Тёмный
No video :(

🤣 UTACHEKA UVUNJE MBAVU | BALAA LA WASHIRIKI WA CHEKA TU WALIOPATIKANA KATIKA MIKOA 

Wasafi Media
Подписаться 4,7 млн
Просмотров 956 тыс.
50% 1

WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 812   
@joachimsamwel812
@joachimsamwel812 2 года назад
Huwezi taja Jina la YESU kwaajili ya vichekesho vinavyo leta zalau kwa YESU
@Anitajoseph792
@Anitajoseph792 2 года назад
Mbaya sana
@muasewamukadogo9729
@muasewamukadogo9729 2 года назад
Hawajuw tu huko ni kumdhihaki
@eliyawilliammagesamarwa8413
Hii ni ibada ya kukufuru
@VestinerBerchmansBullu
@VestinerBerchmansBullu Месяц назад
Hv hamna vya kuchekesha mpaka mumtaje Yesu,ni kujitafutia laana tu.hatupendi na hatufurahii
@Anitajoseph792
@Anitajoseph792 2 года назад
Wasafi mnadharaulisha dini yetu.Ww mchungaji gani Msanja unafurahia jina la Yesu kudharirishwa. Mungu atusamehe makosa yetu.
@kasmirypaschal2228
@kasmirypaschal2228 3 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 daaaaaah m nmeckia eti shoko halisuki 5:44 hapa jamaaaa kajiongezeaa kipaji cha kunichekesha bila yeye mwwnyewee kujuaaaaa
@leonardbutindi1775
@leonardbutindi1775 2 года назад
😸🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@kasmirypaschal2228
@kasmirypaschal2228 2 года назад
@@leonardbutindi1775 noma sana kaka
@davidmendrad4749
@davidmendrad4749 2 года назад
Wasitumie sana dini ( Yesu na MUNGU) wasitanie jina la Mungu
@zawadichalale4047
@zawadichalale4047 2 года назад
Hata mm sifurahii kabisa
@ruzisalm2031
@ruzisalm2031 2 года назад
Nimungu wawapi huyo yesu
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 Год назад
Yesu sio mungu
@YahyaSaiid-vx4rz
@YahyaSaiid-vx4rz 4 месяца назад
Ivi mungu anyone kana?anakula?anapanda mtumbwi?anavaa kanzu?
@whitetigerprincy5882
@whitetigerprincy5882 2 месяца назад
​@@yusufuheri6524Babako au kasome bibilia
@bibliakitabukitamu6015
@bibliakitabukitamu6015 2 года назад
Komedi ni kitu kizur Ila naomba nionye kitu TUSIMFANYIE MUNGU MZAHA ATA KIDOGO naomba mfikishe iliii
@AlexEvord-kx8hu
@AlexEvord-kx8hu 8 месяцев назад
Wamuheshimu mungu
@richiuskoba7918
@richiuskoba7918 3 года назад
Yaani kwanzia no2 mpk wa mwisho hamn kitu kbxaa..all in all yule wa kwanza ndo kaua
@aishahussein4884
@aishahussein4884 3 года назад
Saidi nimecheka mpka nimelia😃😃🇰🇪
@simbafuns785kviews
@simbafuns785kviews 3 года назад
Heheheeee ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-hPfGDMQuh3M.html
@shimbirobo9586
@shimbirobo9586 2 года назад
Hata mim nmecheka sana, na nimeparudia rudia sana daaaaaaa!
@Saidaaid
@Saidaaid 2 года назад
Thanx
@simonmlisa4311
@simonmlisa4311 2 года назад
Ni kama wanasimuliana stories kabla ya kupanda stejini..washiriki kama watatu wote wamelalia upande wa hadithi za Yesu.. Ila huyu Leonard yupo vizuri sana
@stellah3844
@stellah3844 3 года назад
Leonard, MC Eliod na Azaboi mmetisha sana ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️. Ile nyie mnaotumia jina la Yesu mnakosea sana Yesu hachezewi
@azaboicomedy
@azaboicomedy 2 года назад
Shkrn sana, ubarikiwe
@ceciliaombela7159
@ceciliaombela7159 2 года назад
Tena sana sijui hawajui dhamani yake
@rubniyi3551
@rubniyi3551 2 года назад
@@ceciliaombela7159 mimi nimekosa lakusema 🤔🤔🤔🤔
@sayimagina1334
@sayimagina1334 2 года назад
Jina la Yesu linatakiwa kuheshimiwa kila mahali......wangetakiw watumie mifano mingine sio kumkejeli Yesu....Haijafaa ila Mungu awasamehe maana hawajui watendalo
@celinekenedy870
@celinekenedy870 2 года назад
Hamna kitu wote kasoro wa kwanza na Eliud,,, kwani YESU aliwafanyia nn mbaya? Kuweni na uoga na heshima pia.
