Тёмный

USALITI UST SULEIMAN ALIA NA KULIZA WATU HOLINI ATUNZWA MAPESA KASIDA YAWAGUSA WENGI 

AFNAANIA
Подписаться 19 тыс.
Просмотров 1,5 млн
50% 1

KATIKA HARAKAT ZA KUWAPATIA WATU VITU BORA LEO TUMEKUSOGEZEA HII USALITI NI KASIDA ILIOGUSA WATU WENGI KARIBU KATIKA CHANELI YETU MJULISHE NA MWENZIO KUWA AFNAANIA SASA WAMEAMUA KUFANYA KILE WATU WANACHOTAKA

Опубликовано:

 

5 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 540   
@farijalambaga9600
@farijalambaga9600 Год назад
😭😭😭Hakika umenena jambo la kweli Allah akupe umri mrefu kwa ajili ya manufaa kwa walimwengu. Amina summa amina 🤲🤲🤲
@Kassimhaji-pv3ys
@Kassimhaji-pv3ys Год назад
kabisa ame fikisha ujumbe pahala pake mungu akulipe kheir kijana suleiman mashaallah
@fathmakazungu7911
@fathmakazungu7911 4 месяца назад
Kabisa hivyo divyo ulivyo karne ya leo
@allyissa2744
@allyissa2744 2 года назад
Dah 😥😥😥😥 sjuw nisemeje man uliosema ni ukweli mtupu...... Allah akuhifandh sheh Sule mashallah mashallah hongereni afnania
@idatally3846
@idatally3846 2 года назад
Aiseee sule ww ni htr sana allah akuhifadh sana uwendlee kutuelimisha aaamiiin hakika afnania tunakupenda mpka bas....
@suleimansuleiman990
@suleimansuleiman990 2 года назад
Ammin tunawapend pia
@RehemaMwakufunzwa
@RehemaMwakufunzwa 6 месяцев назад
Kama ni ukwel bas pole lkn kama si kweli mungu akulinde yasikukute inshallah mana nafikiria vile utakavyolia yakikukuta jmn,mungu akuepushie sule❤❤❤you are wonderful 🎉
@SalmaRamadhan-yh2pw
@SalmaRamadhan-yh2pw 8 месяцев назад
Ukwel san huo hongera uxtdh Suleiman mung akupe nn akupe umr mrefu wey manuu faaa Amen Alhm Amen Maxhalaaah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@thammaratbeiby5428
@thammaratbeiby5428 2 года назад
MashaAllah,,, hongera sana kwa ujumbe,,,kiukweli ina mafunzo ndani yake
@MuhammadShariff-z5t
@MuhammadShariff-z5t Год назад
Mashaallah allah akuzdishie kpaji na akulinde na mahasidi
@ahmadkhoyri6815
@ahmadkhoyri6815 2 года назад
Saya dari indonesia sangat senang sama orang2 yang suka bersholawat pada Nabi محمد
@masoudnassor3142
@masoudnassor3142 Год назад
daaaaah ndio kwanzaa Leo naisikia hii kaswida but imenigusa sana ujumbe Mzur sanna
@KijoliAthman-el7pk
@KijoliAthman-el7pk Год назад
MashaAllah MashaAllah Allah atuongoze atujalie miongoni kwa wale watakao timiza ahadi in Sha Allah
@pongwebeachhotel2806
@pongwebeachhotel2806 Год назад
Excellent, it's very sensitive ❤
@fadhilaiddi535
@fadhilaiddi535 2 года назад
Mashallah tabarakallah asante kwa ujumbe mruwa daa qaswaida imenitoa machozi kabisa ani
@sulayimanmohd7152
@sulayimanmohd7152 2 месяца назад
Wajina wangu Yuko vizuri sana mashallah mungu ampe Kila lenye kheri
@aminashabangonzi4020
@aminashabangonzi4020 2 года назад
Qaswida nzur yenye ujumbe mzuri. Lkn tujitahid kuzingatia maadili ya uislam katika kutunza.
