Тёмный
No video :(

22 Maovu ya Mapinduzi 

MzeeBarwani
Подписаться 4,7 тыс.
Просмотров 47 тыс.
50% 1

Aman Thani anamuelezea Ibrahim Noor maovu ya mapinduzi. Kushrehekea mapinduzi ni aibu kubwa. Faida gani ya mapinduzi yamepatikana baada ya miaka yote hii?

Опубликовано:

 

26 авг 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 139   
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj 6 месяцев назад
Mm ni mtanganyika lkn sifurahii mateso waliopitia wazanzibari.
@user-et9vf2ro2k
@user-et9vf2ro2k 6 месяцев назад
Wewe sio mtanganyika t wewe ni binaadamu mwenye kuujua utu
@hakimtzu9157
@hakimtzu9157 7 лет назад
Dah meng yamefichwa nyuma ya mapinduz,mungu atawalipa wote na uonevu wao na chuki, Hongera mzee wetu kwa kuongelea ukweli
@nduryamwadzaya3972
@nduryamwadzaya3972 4 года назад
Mzee ovyo
@nassorali5511
@nassorali5511 2 года назад
@@nduryamwadzaya3972 mh
@nduryamwadzaya3972
@nduryamwadzaya3972 4 года назад
Ni sawa. Wakati mukishika waAfrika kutoka Congo kuwatembeza maelfu ya kilomita na kumuuza kama mnyama. Sawa kabisa.
@yasiralkindi5332
@yasiralkindi5332 4 года назад
Mapicha ya kuedit yameshakuathiri tyr pamoja na histry za uongo إنالله وانا اليه راجعون
@nduryamwadzaya3972
@nduryamwadzaya3972 4 года назад
@@yasiralkindi5332 tutapigana na hamtachkuwa ardhi yoyote tena. MWEUSI SASA FOREVER. Hata kama sisi waislamu pia. Sisi sio weupe.
@misscoast3174
@misscoast3174 3 года назад
@@nduryamwadzaya3972 kwani huyo anaeelezea hapo ni mweupe??? Mbona me siwaelewi nyie wengine??
@user-vi3xx5ew5i
@user-vi3xx5ew5i Год назад
Yamewakuta ss roho zinauma tangu lini muarabu akawa mtu. ?
@FeisalDoctor-tn9vd
@FeisalDoctor-tn9vd 6 месяцев назад
​@@nduryamwadzaya3972We ni kafiri uislam haun rangi
@charlesbibombe2301
@charlesbibombe2301 2 месяца назад
Duuh, tumedanganywa Sana kuhusu mapinduzi ya Zanzibar. Nipo bara natetemeka mzee anavosimulia haya
@LovelyBubbleTea-vz4ol
@LovelyBubbleTea-vz4ol Месяц назад
Makame fidia ana hostoria mbaya sana
@khamissalum9285
@khamissalum9285 4 года назад
Eti waarabu niwakoloni wakoloni nitanganyika wanatutawala
@officialwawa4370
@officialwawa4370 4 года назад
Jamaa umedanganyika daahhh Sasa Unataka kusema etii unalani mapinduzi
@yasiralkindi5332
@yasiralkindi5332 4 года назад
@@officialwawa4370 ww co mzanzibar so kaa kimya mama cwa
@hajihassan5433
@hajihassan5433 3 года назад
@@yasiralkindi5332 Mzanzibar ni nani?
@Qadar-vx4gj
@Qadar-vx4gj 4 года назад
Allah Akupe Qawl Thabit
@madinayussufhamadi2678
@madinayussufhamadi2678 6 лет назад
Wallah umesema kweli allah atakulipa kwa ukweli ulio sema
@aiyamirubba6528
@aiyamirubba6528 3 года назад
Yote yatalipwa
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 5 месяцев назад
Wazanzibari waliuliwa kinyama ilfu ishirini walikufa wakawazika pamoja katika mashimo makuubwa wtoto wadogo NA wazee NA wanawake NA wanaume wakawapanga fuleni NA wote walipigwa raisi bila huruma wakawazika pamoja katika mashimo wakati serekali ya hapo awali ilichaguliwa ki halali
@ussikhamisussi4882
@ussikhamisussi4882 6 лет назад
Mambo haya yanaumiza sana nafsi, wengi wetu tunazugwa na viongozi.