@sportsnewss8779
@sportsnewss8779 3 года назад
Comedian wa kwanza ametishaa sanaa
@princessmiki3210
@princessmiki3210 2 года назад
Hata mm nmempenda sana huyo wa kwanza
@tomzone6267
@tomzone6267 3 года назад
Leonardo 🔥, Eliudi 🔥 .... Uyo watatu mtanisaidia Lakini Kuna baadhi ya watu wamekuja apo kwa platform as if Amna 10 M ivi au ni Mimi uelewa mdogo
@nestoemanuel2821
@nestoemanuel2821 2 года назад
Kitaa kina mishe kibao bro! 🔥🔥
@joachimsamwel812
@joachimsamwel812 2 года назад
Mnazalaulisha imani yetu kwakuifanyia mizaha na vichekesho ..waandalizi mnapaswa kuweka mipaka sio kila kitu ni chakuchekeshea tuu
@bikabucha7905
@bikabucha7905 2 года назад
Kweli kabisa
@josephhaule9123
@josephhaule9123 2 года назад
Hata mm sijafurahishwa kabsa halafu masanja anayejiita pastor anachekelea tu hap
@mr.machange1377
@mr.machange1377 2 года назад
Roho ya Makufuru inatenda kazi
@gidygiam9867
@gidygiam9867 2 года назад
Wanacheze iman
@SankaEmanueli-bz8cr
@SankaEmanueli-bz8cr Год назад
Mnazingua sana acheni matani na yesu unajua ww ni Mtu mzima unapumua kwa ajili ya mungu afu unamzungumzia yesu kwenye utani wenu
@agustinonwaka2089
@agustinonwaka2089 2 года назад
Duu japokuwa sio mlokole ila Mungu achezewi kihivyo
@YahyaSaiid-vx4rz
@YahyaSaiid-vx4rz 4 месяца назад
Hey
@user-pd6iq8fh2q
@user-pd6iq8fh2q 10 месяцев назад
Leonard mwenyewe ndo yupo vizuri hawo wengine akuna kitu
@Zaburi-
@Zaburi- 3 года назад
Acheni dhihaka na imani za watu, it's total stupidity
@simbafuns785kviews
@simbafuns785kviews 3 года назад
Heheeee ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-hPfGDMQuh3M.html
@markleonardo8634
@markleonardo8634 3 года назад
Total stupid, sijawahi kuona wakitumia kitabu cha waarabu kile
@AsiaMkusa
@AsiaMkusa 3 года назад
Mmmmmmmh
@othmantv2654
@othmantv2654 2 года назад
@@markleonardo8634 kuwa na heshima broo yale ni maneno ya Allah sio kitab cha waarabu
@nasramohamedi8190
@nasramohamedi8190 2 года назад
@@markleonardo8634 pumbavu wee umeona wapi maneno ya haki yakachezewa ndio muone sasa hiyo mnayoiita dini inavyozalilishwa
@davidndaha9607
@davidndaha9607 2 года назад
Comedy maneno mengi ya Mungu toweni ya kazi zenu
@nassirmasoud2545
@nassirmasoud2545 2 года назад
Ombi langu kwa wananchi:ningependa tuigizeni kila kitu lkn maneno matakatifu ya kitabu cha dini yyte yasiruhusiwe.mnacheka kwa dharau kwa maneno ya Mungu jamani?mbona ckupenda hilo?