@afnaania9827
@afnaania9827 2 года назад
Shukran
@sultanabdillah1799
@sultanabdillah1799 4 месяца назад
Hongera sana ndg, Suleiman hakika umefikisha ujumbe husika tena kw wakt coz ndoa nying zk hvyo, km sio wazazi bc n hao wawili wanaopendana, ila maisha ya shv NDIO ilivyo usalit n mwing, yaan kumpt mke wako muliotk mbl n asilimia 50 kwa 50 yaan daah hakika nmefrah sana, mung akufanyie wepex ktk kipaji chako ameeeen ameeeen ameeeen 👏👏👏
@Rocky-mn6wm
@Rocky-mn6wm 2 года назад
Suleiman umejua kubeba hisia ya maneno yako. Keep it up brother
@alhajimwinyi5120
@alhajimwinyi5120 2 года назад
Hakika imenigusa cn keep it up brother
@Rocky-mn6wm
@Rocky-mn6wm 2 года назад
@@alhajimwinyi5120 😍
@fatmaabbas902
@fatmaabbas902 2 года назад
Hakuna anaebisha kua ahadi ni Deni 🙌. Mutaulizwa wake kwa waume. Wenye kutoa ahadi mukaenda kinyume 🙌
@jabirkombo5483
@jabirkombo5483 6 месяцев назад
Hhhhhhhhhh
@sulayimanmohd7152
@sulayimanmohd7152 2 месяца назад
Wajina wangu Yuko vizuri sana mashallah mungu ampe Kila lenye kheri 2:33
@mudathirmkubwamselem5650
@mudathirmkubwamselem5650 2 года назад
Dah umetisha kiongoz ila wap ukweli wana tuumiza kiukweli 😭😭😭
@nassorhaji2637
@nassorhaji2637 2 года назад
Maashaallah Baaraka llahu feeq imeenda sawa wallahi mko vzurii sana kwa ujumbe mzuri
@bossjuma3897
@bossjuma3897 2 года назад
Kwe bro yte uliocomment yamethibit ktk maish y ndoa za leo il namp pongez ustdh kw ukumbush zaid
@SharifaHashim-xx4yk
@SharifaHashim-xx4yk 6 месяцев назад
Mashaaal 🎉🎉🎉🎉🎉 ALLAH akuzidishie❤❤❤ uwe na kipaji zid ya hapo
@sadahramathan519
@sadahramathan519 2 года назад
Manshallah.uwo.wimbo.umenigusa.kwaroho.yangu.mungu.akuwongezeye.baraka.naiimani.hongera.sana
@abuubakarihussein2664
@abuubakarihussein2664 2 года назад
Ujumbeee mzuri ttz wanawake wapouchi pia nisawa namziki tuy. Nahayo ndio wanataka wanawake kujianika uchi
@habsahassanhaji1397
@habsahassanhaji1397 2 года назад
Mhhh lkn idad ukubwa wanaosalit wenzao ni wanaume
@jabirkombo5483
@jabirkombo5483 2 года назад
Hhhhhhjj
@ahmedmadai
@ahmedmadai 3 месяца назад
Asat
@allykhamis9246
@allykhamis9246 3 месяца назад
Wanawake naona wanaongoza. Wakiwa mbali nawe tu ndio basi khabar yako
@malikizedon7515
@malikizedon7515 3 месяца назад
elewa qaswida usaliti unaozungumziwa hapo kua unalipiwa ada yamsoma alafu unazingua
@nadraiddi8064
@nadraiddi8064 18 дней назад
​@@allykhamis9246wanaume wamezidi kwa takwimu
@ashrajraj8182
@ashrajraj8182 2 года назад
Aky hii qaswida niliipenda San mashaallah uliweza
@ماتيماتنزانياا
@ماتيماتنزانياا 2 года назад
Mashaalla kwa kasda yenye ujumbe mzito
@fatmaabbas902
@fatmaabbas902 2 года назад
Kasida. Speechless 😶
@fatmaabbas902
@fatmaabbas902 2 года назад
❤️
@muzdalfatsuleiman
@muzdalfatsuleiman 2 месяца назад
Hongera mungu akulipe kher na akupe kl unachokitk imegusa nyoyo zote hii kaswida ila mungu atakulipia mashaallah❤❤❤❤❤❤❤❤😢
@almashaaribububu1214
@almashaaribububu1214 2 года назад
Mashaari tunasema Shukran AFNAANIA.
