Wachambuzi hamna uwezo kitaaluma na uchambuzi wenu unategemea matokeo ya mchezo. Kabla ya mechi mnaongea hili na baada ya mchezo mnageuka kama sio ninyi. Mlisema Yanga imeshuka kiwango na itafungwa , na leo mnaongea tofauti bila aibu wala kutuomba radhi. Duuuu mmechemsha sana.
Hivi Juman Ayo unataka Yanga washinde magoli mangapi?maana goli moja halitoshi imekua ushindi mwembamba na wakishinda dakika za mwisho za mchezo mtasema dakika za jioniii sasa hivi mnatakaje?