Тёмный

DULLA MAKABILA | ATAFUTA MCHUMBA | HUYU HAFAI | HUYU HATOBOI | HELLO MR RIGHT | NAMTAKA HUYU 

ST BONGO TV
Подписаться 165 тыс.
Просмотров 117 тыс.
50% 1

►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder

Развлечения

Опубликовано:

 

26 янв 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 101   
@kugotwa004
@kugotwa004 6 месяцев назад
Dulla mjanja sana anafanya aya yote ili tuzidi kumfatilia
@jeangodelo5349
@jeangodelo5349 6 месяцев назад
Dulla unajidharirisha tu talaka ulitoa mwenyewe sasa nn unahangaika? Ulikuwa unatishia kujamba wakati unauharisho😂😂😂😂acha yakukute mwenye kiranga hapewi poule😂😂😂😂 manara umeweza kuwavuruga watuuuuu😂😂😂na badoooooo
@poulmbogo1770
@poulmbogo1770 6 месяцев назад
Jamaa msenge tu mwana kaja stejini jamaa ana jiona staa lazim jamaa imutoelee mood kishenz
@joycesamwely7896
@joycesamwely7896 6 месяцев назад
Dula hamumuuelewi ila anasema ukweli wallah🙏
@user-wu9zz1bm9h
@user-wu9zz1bm9h 6 месяцев назад
Dula nakushauri achana na haya mambo mwana piga kazi wengi wamewachwa wameaacha hakuna jipya.we unadhani hii itakusaidia?achana na himambo itakushidhia hadhi Yako mwisho wa siku mwenyehela anahela.huwezi kua na punda ukashindane na mboo za farasi nakushauri tu mwanangu acha.mungu atakupa atakae kupenda Kwa dhati Zai haukuandikiwa na mungu kua nae mwache aeende.kupenda Gani huko dula!!!!!!!?
@taartytv8307
@taartytv8307 6 месяцев назад
Sure,naona anajishushia hadhi
@hansprince_tz
@hansprince_tz 6 месяцев назад
so awesome
@user-xr8qv9mw9v
@user-xr8qv9mw9v 6 месяцев назад
Nkupenda mm dulla
@mwanaishaabubakar5013
@mwanaishaabubakar5013 5 месяцев назад
Dulla bonge la mshaaaaaamba. Yeye mwenyewe siyeèeee. Hawashi hazimi
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 6 месяцев назад
😂😂😂 Dullah kaja kuharibu😂😂
@mussamayawa817
@mussamayawa817 6 месяцев назад
Nyingi sana
@mwanaishaabubakar5013
@mwanaishaabubakar5013 5 месяцев назад
Dulla bongeeeee la mshambarira
@SamManyota
@SamManyota 6 месяцев назад
We mttu poli ninja
@user-jc2es5xt5v
@user-jc2es5xt5v 6 месяцев назад
😂😂😂😂 kazi ipo amekuja kutafta mchumba au kumkandia zai niujinga tu ukiachwa achika bana mbona kitu chakawaida kwamba alimpenda sana kiasi hawez kukausha huo ni ushamba
@EmJesho
@EmJesho 6 месяцев назад
Lakini talaka c alitoa mwenyewe sasa analalamika nn jaman
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 6 месяцев назад
Sio mara kwanza kwenda hapo ameitwa Dulla hapo
@BerthaModest
@BerthaModest 6 месяцев назад
Mwenzio kalipw ww unachamba kwa Gb zak pol
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 6 месяцев назад
​@@EmJeshoalijua dada hatokuwa na mtu kama yy sasa kampata misifa ata zaid yake,raha ya kumuona ex awe kapauka
@EmJesho
@EmJesho 6 месяцев назад
@@melanialeonard4031 aisee noma sana
@betinvestment3204
@betinvestment3204 6 месяцев назад
