Roho Mtakatifu naungana na fundisho hili ktk Roho(kwa IMANI) najitenga na mazuio yote maishani mwangu; kwenye ndoa,kwenye ajira,kwenye kazi,kwenye UTUMISHI/HUDUMA , na maendeleo yangu yote kwa kila eneo......... Ameeeen
Asante Bwana YESU kwajili ya hiii huduma na kwajili ya ujumbee huu. Nimefunguliwa macho na akili yangu imeelewa.Mungunipe neema yakutekeleza maelekezo haya.
Shalom baba,namtukuza Mungu kwa ajili yako kwa mafunuo haya. Nina maswali yasiyo na majibu sababu mimi ni muhanga wa haya baba. Katazo au zuio la miungu. Natamani kutoka huko, natokaje baba????? Nimeomba mda mrefu bila mafanikio kamili, naamini ni wakati wangu umefuka wa kutoka.naomba nisaidie baba namna ya kutoka usipuuzie baba nakuomba pamoja na majukumumengi uliyonayo naomba unisaidie.barikiwa mno
Mungu Baba wa rehema nyingi unisaidie nisikupokeee kimazoea bali kwa kuongozwa na Roho wako Mtakatifu. Asante Mwalimu Christopher Mwakasege na huduma ya MANA kwa huduma njema. Mungu awabariki sana.
Shalom baba, nabarikiwa sana tena sana ila maswali ni mengi na sina majibu.yote unayoyaongea baba ni kweli juu ya katazo la miungu ktk maeneo mbalimbali.baba ntaondoaje hayo mazuio??? Naomba msaada nini cha kufanya