2491
@salminsomba2491 Месяц назад
Tatizo siyo kusaini mkataba juzi cha muhimu ni vipengele vya mkataba tu mkataba unaweza kusainiwa leo na kesho ukavunjwa
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Месяц назад
KIBU C KWAMBA HANA FURAHA SIMBA ILA AMEDANGANYWA NA TIMU HIYO NYINGINE. WANAWAHARIBU SANA WACHEZAJI
@mwambietv7614
@mwambietv7614 Месяц назад
Wasenge nyie hamjui kitu mtulie tu Kibu ni mchezaji wa Simba SC, utopolo wanajifurahisha tu
@aminaomari2312
@aminaomari2312 Месяц назад
Aliyesema kibu kasajiliwa yanga ni Hans sio yanga.
@emmanueljonathan9332
@emmanueljonathan9332 Месяц назад
Ale bench msimu mzima ili akili imkae sawa
@suleimanmwenyemvua995
@suleimanmwenyemvua995 Месяц назад
Kwa hiyo huo ndiyo uwamuzi mzuri sana kwako? Timu kubwa hazifanyi hivyo kolo unateseka mbñ😊😊😊😊
@victorgogadi55
@victorgogadi55 Месяц назад
Last time Hans Akiwa Mikumi Morogoro ali Sema Kibu ata kwenda Yanga, no logic at all,
@RenatusÑgolongolo-o2j
@RenatusÑgolongolo-o2j Месяц назад
Fei mlimshabikia sana leo vp
@Zaynab-ny6gr
@Zaynab-ny6gr Месяц назад
Geoffrey twakujua ww simba pia huipendi yanga
@abdalahhassan5759
@abdalahhassan5759 Месяц назад
Hans ww mnafki ujui mpira jenga isia na yanga maana una kolote
@AlmasOmary-k6m
@AlmasOmary-k6m Месяц назад
Ukikubali kuolewa.lala.bila.nguo.kibu.acha.ujinga
@msemakweli...
@msemakweli... Месяц назад
Huyo jef leah ni mpumbavu kumbe, mikataba yote ya wachezaji ina buy out clause sio kwa fei tu hiyo ni standard ya FIFA so hata mkataba wa kibu una hicho kipengele. Yaani maiti fc huwa mambumbumbu kupita maelezo....mmeiba akina awesu dhambi inawarudia
@frayy5595
@frayy5595 Месяц назад
Acha kulia wewee 😂
@yokoi3970
@yokoi3970 Месяц назад
Nani kasema hana furaha hans ni mbea kma dada points zake za kishenzi alfu anajona ana bonga point
@Lameckmichael-h2m
@Lameckmichael-h2m Месяц назад
Kama mpanzu yupo, naomba huyujamaa akaebenchi mpaka aoze,kwanza amshukuru robatnyo alimludisha mjini😂😂
@luckygmdegela8477
@luckygmdegela8477 Месяц назад
Kama wanamtaka wasitumie siasa zao za kusema hana furaha ,hiyo furaha kakosea wap,,heris ndio ana danganya wachezaji pale simba sana
@jamallnyello5743
@jamallnyello5743 Месяц назад
Asee nyie wachambuzi ni WA ovyo sana nishajua nyie mnachambua mpira ki ushabiki, mmesema fei yanga mkawazidoa sana leo haya ovyo sana
@reubenmakalla745
@reubenmakalla745 Месяц назад
Yapi ni Mazingira ya kukosa furaha? Au ujinga tu mnafanya? Justification ya kukosa furaha ni ipi?
@user-oe2ty7ds4g
@user-oe2ty7ds4g Месяц назад
Kibu alitakiwa kua na nidham maana hata hakua raia wa tz,hi
@barakamwasenga2143
@barakamwasenga2143 Месяц назад
Kibu na fei ni kesi mbili tofauti
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 Месяц назад
VIONGOZI WA SIMBA KIBU NI MSALITI. HAPO ANAZUGA TUU HAENDI HUKO NORWAI ILA NORWAI IPO YANGA VIONGOZI KAENI MACHO MNAPOTEZWA HAPO. ANGALIENI ANAENDA YANGA.
@SikitikoJonas
@SikitikoJonas Месяц назад
Anatakiwa kurudi mutabira kwa warundi wenzio aache kiburi
@GodfreyJames-zt6ig
@GodfreyJames-zt6ig Месяц назад
Uyo ansi atawahlibia chanr yenu maana ana uyanga sana na kulete tahlifa ambayo sio yakweli kwani yeye amewasliana na kibu akamwambia ataki kucheza simba mwambieni ache usenge
@ramadhanrobin-st6hh
@ramadhanrobin-st6hh Месяц назад
Uyo hans Rafael n Simba damu damu tangu kitambo tu maan alikua anakuja EATV kama shabiki wa Simba
@user-eo5ku4ce7t
@user-eo5ku4ce7t Месяц назад
Rasta wa yanga ni diamond platnumz
@ismailhassan5209
@ismailhassan5209 Месяц назад
Hans Raphael acha upuuzi basi, Kibu siyo kuku asiye na mwenyewe Kibu asajiliwe Norway asisajiliwe lazima arudi kwa mwajiri wake We Hans umechanganyikiwa kumpeleka Kibu Yanga kwani Hana kwao ebu basi wakati mwingine jihesabu na jitatjmimini kabla hujaropoka yakuropoka Unajishusha hadhi unatuchefua.
