Тёмный

🛑FRIJI BOVU: STRIKER JIPYA LA SIMBA NI MASHINE BALAA LEONEL ATEBA KUTOKA USM ALGER , FREDY BYE 👋 

MFALME WA SOKA
Подписаться 81 тыс.
Просмотров 30 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 50   
@ANNAKISIGA-pc5qs
@ANNAKISIGA-pc5qs 2 месяца назад
Friza mimi ika nakuelewa sana sana
@emanuelmwampashi9009
@emanuelmwampashi9009 2 месяца назад
Uchambuzi wako kaka huwa umeshiba sanaaaa
@pinomjata678
@pinomjata678 2 месяца назад
Friji bovu kumiliki zaidi ya timu 7 kwenye ligi moja si sawa kwasababu inaleta conflict of interest katika football ya Tanzania. Tanzania ni nchi pekee ambayo kuna siasa katika kila sector ubabaishaji ni mwingi. Nakupa mfano mdogo mmiliki wa Crystal Palace alitaka kuinunua Everton wakamuambia inabidi auze share zake na alikuwa yuko tayari kufanya hivyo lakini hakuendelea na ununuzi. Je sheria za TFF zinaruhusu udhamini wa aina ya GSM?
@bakarimwachanga8803
@bakarimwachanga8803 2 месяца назад
kwanini hatusajili kutoka uarabuniii
@melchiorrweikiza4517
@melchiorrweikiza4517 2 месяца назад
Wewe umetumwa au Kuna kitu umepata kutoka Yanga
@selemanmaona5812
@selemanmaona5812 2 месяца назад
SAWA ANAITAJIKA STREKA SIMBA LAMSIGI KULIDWA MASTREKA MPIRA UNACCHEWZA NJEFRIJI BOVU
@markmangaya4947
@markmangaya4947 2 месяца назад
Wana Simba inabidi tutulie tuachane na maneo ya mitadaoni,Tunaitaji striker ndio lakini Mukwara na wachezaji wote wanataji muda,Angalia Kai Haverts wa Arsenal washabiki walikuwa wana mdhiaki na Mikael Arteta alimwamini a akampa Muda angalia sasa yuko poa anatupia kila gemu tuwe wavumiivu..
@IlhamKhalid-mt3jp
@IlhamKhalid-mt3jp 2 месяца назад
Fact
@saidkasonta3174
@saidkasonta3174 2 месяца назад
Sahihi kabisa! Tuache papara wanasimba! Tuwe na subra, tuwape muda wachezaji,kocha na benchi la ufundi!
@sebmalunde5945
@sebmalunde5945 2 месяца назад
Mukwala ana kitu tumpe muda, Hata Mayele ndio ameanza Kuklick huko Pyramids.
@marthamsacky6973
@marthamsacky6973 2 месяца назад
Yani Mungu atatuonesha soon ,wachezaji wetu wapo vzr na muda ukifika tuu si joshua mkwala tutashangaa Zaidi nikuwaombea Sana Sana wachezaji wetu
@MwajumaNgaruma
@MwajumaNgaruma 2 месяца назад
Simba tupunguze miemuko wachezaji mbona wapo vizuri,, tuwape mda ,tusipotee kwenye mstari
@JoseHaule-tx7lu
@JoseHaule-tx7lu 2 месяца назад
Mi mwenyewe namkubali huyu mwamba ni mkweli sana
@kamaratsalimsafari8838
@kamaratsalimsafari8838 2 месяца назад
No.2 na 3 pia bado hakujaaminika napia no.10
@fahadKorit
@fahadKorit 2 месяца назад
Mh
@Shemahonge-ku7xx
@Shemahonge-ku7xx 2 месяца назад
Usijikanyage simba kulalamika inajierewa haowengine fuata upepo
@mkizafelix8426
@mkizafelix8426 2 месяца назад
Friji bovu mbona kama unajijibu mwenyewe,sasa alalamike kagera, azam au namungo wakati hao wote sio washing ani kwenye NBC league?😅😅😅
@JoseHaule-tx7lu
@JoseHaule-tx7lu 2 месяца назад
😂
@SalehOthman-e7q
@SalehOthman-e7q 2 месяца назад
Jmn mbna mm naona mukwala wanahita mda
@thabitmgeni8775
@thabitmgeni8775 2 месяца назад
Sasa wana simba utulie mihemko itatupoza utulie huu ni upepo itatupa tu
@mawazochaula3642
@mawazochaula3642 2 месяца назад
SHIKAMOO PESA, HUGEUZA FIKRA ZA MTU.