@afnaania9827
@afnaania9827 2 года назад
Shukran sana ndugu zetu KWA campan yenu tunawapenda sana
@abdallaothman7858
@abdallaothman7858 2 года назад
Mashaallah inaendana na wakati kabisa, maana saizi hayo ndio yamejaa kwakweli
@fatumalaay
@fatumalaay 6 месяцев назад
Mashaallah.hakika ukwell mtupu.mungu akupe umri mrefu wenye manufaa
@thureaali4744
@thureaali4744 2 года назад
Mashaallh chimbuko la qadiria kibweni ustdh sele
@afnaania9827
@afnaania9827 2 года назад
Swadakta
@suleimansuleiman990
@suleimansuleiman990 2 года назад
Da thuuu
@fadhilabakari8621
@fadhilabakari8621 2 года назад
Maashaallah 💓 nimeipenda sana yn nikiwa na hamu ya qaswda najikuta naickiliza hii tu...
@zubedamohammed1941
@zubedamohammed1941 2 года назад
Mashaallah
@RehemaMwakufunzwa
@RehemaMwakufunzwa 6 месяцев назад
Mashallah 🎉🎉🎉hongereni afnaania,pongezi kwko ust suleiman
@AbdallahMselem-qk4ob
@AbdallahMselem-qk4ob 4 месяца назад
Mungu akujaalye kipaji zaidi ktk utunzi wako,,,kufikixha ujumbe kwa jamii kiujumla,,n kuwaelimixha kwa Yale yanayotokea ktk jamii zetu
@maryammaulid5240
@maryammaulid5240 2 года назад
Umewagusa kweli wanawake hakika tubadilike huu ni ujumbe mkubwa
@maryammaulid5240
@maryammaulid5240 2 года назад
Mashaallah mashaallah my brother
@mapenzicharo3553
@mapenzicharo3553 2 года назад
Mashallah
@asilasaidsalim6138
@asilasaidsalim6138 Год назад
Waislam mchanyiko wa wanaume na wanawake haufai hata ktk mambo hayo watu wamejipamba halafu wanajisogeza kwa wanaume eti wanamfuata machozi mwanamme ambaye ni ajnabii jamani dunia imekwisha tumekosa haya wanawake kias chote hicho hatuna tena thaman
@tasnimmaka9747
@tasnimmaka9747 8 месяцев назад
Kweli kabisa Allah atustiri
@saheelameir4313
@saheelameir4313 5 месяцев назад
Hii miziki ni ushetwani ndio maana inapendwa
@nashirkamugisha9425
@nashirkamugisha9425 3 месяца назад
Ujumbe mzuri ila mchanganyiko wa kwenda kumpa zawadi na hiyo alamu zimepunguza utamu wake. Ujumbe huu ukiwekwa muundo wa shairi utanoga sana
@ShadiaZiadi-vo1lx
@ShadiaZiadi-vo1lx 10 месяцев назад
Mashaallah 🥰🤗🤗🤗💕 unaimba vizuri😍😍😍😍 😲 nimependa
@TinaNgwebe
@TinaNgwebe 2 месяца назад
Masha Allah mungu akulinde na mahasid❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@zenakioga6567
@zenakioga6567 2 года назад
Subhannallah Allah zisitili ndoa zote inshaallah
@monirhm3136
@monirhm3136 Год назад
Mimi nimependa sana Ni nzuri imenigusa sana asate mingu akubariki
@twalaataib7337
@twalaataib7337 2 года назад
Hongera mashallah very nice nashidi Jazakallah khery Love frm kenya
@samg7604
@samg7604 2 года назад
Kaz nzur afnania mashallah na menen yameshiba
@afnaania9827
@afnaania9827 2 года назад
Shukran sana
@maireisaiah1809
@maireisaiah1809 Год назад
Masha allah nimeipenda sana Afnania mungu Awahifadh na awape nguvu zaidi.insha allah
@guyogalora2736
@guyogalora2736 Год назад
Masha Allah,Shukran jazeelan
@TatuRashid-d6t
@TatuRashid-d6t Месяц назад
Mashaalah kaswida yenye mvuto hisiakali na maneno Kuntu,pongez Afnania
@allyjunu2290
@allyjunu2290 2 года назад
masha allah yan dah hadi nackia maumivu ujumbe mzur👏👏
@TwalaaTaib
@TwalaaTaib 5 месяцев назад
Mashallah MashaAllah Barkifi Allah Akupe kila kheri Sauti nzuri sana Frm Kenya ❤❤❤
@mahramalik6450
@mahramalik6450 2 года назад
Mashaallah AFNAANIA HONGERENI
@MussaAliHaji
@MussaAliHaji 11 месяцев назад
ما شا الله !!! Allah awabdilish dada zetu
@MbarukuMbega
@MbarukuMbega Год назад
Haswa ust Suleiman kaswida nzuri
@saumuramadhan4819
@saumuramadhan4819 2 года назад
Mashaa Allah Mashaa Allah ahadi ni deni na dawa ya deni ni kulipa
@fifo262
@fifo262 2 года назад
Hii qaswida ina ujumbe mazbuti naipenda ila inanipa huzunii, kwamana anasema ukweli ila tujifuze kua kila kituhuenda kwa rizki mungu hua hakujaalia kufikia ilo lengo
@issajuma910
@issajuma910 4 месяца назад
Fact
@halimajuma7879
@halimajuma7879 2 года назад
Ustadh unasoma kw HISIA inapendeza sana. Bi up Afnaania...