@user-mg1yl2rl8s
@user-mg1yl2rl8s Месяц назад
Kwani fei, awesu na dube hawakuwa na kwao mbona hamueleweki...kibu hawataki utopolo wa mo dewji muacheni aende zake Norway
@user-ie2sr4fi4k
@user-ie2sr4fi4k Месяц назад
Jeff una lolote mpila ni biashara
@ElizabethLukosya-lv2vf
@ElizabethLukosya-lv2vf Месяц назад
Simba wana akiri! Na ilikuwa mbinu hizo! Upande wa piri walifulahi wakajua wamepata hahaha
@collinscareen7245
@collinscareen7245 Месяц назад
Hakuna clause ya kuondoka??....si arudishe pesa na salary ya mwezi mmoja asepe
@romualdmadeniromuald525
@romualdmadeniromuald525 Месяц назад
Mkataba wa mpira sio kama wa kazi zetu
@worldherotv
@worldherotv Месяц назад
Huwezi mweka mvhezaji benchi msimu mzima wewe
@salumomar-ph8ht
@salumomar-ph8ht Месяц назад
Kibu katafute chamgamoto nyengine ww bado ni mchezaji mzuri sheria zinakubeba njia aliyotumia fei ndio no hiyo hiyo acheni kumuonea mtoto wawatu sheria itumike vizur msibane kibu jamani sio vizur kumuonea ndio nitajua Tff ni simba
@romualdmadeniromuald525
@romualdmadeniromuald525 Месяц назад
Ukisaini mkataba wa timu no lazima utumikie usipo tumikia nikufata sheria na taratibu zinavyo sema
@MabenaKishapu
@MabenaKishapu Месяц назад
hajui lolote huy anafikili mkataba ni mke kwamba unawez tu ukaamua kumuacha ata mke ukimuacha tu pia atadai mgawane Mali japo hamna mkataba
@severinantunuligwa4598
@severinantunuligwa4598 Месяц назад
Jeff acha ujinga wewe na wahuni wenzio akina jemedari na oruma ndio mlio shadadia insue ya fei na mliona ni sawa tu japo wenye akili waliwaambia hili mnachokitaka kitaleta shida kubwa sana kny mpira wetu lkn hamkutaka kuelewa ! Na hii yote ni kwa sababu ya ushabiki tu
@user-ox4fv4cf5l
@user-ox4fv4cf5l Месяц назад
Jeaf acha unafiki na usimba wako! mbona kwa Fei ulikuwa unalazimsha Yanga wamuache
@bbclondonulimwenguwasoka6126
@bbclondonulimwenguwasoka6126 Месяц назад
Hizo zote ni aibu si mlisema anaenda utopolo
@luckygmdegela8477
@luckygmdegela8477 Месяц назад
Habari ya kufurahisha au kuto kuwa na furaha huo ni uongo , hizo ni propaganda za uto , siasa mpirani wameleta yanga
@msemakweli...
@msemakweli... Месяц назад
Kutokua na furaha ni mbinu waliyoanzisha utopolo wa mo dewji walipomtoa fei wakijua watamsajiri kutokea Azam....wasivyo na akili wamekwama kwasababu Yanga waliweka clause ya kulipwa 1b endapo fei atauzwa
@maliadii4829
@maliadii4829 Месяц назад
Tofauti zipi fei alikua na mkataba na yanga haijalishi mkataba ni mpya au zamani si mlikua mnamshadadia fei aachiliwe huru aende anakotaka acheni undumilakuwili
@KabungaKalla-fw4pp
@KabungaKalla-fw4pp Месяц назад
Mmesahau wakati wa Feisal kuondoka yanga mlichonga sana yanga wamuachie.leo mnatamani Simba wamuadhibu Acheni ushabiki.
@mkomboziabdallah
@mkomboziabdallah Месяц назад
Tuliza mshono huo
@HappyEel-wg4qx
@HappyEel-wg4qx Месяц назад
Mnamuonea kibu
@user-qh3lb6lp2w
@user-qh3lb6lp2w Месяц назад
Hatumtaki sie wana Yanga abaki uko uko
@kisubikilozo6128
@kisubikilozo6128 Месяц назад
Ubanguzi uwekwe nyuma ya maamuzi
Далее
Friends
00:32
Просмотров 958 тыс.
Я ЖЕ БЕРЕМЕННА#cat
00:13
Просмотров 231 тыс.
Simba SC 2-0 APR FC | Highlights | Simba Day 03/08/2024
10:47
Friends
00:32
Просмотров 958 тыс.