Тёмный

ASIMULIA ALIVYOACHA UIMAMU wa MSIKITI na KUWA NABII KANISANI - "Niliamua KUJIUA KULIKO KUWA MKRISTO" 

Global TV  Online
Подписаться 4,9 млн
Просмотров 36 тыс.
50% 1

ASIMULIA ALIVYOACHA UIMAMU wa MSIKITI na KUWA NABII KANISANI - "Niliamua KUJIUA KULIKO KUWA MKRISTO"
Isaac Paul Hammoud au Nabii IPM ni Mtumishi wa Mungu ambaye awali alikuwa muumini mwenye itikadi kali ya Dini ya Kiislam lakini sasa ni nabii.
Kwa Mujibu wa Nabii IPM mwenye kanisa lake maeneo ya Mbuyuni, Mbezi-Beach jijini Dar anasema kuwa siyo kwamba kwenye Uislam kuna tatizo, hapana, bali alitii wito wa Mungu.
Anasema kuwa, katika kutii wito huo, alijikuta kwenye nyakati ngumu ikiwemo hatua ya kujaribu kujiua kwani hakuwa rahisi hata kidogo.
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Опубликовано:

 

28 май 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 754   
@globaltv_online
@globaltv_online Год назад
BREAKING NEWS! USIKUBALI KUPITWA na HABARI ZA GLOBAL TV. JIUNGE na WhatsApp Group Now: chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ...
@AhmedMwaipopomazinge
@AhmedMwaipopomazinge Год назад
CHA KUSHANGAZA HUYU BWANA ANA MHUBIRI YESU MWANA WA MUNGU AU ISSA BIN MARYAM AISYE NA BABA?? MAHUBIRI YAKE HAYANA MSIMAMO....MARA KUTOKA KORAN MARA BIBLIA/// KULINGANA NA IPM, TUMFWATE MUNGU WA YESU AU MUNGU WA ISA???? Ufunuo 3:15-16 Nayajua mambo yako yote! Najua kwamba wewe si baridi wala si moto. Afadhali ungekuwa kimojawapo: Baridi au moto. Basi, kwa kuwa hali yako ni vuguvugu, si baridi wala si moto, nitakutapika! NA HII NDIO SIKU YA KUTAPIKWA!! 👇👇 Matayo 7:22 Siku ile itakapofika wengi wataniambia, ‘Bwana, Bwana, hatukutoa unabii na kufukuza pepo kwa jina lako; na kufanya miujiza mingi ya ajabu kwa jina lako?’ 23 Ndipo nitawaambia wazi, ‘Sikuwafahamu kamwe. Ondokeni kwangu ninyi watenda maovu!’
@fhgggffhg7721
@fhgggffhg7721 Год назад
​@@AhmedMwaipopomazinge ayo unayo sema niukweli ila ukumbuke kuwa mungu haku maanisha dini alimaanisha uku ukifanya dhambi nauku ukijifany mcha mungu kubali kuwa moto ama kuw baridi nasidin ndiomaana mwanadam wowote anae jielewa hanapande anayoegemea
@AhmedMwaipopomazinge
@AhmedMwaipopomazinge Год назад
@@fhgggffhg7721 Pande zote haziwezi kuwa kweli/sawa!! Moja ni kweli na nyingine ni uongo!! Kwa mfano///Mungu wa Biblia anaye Mwana...na Mwana ana baba. Mungu wa koran hazai na hana mwana!! KATI YA HAWA WAWILI...MMOJA NI KWELI NA MWINGINE NI UONGO!! USHAFAHAMU???
@joycekaganga6924
@joycekaganga6924 Час назад
Yesu ana nguvu na ana namna nyingi za kumuokoa mtu hata uwe mpinzani namna gani siku ikifika utasalimu amri tu ❤🎉 songa mbele usirudi nyuma kila ulimi utakiri Yesu ni Bwana
@zenaahmedi8857
@zenaahmedi8857 Год назад
Innalilah wainna iray'h raajiun
@rehemamlyuka6109
@rehemamlyuka6109 Месяц назад
Hakika umechagua fungu jema Mungu si mwislamu wala mkristo Mungu ni WA wote Cha msingi tumtafute yy naye atatupokea ,Naimani Mungu alikiona kipaji chako ,Mungu awe nawe daima Ameni!!!
@omaryh.mohamed4480
@omaryh.mohamed4480 4 дня назад
Majini washenzi sana, wamemchezea huyu kajaa mzima mzima
@reenyaysher7639
@reenyaysher7639 Год назад
Mungu akulinde na akupe maisha marefu na afya njema na akupandishe daraja lako la imani🙏
@kamenemulu8561
@kamenemulu8561 Год назад
Amen mungu hakuongose am from. Kenya 🇰🇪 following from Kuwait 🇰🇼 nitakuja.siku moja
@mangeraalbert7982
@mangeraalbert7982 Год назад
Yule a kenyan but hii story ya kiongo tu, look from the body and face he lying to himself
@Alexthadey-lm3ju
@Alexthadey-lm3ju Год назад
Kwa sisi tunaomjua yesu tunamuelewa sana huyu ndugu yetu katika kristo yesu jina la Bwana libarikiwe sana
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 Год назад
Amen
@josephinejohn2752
@josephinejohn2752 Год назад
Usifagilie ujinga wewe uyu kakosa ajila kwanini afundishe dini mbili alafu Kila anacho sema lazima aweke mfano wa dini ya kiisilam uyo mpigaji tu
@josephinejohn2752
@josephinejohn2752 Год назад
Kwanini ajakuwa muumini wa kawaida filauni anachezea dini za watu
@josephinejohn2752
@josephinejohn2752 Год назад
Mtu Kama ana akili atamfatilia na kumfata apo kwenye ukumbi wake AmBAR anauita kanisa
@josephinejohn2752
@josephinejohn2752 Год назад
Kakosa hajila ndio maana kakimbilia uko kwenu kwa walokole
@ritapiusnicolaus7068
@ritapiusnicolaus7068 Год назад
Hongera sana Mungu azidi kukubariki🙏🙏sema baadhi ya waslam sijui wapoje wanaubaguzi wa dini sana mkristo akienda uslam sawa ila mslam akienda ukristo ni tatizo nawachukia sana watu kama ao Mungu ni mmoja shida ipo wapi 😏😏
@thabitimkufi7388
@thabitimkufi7388 Год назад
Nasie tunakuchukia kama unavotuchukia
@madetetv6576
@madetetv6576 Год назад
​@@thabitimkufi7388 tunakuchukia sana
@kabulamalima5179
@kabulamalima5179 Год назад
Hata wewe uko hapa ukimpongeza kwa hiyo ulitakaje?? Tumpongeze?? Hakuna mtu anayependa kuona mtu anahama kutoka dini nyingine kwenda nyingine hata wewe usingependa kuona mtu anatoka ukristo kwenda uislam
@kabulamalima5179
@kabulamalima5179 Год назад
Si unyamaze why blaming???