Ngoja namm nifanye mpango niende nikamchukue totozzz
@zunirasalim7660
@zunirasalim7660 6 месяцев назад
Dullah kubali yalotokea afu hyo zai ulikuwa ushamwacha alikuwa sio mkeo tena just move on mungu atakupa mke mwenye kheri na wewe
@pikolaizaog7303
@pikolaizaog7303 6 месяцев назад
Mambo ya kabila mbona kuulizana wakati Tanzania kabila moja 😢😢😢😢
@TEABURUDANI
@TEABURUDANI 6 месяцев назад
Ulidanganywa
@sabiimohamed6560
@sabiimohamed6560 6 месяцев назад
Hiki dulla kenge sana
@EvaNicholaus-og4im
@EvaNicholaus-og4im 6 месяцев назад
😂😂😂hakijielew kbsa.....anatafta kiki hyu
@fatumambaruku963
@fatumambaruku963 6 месяцев назад
Hapo amekuja kwa fan naona mapovu yanawatoka kwanza yy anatembelea hii kiki yy anaingiza hela sisi mdomo
@SamirSaid-ip8nn
@SamirSaid-ip8nn 6 месяцев назад
Dulla kubalitu usimalize maneno
@mikethobiasikisanga4655
@mikethobiasikisanga4655 6 месяцев назад
NA MIMI NAOMBA NIWEPO NA MIMI KWENYE MR RIGHT
@sergioramoel9704
@sergioramoel9704 6 месяцев назад
Nice
@user-fy9pw2zr8l
@user-fy9pw2zr8l 6 месяцев назад
eti hajui kupia ingekua kupita njo ndoa buheti na shishi wasingekua kwenye ndoa tofauti tofauti ebu toka huko umeachwa tulia
@roseraymond4954
@roseraymond4954 6 месяцев назад
Dulla anapiga ela nyie mna bwabwaja ty😂😂😂😂
@ramadhankombe2643
@ramadhankombe2643 6 месяцев назад
Dullah!ana stres za kuachwa.
@MsakatongeAgustino
@MsakatongeAgustino 6 месяцев назад
Kausha yeye Nani umuongelee sanaaa Ivo vinga mselaà
@user-ro1eh1fd6o
@user-ro1eh1fd6o 6 месяцев назад
Mbona dula anamambo mengi sana anatuharibia uhondo bana akubali matokeo
@nicemuro9606
@nicemuro9606 5 месяцев назад
Kelele nyingi.. biti ilo jamn
@user-ru5em6kb2r
@user-ru5em6kb2r 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂😂 it's wonderful
@esterjames7407
@esterjames7407 6 месяцев назад
Mwenzenu anapiga hela nyie mapovu yanawatoka 😂
@mwanaishaabubakar5013
@mwanaishaabubakar5013 5 месяцев назад
Hilo Iki hiko nyuma linaharibu kelele nyingiii ondoeni
@salomewandya7257
@salomewandya7257 6 месяцев назад
Hahaha Dulla kachachuka😂😂😂
@khadijafeda8598
@khadijafeda8598 6 месяцев назад
Nice
@mwanjaaseif5229
@mwanjaaseif5229 6 месяцев назад
Lulu😅
@athumanii
@athumanii 6 месяцев назад
Dullah unaharibu kipindi cha watu😢
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 6 месяцев назад
Yupo kazin na ameitwa hapo
@wamadenzatv4174
@wamadenzatv4174 6 месяцев назад
Aise jaman sina mbavu huku
@user-li1fl4jp3r
@user-li1fl4jp3r 6 месяцев назад
We ndio mie a najibu nae kama kavulugwa😂😂😂
@batulimabewa6953
@batulimabewa6953 6 месяцев назад
Kwani huyo Dullah anajiona nani vp vile
@sabiimohamed6560
@sabiimohamed6560 6 месяцев назад
Gara b mbona ulicheka bamdogo
@user-wu8qe4fv4j
@user-wu8qe4fv4j 6 месяцев назад
Acha kujipa Moho heeee kubali kuachwa
@SamManyota
@SamManyota 6 месяцев назад
We kaduma
@user-du5wk9ns9m