@silahimumsuya9664
@silahimumsuya9664 5 месяцев назад
Mungu akulipe ,umetuambia kwa hisia Sana mungu akulinde!!
@rehemakarisa5809
@rehemakarisa5809 2 года назад
Maashaallah nice msg👌
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj Год назад
Mashallah unajikaza kijna wetu🥰
@binabasssmarta8258
@binabasssmarta8258 2 года назад
Uwezo Ma sha Allah ma sha Allah 👏👏🙏🥰🥰
@zainabmbwana8195
@zainabmbwana8195 2 года назад
Mashallah pia pole umesoma Kwa hisia kma imekutaka vile
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
😒😒
@hassanrashid9436
@hassanrashid9436 2 года назад
aseme t mtunzi wet huenda ilikua stor yake ya kwel yalomkuta
@suleimansuleiman990
@suleimansuleiman990 2 года назад
@@khadijahali4837 nn shida
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 года назад
@@suleimansuleiman990 hamna
@suleimansuleiman990
@suleimansuleiman990 2 года назад
@@khadijahali4837 saw
@AbdulLatif-bd3gd
@AbdulLatif-bd3gd Год назад
Allahuakbar masa allah.
@raziyamustafa8812
@raziyamustafa8812 Год назад
Mashaalla.nakupenda.sana Yupoakupendaelshaala
@IssaMrumbi
@IssaMrumbi 7 месяцев назад
Hongera sana ust mungu akupe umr mrefu allah akupe maisha mema yenye fanaaka na kheri njemaa
@kalengoathumani3490
@kalengoathumani3490 Год назад
Mungu akubaliki
@ahmadjuma-xx5nd
@ahmadjuma-xx5nd 7 месяцев назад
Mashaa allah maneno kuntu yamekonga nyonyo
@fatmasimai6839
@fatmasimai6839 2 года назад
Mashaallah mashaallah kaswida nzuri na ujumbe mzuri
@fifo262
@fifo262 2 года назад
Ustaz kaswida uliisoma kwa hisia sana , vipi ulitendwa na usaliti naweee?
@mwanahamisisaid8663
@mwanahamisisaid8663 10 месяцев назад
👨‍❤️‍💋‍👨🚵‍♀️🏊‍♀️🧗‍♀️🧎‍♀️🧜‍♀️🧝‍♀️🦹‍♀️ 4:11
@ahmadponera177
@ahmadponera177 9 месяцев назад
😂😂😂wanatendwa hata maostadh
@yussufhassan6341
@yussufhassan6341 9 месяцев назад
😂😂😂😂😂
@valeniceweena5322
@valeniceweena5322 9 месяцев назад
😅😅😅😅😅😅😅😅
@MamawaridiIdi
@MamawaridiIdi 9 месяцев назад
😂
@allyvuai1207
@allyvuai1207 2 года назад
Maashaallah mungu akuzdxhie kl la kher ktk maisha yk by ally amani 🤗
@yusraabdallah4288
@yusraabdallah4288 2 года назад
Maa sha Allah nimelia hatari sana
@aishashehdon2980
@aishashehdon2980 Год назад
pole sana inauma kweli nikikumbuka
@AbdallahMselem-qk4ob
@AbdallahMselem-qk4ob 4 месяца назад
Mungu akubaeik ustadh suleiman
@salmasalim3218
@salmasalim3218 2 года назад
Allah awazidishie kwenye kazi zenu za kutukumbushia mambo mema
@afnaania9827
@afnaania9827 2 года назад
Aaamin
@zuhurahamisi7341
@zuhurahamisi7341 2 года назад
Mashallah
@saumusungura
@saumusungura Год назад
Ujumbe mzuri. San muñgu akujalie hekiima mashallah
@saumusungura
@saumusungura Год назад
Waume na wanawake tujue ahadi lazima itimizee
@tumamohd9332
@tumamohd9332 2 года назад
😭😭😭😭😭😭😭wallah hapa mumetowa kazi uhakikaa
@sitisule6812
@sitisule6812 2 года назад
Ila nawasisitiza kwa jinsi WAnawake wanavyo watuza.si sawa kabisa
@idatally3846
@idatally3846 2 года назад
Mashallah hatimae mzgo mpya umeshuka hhh sule .....