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 Год назад
Hata sisi tunakuchukia bi vivyo hivyo cha ajili ya Allah.
@chiekhthiam980
@chiekhthiam980 Год назад
Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu.❤
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Год назад
Kama mwanzo na sasa na siku zote na milele ameen
@adammj6258
@adammj6258 Год назад
Ndio hivyo mnavyopelekwa pelekwa hadi kuuliwa
@chiekhthiam980
@chiekhthiam980 Год назад
@@adammj6258 Sifa na utukufu kwa Mungu juu mbinguni na amani Duniani kwa watu aliowaridhia, Ee Yesu mfalme wa Dunia tunakuabudu na kukutukuza milele na milele.
@adammj6258
@adammj6258 Год назад
@@chiekhthiam980 YESU mwenyewe alifundisha kuabudu MUNGU, wewe unasema unamuabudu Yesu,,,kuna shida hapo
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Год назад
@@adammj6258 hayakuhusu wewe utaishi milele na ninyi kujilipua na kuua watu vipi imekaaje
@ramadhanmbarak3979
@ramadhanmbarak3979 Год назад
INNALILAH WAINNA ILAIH RAJIUN
@ssaa7495
@ssaa7495 Год назад
Pyeeeeeeeeeeeeeeeee!!!
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 Год назад
Hakika huu ni msiba
@mimahmimah1595
@mimahmimah1595 Год назад
​@@zuwenaalamin8985 tena mkubwa
@frankmpembu
@frankmpembu Год назад
Pole sana
@mariamkibindo1741
@mariamkibindo1741 Год назад
Mtihani huu 😢
@GiselaLukas-fu6vx
@GiselaLukas-fu6vx Месяц назад
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu na akulinde
@maryamalrayami1513
@maryamalrayami1513 Год назад
Allah akuhidi na akurudishe njia iliyokua sahihi Ulitokewa jini wewe Na hakukuachia mpaka akakupoteza maskini
@pinieliedward5992
@pinieliedward5992 Год назад
No
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 Год назад
Je Muhammad kule mapangoni alipo banwa mbavu nakupewa utume mbona mlikubali na hamkusema aliye mtokea alikuwa ni jini na siyo MALAIKA Leo huyu mnasema ni jini?
@dvjtwentyfivedecember4398
@dvjtwentyfivedecember4398 Год назад
Huna akili wewe choko
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 Год назад
Hakuwa mwislamu huyo katumwa tu huyo
@ebenezerchurchsupremetv9490
Kwahiyo msikitini Kuna majini?
@kelvinjohnson8952
@kelvinjohnson8952 Год назад
Kila goti litapigwa mbela zake kila ulimi utakiri jina lake. Nabii akubariki kwao ata wazee wao waliwatenda ivyo manabii Mungu yu pamoja nawe kwa neema ya Yesu kristo fanya kazi uliyopewa.
@benignajosephwatendewao2065
@benignajosephwatendewao2065 6 месяцев назад
AMEPATA NEEMA SAANA.
@benignajosephwatendewao2065
@benignajosephwatendewao2065 6 месяцев назад
MUNGU AENDELEE KUMBARIKI.JAPO MAGUMU YAPO.
@mwanashagladys4581
@mwanashagladys4581 Год назад
Amen nabarikiwa sana kwakupitia ushuhuda wako ndugu😢
@AmerdaKavishe-pu3cf
@AmerdaKavishe-pu3cf 14 дней назад
Ila wengi waisilam wanakimbilia ukristo kua wachungaji kwa sababu washajua unafaida ndani yake nasadaka zetu zinaeleweka unatajirika fasta ila isije kua ivyo kwako mungu akubariki kwa kazi nzuri pia usichanganikiwe juu ya dini cha nganikiwa juu ya neno la mungu mengine mungu ataimarisha
@OG_The_King
@OG_The_King Год назад
Ni ngumu kuamini ila yakupasa kuamini mungu wetu ni mwema sana huwainua walio wake. Jina la yesu ni jina kweli na uwezi kumuona baba yake bila yeye 🙏
@benignajosephwatendewao2065
@benignajosephwatendewao2065 6 месяцев назад
UMEBARIKIWA KAKA...
@abuuazhar3738
@abuuazhar3738 Год назад
Nawaonea Huruma sana wanawake wa kikristo. Yani mnavyopenda kuwahurumia watu huyu atakula hela zenu mpka mkome.
