Тёмный
No video :(

2. HUU NDIO UKWELI KUHUSU USHIA||SHAIKH QASSIM MAFUTA حفظه الله 

NURU YA SUNNAH
Подписаться 1,6 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

#habarimubashara #tanzanianyoutuber #habarizauhakika #livestream #livestreaming #juhany #habarimubashara #tanzanianyoutuber #livestream #salafimanhaj

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 53   
@muhidini_abubakar
@muhidini_abubakar 3 месяца назад
maa shaa Allah shaikh qassim yani hii dini bila allah kuweka watu kama shaikh qassim mafuta basi wazushi wangekua wanaleta uvumi tuuu lkn skuiz wana adabu kwa sababu wanaraddiwa
@salumhamed5074
@salumhamed5074 3 месяца назад
Allah akupe umri mwema
@AbbasMwakichui-db9tn
@AbbasMwakichui-db9tn 3 месяца назад
ALLAH TABAARAKA WA TAALLAH. akulipe kila la kher sheikh wetu kwa kuunasihi UMMA na makundi ya upotovu kama hayo ya mashia na wazushi wengine
@salumhamed5074
@salumhamed5074 3 месяца назад
May Allah bless you
@user-yq4zy7vm8x
@user-yq4zy7vm8x 3 месяца назад
Shekh Abdul Fadhili Kasim Mafuta,Allah muhifadhi ampe umri mrefu.Tunafaidika sana kupitia ww sheikh.Yeyote mwenye akili timamu akimsikiliza sheikh bila ushabiki atamuelewa mara zote sheikh hulingania tauhidi hii ndio da'awa ya mitume wote.Shekh nakupenda kwaajili ya allah shekh
@abubakarilugina-zw4gt
@abubakarilugina-zw4gt 3 месяца назад
Allah awaongoze mashia warudi katika Uislamu sahihi.... Mashia ni makafiri , laa shakka fiiyhi
@salumhamed5074
@salumhamed5074 3 месяца назад
بارك الله فيك
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official 3 месяца назад
وإياك بارك الله فيك
@hassanmsangi4149
@hassanmsangi4149 3 месяца назад
ELIMU YAKO BDO NDOGO SANA MZEE MAFUTA
@rightskillstv
@rightskillstv 3 месяца назад
We yako kubwa ?
@user-qo9xg9zc2p
@user-qo9xg9zc2p 3 месяца назад
Mashaallah shekh qassim
@user-qo9xg9zc2p
@user-qo9xg9zc2p 3 месяца назад
@salumhamed5074
@salumhamed5074 3 месяца назад
ما شاء الله
@hassanmsangi4149
@hassanmsangi4149 3 месяца назад
USHIA NDIO UKWELI HATA MKIWA MNAONGEA HAMUWEZI KUWAWEZA , USHIA NDIO MADHHEB YA KWELI YA KWELI HAKUNA USUNI WENYE UKWELI
@ummu_uthaymeen
@ummu_uthaymeen 3 месяца назад
si kweliiii hebu semeni Abuubakar na omar ni nani kwa mashia?