@bikabucha7905
@bikabucha7905 2 года назад
Pia mimi swala hilo limenikera kweli
@ireneassey753
@ireneassey753 2 года назад
Point
@fidelyaredi4137
@fidelyaredi4137 Год назад
Aija kuwa kosa bado,
@christonchristian7448
@christonchristian7448 Год назад
mnamjua masanja anajoke but watu wanagain na kuvutiwa uhalisia wa Mungu nb wawe na mipaka
@princematenga2435
@princematenga2435 Год назад
Ahaha
@broka_genius3615
@broka_genius3615 3 года назад
Me naitwa mo town sanya aka nembo ya mtaaa watu oyooooooooooooooo
@simbafuns785kviews
@simbafuns785kviews 3 года назад
Heheheee ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-hPfGDMQuh3M.html
@michaeldavid4322
@michaeldavid4322 2 года назад
Huko kwenye utani na dini au na mungu mnazingua sana halafu ni ujinga kabisa acheni hoyo tabia mara 1
@yohanamagoye1370
@yohanamagoye1370 2 года назад
Hapo kwa Yesu mlikosea Sana wakubwa
@geraldsebastianlaizer7060
@geraldsebastianlaizer7060 2 года назад
Pawepo na drisha la wazi kuwapigia kura washiriki. Gerald Sebastian. Arusha,Tanzania
@duniawadunia4824
@duniawadunia4824 3 года назад
Naona njili tu akuna kitu maandiko mnatumia kwa kuchekesha upuuzi tu
@barakazeboss2145
@barakazeboss2145 3 года назад
Dah ni kwel
@mswanawamswana3129
@mswanawamswana3129 3 года назад
Naungana na Baba Levo...jamaa wa Arusha yupo safi sana
@mariatarimo6646
@mariatarimo6646 2 года назад
Mama nyenzo yuko vzur sana
@janeschurmanns7364
@janeschurmanns7364 2 года назад
Mbona Masanja kawa mzee jamani au macho yangu🙆😪😪
@etonabintu
@etonabintu 2 года назад
Hata na mimi nimeona ivo
@princessmiki3210
@princessmiki3210 2 года назад
No 1 umenivunja mbavu hatar Una kipaji kaka hongera
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official 2 года назад
Mbona jamani mzee hamjamfagilia wala kucheka mzee pole wamekukataa
@arbstationary7544
@arbstationary7544 2 года назад
Muache kumtaja taja Yesu kwenye mambo yenu yasiyofaa
@gadymjun9332
@gadymjun9332 2 года назад
Point
@bingwa4039
@bingwa4039 3 года назад
Yan mumetumia adi majina ya mitume kuchekesha lkn wote ni pumba tu amjuh chochote ila mwaisaa hela hiz zitatuua tutafute hel mwaisa hat kwa kuforce
@eddycosmeticseddycosmetics5664
@eddycosmeticseddycosmetics5664 2 года назад
Umetisha. Mwisaaa
@kigogotv2883
@kigogotv2883 3 года назад
Leonard ni mtu na nusu hatariiii
@naimamunishi1241
@naimamunishi1241 3 года назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂idea mbadala hahaha
@idanelias4245
@idanelias4245 3 года назад
Mshiriki wa kwanza kaua vibaya
@leshasky8893
@leshasky8893 3 года назад
Kweli na hajaingilia dini ya mtu
@frans_dede
@frans_dede 2 года назад
Mti wenye matund unapgw madongo daima Washirik mnaon hamuwez kuchekesh mpak msem habar za Yesu
@TaiWaTzTV
@TaiWaTzTV 3 года назад
33:03 Eliud Bro, uko vyema sana
@ambroambrocen1821
@ambroambrocen1821 3 года назад
wa kwanza katisha aiseeE...
@rachelmuhehe2593
@rachelmuhehe2593 2 года назад
Mungu awahurumie na kuwarehemu bure kwa mtaja Yesu kijingajinga
@celinekenedy870
@celinekenedy870 2 года назад
Alaf story zenyewe hawazijui vzr,,,
@whitetigerprincy5882
@whitetigerprincy5882 2 месяца назад
Wamenikera
@tvnineonline8556
@tvnineonline8556 3 года назад
Ushauri wangu , uongozi wa jukwaa la cheka tu utoe seminar kwa washiriki dhidi ya kutumia sana material ya dini, hii italeta matatizo baadae ikizingatiwa hii ni platform mama kwa sasa hivyo ikiacha hivi itazalisha ukakasi kwenye dini za watu. Otherwise KAZI NI NZURI SANA, keep entertaing guys, Africa Is watching .