@profs.a5412
@profs.a5412 Год назад
Yesu alisema sikuleta amani duniani Bali ncha ya upanga, kwa maana ndugu atamchukia ndugu kwaajili ya jina langu, mtu statengana na wazazi wake kwasababu ya jina langu. So jipe moyo mkuu mtumishi , utayashinda
@maimoonabakari1426
@maimoonabakari1426 Год назад
Innalillah wainnailahi rajighuun, Allah akuongoze ktk njia sahihi na sisi pia atuongoze hakuna aliekamilika ispokuwa Allah
@SalhaUchebe
@SalhaUchebe 3 месяца назад
Amiiin
@user-ng1po1dh4z
@user-ng1po1dh4z 26 дней назад
HAKUNA CHA UNABII HAPO, Kilicho mpeleka ni TAMAA TU ZA DUNIA. SADAKA, MAGARI YA KIFAHARI, MAJUMBA YA KIFAHARI. NK. Huyo sasa ndiye KAFIRI KABISAA ANAETAMKWA KTK. BIBLIA
@kabulamalima5179
@kabulamalima5179 Год назад
Hata kuapa anaapa kwa kiislam inshaalah basi Mwenyezi Mungu ndo ajuae
@annasolomon9855
@annasolomon9855 Год назад
Yesu yupo!
@agentmsami5303
@agentmsami5303 Год назад
Allah ubhanahu wataala anasema "Enyi mlioamini mcheni Allah haki ya kumcha na wala msife ispokuwa mmekuwa waislam"
@johnssaimon450
@johnssaimon450 Год назад
Muda utafika utaelewa kwamba YESU kristo ndiye BWANA kwake kila goti litapigwa na ulimi wako utakiri kuwa ndiye BWANA.
@elsonkingtz4506
@elsonkingtz4506 Год назад
😂😂😂😂😂
@Shalom2018
@Shalom2018 Год назад
Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu,umechagua njia sahihi,kwa waliyokuwa hawajakuelewa wasome surat Alimrani yote ambayo inamzungumzia nabii Issa bin Mariam (Yesu Kristo)
@zuwenaalamin8985
@zuwenaalamin8985 Год назад
Mdanganye🤣🤣🤣
@daudimichael7338
@daudimichael7338 Год назад
@@zuwenaalamin8985 Kama ni kudanganywa basi alidanganywa na aliyekuwa anamtokea ambaye ni Yesu kwa maelezo yake mwenyewe. Sasa kama Uislam unasema Yesu ni muongo basi atakuwa kadanganywa
@fatumakiwera7145
@fatumakiwera7145 Год назад
@@daudimichael7338 mmmh
@benabdoul8762
@benabdoul8762 Год назад
Ni Issa siyo huyo hakuna nabii katika karne hii
@Shalom2018
@Shalom2018 Год назад
@@daudimichael7338 Tusiandikie mate wakati wino upo,someni surat Alimrani yote kwenye Quran yenu mtaona kila kitu kuhusu huyo Yesu ambae nyie mnamuita Issa,kwa kuwasaidia tu someni surat Alimran aya 21,aya ya 9,aya ya 45 ,na surat ya Zukuruf aya ya tisa 9,hii ndio muhimu kwenu maana mmepewa maagizo mumfuate huyo Yesu Kristo mnaemkataa
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
INNALILAH WAINAILAH RAJIUN, ALLAH AKUPE MWISHO MWEMA 😢
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Год назад
Bora umemwombea.maana mnajifanyaga Mungu kuhukumu
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
@@tanzcanmediatv4473 Hatuhukumu ila hata yeye uyo anaongea Analijua hilo, kuwa hakifa kama sio mwislam motoni, uyu kasoma dini vizur, sio kama nyie wafuasi mnafata tu mkumbo, ila anajua akifa kwenye ukafir motoni upo, sio sisi maneno yetu, ni maneno ya Allah yaliyopo kwenye Quru'an, Fuatilia mahubir yake nae anakir hilo.
@charlzlomo9219
@charlzlomo9219 Год назад
Huu ni wakati wa mavuno watu wengi sana watatokewa Yesu hasa wa Imani nyigine
@Pharadge
@Pharadge Год назад
yesu wa tongereni au yule wa mackenzie kule kenya
@benabdoul8762
@benabdoul8762 Год назад
Ibilisi ananguvu aca awe anawatokeya eti wametokewa na Yesu
@davidmnyela2459
@davidmnyela2459 Год назад
Jina la Bwana ya Yesu litukuzwe maana imeandikwa katika Flp 2:10-11 ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba.
@ramadhaniomary7083
@ramadhaniomary7083 Год назад
Innalilah wainailaih rajiun
@YussufPandu-es7ou
@YussufPandu-es7ou 24 дня назад
Usubiri Moto wa alla Kwa unafiki wako ,hukuwa muislamu tokea mwanzo ulikuwa mkiristo,. ,,kwasababu. Yesu hakuja kufundisha ukiristo,n
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Год назад
Hongera sana kwa YESU raha sana
@user-ng1po1dh4z
@user-ng1po1dh4z 26 дней назад
Hilo jamaa ni njaa tu na tamaa za Dunia. Na kilicho mtokea ni majini yaliyo Muasi Mwenyezi Mungu. (Wewe kula Bata zako hizo.. Na tusubiri tu mbeleni yajayo) Laanakum,
@husseinhassani8580
@husseinhassani8580 Год назад
Ndugu yangu nakushauri rudi katika dini yako usipotee achana na mambo mengine
@fatumamisinga6211
@fatumamisinga6211 Год назад
Mtihani
@hajinkulunge8493
@hajinkulunge8493 Год назад
Innailah wainnailahi rajiuun Mbona umekimbilia kufungua kanisa lako
@hajinkulunge8493
@hajinkulunge8493 Год назад
Kwanini usiende makanisa ya wengine na kua muumini wa kawaida
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 Месяц назад
Ameongozwa na Mungu
@zanlec7357
@zanlec7357 Год назад
Innalillahi wainna ilayhi raajioun. Allah akuongoze usije ukafa kwenye UKAFIRI, aaamin
@user-fm6ev2or7b
@user-fm6ev2or7b 29 дней назад
Mjinga mmoja wewe..kafiri mwenyewe..unaongozwa na chuki za kidini tu na huna mungu ndani yako ndiomaana umekumbatia dini kuliko mungu unakaa kuwaita watu makafiri.. we unajua maana ya kafiri ?? Mbona nyie watu huwa mnachuki za kijinga sana kwenye imani za watu au mnazani mbingu ni yenu? Acha ujinga rafiki angu mshike sana mungu wako acha kukumbatia dini...dini haitakusaidia chochote sasa we komaa kuwaita watu makafiri na kuchukia imani zao
@andrewmhagama9816
@andrewmhagama9816 Год назад
Umepokea fungu lililojema kwa Yesu kila goti litapigwa na Mungu akubariki.
