Тёмный

AALIYAH KUONGEZA SHEPU ?! LULU DIVA KU-CHEAT NA WIVU WA MC GARA B - HELLO MR. RIGHT 

ST BONGO TV
Подписаться 165 тыс.
Просмотров 41 тыс.
50% 1

►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

Развлечения

Опубликовано:

 

15 дек 2023

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 32   
@sambicharles3378
@sambicharles3378 5 месяцев назад
Nakupendaga sana aliah sana sana t
@scholagichana300
@scholagichana300 7 месяцев назад
I wish ningekua hapo🎉nawapenda sana kutoka 🇰🇪🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 ❤❤❤
@JoiceWanjiku-to6nl
@JoiceWanjiku-to6nl 5 месяцев назад
Nawapenda aki
@sofiasophia9018
@sofiasophia9018 7 месяцев назад
Ila lulu umezidi kuvaa nguo fupi nakuonyesha mapaja haipendezi hivyo mtoto wakike ficha maumbile yako
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 7 месяцев назад
Nipo makini kwa program yenu kutoka Athens upo vizuri sana mungu Akubarikini kwa super program ❤
@margaretnyamwilahila292
@margaretnyamwilahila292 7 месяцев назад
Huyu bwana anauliza maswali ya udhalilishaji kwa wanawake, rubish. nywele na vigodoro, si sehemu ya show!!!
@user-gq5yd2hh5j
@user-gq5yd2hh5j 6 месяцев назад
Nawapenda buree🎉 4:03 4:03
@neemageorgesanga4276
@neemageorgesanga4276 7 месяцев назад
Mungu awatangulie daima but ata wangekua wanavaa vizuri nguo yenye stara kama jweli mke wa mtu mtarajiwa asa magoti yotee njee jaman some time ata mr right kukataliwa anafurahi mnoo mana anaoba tú huyu hapana wameniokoa mana huenda ukarnda ukweni likakupata jambo userious wa ndoa uwepo akina dada hiyo sio maigizo yasijetokea ya kutokea
@user-fo8yc8xo8s
@user-fo8yc8xo8s 7 месяцев назад
Bora wavae Ivo wakivaa nguo ndefu utashangaa unavamia mtu mwenyewe mangeu makovu miguu Kama spoke Yani ukajutw
@alimakame6807
@alimakame6807 7 месяцев назад
Gara b , wacha maswali rabish
@emmaculatebarasa4609
@emmaculatebarasa4609 7 месяцев назад
Sautiiii
@januarioernesto1972
@januarioernesto1972 7 месяцев назад
Florah mzuri, nankalibisha Mozambique 🇲🇿
@user-no8mp7yg1m
@user-no8mp7yg1m 7 месяцев назад
Kwahiyo uturuki tusiende kuuliza tuu😂
@sidikassim6759
@sidikassim6759 7 месяцев назад
Anglia hvyo vinguo jamanii atarii
@JosephMpondaTz
@JosephMpondaTz 7 месяцев назад
Me nimemuelewa saaana dayana nasijui kwanini Hadi sasa yupo ❤❤❤
@benkare7194
@benkare7194 6 месяцев назад
Aaliyah ni mrembo kiukweli
@Tiffany340
@Tiffany340 7 месяцев назад
Tangu lini shepu ya kichaga inakubali mlogazira 😂😂 waho c wa miguu wala trakoo
@JudyLee-hf9cy
@JudyLee-hf9cy 7 месяцев назад
Na wala cyo mchaga huyo
@mkambaselemani-ej7np
@mkambaselemani-ej7np 7 месяцев назад
Shep haimat humata Mambo mnavaa nusu uchi unategemea update mume utaoata gumegume
@ashakijaji5869
@ashakijaji5869 7 месяцев назад
Huyu Aliya Hana hata mpango WA kunyang'anyana li Diamond
@benkare7194
@benkare7194 6 месяцев назад
Mimi ni Ben natokea Kenya, napenda sana Aaliyah jinsi alivyo comment kuhusu nyash yani ningekuwa karibu ningempeleka tour kwa bill yangu😂
@naswiheart5687
@naswiheart5687 5 месяцев назад
Yaani Aaliyah nimekupenda bure kujiamini kunabeba taswira nzima ya wewe ulivyo
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 7 месяцев назад
Nivibaya ukimroga waweza muuwa
@sheikhadnandjuma9780
@sheikhadnandjuma9780 7 месяцев назад
Aliyah Diva nyote niwarembo kwani Nyashi kazi yake nigani kama nisoyo kutowa haja kubwa kwa tumbo acheneni na hawo ambawo wanavo sema kwamba big nyashi ni Irembo
@hassansammy1076
@hassansammy1076 7 месяцев назад
Warembo niwengi
@jacobjb4515
@jacobjb4515 7 месяцев назад
Tatizo mnaongea sanaa vitu sio vya msingi
@BerylSeer1
@BerylSeer1 7 месяцев назад
Wanajishusha thamani sijapenda
@zmccenter123
@zmccenter123 7 месяцев назад
Mbn nywele za bandia kama kweli umerizika na ulivyozaliwa aliyah,ukiach ivy mamekup n vitu tele mnawek kiufup hakun mwanamke atakaerizik alivyoumbwa labd awe ni mtu wa dini haswa waislam ila wakristo ndipo wanaposuka nywele haswa
@marklaire8880
@marklaire8880 7 месяцев назад
Nywele Ni upodozi ndugu yangu,,huwe linganisha na kuongeza shepu,,hivyo wewe hapo upaki mafuta???
@zmccenter123
@zmccenter123 7 месяцев назад
@@marklaire8880 kujipaka mafuta pia inategemea ni mafuta gan km ni mafuta tu y kawaid bc n saw n kuvaa nguo t wala haifanan n kubandika nywele sabab kujipak mafut y kawaid haitobadilish rang kutok nyeus kuwa nyeup ila kubandik nywele maan umetok kwenye hatua moj kwend nyengine. Hata hizo nguo kiimani pia zina mipak yake kuna dini zinakubal nguo fulan nyengin fulan hii inaonesha ni namn gan uvae nguo ambay haikutoi kwenye imani yako.
@nacmahassan7554
@nacmahassan7554 7 месяцев назад
So Kila mtu anapenda kujiongeza
@vicentjulius
@vicentjulius 7 месяцев назад
Ila watangazaji wa kike ipo siku watakuja wamevaa chupi tu kwa mavazi hayo mmmh! Mbona Gara B anavaa vizuri tu kiheshima na anapendeza.
Далее
Survive 100 Days In Nuclear Bunker, Win $500,000
32:21
The BIG Birthday SURPRISE | Welcome Home
51:58
Просмотров 21 тыс.
UNAYAJUA MAHABAT WEWE! ONA HAPA SASA.
10:00
Просмотров 418 тыс.
🤣🤣❤️
0:26
Просмотров 2,3 млн