Maeneo matukufu mmeshindwa kulinda kila siku mnapokonywa maeneo hamna mipango yoyote mmefeli kidunia Jerusalem imeondoka ivoo milima ya golani ndo kule Syria mmenyanganywa sasa nyie mnahangaika mambo yasiyo kuwa namaana
naomba kusema hivi kuwa MZEE KASIM MAFUTA HAWEZI KUELEZEA MASWALA YA UGHALIFA KWASABABU HILI SWALA LIPO WAZI KATIKA VITABU VYA MASUNI NA KILA ITU KIMEELEZWA , HANA HOJA PAMOJA NA KUSOMA KWAKWE KOTE , NAMSHAURI ASOME TENA HADITHI ZA VITABU MNAVYOOVIITA SAHIHI MTAPATA KUONA
Toa wewe hayo mawaidha,sisi twazungumzia kila jambo kwa wakati wake hivyo usitufundishe na kutuchaguliia cha kuzungumza.twazungumza ulevi,uzinifu,uchawi,,uganga,ushia,,uahmadiya n.k na sio tuzungumzie jambo moja tuu kama unavyotaka wewe
Huu ni msiba sheikh mwenye elimu nzuri kama hiyo hujui tupo katika wakati gani unaleta mambo ya usuni na ushia? Hujui mayahudi huko wanazidi kuua roho za waislam kakatili na hujui nini la kufanya? Unaleta mijadala ya madhebu eti nani ni mkweri? Jibu ni jepesi mkweri ni yule anapopatwa na shida muislam mwenziwe bila ya kujali dhehebu lake anampa msaada sasa wewe unatoa msaada gani kwa wapalestana? Mbona unawapa msaada mayahudi kuua ndg zako?
Mafuta hoja zako nyepesi sana. Lakini kwa vile sasa hivi tuko vitani na tunaomboleza mauaji ya halaiki yanayofanyika kwa watu wa Gaza, tutawajibu vita ikiisha.
Hahaaa upo vitani shia golo au upo kitandan unapiga --- vitan unge coment nyie mnaakili gani rafidhwaa yaani unakiili weewe hapo upo vitani wewe mmmh labda vita ya kitandan