@bonifacewanyonyi3555
@bonifacewanyonyi3555 Год назад
Amen pro
@uwimana6533
@uwimana6533 Год назад
Njaa wabongo itawapeleka pabaya , kitu unasahau kuna dunia nakuna Akhera , 😭😭😒
@mathewnemes5469
@mathewnemes5469 Год назад
Msimlazimishe mtu kuamini unachokiamini ww, huyo ni mtu mzima anayo maamuzi binafsi pia hizi dini tumezikuta ni njia tu ya kumtumikia Mungu isikufanye kinywa chako kuachia maneno ya vitisho au kulazimisha mtu aamini imani yako, baki kwenye kile unachokiamini ww.
@omariaman7818
@omariaman7818 Год назад
​@@mathewnemes5469mbna sasa akiusifiaga uislam mnamponda? Huyo tumbo limempeleka ila hakki anaijua
@agripahvaisa2138
@agripahvaisa2138 Год назад
Subhanallah...Allah atujaalie mwishomwema
@miishhassn
@miishhassn Год назад
We hujaielewa dini yani inaonekeana kabisa umesoma kote huku umepita bado hujaona haki ilipo imani yako ilikuwa ndogo ndio maana ukaamua kumfuata haiwezekan kabisa allah akurudishe inshaallah
@Farhan-cp1vx
@Farhan-cp1vx Год назад
Dunia imeisha pole sana ndugu rudi kwenye dini ya haki
@cmsa1r
@cmsa1r Год назад
😂
@swahilitherapytv3846
@swahilitherapytv3846 Год назад
AMECHEZEWA NA SHEITWANI NA AMESHINDWA MITIHANI YA ALLAH, AKAAMUA KUKUFURU KWA HAKIKA AMEKULA HASARA KUUWACHA UISLAM NA KWENDA KWENYE UKAFIRI, NI BORA UNGEKUBALI KUFA KWENYE UISLAM WAKO UNGESALIMIKA, ALLAH AKUREJESHE KWENYE UISLAM.
@YusoufMjr
@YusoufMjr Год назад
maokoto mchezo😂
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Год назад
Acha uongo Mungu akuongoze mapasta wengi Huwa wanajuwa saana mambo ya dini ya uislam ila ubishi tu M.mungu akuongoze
@madetetv6576
@madetetv6576 Год назад
Zamani tulikuw hatujui ila now tumejua na tunasema uislamu no tupo na Yesu mpk milele
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Год назад
​@@madetetv6576 kwendra zako ukristu no And me
@madetetv6576
@madetetv6576 Год назад
@@khadidjasuleiman8006 haya endelea kuabudu Hilo jiwe la mecca.
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Год назад
@@madetetv6576 Alhamduli llahi kibla changu 😘❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️ 💖💖💖💕💕😊👌
@madetetv6576
@madetetv6576 Год назад
@@khadidjasuleiman8006 du kafiri Mkubwa ww unaabudu jiwe na unashukuru kweli uislamu ni ukafiri
@Mahruqiya
@Mahruqiya Год назад
Inna Lillahi wa Inna Ilaihi Rajioun
@dvjtwentyfivedecember4398
@dvjtwentyfivedecember4398 Год назад
Hii ndio Dini ya kweli
@Queensagarika887
@Queensagarika887 Год назад
Binti Ahmed this is business mwisho wa dunia 😒
@abdallahkambangwa7215
@abdallahkambangwa7215 Год назад
innalillah wainna ilaihi rajiuni. hakuna muislam aliesoma dini alafu baadae akajakukufuru. Allah akuongoze kwenye njia sahihi.
@GloriousRestorationTV
@GloriousRestorationTV Год назад
Tena wajinga ndio hawawezi ila wasomi wengi humfuata Yesu...
@mudighurayra
@mudighurayra Год назад
Hajasoma dini anajua tu baadhi ya mambo kwenye dini kwasababu kuna siku ashasema sie tuna abudu Mungu na Muhammad nikasema hajasoma dini huyu hmna muislam ata mmoja aliesoma dini aseme tuna abudu Mungu na Muhammad
@barakashaban9698
@barakashaban9698 Год назад
​@@inesstibenda2832 hakuna muislam aliesoma dini akailewa anaweza kuingia kwenye ukristo dini isiyo weza kujielezea uyo ni msakatonge na hajawahi kuwa muislam katumia uongo ili awapate kondoo wengi
@barakashaban9698
@barakashaban9698 Год назад
​@@GloriousRestorationTV kwenye uislamu hakuna wajinga ila kwenye ukristo ndio wamejaa
@martinchansamwinyi2508
@martinchansamwinyi2508 Год назад
He was not a Christian. Let him not lie there, there's no Nabi after Muhammad s.a.w.... He's just after 💰...
@khadijadiswera6979
@khadijadiswera6979 17 дней назад
Asante sana
@mfaumeh.rissasi226
@mfaumeh.rissasi226 Год назад
jamaa ni good story teller asee.... ukizubaa unaeza muamini 100%. Kumbe mpigaji tu, huko najua umefata fedha tu ndugu... Omba Allah usije fariki hujarudi kwenye njia ilionyooka. tunakuombea. ni Sheytwan amekuzidi nguvu tu.
