Uzuri wa huyu jamaa anachekeaha bila kutumia nguvu afu story zake zimejipanga kwa mtiririko mzuri na vichekesho vyake havina matusi wala matamshi mabaya pia hana uchama wala utimu big up tunakupenda sana🙏🇹🇿💪
Uzuri WA Eliudi ni ana Uwezo WA kueleweka na Watu WA MJINI na Vijijini pia. Anatumia Visa halisia kwenye jamii kuwachekesha Watu. Such a wonderful talent. Walionielewa TUJUANE