KARIBU KATIKA RU-vid CHANNEL YETU HII KWA KUPATA QASWIDA MBALI MBALI KUTOKA TANZANIA ZENYE UJUMBE TOFAUTI UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KU-SUBSCRIBE KU-LIKE NA KU-SHARE ILI UWE UNAPATA TAARIFA ZETU KWA WAKATI HUSIKA.
Aaaaah,kuwa na rafiki mwema ni vizuri sana .atakuongoza kwenye mambo ya kheri hakika ujumbe huu ni mzuri sana .Mungu akuzidishie uzidi kuibadilisha jamii kaka . Allah bless you
Moyo wangu ulikufa kwa wingi wa kusalititwa😭😭😭 Ila sasa naamin nitampata wakunipenda Kama unavo mpenda swahiba wako💝 Allah akuzidishie kila jema na akuongoze ktk kheri🙏🙏🙏