@francisjoseph1074
@francisjoseph1074 Год назад
Anae sema Mungu ni mmoja anakosea sanA MUngu wa wakristo ni tofauti na Nungu wa waislam, Wakristo tunamwabudu Jehovah ila waislam hajui wanaabudu kitu gani hawana tofauti na washinto na Mabudha
@asa121aminahta.nakshfrombu5
innalilah wainnailah rajiunn mungu atakuhukumu kwakuongeya uyo unafki wamunafikuna
@adidjandayisenga8320
@adidjandayisenga8320 11 месяцев назад
Innalillah waina illah rajiun, Allah akuongoze kwenye njia sahihi ila wakina zumarida niwengi wanaweza kutokewa ivo
@alinaalina5044
@alinaalina5044 Год назад
Pole sana mchungaji
@khadijadiswera6979
@khadijadiswera6979 17 дней назад
Mungu akuzishiye
@AmerdaKavishe-pu3cf
@AmerdaKavishe-pu3cf 14 дней назад
Mimi nishawai uliza wisilam na ukristu ipi dini ya kweli sikujibiwa na mungu ila kuna ishara nilizo onyeshwa ndiopo nikajua kua mungu nimkuu sana ushara navitendo ndivyo vya mungu
@navioma4882
@navioma4882 Год назад
😢😢😢😢😢 upo kikazi zaid sio imani
@Ommyjames313
@Ommyjames313 Год назад
Yarab tujaalie mwisho mwema huu ni mtihani
@khamisrubea5083
@khamisrubea5083 Год назад
Ana makosa mengi (1) qur an hairuhusiwi kusomwa bafuni (2) hatuamini kama nabii issa kafa (yesu) (3) uislam hauruhusu mtu kujiua (4) aya alizozisoma zina makosa mengi .wakristo kuweni makini na huyu mtu
@fridakakiko1217
@fridakakiko1217 5 месяцев назад
mungu akuongoze sana utusaidie nikija Dar nutakutafuta 9
@emmanuelyeliamajele-yk8hb
@emmanuelyeliamajele-yk8hb Год назад
Barikiwa🙏🙏
@sa3dasa3da87
@sa3dasa3da87 Год назад
Wakina Zumaridi Wakutokewa na mwanga na kuongea nao Tutaona mengi kabla ya Dunia kufika mwisho
@al-hidayahonlinetv3447
@al-hidayahonlinetv3447 Год назад
kwakweli
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 Месяц назад
Nakuombea Mungu ukutane na Yesu maana yupo popote ili usiende jehanam
@lailahumaid2011
@lailahumaid2011 Год назад
Innalillah wainna ilayhi rajiun
@ruhaymanllymuhammed2094
@ruhaymanllymuhammed2094 Год назад
Mungu atuongoe na atulinde na sisi tusijepotea kama ww
@ebenezerchurchsupremetv9490
Unajihesabia haki ambayo hauna kabisa
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 Год назад
Innalilah wainnailahi Rajiun Allah akugeuze katika njia potovu
@gideonemmanyi9593
@gideonemmanyi9593 Год назад
😁😁😁 kwa iyo njia sa hii ni ipi?
@khamismohammed7500
@khamismohammed7500 Месяц назад
Allah akuongoze akurudishe kabla ya kuchukua roho yako ni hasara kubwa utakuwa umepata daaa
@dismasmushi9328
@dismasmushi9328 Год назад
Kama Mungu n mmoja iz tofaut zanin iman yako itakupeleka mbingunii nasio tofauti za diniii....
@abeidkhamis6130
@abeidkhamis6130 Год назад
Tofauti ni ushawishi wa shetani na dini ni kama chombo Cha safari na Matendo ya Imani ndio tiketi yako ya kumbandia Cha safari.
@aishaabdullah837
@aishaabdullah837 Год назад
Duuu pole sana kaka uwo mtihani umtafute jibu la kumjibu Alha kesho kiama
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 Год назад
Mtu kama ww haifai kumsikilize yani unasema Allah ndio kakupotosha au umejipotosha tu njaa wee inakusumbuwe ole wako kukusikiliza hana kazi
@rafiaahmad168
@rafiaahmad168 Год назад
Njaaa mbaya wallah, mwenyezi Mungu ndiye mjuzi zaidi, tusiwahukumu sana Hawa makafiri hatuwez juwa njaaa labda imewafika had vichwani mwao lazaid tumuombe sana Allan atuepushe tusiwe miongoni mwao na promo zao za uwongo kuwa walikuwa Waislam Allah awasameh kwa kuongea unafki🙏🙏🙏
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 Год назад
Yaani nyinyi bana mtu akitoka Ukiristo kuingia Uislam mnapiga makofi ila mkiona mtu katoka Uislam kuingia Ukristo mnaona nongwa 🙄🙄🙄🤣🤣
@nesymichael4286
@nesymichael4286 Год назад
Mnamwona kafili basi sawa yesu ndo njia pekee ya kwenda mbinguni
@rafiaahmad168
@rafiaahmad168 Год назад
@@georgekimasaofficial1629 Anko elewa Swala kutoka uislam kwenda kweny ukristo ni chaguo lake coz hatujui ni Nini kimempeleka ila tunacho kizungumzia anaongea uwongo Hadith za kutunga na hiii ni wachungaji wenu wengi wanawavuta kwa polojo hiii kuwa oooh nilikuwa imamu sijui nilikuwa sheikh mkubwa okay Tanzania nnchi huru kilamtu Ako na haki ya kuongea atakacho ila kuto kuvuka mipaka ya Sheria ila sijui ni dini Gani Ili kuwavuta watumishi kweny kanisa lake lazima aseme uwongo kama alikuwa muislam inna lillah wainnailai rajoon , okay Hata wew George unahaki ya kufungua kanisa lako na kusema ulizaliwa kweny familia ya masharifu nasisi tukiona unaongea Upuuzi lazima tukwambie hakuna mkamilifu ila uwongo uwe na mipaka broooo
@rafiaahmad168
@rafiaahmad168 Год назад
​@@nesymichael4286ilo ni wazo lako
@ebenezerchurchsupremetv9490
Wewe una njaa mbona haujaenda?