@hassanmsangi4149
@hassanmsangi4149 3 месяца назад
@@ummu_uthaymeen nitumie namba zako nikufundishe dini
@HamadHamduni
@HamadHamduni 2 месяца назад
Ushia ni ukafiri haswaa
@SadamMwalim
@SadamMwalim 3 месяца назад
Maashaalah Allah baarik fiika
@user-xb6tr5vq4b
@user-xb6tr5vq4b 26 дней назад
Mashia siwaislam nimakafiri kwasababu anaewatukana maswahaba nawakeze mtume
@salumhamed5074
@salumhamed5074 3 месяца назад
Simba wa sunna katika nchi ya Tanzania
@salumhamed5074
@salumhamed5074 Месяц назад
Allah atasamahe mazambi yetu na aizihirishe sunna katika mitaa yetu
@salumhamed5074
@salumhamed5074 Месяц назад
Mitaa imeoza kwa mazambi
@salumhamed5074
@salumhamed5074 Месяц назад
Kwa zinaa na shirki
@AdamJuma-ov9eb
@AdamJuma-ov9eb 3 месяца назад
Unakomenent sheikhe shaf ana mkosa gan ach taghassub zako
@ummu_uthaymeen
@ummu_uthaymeen 3 месяца назад
kakaangu huyo shafi ww humjuii? m yan huyo ndo mtukanaji mkubwa wa mashekhe na tabia hii ni ya mashia wote kiwatukana maswahaba na wanachuoni
@user-xb6tr5vq4b
@user-xb6tr5vq4b 26 дней назад
Kwahapo ukizungumzia ushia hakuna atakae kupinga nakwenye imani yauislam hakuna chaushabik huomusemowako mbovu huna hatamaarifa yakuzungumza ndo ubaawako
@Abdallahsufiaan
@Abdallahsufiaan 3 месяца назад
huyo shafii siku hizi kazidi kukufuru na yeye anatakiwa kutumiwa makombora yake ya ruduud
@hassanmsangi4149
@hassanmsangi4149 3 месяца назад
MASUNI WANA ELIMU NDOGO KABISA KWENYE MASWALA YA HISTORIA
@hassanmsangi4149
@hassanmsangi4149 3 месяца назад
hoja za masuni hazina mashiko
@salumhamed5074
@salumhamed5074 3 месяца назад
Kuwawa Rais wa irani ni nusra kwa watu sunna irani
@hassanmsangi4149
@hassanmsangi4149 3 месяца назад
ukiwa unamsikiliza huyu mzee kuna vitu utaona havijui kwanza ni historia ya uisilam ipo ndogo sana , pili ni elimu ya kufahamu mambo tatu ni kutokuwa na uhakika na anchokitetea. VIZURI ARUDI DARASANI PALE KIGOGO POST AKAFUNDISHWE ELIMU YA DINI TENA.
@youssefsanje8743
@youssefsanje8743 3 месяца назад
Sheikh huu si wakati wa kukosoana sisi kwa sisi Ndg zetu wapalestina wanauliwa kinyama huko badala ya kuungana kuwanusuru mnaweka mihadhara ya malumbano mayahudi wanazidi kufanya jinai za kutisha hivi huo ndio uislam mbona mashia wapo msitari wa mbele keitetea Al-aqsa na ninyi mupo bega kwa bega na mayahudi kuangamiza roho za ndg zenu waislam?
@AlfarouqIslamic
@AlfarouqIslamic 3 месяца назад
Ni kweli ndugu,hawa mashehena ubwabwa kila siku ni kupiga porojo mitandaoni. Hawa wapo chini ya mtandao wa kijasuai wa mayahudi
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 3 месяца назад
Katika swala la Wapalestina Shia nmewakubali, Sunni wameonyesha unafki tu
@wanguzomaster7610
@wanguzomaster7610 3 месяца назад
Mbon hao wanaombewa duua
@makhanguwakhutu2408
@makhanguwakhutu2408 3 месяца назад
Mimi ni sunni lakini mashia nimeanza kuona ukweli wao wakati Palestine imevamiwa serikali zote za kisuna zimesimama na Israel ni mashiaa tu pekee ndio wanapambana kuokoa Palestine hata mayahudi wenyewe wanajua adui wao ni mashiaa
@abubakarilugina-zw4gt
@abubakarilugina-zw4gt 3 месяца назад