@binali3884
@binali3884 2 года назад
MAASHAALLAH AFNANIA
@hamiyukiruva6243
@hamiyukiruva6243 2 года назад
Yasalaamu mashaallah machozi yanitoka
@pathimaafrica4283
@pathimaafrica4283 2 года назад
Munguawabariki afnania mukovizuri
@KitoriSwamadu123
@KitoriSwamadu123 6 дней назад
🙏🙏🦶🦶
@setiaali8435
@setiaali8435 2 года назад
subhanallah mantap betul suaranya , bisakah kapan -kapan datang ke indonesia .
@suleimansuleiman990
@suleimansuleiman990 2 года назад
Asante sana naweza kuja kama ikitokea nafasi hiyo
@suleimansuleiman990
@suleimansuleiman990 2 года назад
Terima kasih banyak, saya bisa datang jika ada kesempatan
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 2 года назад
@@suleimansuleiman990 uache kupiga magoma, unabeba dhima. Hiari yako.
@aishashehdon2980
@aishashehdon2980 Год назад
@@mohamedhaji2200 kabisa swahihi
@aishashehdon2980
@aishashehdon2980 Год назад
@@suleimansuleiman990 hichi ni kilugha gani dooh
@HalimaMwamzuka
@HalimaMwamzuka Год назад
Masha Allah big up Alfanania❤
@abdillahsharief6498
@abdillahsharief6498 2 года назад
Kaz safi cn neno kwenu afnania
@selemanishabani500
@selemanishabani500 Год назад
Mashaallah mufti duaa nying
@ZuberAbdi-o1r
@ZuberAbdi-o1r 9 месяцев назад
Mashaallah jazaka llah khair inshaallah ameen
@zulfamessa3005
@zulfamessa3005 Год назад
Alifu alifu mabruki nimepesna kwasida hii mashaAlla.
@mpajiseif1489
@mpajiseif1489 2 года назад
nimeipenda nikweli kabisa asante kaka hongera sana
@twalibusijali1553
@twalibusijali1553 Год назад
Hongera qaswida nzuri na ina mafunzo by mrs twaribu
@sippyanajr9484
@sippyanajr9484 2 года назад
Hii ni Mara ya 6 naiskiliza ikimaliza naianzisha tena wallah imenigusa sana
@maalimhamad1297
@maalimhamad1297 2 года назад
Kwasababu nawewe kafiri kama wo uislam na hayo mbalimbali mnakwenda wapi nyinyi allah awaongoze
@MariaMsalilwa-cu5kl
@MariaMsalilwa-cu5kl 4 месяца назад
Nimeipenda Mwenyezi mungu akufanyie wepesi uende mbele zaidi❤❤❤❤
@khalidummy7713
@khalidummy7713 2 года назад
MashaAllah 👌 ujumbe umeakisi kabs
@sadakhamis7412
@sadakhamis7412 2 года назад
Mashallah ujumbe mzito kwakweli
@timamasudi231
@timamasudi231 6 месяцев назад
Mungu akuogoze kwakila kheri ishallah ❤❤
@ashrajraj8182
@ashrajraj8182 2 года назад
Mashaallah nmeipnda sna
@mixvideo762
@mixvideo762 2 года назад
Kasida nzur san hii afnaania nawapenda sana
@issakarim4413
@issakarim4413 2 года назад
Hongeren kwa kuenda na wakati ila bdo kdogo umeharibu mwisho
@suleimansuleiman990
@suleimansuleiman990 2 года назад
Sawa kaka
@salhaiddi9440
@salhaiddi9440 2 года назад
mashaallah mashaallah mashaallah
@latifamohammed61
@latifamohammed61 Год назад
Mashallah kaka yangu mungu akulinde ❤❤
@ukhtyashachannel5505
