Assalaamu alaykum..ogopa kuhukumu jambo huna dalili nalo kutoka kwenye qur'an wa hadith. Usije ukaulizwa siku hiyo nzito umeyatowa wapi. Na usipati jibu. Weye una feni ya kasiwda ..kaitafute feni ya ilimu ya dini..kucanga haramu na halali ni haramu kwenye dini yetu ya uslam .ikiwa weye ni muislam