@biramsakh9212
@biramsakh9212 5 лет назад
Wanasherehekea mauaji ya kuuliwa waislam zanzibar damu yawaislm ndio ayo mapinduzi daima.
@nduryamwadzaya3972
@nduryamwadzaya3972 4 года назад
Endelea kuota. Mukiuwa waafrika ni Sawa lakini waAfrika wakilipiza walia na dini! Hahahah
@nassorali5511
@nassorali5511 2 года назад
@@nduryamwadzaya3972 mh
@hashirsalim9570
@hashirsalim9570 3 года назад
Wanaosherehekea kazi kwenu.
@zahorsalum663
@zahorsalum663 2 года назад
Mapinduzi yamekuja kutuua njaa wazanzibar nakutawaliwa.namafisadi tuu.
@misscoast3174
@misscoast3174 3 года назад
Ama kweli fitna, chuki na uongo una nguvu sana.. lkn naamini haidumu ipo siku itajitenga na ukweli utajulikana nani ni nani na kwanini walifanya waloyafanya... ni swala la muda tu! Allah awasamehe walotangulia na awahukumie kwa dhulma walotendewa
@imraniqbal00765
@imraniqbal00765 5 лет назад
Wameshafika mbele ya haki wapo kwa Allah Huko hakuna mapinduzi huko Ni haki tu ,na sifikiriii ktk wapinduzi kama yupo alokufa kifo cha kibinaadamu wengi wao walidhalilika kabla ya kufa kwao Mandela alikua akikaa kidongo Chekundu siku ya mauti yake alfungiwa chumba jinsi alivyokua Akipaparika na mwisho alikutwa Chini ya mvungu wa kitanda Ulimi Pima
@wakilihaji4809
@wakilihaji4809 5 лет назад
KHAMIS khamis
@allyderossi9742
@allyderossi9742 5 лет назад
KHAMIS khamis;:Ndo nani huyo MANDELA tena???? naona mapya hayo nayackia
@misscoast3174
@misscoast3174 3 года назад
@@allyderossi9742 mandera alikua kwenye hiyo jela ya mateso akitesa watu na kuuwa... angalia video zote kwenye channel hii ametajwa sana
@LovelyBubbleTea-vz4ol
@LovelyBubbleTea-vz4ol 3 месяца назад
Kumkubali sio kumkubari
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n52
@ablamaryamsalehvg5eazhst3n52 3 года назад
Hamna faida yoyote ya mapinduzi labda kuendelea dhulma na kuwadhalilisha raiya' na mauwaji yanaendelea km kawaida 'inshalla Allah atawahukumu madhalimu 'tunajua hakuna mwanzo usio na mwisho
@canoksancomprehensivelearn7182
Na atakayeuliwa au kuteswa kwa ajili ya Allah ujira wake ataupata wala hataonewa. Msihuzunike yupo nanyi na mola atawalipa uovu Wote waliohusika na mapinduzi hayo watapinduliwa pinduliwa motoni huko. Nayachukia maana nayajua maovu na uovu wa waliohusika.
@salimabdallah5176
@salimabdallah5176 10 месяцев назад
DHIKRI FIKRI SHUKRI SUBRI
@kingosman9311
@kingosman9311 7 лет назад
Nimekuelewa mzee.
@hashirsalim9570
@hashirsalim9570 3 года назад
Ayo yote inshallah yataonekana na yatalipwa,
@LovelyBubbleTea-vz4ol
@LovelyBubbleTea-vz4ol 3 месяца назад
Huy sio kibaraka alikua kiongozi
@ludacrissrangiyabank3737
@ludacrissrangiyabank3737 5 лет назад
Fidia namjua story zake tumepewa na wazee
@davidisaya3625
@davidisaya3625 4 года назад
IPO SKU atayajibu haya mbere ya mungu kua hidini iriwakwaza nn
@user-yy6vy4xu2s
@user-yy6vy4xu2s 5 месяцев назад
Diria aliishia wapi na vpi?