@user-du5wk9ns9m 6 месяцев назад
😂😂😂kweli dulla sio mnafik kasema kweli wabongo hawapend ukwel
@HurumaEllfura
@HurumaEllfura 6 месяцев назад
Aseme na kasoro zake Kama yy mkwel...Kwan yy alikua amkosei mwenzie huo n ushamba kwaanae jitambua 😃
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 6 месяцев назад
Uyu ni wakumstaki kbs mana anazoeya sn
@user-sv3vd5nj8s
@user-sv3vd5nj8s 6 месяцев назад
Dulla umekuja kutafuta mchumba acha ushamba
@user-dc6qv1hb4m
@user-dc6qv1hb4m 4 месяца назад
Na mm nataka mchumba
@user-rd5qg5ip1w
@user-rd5qg5ip1w 6 месяцев назад
Umechangabyikiwa
@Richard-di9ny
@Richard-di9ny 6 месяцев назад
😂😂😂
@fatimaharoon8218
@fatimaharoon8218 6 месяцев назад
Kijana ovyo kabisa huyu😂😂😂
@user-po7gb6xx1k
@user-po7gb6xx1k 6 месяцев назад
Kweli kabisaaaaa 😂😂😂😂 mambo ya kueti tu... Dulla yuko kama ectar.. Kama Shahrukhan au AmittaBachan😂😂😂😂😂😂😂😂
@fatimaharoon8218
@fatimaharoon8218 6 месяцев назад
@@user-po7gb6xx1k 🤣🤣🤣shahrukhan Tena...... anavyoangaika kma mfa maji bahrin😂😂😂
@aisharamdan8358
@aisharamdan8358 6 месяцев назад
Dula mgomvi
@Misheckkazilist-cv2hb
@Misheckkazilist-cv2hb 6 месяцев назад
Jamah wa nije ama nisije kwanini kaja hapo 😂😂
@frankmbeyela4275
@frankmbeyela4275 6 месяцев назад
Kipato kinausiana nini sasa Bongo bana
@shamilamgata7754
@shamilamgata7754 5 месяцев назад
Shida sio kipato shida kajibu kitu ambacho hajaulizwa
@user-lq6mt5ji4l
@user-lq6mt5ji4l 6 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@leopardmlelwa9535
@leopardmlelwa9535 6 месяцев назад
naomba namimi nije jamani
@user-bl3ee2vx4d
@user-bl3ee2vx4d 6 месяцев назад
Jaman mahuano sikuzote ndio yako hivyo hakuna anae msifia ex wake acha aseme tu anayo ona kwake ni sahihi
@amedeuskimario8895
@amedeuskimario8895 6 месяцев назад
Yan gara b tabia zako n ka zangu me mwenywe hapo mbavu zangu zngechakaa
@rukiasalum2248
@rukiasalum2248 6 месяцев назад
garaB utakoma kwenda kwenye shuguli ya haji
@shafiba
@shafiba 6 месяцев назад
Aaaa jamaa fai hata kidogo huwezi kutoa siri za nyumbani lakini huyo makabula sialiishia miaka mingi yote hayo hakuyasema hapo mwanzo bado anawivu mtoto huyo kesha chukuliwa nyie wanawake wengi mshika hafai nahizo siri zenu atakuja kuwatoleeni tena
@habisnasalum-nz4zo
@habisnasalum-nz4zo 6 месяцев назад
Dura wakere baba
@shafiba
@shafiba 6 месяцев назад
Muache mtoto mzuri anapendeza wewe makabula ndio uingie jikoni watoka bush uko waja mjini acha mambo yako yakibush bush
@user-nf4yp9yk7i
@user-nf4yp9yk7i 6 месяцев назад
Kuna watu awamuelewi.dulla...lakini dulla mjanja sana...anataka tu attention
@user-db3ol4qd8h
@user-db3ol4qd8h 6 месяцев назад
Mwanamme mzina mzalilishaji unategemea cku zai akiachwa atarudi kwako 😡 lohhhhhhh mijanadume km nyinyi hamtakiwi ata kuishi na watu kwa ujinga wenu😡😡
@innocentkanyata9923
@innocentkanyata9923 6 месяцев назад