Wewe sio sunni wewe ni Shia Kwa maneno yako haya
@user-tw4nf6bv8b
@user-tw4nf6bv8b 2 месяца назад
Wakati nchi za kisunn zikipambana na Israel kuanzia mwaka 1940 mpaka 1967 Iran( Mashia)walikua wapi au walikua bado hajawa ni nchi???????? Unakurupuka tu mashia ndio wakweli kasomeeee
@user-tw4nf6bv8b
@user-tw4nf6bv8b 2 месяца назад
Vita ya Israel na Palestine imeanza tarehe 7 unaonekana hujui lolote unadandia tu basi hao Mashia ndio walikabidhi Palestine kwa Israel soma historia Mikurupuko itakufanya kutojua chochote Misri Jordan Syria Saudia zimekua zikipambana vitani na Israel Mashia walikua wapi kipindi hicho ww umeona leo Natambua Israel wanatimiza karne tangu walipoichukua Palestine muda wote walikua wapi hao mashia
@MohammedSaid-zk7yg
@MohammedSaid-zk7yg 2 месяца назад
​@user-tw4nf6bv8b wewe ndugu yangu huoni inafiq wa waarab jinsi wabavyowaacha ndugu zao kiimani,maana Palestine ni masuni na Saud na waarab wengi ni masuni kwa nini hawawasaidii innama lmuuminiin ikhwah
@salumhamed5074
@salumhamed5074 Месяц назад
@@makhanguwakhutu2408 hao wanatukana masahaba hao wanafiki
@makhanguwakhutu2408
@makhanguwakhutu2408 3 месяца назад
Hata wanafiq walikuwa wanajulikana wakati inatangazwa jihad wao wanatafuta sababu zakutokuenda sasa hivi Palestine imevamiwa sasa ni jukum la kila muislam mkweli kutetea Palestine sasa wewe salaf na serikali yako ya saudi mbona hatuoni mkituma jesh kutetea Palestine sasa story mingi na huko mashia ndio wanapambana kunusuru Palestina sasa nyinyi ni mdomo tu lakini vitendo mnanusuru myahudi
@user-uu5qw4mm3i
@user-uu5qw4mm3i 2 месяца назад
Astaghafirullah unadanganya watu
@user-qo9xg9zc2p
@user-qo9xg9zc2p 3 месяца назад
Shia laanatullaah makafiri wakubwa
@youssefsanje8743
@youssefsanje8743 3 месяца назад
Huyu sheikh amepandikizwa na mayahudi kuwavuruga wanamuqawama kwa hilo amechemka shia ni wazee wakutembeza kichapo hawana ujinga-ujinga katika dini wayahudi hawalali kwasabab ya mashia,wewe kama dhehebu lako ni sahihi mbona serikali zenu mpaka sasa zinasusua kutoa msimamo imara kuwalinda wapalestina badala yake mnampa msaada adui?Sasa huu ni wakati wa vitendo kuwanusuru wapalestina sio kutuletea ushoga ktk dini
@Nuru_ya_sunnah.official
@Nuru_ya_sunnah.official 3 месяца назад
allah akubarik
@ummu_uthaymeen
@ummu_uthaymeen 3 месяца назад
mche Allah, una uthibitisho wowote kua sheikh qassim mafuta ana mahusiano na mayahudi? au ndo umemezeshw uninga kakaangu?
@AlfarouqIslamic
@AlfarouqIslamic 3 месяца назад
​@@ummu_uthaymeenSalafi ni mtandao wa kiyahudi100%
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm 3 месяца назад
Masalafi wanawaona Waislamu wote wasio fuata kundi la Salafi ni wapotofu. Wanawaona Wapalestina na hasa wapiganaji wakikundi cha HAMAS kuwa ni wapotofu na hawapaswi kupewa sapoti bali wapigwe vita hasa. Masalafi wanafurahi kuona wapiganaji wa HAMAS wakiuliwa.
@makhanguwakhutu2408
@makhanguwakhutu2408 3 месяца назад
Masalafi wa ukweli walikuwa mujahidina Wacha Hawa wakujisifu tu Kwa mitandao na ​@@ummu_uthaymeen
Далее
Friends
00:32
Просмотров 177 тыс.
KUSIMAMA MAAMUMA KABLA YA IQAMA KWA AJILI YA KUSWALI
6:28