Nyie Wachambuzi msikuze sana issue ya Kibwana,wote hao Kibwana ,Nkane,Kibabage,Mwamnyeto,Mkude kiuhalisia hawana quality ya kucheza Yanga ya sasa ni siasa tu za klabu zetu ndiyo zinawabakiza,Yanga imekuwa Level ya juu kuwazidi wao.Huyo Kibwana akicheza unaona makosa mengi sana ya kimchezo kocha hawezi kurisk mechi sasa hivi zina ushindani sana,Mwacheni Kocha afanye kazi yake.
Jamani mimi nina mu admire sana Nkane kwa uvumilivu mkubwa na leo anakuja kung'ara hivi. Kongole kwake. Kibwana pull up your socks usipote muda kujiuliza. Mfuate mwalimu akupe ushauri nini cha kufanya.
Watu wanaingia kwenye mtego wa shomary wanasahau shomary jaman katoka kwenye majeraha ya enka alipasuliwa mlitaka atumike hivohivo maana saiv ndo kaanza mazoez mepesi na wenzake muwe mnafatilia hata kwenye app ya tim mpate habari