Тёмный

🚨Mazito Kibu Denis hajulikani halipo,Simu zake hazipatikani, Ahmedally Afunguka. 

mtanange tv
Подписаться 57 тыс.
Просмотров 12 тыс.
50% 1

#football #alikamwe #yangafc #yangasc #yangatv #youtube #ahmedally #simba #simbatanzania #simbaislive

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 40   
@Stephano722
@Stephano722 2 месяца назад
Stephano mange wa ngudu kwimba mwanza kibu d anatakiwa atambuwe wajibu wake nasheria ya mpira anazijuwa aangalie asije akapoteza kama Kuna watu wamemdanganya atajuta kwa Nini wamemupotosha ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@leonardlunguya7112
@leonardlunguya7112 2 месяца назад
Kibu D tunamshauri kama Hana changamoto basi aende Misri maana kama anafanya makusudi basi atajipoteza kiwango
@silasjacob-j2l
@silasjacob-j2l 2 месяца назад
akizingua arudishwe alikozaliwa asituletee nyodo
@leonardlunguya7112
@leonardlunguya7112 2 месяца назад
Kama Henock Inonga alijivunja makusudi na kutufungisha Ili aondoke,Sasa huko alikoenda atavunjwa kiukweli ukweli
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 2 месяца назад
Tumekuwa tukiona Wachezaji wakishitaki Vilabu vyao FIFA. Je haiwezekani na Vilabu kuwashitaki Wachezaji wao pale wanapozingua kama Kibu anavyofanya?
@johnmbise8996
@johnmbise8996 2 месяца назад
Kweli kabisa kasha jichukulia ukubwa ndani ya timu kama mwenzie chama
@charleskuyeko4400
@charleskuyeko4400 2 месяца назад
Lingekuwa siyo suala la mpira Kibu angepelekwa Mahakamani kama tapeli. Lakini kwa masuala ya mpira kutopelekwa Mahakamani nadhani ni suala la FIFA.
@josephlambwemkisi7877
@josephlambwemkisi7877 2 месяца назад
Kimbu D ndio zake hizo aliwachezea hivyo hivyo Mbeya City.amezoea huyo
@JosephLugome-mu8tz
@JosephLugome-mu8tz 2 месяца назад
Radio kubwa kama hii mnarudia rudia vitu ambavyo mshaviongea muda unaaibisha sana Radio. 😢
@Stephano722
@Stephano722 2 месяца назад
❤❤❤🎉🎉
@STEPHENKingu-yz2dk
@STEPHENKingu-yz2dk 2 месяца назад
Acheni ushamba wankijinga Kibu ni mchezaji wa kawaida sana Na kwatimu ya Simba kwa sasa kibu hana nafasi wa kuisumbua timu
@zamladongwala6420
@zamladongwala6420 2 месяца назад
Watoe taarifa polisi kama hajulikani alipo
@BakariMkunyulya
@BakariMkunyulya 2 месяца назад
😂😂😂😂😂
@JoelMialla
@JoelMialla 2 месяца назад
Kibu hajulikani alipo simtoe taarifa police atafutwe
@RHOIDAKALUKWA-bw4jo
@RHOIDAKALUKWA-bw4jo 2 месяца назад
Hata manager wake amekiri kuwa Simba hadaiwi hata sent tano
@masoudsadiki6018
@masoudsadiki6018 2 месяца назад
Vipi km kibu katekwa? maana tunaeza kumlaum kazima sim ila kumbe kuna changamoto imemkuta. nafkiri km hapatikani angetaftwa kwa kumfikiria postive maana haiezekani mpaka watu wake wa karibu hawafaham yuko wap alafu msijiulize nin kimemkuta
@SumaidiElisha
@SumaidiElisha 2 месяца назад
Mbona manula amumsemi nayeye alipoteza passport
@anithawidambe7543
@anithawidambe7543 2 месяца назад
KIBU D UNAIKOSEA SANA SIMBA NA UONGOZI WA SIMBA. UKO WAPI?
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 2 месяца назад
Unaposema treatment mbaya ya viongozi kwa wachezaji una maana gani?
@romwaldlikwawa1167
