Тёмный
No video :(

AFUKUZWA KWA MAMA MKWE|MWANAMKE KASEMA TUACHANE ANITAKI TENA 

DTV
Подписаться 24 тыс.
Просмотров 2,2 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 35   
@AminaLibisa
@AminaLibisa 2 месяца назад
Daah pole sana kaka Mungu ni mwema utasaidika tu Kwa uwezo wa Allah mimi nilimuona tu mazungumzo yake yule mwanaume wanawake wengine hawana uruma japo alimsifia kwamba ni mke bra kumbe wanamng'ong'a kidogo kaka usikate tamaa utapona tu InshAllah na mke utapata
@pendoanzigar3172
@pendoanzigar3172 2 месяца назад
kikibwa ni tumchangie atibiwe kuhusu mke tuwaachie wenyewe maana wanaume uwa wanaumiza sana wanawake wakiwa kwenye starehe ila wakipatikana ndo wanajishusha hapo lazima ukimbiwe tu ataechamba atajijua mwenyewe nimeongea ukweli afu sijali wala nini
@fatumadiwani4098
@fatumadiwani4098 2 месяца назад
Hao si binaadamu, hatari hii imani inaisha kwa kuwa mume mgonjwa unamfukuza je wewe mke hatima yako unaijuwa,pole sana kaka allah atakupa shifaa na utapona na maisha yako yatakuwa mazuri na wao waone haya hata kukuangalia usoni
@janemusumba820
@janemusumba820 2 месяца назад
Pole Sana utapona Mungu yuko
@AminaLibisa
@AminaLibisa 2 месяца назад
Kaka fabi uyo mwanamke hana mapenzi mwanamke mwenye akili asingemtamukia maneno kama ayo ukiwa mwenzie mgonjwa nimejisikia vibaya sana Inshallah Mungu yupo atakuonyesha njia
@Dafetty
@Dafetty 2 месяца назад
Pole sana brother Allah with you
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 2 месяца назад
Heee yamekuwa hayo?? Jamani mkewe alihojiwa mara ya kwanza akakili kuwa anampenda mume kwa shida na raha kumbe alikuwa anatulixha matango pori
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 2 месяца назад
😂😂😂😂😂
@user-xk7vy4gb6g
@user-xk7vy4gb6g 2 месяца назад
@@rukiaiddyyahaya9506 aisee wanawake wengi wakiona mume yupo taabani hawezi kutafuta pesa tena huwa wanakimbia Wanaume nao wakiona mke yupo taabani wanakutelekeza yani sikuhizi ngoma droo kukimbiana
@omanoman2044
@omanoman2044 2 месяца назад
Atakula nin masikin jaman wanawake achen roho mbaya
@user-dx1hz3ow7k
@user-dx1hz3ow7k 2 месяца назад
Pole kaka maumivu unayopitia ni ww mwenyewe unayajua kikubwa kumuomba Mungu akufanyie wepesi kwa kira jambo
@rayaabdul-gm3hc
@rayaabdul-gm3hc 2 месяца назад
Kaka angu kuwa na subra utachangiwa utapata matibabu na utajengewa nyumba .utaowa mke mwema tena mwenye imani na mungu inshallah mungu atafunguwa milango ya kheri
@zainabmunezero5797
@zainabmunezero5797 2 месяца назад
Huyo mwanamke hana mapenzi kabisa na mume wake akipona alee mtoto wake na kujali maisha yake.
@hyy4114
@hyy4114 2 месяца назад
Subhanna Allah walifunga ndoa Kwan muulizen huenda walikuwa wanaishi tu
@user-df6ui9ro8s
@user-df6ui9ro8s 2 месяца назад
Ila huy dad hakutumia busar kabisa kila kit kinamda tupean subra na uvumiliv jaaman usimtenge mtu kisa maradh au umaskin au ulemavu😢
@omanoman2044
@omanoman2044 2 месяца назад
Sasa kumbe aliuliza anazunguka zunguka nin duuh mungu akufanyie wepes wallah mtihan san
@zenajuma6519
@zenajuma6519 2 месяца назад
Nenda kwa nabii kiboko Cha wachawi buza kwa lulenge utapona kama ni mambo ya kiswahili
@omanoman2044
@omanoman2044 2 месяца назад
Et nampigia sim hapokei imekuw den duuh mungu wangu
@MonaJuma-cp3jg
@MonaJuma-cp3jg 2 месяца назад
Sikasema mwenye amkumbushe
@omanoman2044
@omanoman2044 2 месяца назад
@@MonaJuma-cp3jg saw lakin hapokei sim angeachana nae tuy
@MonaJuma-cp3jg
@MonaJuma-cp3jg 2 месяца назад
Siunajuaukiwa nashida wawakm mjinga
@omanoman2044
@omanoman2044 2 месяца назад
@@MonaJuma-cp3jg nikweli wallah
@DativaMbowe
@DativaMbowe 2 месяца назад
​@@MonaJuma-cp3jg nimependa ulivyo mjibu nakiukweli nini mimi nilimwambia anikumbushe tukiwa tumejaribu kuongea tufanyaje mpango wa doctor mmoja tuangalie jins yakufanya vipimo vya canser, ila nimemcheki jioni nayaleo mungu ni mwema, atapata matibabu😢😢
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 2 месяца назад
Mmh mbona ghafla sana na wakat cjui uko ukwen miaka mingi ?😢faby huyo kaka aende hospital maana akisha ambiwa matibabu gharama ndio atajua shi ngap tupo pamoja nae
@user-nd8gg4ig7m
@user-nd8gg4ig7m 2 месяца назад
Sauti ipo mbona
@omanoman2044
@omanoman2044 2 месяца назад
Kwa mtiy yeyote naukiw una matatizo hata awe ndug hapo ujifunze kituy tuy
@emmymatigula4870
@emmymatigula4870 2 месяца назад
Hospital gani jamani? Kama ni Muhimbili si wanakuambia bei kamili Na yeye alisema ma mkwe wanampenda na mke anampenda Nakumbuka mlimuhoji Hapa mbona hapaeleweki
@FatumaMuya
@FatumaMuya 2 месяца назад
Huyo ni mgonjwa hawezi kusema kila kitu Mbele ya mkwe na mkewe ukiangalia ni mgonjwa .
@valenakomba7686
@valenakomba7686 2 месяца назад
Sasa mbona hakuna sauti . Unapofanya kitu jaribu kuchnguza marambilimbili . Mswahili.
@user-zv7qq9ew4u
@user-zv7qq9ew4u 2 месяца назад
Mbona saut ipo
@dtvonline2099
@dtvonline2099 2 месяца назад
sauti ipo ndugu yangu mbona maybe simu yako
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 2 месяца назад
Simu yako sauti ipo mwanzo mpaka mwisho
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 2 месяца назад
Saut ipo bhn wee
Далее
لدي بط عالق في أذني😰🐤👂
00:17
Просмотров 3,2 млн
BABA YANGU KIPOFU Full episode /34/ #love
30:22
Просмотров 127 тыс.
RAMADHANI AFANYIWA ÙSAFI |ATEMBEA MWENYEWE
15:23
Просмотров 1,2 тыс.
HATIMAYE FAMILIA SASA INAFURAHA|NIMEANZA BIASHARA SASA
11:02
HAJRA APELEKEWA MATUNDA HALI YAKE YAZIDI KUIMALIKA
9:28
PENZI LA MAMA MKWE ((((( 4 ))) #latest 2024 #mr cheusi
10:20