@Shemahonge-ku7xx
@Shemahonge-ku7xx 2 месяца назад
Mo hatakikufanya hivyo kwasababu anajierewa
@PeterJustin-ke5mk
@PeterJustin-ke5mk 2 месяца назад
Wanayanga naona mnakula zauso
@Shemahonge-ku7xx
@Shemahonge-ku7xx 2 месяца назад
Wewe friji hebuniambie ninchi Gani inauzamini kamahuo
@mahamudhadi6781
@mahamudhadi6781 2 месяца назад
English premier league hamna tajiri anamilika zaidi ya team moja that’s tajir wa Qatar alvo taka kununua team zaidi ya 1 alikataliwa hiyo ndio fact sio sahihi kuwa na team zaidi ta team moja hapo ume chemsha mwamba😅
@KosovoNaiiem
@KosovoNaiiem 2 месяца назад
Winga ya kulia pia hamna
@BenardSambilo-h2h
@BenardSambilo-h2h 2 месяца назад
Kabla haujaingia kwenye platform tathimin unachoenda kuongea
@nickdr_tv
@nickdr_tv 2 месяца назад
HAHA NA MPANZU PIA ULISEMA ANATAMANI KUCHEZA SIMBA HAHAHA....
@StanleyHyera
@StanleyHyera 2 месяца назад
Ilo tatizo uakika amuna tatzo ilo
@Shemahonge-ku7xx
@Shemahonge-ku7xx 2 месяца назад
Basilabda unataka uwechawa wake
@jaydenkaleshi
@jaydenkaleshi 2 месяца назад
GSM ni shabiki kabisa wa Yanga how can you say hoja hiyo Haina mantiki. Also how watapinga je wakati wanamilikiwa na huyo GSM. Be serious my brother.
@jaydenkaleshi
@jaydenkaleshi 2 месяца назад
Friji bovu wewe hujui mpira kabisa.
@Shemahonge-ku7xx
@Shemahonge-ku7xx 2 месяца назад
Hatutaki atoe uzamini wake
@coolsinare8824
@coolsinare8824 2 месяца назад
wewe unasema haina mashiko????unaishi dunia ipi aiseee????
@GablieliMasumbuko
@GablieliMasumbuko 2 месяца назад
Wewe muongo Sana wew siyo firiji bov no friji mzima kaogo wew
@PeterJustin-ke5mk
@PeterJustin-ke5mk 2 месяца назад
Mukwala hanashida tuache mihemko mtakuja kumshangaa
@RashidMilanzi-ht1wb
@RashidMilanzi-ht1wb 2 месяца назад
Filiji bovu wewe ni mbovu kweli una lolote ni mjinga tu
@GodfreyJames-zt6ig
@GodfreyJames-zt6ig 2 месяца назад
Wwe ni Kuma kabsa Yan nilikuwa nakufatilia sana kuanzia Leo wwe sitakufatlia Tena wwe ni Kuma tu nitajie ni nchigan ambayo mtu anaklabu yake usika kazamin klabu nyingine wwe ni ni msenge Tena Kuma la mama yako
@samelychesham3309
@samelychesham3309 2 месяца назад
Mshikaji huuu mpira mbona unamtukana mshika hana noma usifanye hivyo
@ibrahimally8073
@ibrahimally8073 2 месяца назад
Sasa wewe unamtukania mama yake Kwa ajili Gani? Au we mwenzangu huna mama? vp ukitukaniwa mama yako mzazi utajiskiaje? au una pata faida Gani ukimtukania mama yake? Kama unaona umekosea basi futa tu hiyo comment yako..
@AllyShaban-ms7ot
@AllyShaban-ms7ot 2 месяца назад
Acha upuz ww wa kutukana watu
@AllyShaban-ms7ot
@AllyShaban-ms7ot 2 месяца назад
tahila ww
@charlesmashauri3704
@charlesmashauri3704 2 месяца назад
Unakazwa
@Shemahonge-ku7xx
@Shemahonge-ku7xx 2 месяца назад
Nisheria Gani inaluhusu hivyo
Далее