@LovelyBubbleTea-vz4ol
@LovelyBubbleTea-vz4ol 3 месяца назад
Wewe mbara sio wakoroni atakiswahilli chako kinaonesha
@LovelyBubbleTea-vz4ol
@LovelyBubbleTea-vz4ol 3 месяца назад
Wewe mbara ?
@ruaiyatruaiyat691
@ruaiyatruaiyat691 6 лет назад
Subhanallah
@ahmedmussa8231
@ahmedmussa8231 5 лет назад
Mola alikuhifazi wasikuuwe ili uje utujuze yalopita mola atawalipa pepo walozulimiwa nafsi zao
@andrewnyamwaro5174
@andrewnyamwaro5174 3 года назад
Hata useme nini, usultani Mwafrika kakataa. Unayesema we Mwarabu mbona usende uko huko ukaishi raha mstarehe. Mapinduzi ulikuwa lazima kupinga dhulma. Jengeni nchi yenu kwanzia hapa...
@misscoast3174
@misscoast3174 3 года назад
Kwani kulikua na haja gani ya kuuwa watu wakati sultan alikimbia? Ukishafanya mapinduzi na mtawala akakimbia raia walokuepo ni wako wote sasa ubaya ni pale walipowauwa wale raia.. hugo dhambi haitawaacha milele daima
@salamakhamis7245
@salamakhamis7245 5 лет назад
ALLAHU AKBAR
@fatmasaid5864
@fatmasaid5864 5 лет назад
Maneno yako ni ukweli mtupu
@tecnof1232
@tecnof1232 5 лет назад
Ajabu wengine kasumba na propaganda zimewaganda ndii! hata kufikiri wanashindwa! Mapinduzi matukufu sawa, je waliouwa watakwenda peponi?
@officialwawa4370
@officialwawa4370 4 года назад
@@tecnof1232 jeee na ss kutufanya watumwa na kutuuwa na kutuzalilisha wataenda mbinguni
@hassandeuj2517
@hassandeuj2517 5 лет назад
Ccm niwaongo kupita kiasi
@LovelyBubbleTea-vz4ol
@LovelyBubbleTea-vz4ol Месяц назад
YOTE NIKWELI YAYQ ANAYO SEMA
@aliyabdillahi7332
@aliyabdillahi7332 5 лет назад
Wee Ahmed Masoud si umezaliwa juzi tu.
@fatumamisinga6211
@fatumamisinga6211 Год назад
Aman than anaishi wapi hivi sasa?
@awadhirajabu7754
@awadhirajabu7754 5 лет назад
apo nimekuerewa mzee kwa msemo wa kuua mtu ni zambi sana rakini utamkuta mtu anashiliki kuua uku akijiamini mbere ya wezie kwa asira kali ajui kama kila nausi itaonja umauti kuua ni zambi mwenye kuamini uwepo wa mungu asiuwe wandugu
@nassorali5511
@nassorali5511 2 года назад
Apo zamani tulikuwa twasema znz ni Mkka ndongo kwa elimu lkn sahiz naona znz ni Itali ndongo kwa uwovu
@khalifanassor5349
@khalifanassor5349 5 лет назад
Unapofanya unyama malipo duniani akhera hesabu
@yasiniselemani2412
@yasiniselemani2412 5 лет назад
Truth do pain
@user-xv4tl8iv4l
@user-xv4tl8iv4l 4 месяца назад
hana lolote mnafiki huyu. tunamjua mtwana mkubwa kusema hayo na mengine na huo umri anaosema ni muongo. aje nimuoneshe kipande/kibali cha kupatachakula 1918 cha baba yangu kipo. mwafrika anapata chakula dona ratili 3,sukari ratili 1. mchele ratili 2 kwa mwezi , waarabu hakuna kitu kama chakula na kidogo afadhali uwe mngazija.