@davidsonstevenson2653
@davidsonstevenson2653 3 года назад
kweli
@mrgeorgeisdory5277
@mrgeorgeisdory5277 3 года назад
Kutumia maneno ya dini number 2 na 3 mmezingua
@hidayamotto7210
@hidayamotto7210 2 года назад
Kwel
@sherrymeddy6398
@sherrymeddy6398 2 года назад
Yah Ni kweli
@AbdullyJumamosi-eo5jj
@AbdullyJumamosi-eo5jj 8 месяцев назад
😅😅😅😅😅
@chrianahchrison855
@chrianahchrison855 2 года назад
Mshiriki namba 3, kutoka dar es salaam, tunaomba uheshimu dini za watuuuuu!🙏🏻
@fayzarashidi2203
@fayzarashidi2203 2 года назад
Sijaona mchekeshaji
@leylamark3193
@leylamark3193 2 года назад
Kabsa yaan ....sijapenda hata tone!!!!😏😏😏....yaan anasema tu yesu ....yesu ...yesu daaah!!! Amekosea sna!!!
@rubniyi3551
@rubniyi3551 2 года назад
@@leylamark3193 nimehuzunika mimi😫😫😫😫
@neemapeter747
@neemapeter747 2 года назад
Ndaro umenichekesha sana yani big up kwako kaza buti
@mr.machange1377
@mr.machange1377 2 года назад
Hivi hawawezi kuchekesha bila kutaja jina la YESU 😭😭😭 So sad!!
@muasewamukadogo9729
@muasewamukadogo9729 2 года назад
Ni kama kumdhihaki Yesu hawajaona chakuchekesha hao
@rachelkihaka9204
@rachelkihaka9204 9 месяцев назад
Kweli kabisa hata mie wananikera sana maana amri ya pili unasema usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajayebure jina lake
@hoseamwanisenga7102
@hoseamwanisenga7102 8 месяцев назад
​@@muasewamukadogo9729😊p
@AredFered
@AredFered 7 месяцев назад
Sijapenda
@whitetigerprincy5882
@whitetigerprincy5882 2 месяца назад
Waislam wote ni watumwa wa waarabu ndio maanake wanamchukia yesu
@davidchesco1150
@davidchesco1150 3 года назад
Kwan kuchekesha hadi atajwe Yesu!!. Sijapenda hapo mmekosa content
@BigZhumbe
@BigZhumbe 3 года назад
Kwani Yesu katukanwa???? Jina la Yesu mnaliheshimu nyinyi kwa wazungu kuna hadi mashoga wanaitwa Yesu
@rajabunjadika455
@rajabunjadika455 3 года назад
Haaaaaaaa
@carlixtz4594
@carlixtz4594 2 года назад
@@BigZhumbe ushasema nchi za wazungu lakin sio sisi wao ni wao
@BigZhumbe
@BigZhumbe 2 года назад
@@carlixtz4594 Na dini si ni yao mbona mnaishobokea 🤣🤣🤣 kwani Yesu ni msukuma
@davidchesco1150
@davidchesco1150 2 года назад
@@BigZhumbe Kila mtu na iman yake. pia najua wapo wanoitwa yesu mi sizungumzii ma yesu hao mi nazungumzia YESU wanaemuweka kwny jokes zao. Alaf ni wao sijakuzungumzia ww
@angelmasawe9232
@angelmasawe9232 2 года назад
Af uy dogo mwingne katokea startv anajua kujiongeza big up kwake kachangamkia fursa
@hawasaid5286
@hawasaid5286 4 месяца назад
huwezi kusoma neno bila roho wa Mungu. kuelewa kwako sio maana ya maandiko....acha kupotosha umma... kesi unayo tayari Mangendo... kama umelipwa kufanya hayo jua yatakutokea puani .....