Hiki kipindi iteni watu wenye utulivu sio kila mtu
@lareineminah1353
@lareineminah1353 6 месяцев назад
Tume enjoy saaaana janaaaaaa❤ Dullah ka mwanga ma ukweli maaisha ya watu wengi siku hizi wanafanya shirk... ALLAAH awape nafasi yakutubu kabla ya mautiii👏👏👏👏
@colethanyaku1077
@colethanyaku1077 6 месяцев назад
Tatizo hao wadada wanapotezea watu muda wao Hawajui wanachokihitaj Mtu akiwa na majibu ya hovyohovyo atoke awapishe wengine maana hata tunaowatazama wanatupotezea muda wetu
@user-gu2dj3qg6w
@user-gu2dj3qg6w 6 месяцев назад
Mchumba gani?kachanganyikiwa?Rushaina kakimbia?
@katanaalex2033
@katanaalex2033 5 месяцев назад
Janja hajiamini ila anaongea ukweli
@sabiimohamed6560
@sabiimohamed6560 6 месяцев назад
Ukiacha na mtu hufai kusema mapungufu yake
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 6 месяцев назад
Yn hk kajamaa bd kn mpenda vibaya mno zai ukiachwa achika
@user-cr5kr1vm2x
@user-cr5kr1vm2x 6 месяцев назад
Dulla mshamba wa mapenzi wewe mon setrozon alisema kuachana sio vita epuka ubovu wa fikla ama uzuri wa sifa acha kumfatia mwanamke ambae amekukataa bro unajizalilisha man unajuwa maana ya kuwa na Rasta inamaana ya aman oyawee badilika leta mziki mzuri watu tuselebret Kuna wanawake wazuri zaid ya hata huyo anaekufanya uchanganyikiwe 🤫
@user-wu9zz1bm9h
@user-wu9zz1bm9h 6 месяцев назад
Huwezi kua na punda ukashindane na mbio za farasi
@wazirally1791
@wazirally1791 6 месяцев назад
Mjinga kanichekesha kishenzi hahhhahahha kaenda kufanya biashara tena hahahhaa
@EmJesho
@EmJesho 6 месяцев назад
Wanaume.kama dullah ni wajinga sana dullah ana tabia kama mzazi mwenzangu yaan n shida
@kdpretoria780
@kdpretoria780 6 месяцев назад
Dula kaaribu kipindi maana kawatoa kasoro wanawake wote anawaona kama zayrish 😂😂😂 kaumizwa na mmoja ila anawachukia million moja😅
@sheymchaga
@sheymchaga 6 месяцев назад
ogopa kuingia kwenye mahusiano na mtu ambaye moyon mwake yanaishi mahusiano ya mwazo utapata tabua sanaaa
@SophiaChmpaya
@SophiaChmpaya 6 месяцев назад
Sana
@margrethamsechu7088
@margrethamsechu7088 6 месяцев назад
Niliumia
@sheymchaga
@sheymchaga 6 месяцев назад
@@margrethamsechu7088 pole sanaa dada ndivyoilivyo
@adkajisi4536
@adkajisi4536 6 месяцев назад
@@margrethamsechu7088 pole jomon
@user-pu6pr5jt4n
@user-pu6pr5jt4n 6 месяцев назад
WANAWAKE ANGALIENI WANAUME WA KUOLEWA NAO. KWAN HYU DULAH ANA AGE NGAPI? 😂😂au utoto mwingi. Hivi zay ulimpa nn hyu dogo😂? Over mswahil
Далее
MREMBO HUYU UKIWA NA MSHAHARA TU UMEBEBA!
10:00
Просмотров 258 тыс.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #memes
00:26
Просмотров 7 млн
The BIG Birthday SURPRISE | Welcome Home
51:58
Просмотров 17 тыс.
MASWALI YA MARIOO - USWEGE MURDERER
4:37
Просмотров 111 тыс.
TAZAMA MWANZO HADI MWISHO NDOA YA DULLA MAKABILA
58:47
🤣🤣❤️
0:26
Просмотров 2,3 млн
Дрифт на самолёте
0:16
Просмотров 1,4 млн