@alikomwandoto1258
@alikomwandoto1258 Год назад
Amina 🙏🙏 mtumishi
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 Год назад
M'mungu ajaalie ufe ktk dini uloichagua inshaAllah hakuna imamu wakati ana ilmu na anajua kila kitu eti aritad ni muongona mnafiki wa kupitiliza.
@mabrozacpmstancesa1207
@mabrozacpmstancesa1207 Год назад
Kunawatu wameandikiwa motoni tu jamañ kijana ea kiislam kama huyu kuwa kafiri dah hakika upo kwenye hasara
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 Год назад
Duh aisee Waislam nyinyi dah Elimu ya DINi yenu kumbe hamna kabisa hivi hujui kuwa Kuna Imamu ambaye alikuwa swahaba wa Muhammad na alikuwa mmoja wa waindishi wa Aya za QURAN alilitadi na kuacha Uislam kabisa na mwingine akarudi kwenye Ukiristo? Kaulize Waalimu wako watakwambia ukishindwa njoo nikupe ushahidi Ili upate Elimu bure japo Waislam mnaniangusha Kwa kutoijuwa DINi yenu vyema.
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 Год назад
hivi kumbe huyu mchungaji alikuwaga mwislamu...aisee Yesu kweli Anaokoa
@christinaisanguisangu2974
@christinaisanguisangu2974 Год назад
Ni kweli wa kwake anawajua
@kakoziSimbi
@kakoziSimbi 11 месяцев назад
Ukristo raha mtumushi nakuombeya kwa jina la yesu wa nazareth upo katika njia ya kweli maana Ni Mungu aliyekuita sasa
@omarykitenge8283
@omarykitenge8283 Год назад
Uso wake unaonesha yaliyomtokea ni kweli wala sio story za kubuni kama ilivyo kwa wengine ! Mtazamo wangu: 1. Something strange is going on kwenye maisha ya huyu mwamba, na hayatoishia hapo. Yatamtokea tena na tena na yanaweza kua tofauti na hayo au ya ajabu zaidi kushinda hayo. 2. Probably hayo yaliyomtokea hakuna wa kuweza kuyang'amua kwa sasa si yeye mwenyew wala mashekhe, inaonekana yaliyomtokea yamevuka uelewa wa kawaida wa mwanadamu wa sasa ! 3. After sometime haya mambo yatatoa tafsiri kubwa sana na msishangae hali ya ajabu ikajitokeza ! MaSwali Ya Msingi: 1. Siku yakimtokea kinyume na hayo je, Nani atamuamini tena ???? Waislam au Wasio waislam .... 2. Alama ya Sijda kwenye paji la uso wake inatokana na nini ?? Kama uelewa wako ni mdogo usiguse komenti yangu
@abdul-azeezmagram4973
@abdul-azeezmagram4973 11 месяцев назад
Wewe mwenyewe huelewi kitu umeskiza stori tu ambayo mtu yoyote anaweza kuitengeneza km director wa movie😂😂😂
@AmerdaKavishe-pu3cf
@AmerdaKavishe-pu3cf 5 дней назад
Kwaza kaka kwa nn ujitete kwa wanada mambo yakiroho yaonekani kwa macha wala kwakushika na mkono mambo ya mungu ayachunguziki asie kwamini amfate mungu amuulize usitake kujibu jibu uwe mwisila au mkiristo wote niwa mungu fanya unacho fanya kwa neema ya mungu
@AmerdaKavishe-pu3cf
@AmerdaKavishe-pu3cf 5 дней назад
Nilicho gundua mimi kwa mungu mungu akitaka kukutumia uwa angalii dini ujue ukitaka kujua alie tumwa na mungu uwa niwa mungu sio wamakanisa wala msikiti inamaana niulimwengu mzima nani anatambua ilo anae tambua ni wewe na mungu fata maelekezo kama nimtume midia wandishi wasikucheleweshe umetumwa kazi ujatumwa kuojiwa chamungu kijifichi kaka
@lilianluhasi311
@lilianluhasi311 Месяц назад
Hongera na Mungu azidi kukuongoza katika Kristo Yesu
@salummasoud5778
@salummasoud5778 Год назад
Innalilah Wainnailah Rajiun. Zumaridi wa Kiume.
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 Год назад
Kwakweli 😅
@khadijahali4837
@khadijahali4837 Год назад
😂😂😂
@pungopungo411
@pungopungo411 Год назад
Hongera shahidi wa yesu kristo usisikilize miluzi ya hao wanaosema lijabu ni uislam wanakuonea wivu
@user-nt4qc4zg7y
@user-nt4qc4zg7y 7 месяцев назад
Hakuna dini ya haki mbele ya M/Mungu ila uwislam muogope M/Mung
@miishhassn
@miishhassn Год назад
Duh Yan umeacha haki na kufuata baatwil alaah akurudishe katika haki Inshaallah 😥😥maan ni msiba mkubwa huu omba Mungu sana akionyesha haki
@MohamefMullah
@MohamefMullah Месяц назад
Wallahi huo wako ni mtihani ila iko siku utajua kwamba umepotea na Allah ni muweza wa kukuongoza na ukawa mtu mwema kwa sasa njaa tu ndio inakusumbua
@user-nt4qc4zg7y
@user-nt4qc4zg7y 7 месяцев назад
Hasbunallah waneenghema liwakii
@zuberikwambiana3574
@zuberikwambiana3574 Год назад
We jamaaa umeingia katika mtihani sana,pambana na umuombe MUNGU akuondoe huko.