@kaliskaguzkalis4424
@kaliskaguzkalis4424 Год назад
Wote leo mko mbele ya Mola Wenu
@mshairikinda4694
@mshairikinda4694 4 года назад
Wazanzibar mnaudhi kisha mkakera isee,hivi hamuelewi siasa zilikua zinaendaje,mkimchukua muarabu unatarajiwa uchukie kila chake
@abdullahihussein6836
@abdullahihussein6836 3 месяца назад
Huyo hapo ni mwarabu wa wapi ?
@kassimmbelwa6011
@kassimmbelwa6011 4 года назад
we mchawi tu mtoto wa sultani watetee
@officialwawa4370
@officialwawa4370 4 года назад
Unaona huyu kibaraka wa sultan ndugu unajuwa sultan bado ana ndoto ya kuitawala Zanzibar tena
@samirs764
@samirs764 4 года назад
Huyo anasema kweli shekhe mashalla
@misscoast3174
@misscoast3174 3 года назад
Kuna watu hawatoamini mpaka yawafike
@rastafare878
@rastafare878 2 года назад
Nyinyi mnaopinga hapa wengi wenu ni watanganyika munajifanya kuwasemea vibaya waarabu halafu haohao wanakusaidieni na wAla hamukatai , hebu jaribuni kuangalia video mmoja youtube magufuli Na kiongozi mmoja kiarabu aliahidiwa atachimbiwa visiwa vingi sana , munawasema vibaya waarabu cha kushangaza haohao ndio wanakusaidieni na wAla hamukatai
@asilclub
@asilclub 7 лет назад
لا غالب الا الله
@yanayojiri1900
@yanayojiri1900 4 года назад
Ongea
@msakuzikondo536
@msakuzikondo536 2 года назад
Waislamu waliwafanya waislamu wenzao watumwa Zanzibar.Mtu mweusi wakati wa Sultan alikuwa kama hana thamani.Mapinduzi Tukufu Daima .
@nduryamwadzaya3972
@nduryamwadzaya3972 4 года назад
Ni Jambo la aibu kuliko kuteka weusi kwao? Nyie weupe mulileta faida gani hapo zanze
@LovelyBubbleTea-vz4ol
@LovelyBubbleTea-vz4ol 3 месяца назад
Huna akili wewe mlevi
@mjige9088
@mjige9088 4 года назад
Diriye aje Hargeisa somaliland tumuathibu babu yake tumemfasiria haya yote unayosema machozi imemtoka
@asiajuma7906
@asiajuma7906 3 года назад
So painful
@hohi7746
@hohi7746 3 года назад
HESABU IPO
@aliyahya7885
@aliyahya7885 5 лет назад
Ni haki kimfukuza mtu uliemkaribisha kwako akataka kukuongoza kwa kila ktu hatimae had nyumba akataka iwe yake
@officialwawa4370
@officialwawa4370 4 года назад
Uyu mpuuzi Sasa yeye alitaka tufanywe punda wa waarabu huyu simtusi lakini dahhh
@yasiralkindi5332
@yasiralkindi5332 4 года назад
Ndio kaka ni haki vilevile kunajisiwa mwanaume na ni haki mtoto kumwingilia mzazi wake na ni haki kaka kumwingilia sister wake yote ni haki tu au vp. JITAMBUE WW
@misscoast3174
@misscoast3174 3 года назад
@@officialwawa4370 kama ungeamua kusoma historia ya kweli ingekua vyema kabla hujaamua kusema kitu
@madrasatulmujtabahschool7621
@madrasatulmujtabahschool7621 5 лет назад
Sasa ukweli upi kila mmoja anatuzonga
@allyderossi9742
@allyderossi9742 5 лет назад
ABUBAKAR ALI HAMDANI,,wala ucseme jamaa yng.
@farhatfatma12
@farhatfatma12 4 года назад
Unajizonga mwenyewe. Huyu mzee ni mtu maarufu zanzibar na anachosema ni ukweli mtupu kwasababu aliwekwa ndani miaka mingi. Allah amsamehe makosa yake na amuingize kwenye pepo yake ya juu kwa kutupa ukweli.
