Kuna upangaji wa matokeo ,ndio maana mtu anasema Yanga itakuwa bingwa Tena anajua ana uhakika kupata point 36 Kwa hizo timu kabla ya ligi kuanza rushwa hakuna ligi hapa
Watanzania tuliowengi bendera fuata upepo bayarne Munich kule ujerumani wamedhaminiwa na tajiri mmoja timu kumi ktk ligi yao ya ujerumani, mnasema GSM kwa kuthamini timu saba mbona kawaida sana hiyo, Huyu ni mdhamini sio mmiliki wa Tim, Fuatilieni mpira wa wenzetu sio kupoteza muda na kutumalizia bando zetu kusikiliza ujinga..
Jibu sahihi la kwa nini Simba wanalalamikia udhaminiwa GSM ni kwamba Simba ndio mpinzani mkuu wa Yanga. Yaani unategemea hizo klabu zingine zitalalamika wakati si wapinzani halisi wa Yanga
Zile bilioni 1.5 za GSM kwa vilabu vya ligi kuu msimu wa 2021/22, ambayo SIMBA SC iligomea udhamini huo.GSM walitangaza kujitoa na kuomba kurejeshewa pesa yao,hilo suala liliisha vipi? Na vilabu vilivyokuwa vikilalamika kuhusu kutangaza logo hiyo vilipewa pesa hiyo?
Babu usieleze sana kiufpii GSM ananunua vilabu hakuna sheria hiyo kupata matokea na katoa rushwa TFF wanashirikiana lkn tumejiona ni jins gan anapat matokea
Tatizo wote mlioandika maneno ya walaka wasenge wa jangwani hamna hoja ya msingi zaidi ya kuifunga simba, mnanunua kuhonga wachezaji wa timu, umenunua bidhaa za MO, atauza imeacha kununua atauza, sisi simba hatuna akili kama zenu za kususia bidhaa ya gsm, ila nyinyi wasenge malaya mtajijua wenyewe na Roho zenu mbaya kama sumu
Azam anadhamini vilabu vingapi? Na ana timu yake pia ya Azam, Hivi mambulula wanaopiga kelele kuhusu udhamini wa GSM hili swali hamuwaulizi? Basi na Azam JE?
Ujanja wa GSM ni kupata points 18 kwenye hizo timu. K.M. ziifunge Simba kwa nguvu zote kwa Yanga zilegeze isifungwe ili wachukue hizo points 18 kwa hizo timu 6. Huo no ujanja na kujifanya hizo timu zisiweze kusonga mbele. Huo ujanja SIMBA imeuona. Hizo timu jitahidini muifunge YANGA msikubali kifanywa MATEJA kwa YANGA.
Uwoga wenu ni Yanga sio kanuni wapuuzi Azam kazamin ligi yote mbona ubingwa unamtoa jasho achukue ubingwa kaweka bikin 360 na anatimu kwenye ligi vipi hapo wapiga kelele Azam hawamuoni😅😅😅😅
ALAFU HATA FIFA HIYO UNAYOSEMA UNAKUWA MUONGO MAANA FIFA WANAKATAZA MTU AU KAMPUNI MOJA KUMILIKI TIMU ZAIDI YA MOJA KTK LIGI MOJA NA SI KUDHAMINI....HIVY0 HAYA YOTE NI MANENO YA WAKOSAJI
MwanasheriUmeongea VIZURI sana MPIRA WETU SASA RUSHWA IMEKITHIRI.MAZINGIRA YAPO WAZI TAZAMA SIKU YA KUTAFUTA MFUNGAJI BORA WA LIGI YETU.GSM,TFF SASA BINGWA HANAJULIKANA.
Kwan GSM akikosa kuzizamini timu faida kwa nani tunaambiwa mpira ni kuekeza sasa wadau wanawekeza ili gape lisiwe kubwa kuna wapuuzi wanaona sio sawa kisa tu GSM Kwan moo nayeye si awazamini izo timu nyingine
@@Kanyawela hoja hapo ipo kwenye udhamini wa vilabu, simba na yanga wanafungana tokea kuumbwa dunia hata ss hatujazaliwa.wapenzi wa soka wanataka fair games
Huyu nae hajui caf champions league mdhamini mkuu ni 1xbet makubaliano yao hawataki kudhamini kampuni yogote ya betting na ndio maana sportpesa hawahitajiki ktk michuano hiyo
Huenda suala hili TFF wamejificha ili ionekane ni Simba. GSM achana na Hivyo Vilabu kuvidhamini endelea na YANGA Nia Yao Vilabu viwe omba omba. Tunajua Hao walikuwa wanapa Vilabu hasa Wachezaji Wacheze chini ya kiwango Ndio nia Yao. TFF Muwe wawazi Mpira ni Biashara
Mpila ni biashara ndio lakini hakuna biashara ilioluhusiwa kuzamini Wala unayokataza kwa maana hiyo hakuna biashara ya hivyo tff hawana kanuni inayomkataza mtu kuzamini Wala inayo mluhusu kuzamini kwa hiyo hakuna biashara GSM kajitengenezea mwanya wa rushwa ndo tafsri yake
Ww said ali una akili adidas ana time gani taja mbona nyinyi mnajifanya hamfahamu wakati unaona kwa nn watu hawakupiga kelele nbc sawa na ayo maneno uloandika😊
T f f hawataki kusikia malalamiko ya wananchi kwa hiyo inaonyesha kuna jambo hapo haiwezekani mdhamini azamini timu zote hapo kuna ligi tena? Mbona azam au simba hawadhamini?