@mrgeorgeisdory5277
@mrgeorgeisdory5277 3 года назад
Number one is number one Leonard your perfect 👏👏👏👏👏
@kalikumtimamaganya4448
@kalikumtimamaganya4448 3 года назад
Mnashangaza sana why ktk majiji tyuu ,vip kuhusu mikoa mingine
@umojamedia4167
@umojamedia4167 3 года назад
Wanapenda sana majiji
@simbafuns785kviews
@simbafuns785kviews 3 года назад
Yaan ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-hPfGDMQuh3M.html
@imranshafii678
@imranshafii678 3 года назад
Nyinyi wengine pambaneni na hali zenu
@officialtakatuka7127
@officialtakatuka7127 2 года назад
Punguzeni kutumia biblia kujok mnapoteza mvuto wa s.comed
@jumakalukule5312
@jumakalukule5312 2 года назад
Ushauli watu wajukwaa msiruhusu wachekeshaji kutumia mambo yadini nakuwataja mitume au manabii hilinikosa kiimani sikupenda hii
@slamasta1542
@slamasta1542 3 года назад
Leonardo mwamba sana...anatisha kishenzi
@Jassmin-media-official
@Jassmin-media-official 2 года назад
Mimi maoni yangu yule wakwanza kaua kuliko woteeee number one is number one,wee wajumbe tulia
@yahayakhalifan2843
@yahayakhalifan2843 2 года назад
Yule jamaa wa mbeya mzee wa akiri mbna kapiga vzur sana
@witsonjames
@witsonjames 2 года назад
Azaboiiiii.. appreciate you bro . Asali mbichi kutoka tabora. Nimeangalia hii show just fo you
@azaboicomedy
@azaboicomedy 2 года назад
Thanks my bro my homieeeee❤
@rasymb6190
@rasymb6190 3 года назад
MO town nakubari giii
@simbafuns785kviews
@simbafuns785kviews 3 года назад
Nouma bro ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-hPfGDMQuh3M.html
@Mimy_keys
@Mimy_keys 3 года назад
LEONARDO 😍🤗 Number one ☝️👏🔥✅
@kasmirypaschal2228
@kasmirypaschal2228 3 года назад
kweli kabsaaa hata mm nmeliona hlo!
@sbreezedaclassictz9666
@sbreezedaclassictz9666 2 года назад
Hapa wote hawachekeshi bado sana n moyo tu ndo tunawapa wapambane sana
@thobiaspaul5691
@thobiaspaul5691 2 года назад
Mbwa nyinyi mbna mna mtaja muumba mbingu na nchi mnatumia Kama kiki tafuteni mambo yakuzungumzia mnakera
@samwelsanga5339
@samwelsanga5339 3 года назад
Mkalimee tuu maisha yamekuwa mgumu kishenz,hapo mnachekesha nn hasara na nyiny 😄😄🤭
@bikabucha7905
@bikabucha7905 2 года назад
Cjapenda kufanya mzaha na Yesu...mheshimu mungu tafadhali haijalishi ni comedy wala nini....hilo hilo jina walichezea kuna mwingine analitegemea kuishi
@joojombi2341
@joojombi2341 2 года назад
Mmekosa jocks nyie wacheni upuuzi kuchezea DINI bhana na nyie mwashangilia ujinga huo
@jamesissaya906
@jamesissaya906 2 года назад
Daaa Huyo Mama Nyozo Sijui Mama Nyoso Yaani Kama Jem tai Yule wa Kenya Kwa Sauti
@afrimage_decor
@afrimage_decor 2 года назад
Hao wanachekesha kwa njia za Dini ni watu waliokuwa wanachekesha enzi za advance kwenye kipind cha dini😂😂😂
@IsaacParuz
@IsaacParuz 3 года назад
Hivi mmekosa vichekesho Hadi mkomae na Yesu? Why not Muhammad? Mnafatiliwa na watu wengi wenye Imani tofauti...