@aishahazary4097
@aishahazary4097 Год назад
Alhamdulillah kwa ALLAH kukutoa kwenye dini ya haki na kukupeleka kwenye ukafir.Ungebaki kwenye uislam moto ungekosa watu.Endelea kuwa kondoo ili maneno ya shetan yatimie uwe mjumbe wake.Yaan ukiwa mchafu lazma utokewe na wachafu wenzio ili uislam ubaki kuwa msafi.Kwa kipi hasa mpaka yesu akutokee!!???
@gh7naa
@gh7naa Год назад
😂😂😂 hata zumaridi kasema katokewa na mungu huyu na yesu kuna yesu togareni kasema yy yesu karudi yule nabee jodevi anajita na bee nae kapewa funguo na yesu sijui alafungue nn kuna yule wanyoyi anajita nae mungu dah hawa wakristo wana matatizo hawaogopi mmungu wanaongopaaa wakitaka pesa wanasingizia yesu na wajinga wanaamini yule wa kenya kaua watu kibao kuna wengine wanachapwa eti ni dini kuna wengine wanaogesha wanawake kanisani uchii eti wanawasafisha nyota jamani waogope mmungu iko siku wataulizwa kwa uongo wanafata wazungu wazungu hawana dini na hawana mana bee ni wezi tu juzi papa kasema anaifuta biblia hiyo biblia sio injili wazungu wameifuta na kuongeza yao huoni waislam wanafanya ujinga huo
@alzawahirabdallah2299
@alzawahirabdallah2299 Год назад
Na tunawakumbusha tu kenya wamefunga makafiri mpaka wakafa ili wakamuone yesu
@mgalatia
@mgalatia Год назад
Matendo 26:16-18 16 Simama! Nimekuchagua wewe kuwa mtumishi wangu. Utawaambia watu habari zangu, ulichoona leo na yale nitakayokuonesha. Hii ndiyo sababu nimekuja kwako. 17 Nitakulinda dhidi ya watu wako na dhidi ya watu wasio Wayahudi, ninaokutuma kwao. 18 Utawafanya waielewe kweli. Watatoka gizani na kuja kwenye mwanga. Watageuka kutoka kwenye mamlaka ya Shetani na kumgeukia Mungu. Ndipo dhambi zao zitasamehewa, na wataweza kupewa nafasi miongoni mwa watu wa Mungu, walifanywa watakatifu kwa kuniamini.’”
@kyakagoro6584
@kyakagoro6584 Год назад
Anasema anajua uislamu je Uislamu Unaruhusu mtu kujiua Huo ni Uongo
@silassaitoti7689
@silassaitoti7689 Месяц назад
Mungu akikuhitaji hata ukiwa mfu utafufuka
@user-ux8li4ey9v
@user-ux8li4ey9v 10 дней назад
yesu ndiyo baba lao
@macrinajoseph1422
@macrinajoseph1422 Год назад
Hongera.sana.kelele za watu zisikuyumbishe.ktk.imani .simama ktk neno. Bwana yesu.akutunze akuwezeshe.kutimiza kusudi alilokuitia usisahau kuwashuhudia wa nyumbani mwako mathayo. 24:14
@zuberikwambiana3574
@zuberikwambiana3574 Год назад
Mitihani inakuja kwa namna nyingi sana ,ummati tuwe macho sana watu wanapotea kwa namna hii pia.
@user-rt5vq5vc3k
@user-rt5vq5vc3k 5 месяцев назад
Subuhanallha kweli njaa mbaya hadi unaacha din ya haki unaenda kwa ukafir mtihan tumuombe Allha mwisho mwema
@musakucheje3477
@musakucheje3477 Год назад
Kwaiyo unaposema ulianza kusoma Kwanza kwaiyo uyo aliokutokea alishindwa kukufungulia neno lamungu adi ukaenda kusoma muogope mungu aya maisha ya dunian nimafupi Sana lakini maisha ya akhraall utaishi milele na milele muogope mungu ndugu
@daylight1707
@daylight1707 Год назад
Duh acheni ku jaji vitu bana kusoma n lazima hata mimi nkisema naingia uisilamu na n mkiristo si lazima nisome nifundiswe kuruani vyenye ya somwa
@skjjsj1889
@skjjsj1889 Год назад
Ngoja ufe Utajuta kwa nn ulienda huko kwenye ukafir Unasoma aya za allah Husomi kwa hukumu maneno ya allah Soma hayo yalivyo kwenye ukafiri M
@africaadmirertravel
@africaadmirertravel Год назад
Katokewa na Yesu ambaye ndiye dalili ya kiama wewe hauna Cha kufanya kubali tu matokeo hata kama inauma
@pinieliedward5992
@pinieliedward5992 Год назад
Huyo Yesu ndio Bwana wa Mabwana Mungu wa miungu hata nyie mnaopinga sikuakitaka kukuokoa na jehanam atakuokoa.
@hamisimkoma7380
@hamisimkoma7380 Год назад
😂😂😂😂 wajinga ndio wali wao
@pinieliedward5992
@pinieliedward5992 Год назад
@@hamisimkoma7380 huyu Bwana so mwendawazimu mpaka kuacha uislamu na kuwa mkristo naalikuwa anapenda Uisilam
@pinieliedward5992
@pinieliedward5992 Год назад
Haya na huyo Jamaa aliyekuwa Bilonea aliemchinja Yuko yotobe aliemchinja dadake alitokewa Bwana Yesu Msikitini,siku 7,Naalikuwa mtoto wa shehe,Nayuko timamu ,Je na huyo Shetani au jini alimtokea,asante BwanaYesu kuwageuza waisilam kuwa wachungaji,na ndio maombi yetu hayo,
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 Год назад
Mm kama mm sitaki kuokolewa na na yesu wako. Kitakachoniokoa ni matendo yangu no more. Kiama kikitokea sitegemei chochote kile zaidi ya Amal yangu na Qadari za ALLAH basi.