@ukhtyashachannel5505 2 года назад
Mashallah kazi kazi
@FadhiluGobos-l4g
@FadhiluGobos-l4g 11 месяцев назад
Imependez. Ilatuchunge.sheria.wa.mama.wangewekewa.seemu.maalumu.yakutunz🎉
@radhiaali8043
@radhiaali8043 2 года назад
ما شاء الله تبارك الرحمن الله يحفظك كلامك صحيح 👌❤️
@monatomamonatoma3308
@monatomamonatoma3308 2 года назад
Mashallah mashallah nzuri
@mathalanally8367
@mathalanally8367 2 года назад
wanawake sio watu wzr japo kua mama zetu, tuwe makin nao hawa
@azizaaziza7996
@azizaaziza7996 Год назад
@@mathalanally8367 walio wazuri hawajulikani anae juwa ni Allah tu peke kwani nasisi hamtuumizi au nyinyi hamsaliti wtt wawatu niboratu kama huna cha ku comment utulie hakuna hata mmoja alokuwa mkamilifu asohili ana lile zaidi ya Allah pekee
@aishashehdon2980
@aishashehdon2980 Год назад
@@mathalanally8367 kadhalika nasie twawaona wanaume sio wazur tuwe makini nanyi ha
@salimharrasy7047
@salimharrasy7047 Год назад
​@@mathalanally8367 Sio wote.
@AishaissaIssa
@AishaissaIssa 4 месяца назад
Maa shaa allah. Nakupenda tu my bro Namna pia unachezesha mikono yako
@habibahkisuju2813
@habibahkisuju2813 2 года назад
Mashallah kazi nzuri
@djfunk255
@djfunk255 2 года назад
Maneno mazuri ila tatizo iyo ngoma ndio tatizo mungu atusamehe pengine hatujui tulifanyalo , ujumbe mzuri na wenye hisia .
@mohamedhaji2200
@mohamedhaji2200 2 года назад
Magoma
@biabumwarua2444
@biabumwarua2444 2 года назад
Na mchanganyiko wake kwa waume
@worldresearcher7423
@worldresearcher7423 2 года назад
Uhakika
@aishashehdon2980
@aishashehdon2980 Год назад
ni kweli maneno kuntu haswaaaaa .. mushkeli upo kwenye minanda
@saumusungura
@saumusungura Год назад
Ujumbe mzuri San kwà wanawake
@husseinabuu8451
@husseinabuu8451 2 года назад
Chuma kizito icho bro nakubali kazi💪
@aboudal-nabahany5338
@aboudal-nabahany5338 Год назад
MashaAllah maneno kumtu kabisa na yenye mafunzo mazuri
@saeedjuma4335
@saeedjuma4335 2 года назад
Mm pia imenigusa Ila nimemsamehe alieniumiza في دنيا ولاخره
@afnaania9827
@afnaania9827 2 года назад
Pole sana
Далее
I Did This With Coffee! 🤯☕️ #shorts
00:22
Просмотров 158 тыс.
НЕ БУДИТЕ КОТЯТ#cat
00:21
Просмотров 1,2 млн
HAFIDH: "HONGERA FAKI.Live,Stejini..QASWIDA.
12:02
Просмотров 1,7 млн
Nasaha Crew (Anayo Alama) Sharif Koba.
5:50
Просмотров 306 тыс.
KISA CHA NABII SULEIMAN MFALME TAJIRI KULIKO WOTE DUNIANI
1:11:03
Ustadh Mudyru atoa qasda 2022..... OMAR UNAOWA
9:09
Просмотров 40 тыс.
hatua kabla kuacha-madrasa qadiria kaswida
14:47
Просмотров 552 тыс.
Aqaz-Wasaliti Ndoa (officialy video)
9:32
Просмотров 29 тыс.
Aqaz
16:16
Просмотров 196 тыс.
Mahafali ya Amec
10:14
Просмотров 227
I Did This With Coffee! 🤯☕️ #shorts
00:22
Просмотров 158 тыс.