@hawasadick2156
@hawasadick2156 3 года назад
Nielewe wewe Muhammad s a w sio wa dhihak hizo kbs😡
@officialbntrasool5223
@officialbntrasool5223 2 года назад
Waanza na mtume waone tutachowafanya
@whitetigerprincy5882
@whitetigerprincy5882 2 месяца назад
Muhammad muarabu wa kawaida
@whitetigerprincy5882
@whitetigerprincy5882 2 месяца назад
​@@officialbntrasool5223unafananisha Muhammad na yesu.read the bible properly
@braitonmwandata404
@braitonmwandata404 2 года назад
Vipo vitu vya kuwekea utani siyo utani wa kumuingizaBwana Yesu hii haijanibariki.mjilekebishe
@ahadijohn9190
@ahadijohn9190 3 года назад
LEONARDO & IZACK wa FELIAZA mmetixhaa saana
@azaboicomedy
@azaboicomedy 3 года назад
Ahsante sana😊
@slimmuhabesh2400
@slimmuhabesh2400 3 года назад
Lernard
@benjaminmunkondya
@benjaminmunkondya 3 года назад
Leonardo Is The King
@mikienne6058
@mikienne6058 2 года назад
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-T4hBOa2FRmQ.html
@lukamagova6678
@lukamagova6678 2 года назад
Baba lev atasababisha uyo akose kujiami
@HamadMagozi
@HamadMagozi 7 месяцев назад
Yesu sio mungu nyie acheni ushamba yesu ni nabiii😂 mungu ni mmoja tuh
@user-dy4pw8ts9p
@user-dy4pw8ts9p 6 месяцев назад
Mathayo22:41-43 katika mwili daudi ni mkubwa kuliko ibrahim yesu anakiri hilo ila swali ni kwamba kwanin katika roho daud ana muita yesu BWANA????? Ukiweza kunijibu vema basi hutopataga taabu ya kuelewa uungu wa yesu
@rasulmtemi7595
@rasulmtemi7595 2 года назад
wabongo mmepigwa... Hamna comedians apa. Imbeni tu.. comedy tuachieni Wakenya
@user-cr6vj2sv1e
@user-cr6vj2sv1e Месяц назад
Kenya kuna comedian gan
@farijimgimwa6299
@farijimgimwa6299 2 года назад
Bwana muwe naadabu naimani za watu mnaniuzi amchekexhi uximamizi uwemakin
@naturelle1097
@naturelle1097 2 года назад
Headmaster made my evening na hao wajumbe bendera he was soo on point he is unique ..time wasters wapo wengi Josephat you are simply crazy watoto wa Yesu .. wangeomba Mungu Babu😆😆my ribs o!
@younginspired3899
@younginspired3899 2 года назад
Leonard unatusema aisee.. 😂😂😂 hapo kwenye hujui Mungu kaniepusha na nn
@jacobmhozya4127
@jacobmhozya4127 2 года назад
Mshindi niyule aliyebuni vitu vyake hajawekamo mambo ya yesu
@zakariagerald6381
@zakariagerald6381 2 года назад
Kweli matumizi ya dini kwenye comedy wanazingua
@joycechaz2840
@joycechaz2840 2 года назад
Umeona eeeh
@twillahbenaiah2879
@twillahbenaiah2879 2 года назад
Wanamtaja Yesu kma babu yao
@zachariatbs.REALIFE
@zachariatbs.REALIFE 2 года назад
Wanakosea sana, Usilitaje Bure jina la Bwana MUNGU wako
@winfridahubert4072
@winfridahubert4072 2 года назад
Wanacheza na maandiko😔
@celinekenedy870
@celinekenedy870 2 года назад
Alaf bad enough hawayajui.
@winfridahubert4072
@winfridahubert4072 2 года назад
Yani wamefanya Bible kama kitabu cha story wanageuza maneno wanavyotaka wao hawana hata hofu na Mungu
@user-wj6sl1bv8q
@user-wj6sl1bv8q 6 месяцев назад
kwakweli maneno matakatifu sio vyema kabisa kutumika kwenye uchekeshaji wa namna hiyo wapendwa tumuogope mungu
@Az__2012
@Az__2012 3 года назад
Mnashinda gani na yesu lakini sijapenda
@azizityson2849
@azizityson2849 2 года назад
😂😂😂😂
@BUCHOSAONLINETV
@BUCHOSAONLINETV 2 года назад
Namba 1.Leonard Namba 2.Said Said Namba3 Eliud Namba4 Ndaro.....Namba5 MagicBoy Trust me
@isayayohana6341