@sadyrajabu9318
@sadyrajabu9318 Год назад
Hamnaga ushaidi zaidi yakutokewa na mwanga na yesu hahahaha mtaibiwa sana wakiristu
@mbarakalwahebi4094
@mbarakalwahebi4094 10 месяцев назад
Bismilahi Rahmani Rahim namshukuru mungu mpaka sasa alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwengine zaidi yake Amin Amin Amin yaaraab Amin alhaamdulilaah uislaam ni dini isiokua na Shaka juuu yake alhaamdulilaah wakristo ni msibaa mkubwa inaaa lilaaahi wainaa ilaaahi raajuuhn poleni sana wakristo waaanaafki njaaa ni kitu kibaya Sana subhaanaalhaah hapa ni duniani Tu wakristo ni biashaaraa na mitume wanasubiri Sana misaada maana ukiwa muislam au maalim wanashukuru Tu mungu wanachopata wanashukuru utamkuta ata piki piki Hana maskini lakini dini IPO moyoni huyooo kafata maslahi
@talhiyaibrahim1074
@talhiyaibrahim1074 Год назад
Muogo huyu Kaka sana miogepe allah
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 Год назад
Muongo saana
@abbyadams8691
@abbyadams8691 Год назад
Kanunuliwa na Wakristo ili achafue dini yetu ya haki.😄😄😄😄😄
@nancychuwa4870
@nancychuwa4870 Год назад
​@@abbyadams8691 kama mlivyo mnunua Mwaipopo! Akitoka kwenye ukristo utasikia karibu kwenye dini ya haki, akitoka kwenye uislamu amenunuliwa! Na Bado wataondoka wengi tu, awe amenunuliwa au hajanunuliwa ndio ameshaondoka hivyo sasa
@iddyramson2991
@iddyramson2991 Год назад
muongo mkubwa huyu
@faithmapondo7370
@faithmapondo7370 Год назад
Kumbe ndio tabia yenu ya kutuongopea na kununuliwa Mnaumia wenyewe
@user-qm7rn2ov7r
@user-qm7rn2ov7r Месяц назад
Njaa mbaya sana
@aishasaid2691
@aishasaid2691 Год назад
Ina lillah waina illah rajiun 😢😢😢
@barakayesaya5000
@barakayesaya5000 Месяц назад
Udini unawasumbua sana watu. Kila mtu anaandika Innalillah, kwani wewe unampangia Mungu nani awe nani au ni mshauri wake. Hukumu inatolewa na Mwenyezi Mungu na Kila mmoja atasomewa, shika Imani yako na mwengine ashike yake. Mungu ana maajabu mengi na Kwa udhaifu wako kama mwanaadamu huna mamlaka ya kujaji Wala kusema chochote Kwa anayetoa shuhuda. Yani Kwakifupi usitake vitu viwe unavyotaka wewe.
@mansooralaisri5200
@mansooralaisri5200 Год назад
Cha AJABU hili jambo la kusema Yesu kani tokea, ni Uongo dhahiri. Yesu alikuwa .muislamu.
@madetetv6576
@madetetv6576 Год назад
Leta ushahidi?
@zuberimohamedi5761
@zuberimohamedi5761 Год назад
Ndugu yng usishangae huyu ni shoga yake Zumaridi
@madetetv6576
@madetetv6576 Год назад
@@zuberimohamedi5761 ww ndio shoga manake kitabu chenu kinaruhusu ushogha
@zuberimohamedi5761
@zuberimohamedi5761 Год назад
@@madetetv6576 saw
@mansooralaisri5200
@mansooralaisri5200 Год назад
@@madetetv6576 Makanisa yenu yana wa nyowa mavuzi wake za watu Mbele ya waumin. Hakuna Dini katika huo mnaosema Ni Ukristo. SHAKAHOLA NAYO IMELETA MSIBA MKUBWA. MWISLAM HUWEZI KUMDANGANYA HATA KIDOGO.
@radhidimasambiro4620
@radhidimasambiro4620 Год назад
Ña hao waandishi wa mchongo hawaulizi maswali tunayotarajia huyo jamaa anatokea wapi mtaa gani mkoa gani msikiti gani madrasa gani familia gani
@hajihamisi
@hajihamisi Год назад
Innalillahi wainna ilahi rajiuun huyu mwamba kachagua njia mbaya na mbovu kwake na ukweli anaujua ndiyo maana mara nyingi akiwa kanisa anaongelea sana Uislamu kwa sababu anajua ukweli uko wapi
@aminavunde6307
@aminavunde6307 Год назад
Atokewe yeye ni nani,jamaniiii
@jacklineswanimakindo1320
@jacklineswanimakindo1320 Год назад
Amen
@user-rx5jx5wt3t
@user-rx5jx5wt3t Год назад
Pole sana huo ni mtihan mkubwa
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Год назад
Njaa na imani ni vitu viwili tofauti
@guenterernst5481
@guenterernst5481 Год назад
Sasa wazazi na jamaa zake na Bibi pia wamukuwa mamurtad inna lillahi wainna inna lillahi rajiun
@salamanauthar5261
@salamanauthar5261 Год назад
Subhannallah!!!! Huyu Mchungaji Muongo sana
@ismailally4779
@ismailally4779 Год назад
Yani nimnafiki sn huyu
@valenakomba7686
@valenakomba7686 Месяц назад
BWANA YESU ATUKUZWE SANAA.
@msafirimaulidi5054
@msafirimaulidi5054 29 дней назад
Nais hii ni scrept ili awaaminishe familia na jamii ,uwe mkristo uwe Muslim MUNGU ni mmoja
Далее
Ushuhuda wa aliyekua muislamu.
28:57
Просмотров 240 тыс.
Новый бравл толк за 1 минуту 🤯
00:58
Thank you 3M❤️#thankyou #shorts
00:14
Просмотров 2,5 млн
KAMA UMECHOKA KUDANGANYWA SIKILIZA HAPA
44:00
Просмотров 21 тыс.
BIBLIA INAMAKOSA KIBAO
29:11
Просмотров 12 тыс.
Новый бравл толк за 1 минуту 🤯
00:58