Yanga anaharibu sn mpira wa bongo halafu Tff wanaangalia tu siku FIFA wakija kujua haya madudu madudu kutakuwa na madhara makubwa sn kwa yanga Tff na mpira wote wa bongo.
Swali je ? Kuna watu wanaweza kuthamini tim zisizo na afya kimichezo ? Hilo ndiyo swali kubwa kwangu au ndiyo mnategemia hao wakina mzee Magoma ? Kwa sababu kama wachezaji wa hizo zilizobaki wategemee zicheze na Simba au Yanga ndiyo zitegemee pesa za mlangoni wapewe wachezaji kiukweli mtauuwa mpira Tanzania itakuwa mechi zote zichezwe Dar tu ili zipatikane pesa za kulipa wachezaji hivyo
Hivi huyu jamaa yuko vzuri kweli kwenye haya anayozungumza?suala la fedha chafu kamwe haliwezi kuwa kwenye jurisdiction ya tff,hatuwezi weka kanuni based on tuhuma,tofautisha udhamini na umiliki.unaongea kiingereza kingi lakini hoja huna. Huwezi compare biashara ya mpira kule epl na kwetu,tuko ktk stage ya transition,hivi mpira wetu totally ni professional?je sheria ya BMT inaiutambua mpira wetu kuwa ni wa ridhaa au professionals?
Ubovu wa Simba hauwezi kurekebishwa na kanuni za TFF. Simba wanafigisu nyingi na TFF wameisaidia sana Simba kwa sababu viongozi wengi wa TFF ni mashabiki na wapenxi wa Simba na ukiona hili limeanza kuongelewa kwa nguvu namna hii ujue TFF wapo njiani kuwasaidia Simba na muda sio mrefu hii kanuni utaiona inaanza kutumika lakini jee TFF inauwezo wa kuwapa wadhamini timu ambazo GSM atalazimika kuziacha? Sheria za kupanga matokeo zipo na hakuna timu iliyo ilalamikia Yanga kuwa inapanga matokeo kwa sababu ya GSM kudhamini timu nyingi. Kifupi Simba peke yake ndio timu inayolalamika na hakuna timu nyingine inayowaunga mkono na hii ni wazi kuwa hii hoja ni ya kibiashara kati ya MO vs GSM kupitia Yanga na Simba, hii sheria haitasaidia soka letu bali itamnufaisha MO kwa vile vinywaji bidhaa zake zitendelea kuwa na soko kwani kwa sasa mashabiki wa Yanga hawanunui tena bidhaa za MO na wale wa Simba haWanunui bidhaa za GSM lakini matangazo ya biashara ya GSM yamepata wapenzi wengi na biashara zake zinasoko kubwa kuliko zile za MO. Kwa hiyo kinachotokea ni kulaximisha kupunguza kasi ya biashara za GSM na sio kweli kwanba ni kupanga matokeo na inawezekana hao wanaopiga makelele wanapewa kitu na MO. Azam,Simba zote zimefungwa na Yanga sio kwa sababu wanadhaminiwa na GSM bali ni kwa sababu ya kuzidiwa kiufundi na Yanga na bado Ihefu ikaifunga Yanga licha ya kudhaminiwa na GSM. Simba waache mpira wa chuki na hila na badala yake watafute viongozi wanaojua mpira. Kaizer chief, Gallaxy, Redarrows, Vital O, Azam, Simba nk. ndani ya mwezi mmoja zimefungwa na Yanga na hakuna timu hata moja inayodhaminiwa na GSM.
Mafanikio ya young African sport club yamekuwa nongwa kwao mbona GSM alikuwepo kipindi wanabeba ubingwa na mbona Mo aliwahi kudhanini Timu zaidi ya sita nani ali lalamika wamepata nongwa
Huyo ni mwanasheria wa fifa anachoongea ni actuality shida watz mnaushabiki wakipuuzi usio na maarifa hii iko kwenye mpira na hata siasa , Leo unaongea ivyo kwakua we yanga angefanya hivyo simba au azam na akawa bingwa na wewe usingekubaliana mko wepesi sana kusahau vitu kwa furaha ya Leo tu
Acha ushabiki wa hovyo mbona azam ana miliki timu ya ligi kuu na amedhamini timu zote za ligi au azam hausiki ni GSM tu basi azam isitishe udhamini abaki na azam yake kama Mo