@isayayohana6341 2 года назад
Leonard namba 1
@Akama0927
@Akama0927 2 года назад
Ndaro, nikufunze kidogo. Kuna wajaluo watanzania, wakenya, waganda na South Sudan. Hasila sio Hasira, mbona unachoma? Lilax sio relax, wajaluo wanajua hiyo
@latifasharon8054
@latifasharon8054 2 года назад
🤣🤣😂😂
@jessemazima9173
@jessemazima9173 2 года назад
Baba levo we hii kazi unaweza maana una mahamz sio wengine awaonesh ata comption
@giftjohn6350
@giftjohn6350 3 года назад
Eliud mnyama sana
@gadymjun9332
@gadymjun9332 2 года назад
Salute
@ruthkomba3382
@ruthkomba3382 2 года назад
Sijapenda kutumia jina la Yesu kwenye utoko wenu fyuuu
@lugikoenterpriseslugiko3050
@lugikoenterpriseslugiko3050 3 года назад
Aza boy mnyama sana et tumepigwa tupo Pluto 😊😊😊😊😊😊😊😊😊
@azaboicomedy
@azaboicomedy 2 года назад
Hahaha ahsante snaaa ❤
@robertcosmas9233
@robertcosmas9233 3 года назад
Mang'endo usipunguze neno wala kuongeza neno katika maandiko matakatifu pole
@ramstiankarley9432
@ramstiankarley9432 2 года назад
Kumbukeni hii dunia jamani tunapita usimjaribu bwana mungu wako
@WinnerJoseph-r6b
@WinnerJoseph-r6b 27 дней назад
Acheni kumdhihaki MUNGU
@danielmbindithecomedian1471
@danielmbindithecomedian1471 2 года назад
Huyu wa mwisho amenihudhi,ati Mungu babu?nkt
@bonykimune1009
@bonykimune1009 3 года назад
Mwanza kwanza edimast
@calvinsmith505
@calvinsmith505 2 года назад
Naona watu wanawehuka na umaarufu ee umungu tusamehe
@raiszongo1580
@raiszongo1580 2 года назад
Leonardo huy0 dogo ni 🔥🔥🔥
@NaomiSumaih
@NaomiSumaih 3 месяца назад
Jamani sio kwamba hatupendi vichekesho vyenu ila kuzungumzia suala la kutaja yesu kwa vichekekesho sio vizuri
@HappyApron-fo5vl
@HappyApron-fo5vl 6 месяцев назад
Kila kitu kinasimamiwa Na mungu ila sio kutumia maandiko kuchekesha watu ....mshirika namba tatu jirekebishee
@slimmuhabesh2400
@slimmuhabesh2400 3 года назад
Leornad is the best...comedian
@musason1680
@musason1680 2 года назад
Jamani said said na eliud noma
@petermboro8973
@petermboro8973 2 года назад
Nimemkubali uyomshiriki wa kwanza
@shatoxtv
@shatoxtv 2 года назад
Salute to yuh Leonard BUTINDI, it's GETSON down here!!
@marthalangia
@marthalangia 7 месяцев назад
Neno linasema msiketi balazan pa wenye midhaha na nyinyi mnatumia jina la Yesu kwenye midhaha mkumbuke Mungu hadhihakiwi, na wewe unatumia vifungu vya maandiko kuweka maneno Yako, bible imekataza kuongeza au kupunguza neno lolote so tahadhari mambo ya dini yasihusishwe ktk Kaz zenu hayo tuyakute misikitini na makanisani
@saudahassan6667
@saudahassan6667 3 года назад
Waaaaasaaaafiiiiiiiiii mmetiiiiiishaaaa
@pintymelodytz913
@pintymelodytz913 2 года назад
Mnafanya vizur lakini mnakosea kukufuru
@whitetigerprincy5882
@whitetigerprincy5882 2 месяца назад
😢😢😢
@deborahmidiburo3541
@deborahmidiburo3541 7 месяцев назад
My Eliudi Samuel 😂😂😂
@sultanabdallah5092
@sultanabdallah5092 3 года назад
Eliud kaua🤣🤣🤣🤣
@airinsumeno2490
@airinsumeno2490 3 года назад
Wakwanza nmekuelewa sanaaaaa
Далее
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
Просмотров 2,8 млн
BSS 2023 SN 14   EPISODE 01 ARUSHA
1:03:40
Просмотров 202 тыс.
TAZAMA SHOW YA ELIUD MBEYA, (PART 2)
13:55
Просмотров 120 тыс.
WASHIRIKI WA DAR KWENYE CHEKA TU COMEDY SEARCH NI BALAA
35:57
Oh No! My Doll Fell In The Dirt🤧💩
00:17
Просмотров 2,8 млн