@aliyahya7885
@aliyahya7885 5 лет назад
Mm nayathamini mapinduzi kwa sababu yametutoa katika utawala wa wazungu na waarabu
@salehsuleiman1218
@salehsuleiman1218 5 лет назад
Ww thamini2 isichokijua maana yake Na nn lengo lake lkn kumbuka hao warabau ndio walioifanya Leo kuenea kwa uislam Zanzibar Na kuleta maadili ya kiarabu yan mavazi ya kiheshima pia ujue mapinduzi ndio yalio waua masheikh wakubwa ambao ndio masharifu yan wasomi Na mengi2 yaliofanyika ila ww bado mdogo hauwez kujua ndio maana ukipewa maneno ovyo unakubali2 pass nakujua nn faida yake. Sema astaghafillah kwa kuyatukuza kuliko kutukuza dini yako.
@khalifanassor5349
@khalifanassor5349 5 лет назад
Thamini dunia ya kupita tu wamepita kama moshi
@farhatfatma12
@farhatfatma12 4 года назад
@@salehsuleiman1218 Si kweli kua waarabu ndio waliouleta Uislaam Zanzibar.
@wizzoboy2553
@wizzoboy2553 4 года назад
Cali Mahad# Unataka kunambia uislam umeletwa na Mreno pamoja na Muingereza??
@officialwawa4370
@officialwawa4370 4 года назад
Aaaaaa mapinduzi daima sisi ni waafrika tunajitawala wenyewe muarabu ndoo nani kaja na ushenzi wake tumemtupa uko pumbavu kabisa yaanii ilifika muafrika mwenyew etii kuingia stone town kwa kibali dahh inauma sana wazee wetu!! na lilikuwa sii lakujuwa maana walikuja Kama mbuzi kumbe ndani simba wakatutawala kuona watu weusi tumepambwa na miti ya kijani na matunda yakutosha na wanyama aadim duniani lakini hawa washenzi wametunyanyasa na kutuzalilisha na kutuuza Kama vitunguu maji sokoni wewe leo unaunga mkono waarabu aaahhh!! shida sana ila najuwa nyinyi ndio vibaraka mulio bakia na sultan mbaka Sasa anasema Zanzibar yake na atarudi nakutuma mwambie haiwezekani
@shd12m55
@shd12m55 7 лет назад
Unatuliza wanao baba
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 5 лет назад
Anaonekana anauelewa mdogo sana!!!!
@tecnof1232
@tecnof1232 5 лет назад
Yeye au wewe? Huna unachoelewa mwenzamgu bora unyamaze tu kama mimi, Mzee kayaona tena unataka nini? Na anasema mwenye shaka aende yupo tayari yeye, tena uelewa gani unaoutaka?
@misscoast3174
@misscoast3174 3 года назад
Juma kapilima una matatizo makubwa
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 года назад
@@misscoast3174 mbona haekezi maovu ya sultan?
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 года назад
@@tecnof1232 kwahiyo maovu ya sultan hajayaona?