@romwaldlikwawa1167 2 месяца назад
Mambo ni mengi Duniani ,tusimuhukumu kwanza inawezekana kunatatizo amelipata, iyo ni moja ingine yule ni banyamulenge, na utaifa wake haujulikani vizuri Wachambuzi chunguzeni vizuri ili mtupatie taarifa sahihi. Anyone sasa chimbua Chimbua kwa usalama wa taifa....
@JUU-lw2je
@JUU-lw2je 2 месяца назад
Mnarudia rudia story hiyo hiyo mara kumi
@franccoz94
@franccoz94 2 месяца назад
SISI SIMBA HATUMTAKI MCHEZAJI MSIMU WOTE GOLI MOJAA
@DM_15
@DM_15 2 месяца назад
Atakua alisha sain tim mbili, Wale waliompajeuri watakua walisha mpakibunda na simbapia sasa itakua maji ya shingo
@chiefmajai9345
@chiefmajai9345 2 месяца назад
Au ametekwa na watu wasio julikana
@drallan6879
@drallan6879 2 месяца назад
mpigieni mtendaji mkuu
@ladislausriwa7768
@ladislausriwa7768 2 месяца назад
Kibu simu yake imeongea mara ya mwisho Kigoma. Huyu karudi kwao Kongo kuloga
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 месяца назад
UMEJUWAJE??
@ThePlants-zc3rp
@ThePlants-zc3rp 2 месяца назад
acheni ukuda
@MartinWekesa-c2x
@MartinWekesa-c2x 2 месяца назад
Ameogopa ,Chama,pacome,Aziz ki,Maxi,Dube,Baleke....hata wewe ukiona hii kikosi lazima usepe😂
@peterkandaya565
@peterkandaya565 2 месяца назад
Kwani wakati anamkanda DIARRA shuti Kali mpaka akajisaidia PACOMWE na AZIZA si walikuwepo😅😅😅😅😅😅
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 месяца назад
KIKOSI GANI MSENGE WEWE
@JohnMbogo-c1n
@JohnMbogo-c1n 2 месяца назад
Hilo timu la utopolo wa mo dewji ni genge la wahuni. Hawalipi wachezaji kama mikataba inavyotaka, matunzo kwa wachezaji ni hovyo kuliko maelezo. Mzungu, Okra, Inonga, Chama na wengine wengi tu wamejikata kwasababu ya ubabaishaji na ujuha wa viongozi.
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 месяца назад
MSENGE WEWE
@AbrahamChengula
@AbrahamChengula 2 месяца назад
Usitoe hukumu wewe,KIBU SLITAKA MZIGO WOTE SIMBA HAWAJATIMIZA HELA YOTE KIBU ANAWASIKILIZIA
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 месяца назад
TUNAKUAMINI MKE WA KIBU D 😂😂😂😂😂😂 MSAIDIE KUSIKILIZIYA
@babycandycharles7816
@babycandycharles7816 2 месяца назад
Kibu kajuwa chama anabaaki kapatamshituko kusikia chama kasajiliwa yanga kaona yeye nani abakisimba tumu yenye shutuma mdawote timu ya dhuluma kaona awapotezee safisana kitu ubaya ubwela nautawalirudia kweli huoubaya wao wanazuwa msemo hawajuwi mazarayake nabado
@babycandycharles7816
@babycandycharles7816 2 месяца назад
@@salimmalaka256 matusi hayadaidii mmemzulu kibu tokenizenu mama Apo kafuta nn kadhulimiwa kibu mamaanacheza mpira mjinga nn wewe hunahaya tokaapo
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 месяца назад
@@babycandycharles7816 NG'OMBE WA MAZIWA NYIE YENU MAJANI TU MATOPOLOOOOO MACHOGOOOOOOOOO
@AshrafuJuma-l3l
@AshrafuJuma-l3l 2 месяца назад
Kibu kakimbia yupo marekani kibu kaona msim uuuuu makoro mtakimbia sana mbwa nyie
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 месяца назад
KAFIRWE NGURUWE MLA MIHOGO WEWE
Далее
КТО БОИТСЯ КЛОУНОВ?? #shorts
00:20
Просмотров 521 тыс.
#LIVE: WAKALI WA HIZI KAZI TUMERUDI NI UBAYA UBWELA
1:30:02