@jumakapilima5674
@jumakapilima5674 3 года назад
Ni kweli mlisoma bure, anasahau kuwa idadi ya watu wa wakati huo tofauti na ya wakati huu, na hata matibabu ni hivyo, lakini pia anapaswa kutambua kuwa hata maradhi kipindi hiki yameongezeka tofauti kidogo na nyuma,, na mbaya zaidi anataka kutujengea picha kuwa sultani hakuwa na maovu kitu ambacho si kweli,,,,,,,,,,,,ndio maana naendelea kueleza kuwa bado ana tatizo la uelewa
@abdulabass5808
@abdulabass5808 4 года назад
Hili zee linaongea nini kama ulikua kibaraka wa waarabu siutwambie ? Na wewe kama huoni matunda ya mapinduzi tuonyeshe hayo mabaki ya ukoloni uliofaidika nayo? Huna points kujipendekeza kwiiingi
@mohammedhamad9392
@mohammedhamad9392 4 года назад
Oya uyo mzee ni mzee wetu hakuusu kausha bc
@abdulabass5808
@abdulabass5808 4 года назад
@@mohammedhamad9392Nazi
@gangmore9091
@gangmore9091 4 года назад
@@abdulabass5808 mpuuzi sana angefanyiwa family yko ungeona mabati y ukoloni uyo mzee amefanyiwa unyama ww unaongea pumba
@officialwawa4370
@officialwawa4370 4 года назад
Ndio jamaa mapinduzi daima na akijatena tunapinduwa
@officialwawa4370
@officialwawa4370 4 года назад
@@gangmore9091 heeeeeeed!!! kwaiyo kuuliwa ngozi nyeupe zambi ila mtu mweusi kuuliwa kwenye sehemu yake nchi yake mbele ya ukoo wake mtu mweusi sio zambi sshhtuka broo usiwe mshamba kiaasi ichooo mapinduzi daima tunajitawala ss watu weusi wenyewe
@ahmedmasoud3906
@ahmedmasoud3906 5 лет назад
Mzee umeongea pumba tupu. Ni kwamba wajitoa akili juu ya faida za mapinduzi?? Kuhusu wewe kusoma bure unajua population ilikuaje na sasa ikoje?? Ninachokiona ni ukibaraka wako kwa waarabu.
@aliyabdillahi7332
@aliyabdillahi7332 5 лет назад
Awadh wee umezaliwa juzi uyo Babaako haelewi kitu
@husseinfarid2883
@husseinfarid2883 5 лет назад
wacha ujinga ww
@mkude
@mkude 5 лет назад
ahmed masoud kwanini unawachukia waarabu ndugu yangu je waarabu huko znz walikuwa wanafanya mauwaji,wakifanya kitu gani kibaya sanaa,na hata kama ubaya Wa kawaida yapo wao ni binadaamu hawajakamilika je utawala Wa sasa wanafanya mema tu hakuna ubaya
@mkude
@mkude 5 лет назад
ahmed masoud jua kwamba mtume ynaemfuata muarabu,makhalifa wakubwa wanne walikuwa waarabu,kitabu cha quraan lugha ya kiarabu kaburini utaongea kiarabu siku ya hesabu Kwa ALLAH lugha itakuwa ya kiarabu.
@2pacshakur912
@2pacshakur912 5 лет назад
Kusoma bure heheheh 50 hakuna cha maana
@salummzee9739
@salummzee9739 4 года назад
Nyny mulikuwa vibaraka warabu kwaio kujikomboa ss tumefaidika mbona mashamba yetu waliyahodhi warabu sasa leo jumejikomboa kwaio kusherekea mapinduz lazima
@davidisaya3625
@davidisaya3625 4 года назад
IPO SKU atayajibu haya mbere ya mungu kua hidini iriwakwaza nn
@awadhirajabu7754
@awadhirajabu7754 5 лет назад
mapinduzi oye wakoroni walikua na wafuasi wengi wazawa sasa kila mtu angemkubari mkoroni nchi ingekua kama somalia iyo mapinduzi oyee
@officialwawa4370
@officialwawa4370 4 года назад
Oyeeeee big up bro
@rastafare878
@rastafare878 2 года назад
Nyinyi ni watumwa wa Tanganyika
Далее
23 Rashid Abdalla Mamba
3:28
Просмотров 15 тыс.
Avaz Oxun - 10 yillik yubiley konsert dasturi 2023
2:52:33
20. Amani Thani: Kutoka gerezani 1967
13:31
Просмотров 1,9 тыс.
JE! ULIDANGANYWA HISTORIA YA ZANZIBAR- MANGAPWANI?
19:50
WAKRISTO WANAMIPANGO IMARA || Ust. Ilunga
34:46
Просмотров 45 тыс.
17 Yalomkuta Saleh Sadalla
16:08
Просмотров 33 тыс.
8. Kuundwa Afro Shirazi Party, Zanzibar
14:24
Просмотров 21 тыс.
18. Amani Thani: Maovu ya Mapinduzi
12:42
Просмотров 1,2 тыс.
17. Amani Thani: Aliyoyafanya Ahmed Hassan Diria Pemba
21:40